Dunia hii imegawanyika kati ya wakoloni wazungu na waarabu! Mwafrika hana chake! Kama ni kweli ni jambo la kusikitisha maana nchi hii kila mtu ana imani yake wananchi kikatiba wanaouhuru wa ibada zao...wote sisi ni wa Mungu na Tunasikilizwa kama ilivyo wahindi na dini zao! Ila wakoloni walituhakikishia kila lilo la mwafrika ni la kishenzi...Mungu Anusuru ndugu zetu wa Hannang
Kutambika ni Ibaada za kumshirikisha Allah. Waeendelee tu naizo Ibadah za kishirikina Adhabu kali zidi yao itaendelea kuja. Najua ni wagumu kuelewa. Ila ndiyo inabakia ule msemo kwamba mwanadamu Ana angamia kwa kukosa maarifa.
[Surah At-Taghābun: 11] Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu huuongoa moyo wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
Africa, Africa yangu lini tutaamka tuna lakini matambiko ni kawaida sana hata hao walolete hizi dini wanamatambiko na siku zao maalumu, why hapana kwetu, ni muda wa kuamka 😭😭😭
Huenda no kweli maana mvua gani hiyo ya kupolomosha majabali na magogo? Maana tanapa wa nchi hii wanaonea Sana, sasa hii ni rasharasha mkiendelea kuwazuia patakuja kufutika kabisa tuone mtaifazi wapi, askali hawa huwa ni wahovyo Sana.
[Surah At-Taghābun: 11] Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu huuongoa moyo wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
No kweli Mila zipo na Kama walizuiwa basi tanapa awakujua tambiko Zina nguvu gan mungu atuponye Kwan hata kutambika pia mungu anashilikishwa coz ndiye mkuu wa kila kitu
Kwanza poleni sana wale wote waliofikwa na msiba pili Kuna watu mpaka sasa wanaamini kwamba hata ukiabudia mizimu mungu ni mmoja hapana Hakuna Mungu mzimu Mwenyezi mungu Hana Mshirika na yeye ndiye wa kuabudiwa tu.
Tatizo hujielewi wewe ivi we unaakili timamu na ni mtu mzm kama huelwe mbele Wala nyuma usicomment comment ovyo Kila mtu ananjia yake ya kufiku Isha ombi lake kwa Mungu cyo kwamba wanafanya tu ivyo kwa mazoea hapana Hawa wanajua afu pia kumbuka cc tulikuwa na dini zetu kabla ya hizi za wazungu Yani wewe ni Sawa na mtu ambae huelewi na hutaki kujua unatoka wapi afu unadharau watu
Ata kupiga watu ni maovu, kuzuia mwingine kufanya ibada ni maovu pia. Kwani unadhani ao wazee wanaendaga uko kumuomba nani Mungu au? Unaweza ukawasema wazee wamepotea kumbe wewe ndio umepotea kabisa
Watu hawajuwi tuu ila mizimu inanguvu sana kuliko wananavyo dhani inabidi waombe hao wazee msamaha waka tambike kwajili yakuomba msamaha nawasirudietena mana😂ndo mila na destuli zetu wafrica hizi dini siyo zetu zililetwa ili zitu gawanye waweze kutu tawala lakini imani na dini zetu ni matambiko mkubali mkatae wachaga oye😊
Acheni ushirikina nyinyi Yaani mnaamini eti mizimu ndo imechukia ndo balaa la mafuriko likashuka kwa Nini tusiamini hii ni adhabu ya mungu kutukumbusha kutubia kwake na kuacha maasi
Mungu pekee ndio anastahili kuabudiwa hakuna mkuu kama Mungu hata hiyo mizimu sio Mungu aliyeumba hiyo milima ndio anastahili kuabudiwa Sasa mgeukieni Mungu maana anachukia matambiko
Ukimpenda Mungu hawezi kukutendea jema mmeamini miungu mkashindwa kuitumikia ikawapa hasira mrudieni Mungu muonealivyo mwema tokeni kwenye giza mkae kwenye nuru mpate kuona.
Sawa msomi, kwa hiyo unataka kusema ikiwa natural calamity haiwezi kusababishwa na supernatural power? Regardless ni tukio la kueleweka na la kuelezeka kifizikia Bado linaweza likawa limetokana na jambo lisiloeleweka au kuelezeka kifizikia.
JAMANI makam wa Rais Yuko wapi mbona haonekani msibani. Jambo jigine inakuwaje. Rais Samia alienda Dubai na watu 750 watu wote hao wani huko pesa imekuwa ngum mnoo hiyo bajeti Nani anailipa
Daaaaa hawa watu hajawi kusem ukwel jeshi la police na jwtz hao ndo watenda haki kwa watanzania lkn tanapa wanaona wao ndo wao kila Kona Ni kuharibu tu.
Ardhi ni mali ya serikali km kuna kundi fulani bado linaamini mizimu basi wanunue kipande cha ardhi wafanyie mambo yao kila mtu amepewa akili kikubwa maarifa na Imani hapo hakuna lolotee la kulaumu tanapa wao wapo kutimiza majukumu ya kazi zao Allah Aqbar
Wapo wazunga wachawi na washirikina kadharika na waafrica, Tatizo hapa ni kutokumjuwa Mungu wa mbinguni, Ushirikina ni kujaribu kupapasa kutafa msaada, Wakati wa Elia walifanya hivyo pia, Bahati mbaya Mungu wao baali hakutokea kuwajibu, Mungu wa Elia alishusha moto ukairamba dhabihu, Mungu ea Elia yupo hata leo na anajibu, Tatizo ni ugumu wa mioyo yenu.
Hizi maneno ukimweleza mtu ambae moyo wake umekamatwa na mizimu ni ngumu kuelewa! Basi na kama baali ni Mungu na ajitetee kama hawezi jitetea sio, ndo mana Mungu wa Elia alishuka na moto na ikafahamika yeye ndie Mungu! Hizi ni falme kama walienda tambika na wanapigwa basi huyo mungu wao angewatetea na kuwashughulikia Tanapa! Yesu yu hai anaishi hata sasa, tugeuke kwake ! Naye anao wivu hapendi kuchanganywa
Awezi kubali, hata mara moja, lakini mzee mtu mzima anaongea na jamaa yeye anasema hakuna. Wakae na wazee waonge nao, matambiko Africa ni real ukidharau huwa kuna jambo linakukuta. Sisi wa mjini wala atuwezj kuelewa ila ukisikiliza kwa makini anachoongea mzee wa miaka mingi na jamaa unaona wazi kuna kitu akikuwa sawa. Tuwaache wafanye matambiko yao, kila mmoja ananjia yake ya kumwabudu mungu
Mumekucha kumekucha ! Jamani acheni maswali na kutafuta visivyo na maana Mungu pekee ndio anajua tuendelee kuwaombea wahanga waweze kurudi katika Hali ya kawaida na kuwaombea ndugu zetu walio lala Kwa ajali hiyo hayo mengine tumuachie Mungu ! Na tuendelee kuomba
Mzee kama huyo hawez kusema uongo lazima Kuna ukweli maana hata kwenye suala la uokoaji wanajeshi unakuta atashika jembe kama kiongozi amekuja lakini mara nyingi wamekuwa wanasimamia wananchi ndiyo wafukue tope na kuwa amrisha bila kujali kuwa wengine ni wanamajozi na maumivu
Hata hao wano amini matambiko Wana mwamini Mungu ,je hiyo dini yako unatumia lugha ya nani ,jiulize kwa lugha yako Mungu Hana jina?acha watu wapambane na. Mila zao
Matambiko sio ibada Za Mungu wa kweli Mungu anataka aabudiwe yy peke yake na sio Milimani hizo n Imani Ila pia watu wanatakiwa watafute TENGWA TV alitabiri hayo yote
Kwann Bwana Yesu kabla ya kuanza mateso yake alipanda juu ya Mlima na kati wanafunzi 12 aliwachukua wa3 na hao pia aliwaaga anaenda kusali akawaacha!! Na je kwanini hakwenda kusali katika masinagogi ili miujiza iliyotekea pale Mlimani itokee mbele ya watu wengi???
Umeongea point kubwa sana ambayo mtu wa kawaida aliekaririshwa mila za kizungu na ikamkaa akilini mwake sio rahisi akuelewe bali atabaki kusema umepotea. Hata Hayati baba wa Taifa hakuwahi kudharau mila hata siku moja aliheshimu sana mila. Haya mambo tusiyadharau ndugu zangu hakuna watu wanajali mila zao kama wazungu sisi Waafrika tumeziacha tunazihaki kila siku tunaita mambo ya kishenzi yamepitwa na wakati, oh sijui nini lakini hivi vitu vipo na vitatuumiza. Mi nashauri Serikali hizi maliasili zetu ni muhimu sana kuzihifadhi, kuzilinda ili ziendelee kuwepo kwa ajili ya vizazi vijavyo. Lakini pamoja na kuhifadhi tukumbuke kuwa ziko katika maeneo ya jamii na hizo jamii zina mila Zao kuna muda hutumia baadhi ya Maeneo yalioko ndani ya hifadhi kufanya shughuli zao za matambiko, ni vizuri Wahifadhi wakaweka utaratibu maalum wa kuwaruhusu jamii kuingia na kufanya shughuli zao za kimatambiko pale wanapohitaji kufanya hivyo ilimradi tu waathiri wala kuharibu Maeneo. Mbona watu tumesoma vyuoni na huo utaratibu sheria za kuomba kibali cha kuingia zipo jamani au tukishaajiriwa tunasahau kuoa elimu kwa jamii husika na Kuwapa watu utaratibu wa kuingia kwenye maeneo ya hifadhi, haya ndo madhara yake. Tena watu wa Tfs jamani ma Afisa misitu wenzangu tumesahau maswala ya Participatory management, Community based Forest management (CBFM) nk. Taratibu za kuingia maeneo ya hifadhi zipo tusijifanye wababe bila kuhusisha jamii kwenye uhifadhi, hakuna kitakachowezekana maana muda mwingine wao ndo walinzi wa kutoa taarifa za uharifu na uharibifu wa hifadhi. Kwa sababu wanakuwa wanaona faida ya hiyo hifadhi, ikiwemo kwenda kufanya shughuli zao za kijamii kama hizo za matambiko, nk.
Ninyi wanadamu chanzo cha hayo ni matambiko na makafara. Makafara mabaya . 27/11/2023 ndiyo maono ya wazi yalionekana jioni saa 11 makafara yao yamekua chukizo kwa MUNGU MKUU ALIYE HAI MILELE YOTE. MTASEMA MENGI LAKINI ILO ILO. ASANTE.
Subhana llah,mawe makubwa hivyo eee mungu tuepushe na majanga makubwa na madogo 🤲🤲🤲🤲🇹🇿🇹🇿
Dunia hii imegawanyika kati ya wakoloni wazungu na waarabu! Mwafrika hana chake! Kama ni kweli ni jambo la kusikitisha maana nchi hii kila mtu ana imani yake wananchi kikatiba wanaouhuru wa ibada zao...wote sisi ni wa Mungu na Tunasikilizwa kama ilivyo wahindi na dini zao! Ila wakoloni walituhakikishia kila lilo la mwafrika ni la kishenzi...Mungu Anusuru ndugu zetu wa Hannang
Umeona ndugu, yaani miaka 50 inayokuja hakutokuwa kabisa na utambulisho wowote wa mwafrika
@@ladislausngoyinde4384 naami naliona
Well said
Duh bro umeandika vyema kabisa
Ukweli kabisa duhhh
Kutambika ni Ibaada za kumshirikisha Allah. Waeendelee tu naizo Ibadah za kishirikina Adhabu kali zidi yao itaendelea kuja. Najua ni wagumu kuelewa. Ila ndiyo inabakia ule msemo kwamba mwanadamu Ana angamia kwa kukosa maarifa.
[Surah At-Taghābun: 11]
Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu huuongoa moyo wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
Jamani Mila ziacheni ni ukwel dini mmeletew na wazungu hoo mungu yupo nyie mungu mmemuona lin jmn Africa tuendleze Mila zetu
Africa, Africa yangu lini tutaamka tuna lakini matambiko ni kawaida sana hata hao walolete hizi dini wanamatambiko na siku zao maalumu, why hapana kwetu, ni muda wa kuamka 😭😭😭
Nakuunga mkono
Nakuunga mkono pia
Sii njema
Sheria ya tanzania inajifanya ni ushirikina na serikali yao haiamini
Viongoz wetu ndo wanatufanya tuishi kweny utumwa wa mila za watu wengine
Jamani watu wasizuiwe kutambika kila mtu na njia yake ya kuambudu, Mungu ni yule yule wote tunainamisha vichwa chini.
Huenda no kweli maana mvua gani hiyo ya kupolomosha majabali na magogo? Maana tanapa wa nchi hii wanaonea Sana, sasa hii ni rasharasha mkiendelea kuwazuia patakuja kufutika kabisa tuone mtaifazi wapi, askali hawa huwa ni wahovyo Sana.
Kwahiyo wewe unaamini mizimu 😂
@@Hamy1109kila mmoja ana imani yake. Tuwache kuhukmu watu kwa mambo ya imani zao na dini zao.
Ww hujawahi kuona au kuskia mvua kama hizi tuache Iman za kishirikina
[Surah At-Taghābun: 11]
Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu huuongoa moyo wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu.
No kweli Mila zipo na Kama walizuiwa basi tanapa awakujua tambiko Zina nguvu gan mungu atuponye Kwan hata kutambika pia mungu anashilikishwa coz ndiye mkuu wa kila kitu
Bado loliondo mpaka waarabu wakimbie
Kwanza poleni sana wale wote waliofikwa na msiba pili Kuna watu mpaka sasa wanaamini kwamba hata ukiabudia mizimu mungu ni mmoja hapana Hakuna Mungu mzimu Mwenyezi mungu Hana Mshirika na yeye ndiye wa kuabudiwa tu.
Tatizo hujielewi wewe ivi we unaakili timamu na ni mtu mzm kama huelwe mbele Wala nyuma usicomment comment ovyo Kila mtu ananjia yake ya kufiku
Isha ombi lake kwa Mungu cyo kwamba wanafanya tu ivyo kwa mazoea hapana Hawa wanajua afu pia kumbuka cc tulikuwa na dini zetu kabla ya hizi za wazungu Yani wewe ni Sawa na mtu ambae huelewi na hutaki kujua unatoka wapi afu unadharau watu
Poleni watanzania wenzangu Hanang
Mengi tutayasikia Sana. Ila mungu yupo.
Acha kujitetea huo Mzee kaongea ukweli mmeigarimu serikali Kwa njaa
Awezi kusema kweri wakati Mambo yashatokea
Hakuna cha mila wala nini hiyo ni mvua na watu wajue Mungu yupo tuache maovu Tumrudie Mungu saa tusiyodhani tutaondoka dunia jiandae
Ndo nyie watumwa wenyewe
Ata kupiga watu ni maovu, kuzuia mwingine kufanya ibada ni maovu pia. Kwani unadhani ao wazee wanaendaga uko kumuomba nani Mungu au? Unaweza ukawasema wazee wamepotea kumbe wewe ndio umepotea kabisa
Washamba wakubwa nyie na wazungu wenu mtatetea ad ushoga
Lini mtaelimika muheshimu mila zakiafrica ? Mmekalisa mila zakiarabu na kizungu. Hazina mashiko hapo ni Manyara sio uarabuni/ulayq
HAYO MATAMBIKO YENU NDO YAMEMUUZI MUNGU , NDO MAANA AMEAMUWA KUWAONYESHA YEYE NDO MWENYE KILA KITU MPAKA MILIMA.
Watu hawajuwi tuu ila mizimu inanguvu sana kuliko wananavyo dhani inabidi waombe hao wazee msamaha waka tambike kwajili yakuomba msamaha nawasirudietena mana😂ndo mila na destuli zetu wafrica hizi dini siyo zetu zililetwa ili zitu gawanye waweze kutu tawala lakini imani na dini zetu ni matambiko mkubali mkatae wachaga oye😊
Innalillah wanna ilah rajiun
Kama ni hivyo basi ni shirki,M'mungu ni mmoja Tu asiye na mshirika,tuacheni ushirikina
Shiriki ndo nini acha ushamba heshimuni mila za watu
@@shabaniirunde3360Mila za kipumbavu kabisa
Wengine wanasafiri hadi middle East kufanya ibada, hizi dini za kigeni tunaziheshimu.. wakati mila za wazee wetu tunaita jina baya eti 'shirki'...
@@josephlorri431 kwahiyo na wewe ni mchawi
@@martinisadru9899huo sio uchawi....hizo ni mila na desturi zao...walikuwa wanafanya hayo kabla ya wageni kuja...
Ushirikina too Allah awaongoze muijue njia ya kweli
Acheni ushirikina nyinyi Yaani mnaamini eti mizimu ndo imechukia ndo balaa la mafuriko likashuka kwa Nini tusiamini hii ni adhabu ya mungu kutukumbusha kutubia kwake na kuacha maasi
Kwel kabisaa
Na kweli watu wamgeukie Mungu jmn
Matambiko ndonn Mungu tu na uwezo wake hufanya apendalo bila kujal matokeo yke.
Mungu pekee ndio anastahili kuabudiwa hakuna mkuu kama Mungu hata hiyo mizimu sio Mungu aliyeumba hiyo milima ndio anastahili kuabudiwa Sasa mgeukieni Mungu maana anachukia matambiko
Nyamaza fara wew hujui kitu mbumbumbu mfia dini
Ukimpenda Mungu hawezi kukutendea jema mmeamini miungu mkashindwa kuitumikia ikawapa hasira mrudieni Mungu muonealivyo mwema tokeni kwenye giza mkae kwenye nuru mpate kuona.
Giza ni ipi kati yako na wao!!? Ushawahi kujiuliza vipi kama unachoamini ww si sahihi!!!!?
Nawasihii nakuhisii nafsi yangu tupende kusali nakusoma neno la MUNGU hiyo ndiyo dawa ukiamini utashinda....Aamiin
Mzeee kama huyoo kwa umli wakee atasemaa uongoo tangu linii au tanapa wanakwepaa msalaaa
Uzungu umeleta matatizo kwenye jamii
Hiyo ni natural calamity...inaitwa mudflow mnaweza Google.... catastrophic nikama volcano
Andika tu kwa kiswahuli kaka..
CATASTROPHIC NATURAL CALAMITY
Sawa msomi, kwa hiyo unataka kusema ikiwa natural calamity haiwezi kusababishwa na supernatural power? Regardless ni tukio la kueleweka na la kuelezeka kifizikia Bado linaweza likawa limetokana na jambo lisiloeleweka au kuelezeka kifizikia.
Ok thanks but what about super natural power?
Huna unalojua kakambe na ujinga wako wa kukaririshwa na matahira wenzio wazungu
Noma sana
Mila zipo heshimuni mila
Sio kweli
Tumuombe Mungu
JAMANI makam wa Rais Yuko wapi mbona haonekani msibani. Jambo jigine inakuwaje. Rais Samia alienda Dubai na watu 750 watu wote hao wani huko pesa imekuwa ngum mnoo hiyo bajeti Nani anailipa
Sisi walalahoi kwa Kodi zetu
Hao wazungu wamewaharbu viongoz wwtu matambiko yako miaka na miaka jamani jaman rip magufuli
Kwani wawazuilie kufanya yao ?
TANAPA wanakataa tena kwamba hawajapiga mtu😢😢😢
Hiii nchi hii kuna watu ni matatzo😢
Sio TANAPA ni TFS
Nilitembelea mapango ya Amboni Tanga mwaka 2022, nikakuta wametengewa sehemu ya kufanya matambiko na niliwakuta watu wamekwenda kufanya matambiko.
Matambiko ni muhimu sn tusidharau jaman
Nd zao
Aya sasa
Matambiko ni ushamba kwenda kuabudu miti ni ushamba tanapa wangewapiga ata risasi ni sawa tu akuna Ibadan ya matambiko yenye nguvu Zaidi ya Mungu
Asili iheshimiwe Huenda kweli ikawa ni chanzo cha haya yote tusipindishe kutetea hoja...!
Hapana weee unafikiri kwa sababu gani kanisa limesalie pekee hii ni ishara watu wamrudie muumba na wala si kuabudu vitu
Hi ndyo chanzo cha tatizo Hawa wazee wakikasirika huwa mvua inanyesha hata Kama ni kiangazi.
Bunge liliwaumbua kwenye tokomeza majangili wanabanikaga watu kama kuku hao
Daaaaa hawa watu hajawi kusem ukwel jeshi la police na jwtz hao ndo watenda haki kwa watanzania lkn tanapa wanaona wao ndo wao kila Kona Ni kuharibu tu.
Haiwezi kuwa matambiko na tena mkiendelea kuropoka mtakuja kusema na ukwel
Wewe no mpumbu Kila kitu una kataa wakati huna uelewa
Ni kweli wamepigwa
Wamemchokoza Bea
Anakataa2
Huo ni ukweli Usiopingika
Waache ujinga kwan mvua wanazichukuliaje
Hawawezi kukubali kwasababu maafa yameshayokea wanakwepa isionekane kwmba wao ndo chanzo😠😠🤯🤯
Kwhyo huyo mzee nimwongo tanapa hmjawapiga
Mnawapiga tenaa hilo ndo lilipo anzia tatizo
Bado hujasema
,Hapana jjaribuni kusoma Geograph, ilo sio tambiko nimambo ya elimu tu, nchi zingine haziruhusu kujenga milimani, Tanzania ina milima mingi
Me naweza kuamin kabisa imani izi zipo na matambiko yapo
Yapo ila mungu hataki huo uchafu ndo maana ameamua kuacha kanisa awaoneshe yu hai
We unayesema uzungu umeleta matatizo, we mweu, wazungu ndo wameleta mvua haha isia za kidini mshamba were,
Tanapa ni wabaya kwani ni uongo
Nabado seem zote zilizo polwa nahawa wanao jiita tanapa Zita geuzwa vifusi
Muna haki mwenyezi mungu hapendi ushirikina ona sasa kilichowapata
Ni kweli mliwapiga bhana
Sasa huyo kiongozi watanapa anavyosema hakunamtu aliye pigwa wala kuzuiwa kwahiyo huyo mzee nikichaa hadi aongee hivyohivyo?
Heading mbovu kabisa huyo Officer mbna kasema ukweli Not good kabisa hayo mloandika. Mjipange tena
Mnazuia nini wacheni na matambiko yao matokeo yake ndio ayo sasa wanakataa ina maana bado anasema uongo hii serikali ni kweli mmewapiga
Matambiko ni Moja ya ibada kwetu hasa Waafrica. Wale walituletea dini zao za hajabu.
mitambiko hoyeee 😂
Ardhi ni mali ya serikali km kuna kundi fulani bado linaamini mizimu basi wanunue kipande cha ardhi wafanyie mambo yao kila mtu amepewa akili kikubwa maarifa na Imani hapo hakuna lolotee la kulaumu tanapa wao wapo kutimiza majukumu ya kazi zao Allah Aqbar
Watu wanajidai Mila hawazitaki wanataka uzungu tu
Wapo wazunga wachawi na washirikina kadharika na waafrica, Tatizo hapa ni kutokumjuwa Mungu wa mbinguni, Ushirikina ni kujaribu kupapasa kutafa msaada, Wakati wa Elia walifanya hivyo pia, Bahati mbaya Mungu wao baali hakutokea kuwajibu, Mungu wa Elia alishusha moto ukairamba dhabihu, Mungu ea Elia yupo hata leo na anajibu, Tatizo ni ugumu wa mioyo yenu.
Hizi maneno ukimweleza mtu ambae moyo wake umekamatwa na mizimu ni ngumu kuelewa!
Basi na kama baali ni Mungu na ajitetee kama hawezi jitetea sio, ndo mana Mungu wa Elia alishuka na moto na ikafahamika yeye ndie Mungu!
Hizi ni falme kama walienda tambika na wanapigwa basi huyo mungu wao angewatetea na kuwashughulikia Tanapa!
Yesu yu hai anaishi hata sasa, tugeuke kwake !
Naye anao wivu hapendi kuchanganywa
Waacheni wazee wafanye Mila jmn
Mvua imenyesha nchi nzima uko hanang imenyesha siku nzima ni mvua kubwa sana so tuache upumbavu
Awezi kubali, hata mara moja, lakini mzee mtu mzima anaongea na jamaa yeye anasema hakuna.
Wakae na wazee waonge nao, matambiko Africa ni real ukidharau huwa kuna jambo linakukuta.
Sisi wa mjini wala atuwezj kuelewa ila ukisikiliza kwa makini anachoongea mzee wa miaka mingi na jamaa unaona wazi kuna kitu akikuwa sawa.
Tuwaache wafanye matambiko yao, kila mmoja ananjia yake ya kumwabudu mungu
Mumekucha kumekucha ! Jamani acheni maswali na kutafuta visivyo na maana Mungu pekee ndio anajua tuendelee kuwaombea wahanga waweze kurudi katika Hali ya kawaida na kuwaombea ndugu zetu walio lala Kwa ajali hiyo hayo mengine tumuachie Mungu ! Na tuendelee kuomba
Amen
Kila jamii ina imani yake, ww endelea kuamini unachiamini.., tembea ujue, Mungu sio wa waarabu na wazungu tu..wake up
@@eyezarc1239we mungu wako ni kabila gani?
@@martinisadru9899acha utumwa wa akili
Mm nilishaona mtu akizuia mvua kigoma kbsa
Kamishna Ni msee kwaiyo uyo Babu nimuongo 😂
Si kweri
Duuh imani ni kitu cha ajabu sana,,usijaribu kuingilia iman za watu😮
Uwongo wote mumepewa mtihani mujue kua Mungu yupo na muti yapo
Siyo Mila coz mwaka Jana pia ilitokea malawi
❤❤❤❤wamyumainie Mungu Alie hai Mungu mwenyewe Baba Mungu mwana YESU krisito na roho mtakatifu kwisha
Yesu ni ujinga na upumbavu
Wanasema mliwazuia nyie mnasema hamkuwazuia. Kwaiyo hao wazee ni vichaa. Au kwakua raia hawana pa kusemea. Hii nchi ngumu?
Mzee kama huyo hawez kusema uongo lazima Kuna ukweli maana hata kwenye suala la uokoaji wanajeshi unakuta atashika jembe kama kiongozi amekuja lakini mara nyingi wamekuwa wanasimamia wananchi ndiyo wafukue tope na kuwa amrisha bila kujali kuwa wengine ni wanamajozi na maumivu
Nyie tanapa kumamae zenu mufukuzwe kwan uyo anaeongea chiz angalien vifo mngekufa nyie tu
Dini 2meletewa2 watu wafanye wanachokiamin
Silayo acha Uwongo huyo babu hawezi kusema uwongo
Utawazuaji watu wasifanye matambiko
Mnaami nguvu za shetani kuliko nguvu ya Mungu
Hakuna nguvu za shetani, nguvu zote ni za Mungu
Hata hao wano amini matambiko Wana mwamini Mungu ,je hiyo dini yako unatumia lugha ya nani ,jiulize kwa lugha yako Mungu Hana jina?acha watu wapambane na. Mila zao
Kwa hiyo huyo mzee muongo au mnamaanisha nin?
Wazee wanagonga kwenye mshono
Kwani Afrika tunadharau mila zetu
wewe Mzee wa tanapa vijana wako wa hovyo sana hujui tu fuatilia utajua wanapiga raia hao Hadi wazee wa Mila mmepiga haya ss
Ushirikina tu
Jamani tusidharau Mila kunakipind yanawezekana hayo na pengine ni kweli
Mtakubali sasampaka yawakute m mepiga watu
Allah ndio kaamua jambo hili
Allah alikuja na waarabu kakuta matambiko ya kiafrika yanaendelea, Tunamjua Mungu pekee na sio Allah
@@marysdiosa8764 Allah hakuja na mtu yoyote Allah ndio muumba wa kila kitu
Kamanda unaongea uwongo kwasababu lishatokea
Matambiko sio ibada Za Mungu wa kweli Mungu anataka aabudiwe yy peke yake na sio Milimani hizo n Imani Ila pia watu wanatakiwa watafute TENGWA TV alitabiri hayo yote
Kwann Bwana Yesu kabla ya kuanza mateso yake alipanda juu ya Mlima na kati wanafunzi 12 aliwachukua wa3 na hao pia aliwaaga anaenda kusali akawaacha!! Na je kwanini hakwenda kusali katika masinagogi ili miujiza iliyotekea pale Mlimani itokee mbele ya watu wengi???
tatizo tumeacha asili yetu na kufata ya kuletewa kila mtu anamila zake sasa ukikubali mila ya mwenzako basi wewe ni mtumwa wa kimila ..
Ujengewe sanamu pale airport
Umeongea point kubwa sana ambayo mtu wa kawaida aliekaririshwa mila za kizungu na ikamkaa akilini mwake sio rahisi akuelewe bali atabaki kusema umepotea. Hata Hayati baba wa Taifa hakuwahi kudharau mila hata siku moja aliheshimu sana mila.
Haya mambo tusiyadharau ndugu zangu hakuna watu wanajali mila zao kama wazungu sisi Waafrika tumeziacha tunazihaki kila siku tunaita mambo ya kishenzi yamepitwa na wakati, oh sijui nini lakini hivi vitu vipo na vitatuumiza. Mi nashauri Serikali hizi maliasili zetu ni muhimu sana kuzihifadhi, kuzilinda ili ziendelee kuwepo kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Lakini pamoja na kuhifadhi tukumbuke kuwa ziko katika maeneo ya jamii na hizo jamii zina mila Zao kuna muda hutumia baadhi ya Maeneo yalioko ndani ya hifadhi kufanya shughuli zao za matambiko, ni vizuri Wahifadhi wakaweka utaratibu maalum wa kuwaruhusu jamii kuingia na kufanya shughuli zao za kimatambiko pale wanapohitaji kufanya hivyo ilimradi tu waathiri wala kuharibu Maeneo.
Mbona watu tumesoma vyuoni na huo utaratibu sheria za kuomba kibali cha kuingia zipo jamani au tukishaajiriwa tunasahau kuoa elimu kwa jamii husika na Kuwapa watu utaratibu wa kuingia kwenye maeneo ya hifadhi, haya ndo madhara yake.
Tena watu wa Tfs jamani ma Afisa misitu wenzangu tumesahau maswala ya Participatory management, Community based Forest management (CBFM) nk. Taratibu za kuingia maeneo ya hifadhi zipo tusijifanye wababe bila kuhusisha jamii kwenye uhifadhi, hakuna kitakachowezekana maana muda mwingine wao ndo walinzi wa kutoa taarifa za uharifu na uharibifu wa hifadhi. Kwa sababu wanakuwa wanaona faida ya hiyo hifadhi, ikiwemo kwenda kufanya shughuli zao za kijamii kama hizo za matambiko, nk.
Shetani amepata mwana Sasa wan kupenyeza miungu yake....ole wenu Mungu aliye hai aliye juu ya miungu hotel awape jibu lingine!
SASA HAPA NDIO NIMEELEWA KWANINI KANISA LIMESALIA HALIKUPATWA NA MADHARA YOYOTE!!!!
Aisee kweli kbs
Fanye yote hila matambiko huwa muhimu
Pinina watu hawana uelewa,mpeni MUNGU yalioyake na kaisari mpeni yake