AZIM DEWJI AFUNGUKA, MO DEWJI ANATOA HELA, WAJUMBE WAJIUZULU KWA HIARI SIO SHINIKIZO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 150

  • @MrishoMindu-zq7mz
    @MrishoMindu-zq7mz 7 หลายเดือนก่อน +17

    Mz Dewji umeongea vzr sana lkn mpaka mtu akuelewe anahitaji uwezo wa kufikiri mkubwa mno. Unajaribu kulinda maslah ya uwekezaji umeongelea amani ndani ya Club umeongelea kujijenga timu . Umeshauri kuhusu kujenga timu lakini umesisitiza Umoja na mkutano uhitishwe haraka. Binafsi nimekuelewa

  • @ShedrackTimotheo
    @ShedrackTimotheo 7 หลายเดือนก่อน

    Kijiji bila wazee sawa nagenge lawahuni,hongera mzee.

  • @YekoniaLivingstone
    @YekoniaLivingstone 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kukaa kimya so vizuri Mzee wangu pia kujirekebisha Kwa haraka na uvumilivu ,pongezi

  • @leonardtumbo3408
    @leonardtumbo3408 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Azim nimekuelewa sana kwa sasa mashabiki,wanachama na viongoz na wapenzi wote wa Simba SC uvumilivu ni muhimu sana kwa nyakat hz❤❤

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee umeongea sahihi sana walikuwa wamtia hasara sana Boss wetu Mo dwji ametutoa mbali Leo wanamletea wachezaji wabovu kama akina Jobe,sawadogo kwer watupishe tu

  • @enocksangova7810
    @enocksangova7810 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee umetema Madini sana
    Washauri hao Viongozi pamoja na huyo ndg yako MO D

  • @WiliamuObadia
    @WiliamuObadia 7 หลายเดือนก่อน

    Umeongea vizuri sana mzee azimu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 7 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sanaa Mzee azim dewji mungu akubaliki Amin

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 7 หลายเดือนก่อน +8

    Yaani Simba wanazingua Sana tatizo liko Kwa viongozi upande wa bodi ya WANACHAMA kingine kipo kwenye usimamizi mkubwa Simba haisimamiii

  • @GermanaangeloMkemangwa
    @GermanaangeloMkemangwa 7 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa baba

  • @Joel6-s5l
    @Joel6-s5l 7 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa vizur sana Mzee

  • @moshiathumani7040
    @moshiathumani7040 7 หลายเดือนก่อน +5

    Naamini Mzee Azim Dewji ni miongoni mwa Wazee wa Simba wenye uchungu wa kweli kwa Simba.
    Hekima zako ni mwongozo kwa wanasimba ikiwa tunajieelewa

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee mimi naimi msifanye simba na yanga kama vyama vya siasa mjifunze kutoka njee kwawatu waliotuletea mpira ninyi mnafanya mpira wa mazoea hamuoni ulaya scheni ubabaishaji hizi timu tunaweza kuwapa watu kutoka njee na zikafanya vizuri kimataifa na kufanya taifai letu likapata heshima ninyi mtamaa tuu

    • @mmbga137
      @mmbga137 7 หลายเดือนก่อน

      Kka umeongea pont sana 🎉🎉

  • @RamadhaniChamuange
    @RamadhaniChamuange 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mzee ameongea kweli lakin shida wahindi ndivyo walivyo wakiwa mbele ya public wanyongeeee ngoja wawe wenyewe Sasa ndio utaona makucha Yao, kikubwa zile kauli tata za mo zikome thn kama n hela Kila mtu ajue mali ya simba n yanga hazina usiri

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tabia iyo sio wahindi tu ni kabila lolote lile. Pia kama umemuelewa anasema mo anatowa pesa lakin viongozi wanaleta wachezaji wabovi.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa sio Hawa ,viongozi wa Simba wapo tu kama picha kiongozi ni mo,hivyo amefeli mo anaogopwa sana angekuwa makini mo timu ikifanya vibaya angetoa taarifa yanga wanasonga mbele Kwa wadhamini wengi sisi Simba ni mo tu Kwa kuwa hataki wadhamini wengine ana matatizo huyo,rejeeni maneno ya manara

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli dwj ww nimtu wa mpira unafatilia hatua zote mbaki kuwa washaur wa tim hiz vijana hawa mbwembwe nyingi mpaka wanasababisha mashabiki tupaniki uongo mwingi

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee hongera

  • @deombuya9394
    @deombuya9394 7 หลายเดือนก่อน

    Utulivu nikitu muhimu sana

  • @OmaryMkungwa
    @OmaryMkungwa 7 หลายเดือนก่อน

    Tunamjua uyu Mzee aliuza mechi ya fainali kombe la shirikisho Caf

  • @ramadhanichubi9139
    @ramadhanichubi9139 7 หลายเดือนก่อน +4

    Unania njema mzee ubarikiwe siyo kigwangala mchochezi

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kigwangala ni mhuni tu yule

    • @MultiSamrich
      @MultiSamrich 7 หลายเดือนก่อน

      Huna akil

  • @leonardfungo
    @leonardfungo 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo mzee Azim Dewji Hatuwaoni viongozi au mwekezaji kusema chochote juu ya mwenendo wa timu au haya yanayojitokeza hilo ni tatizo.

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso 7 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi ndiyo tatizo wameuza hadi mechi lakini cha ajabu hadi sasa wapo madarakani 😢

    • @mmbga137
      @mmbga137 7 หลายเดือนก่อน

      Wanatakiwa watokeeee

  • @John-z5n4d
    @John-z5n4d 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hayo maneno kwann usiwambie viongoz we mzee vp

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nashauri gombaneni lakini sajilini. Mkigombana bila kusajili ugomvi huu hautaisha. Tena fanyeni usajili wa nguvu.

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo cmba upigaji mwingi tunachotaka ss wanacmba ni usajili bac hatutaki siasa

  • @gideonstanley2155
    @gideonstanley2155 7 หลายเดือนก่อน

    Yanga amekujaje kwenye kufanya vibaya kwenu

  • @jamesmohamed4612
    @jamesmohamed4612 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watu msitukane Mzee Wala mo ulizeni vipi miaka hii sita tnsformation tayari au bado kama Bado maana Ake mo Yuko sahihi na kama umekamilika mo atoe Hela sio kutukana wakati hata mia hutoi kusaport timu

  • @allyabdul7569
    @allyabdul7569 7 หลายเดือนก่อน

    Iyo ndo nafasi ya no, 3 inawafaa sana ndg zang

  • @allyabdul7569
    @allyabdul7569 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acheni kulaumu sana mbn zaman ilkuwa nzr

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee anabusara sana

  • @FracsisiSiwale
    @FracsisiSiwale 7 หลายเดือนก่อน

    Traiageni arituretea manzoki kufanya Nini auhua munashauriana nae kuja kuturete wakin jobe munauza wachezaji wazuri munaturetea takataka

  • @KisendiNyanda93
    @KisendiNyanda93 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee unatetea hela za mwanao.. mngeitisha mkutano watu wakasomewa mapato na matumiz kwa uwaz na hal ya uwekezaj ulivyo maana mo ni mdhamin na muwekezaj je nan anamhoji pia kapewa na cheo cha heshima cha urais

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa hayo matatizo hayo yote nkamati wanajua wapate pakupigia wakiwaleta wazur watapigia wapi ndo tatizo ili Kila msimu wadirisha likifunguliwa wapate pakupigia

  • @LucianDevenus
    @LucianDevenus 7 หลายเดือนก่อน

    Umeongea vizuri inatakiwa busara itendeke

  • @JanethMmari
    @JanethMmari 7 หลายเดือนก่อน +3

    Me nashngai mtu kusem aachie simba jmn huwo uwezo wakuendesha timu mnao au mnajiongelea tu sabub hatujafany vzr achen uduanzi

  • @martinlinje8625
    @martinlinje8625 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu ponjoro ni msanii, aliuza machi ya fainali ya pili kati ya simba na Stella Abidjan huyu tapeli alishindwa kununua Kia matokeo kauza mechi simba ifungwe asitoe zawadi. 😢😢😢Chupli chupli kabisa. 😮😢😢

    • @mamlomamlo9064
      @mamlomamlo9064 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa na adabu kakuzidi sana huyu

  • @FracsisiSiwale
    @FracsisiSiwale 7 หลายเดือนก่อน

    Wemuze tlaiageni hatakiwi kubaki simba acha ujinga

  • @ibrahimtesha2733
    @ibrahimtesha2733 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kama mkihemka ninyi mashabiki na wanachama wa simba, mtaivuruga timu, na kuleta huzuni zaidi. Acheni malalamiko ya kuzuia wafadhili kujitolea. Ubinafsi utatugharimu

  • @IssaMsalama-k6x
    @IssaMsalama-k6x 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni timu ya familya,

  • @mmewaswida
    @mmewaswida 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani mnahoji MTU hajui hata Timu iko nafasi ya ngapi? Achaneni Na Wakina Dewji Hawa. Walishateka Timu kwa kusema wameinunua.

  • @Elihurumamathew
    @Elihurumamathew 7 หลายเดือนก่อน

    Mskilizeni mzee busara zake nidawa tosha maana makolo hamuelewi nikweli mafanikio ya yanga ndiyo chanzo cha makasiriko ya wana simba mzee yuko sahihi

  • @khalidrashid8581
    @khalidrashid8581 7 หลายเดือนก่อน

    Mwenye D2 lazima awe anamuelewa huyu mzee

  • @Joseph-l9r2l
    @Joseph-l9r2l 7 หลายเดือนก่อน

    Uzee ni hazina kwel mzee ubarikiwe

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la hawa viongozi hawatoki hadharani kutupa taarifa wao wamekaa tu kimya

  • @khamisjuma3760
    @khamisjuma3760 7 หลายเดือนก่อน

    Tumekuwelewa mzee

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 7 หลายเดือนก่อน

    anamwongelea manji yupi tena mbona yanga walisha msahau

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee mbona anazungumzia Yanga ....anasema alishauri yanga ...
    He is possesed and obsessed with Yanga ....
    Huyu mzee vipi huyu
    Uwezo wake wa fikra ni mdogo
    Yeye abaki ni timu ya mtoto wake

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 7 หลายเดือนก่อน

    Hajaongea vizur chochote hapo ndo hao hao,if we nduguyo au mwanao unategemea aongee nini hapo ni kwenda mahakamani ila hapo watani mtateseka sanaaa

    • @jonathankitenge937
      @jonathankitenge937 7 หลายเดือนก่อน

      Ngoja nikumbushe,mwaka jana yanga walipata faida mwaka huu wamepata hasara,kama umesema qba utanielewa yanga hana misimu miwili mbele yatatokea haya haya ndivotimu xetu zilivo

  • @abbasisudi6899
    @abbasisudi6899 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe unamini vip wanachama wanashida we ndo unashida huna hata utafiti na haupo karibu na Hawa watu.watanzania kuwaburuza ni rahis sana asee duuh ingawa sio wote ila wengi wetu bado ndomana...

    • @jamesmohamed4612
      @jamesmohamed4612 7 หลายเดือนก่อน

      Hebu acha mihemko uliza mchakato vipi umeisha maan mo huenda analaumu kutokana na kwamba Hela hata ikiwekwa mfumo Bado haujakamilika acheni maneno ya kijinga Hela sio tumbaku kutoa bila kujua itakuwaje

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu azim ndiye aliyekula hela za jengo la Simba na huyu ni ndg Yako Sasa unatushawishi vipi tuone kwamba huyo mwanao sijui anatudanganya mara Simba unaidai mara umeinunua acheni uongo toeni hela tuone

    • @salimmbilu4524
      @salimmbilu4524 7 หลายเดือนก่อน

      Hapo kijijin kwenu ulishawah nunua hata mpira au jezi za ndg zenu? jitathmin

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 7 หลายเดือนก่อน

      Alikula pesa ya mamako,au alikukula wewe? Shaga wewe

  • @zakayomgaya2758
    @zakayomgaya2758 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli uzee dawa

  • @masumbukonzumbi1033
    @masumbukonzumbi1033 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wote matapel..
    Hakuna kitu

  • @abilaimkopola4654
    @abilaimkopola4654 7 หลายเดือนก่อน

    We mwenyewe uliuza mechi achaneni simba kama mnataka azisheni timu zenu kwani lazima muwekeze simba

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna hiari ya kuombwa...hiari anafanya mtu husika mwenyewe....ni hiari yake ...kuombwa au kuambiwa sio hiari ni shinikizo

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 7 หลายเดือนก่อน

    Mi Sio Simba sitaki niandike meno la utani Kama kolo...Namkubali sana huyu babà au babu.Yanga ilitoka mbali Simba ikiwa na huyu ilikuwa moto msikilizeni kwa makini.

    • @SaidJumanne-ue2jy
      @SaidJumanne-ue2jy 7 หลายเดือนก่อน

      Na wala utak kuandka jina la utani utopolo vile vile utaki

  • @rafikiyako6697
    @rafikiyako6697 7 หลายเดือนก่อน

    Wajiuzulu je wakati ndio ajira yao na kula yao inatoka hapo huu ni mtihani mgumu wataburuzana mahakamani 😬😬

  • @flavianmashimi6327
    @flavianmashimi6327 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo vitu vingi vinafichwafichwa kwa nini hakuna uwazi?!!??

  • @BarakaMwaikenda-ty1bt
    @BarakaMwaikenda-ty1bt 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wasomi

  • @danfordkessy515
    @danfordkessy515 7 หลายเดือนก่อน

    Bro inajua timu iko nafasi ya ngapi Ila yawezekana wewe ndiyo haujamuelewa kwasababu haikua na mapenzi nae

  • @alenyema
    @alenyema 7 หลายเดือนก่อน

    Timu inasajiri makipa 5 😅😅😅

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 7 หลายเดือนก่อน

    Kwann msiruhusu mawazo mapya na wazamini wapya

  • @isaackbm1935
    @isaackbm1935 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa nn tujihesabie ni wa pili tu wkt ni wa 3?

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 7 หลายเดือนก่อน

    Waonageaji wamekua wengi sana

  • @MirajiOmary-jm7wc
    @MirajiOmary-jm7wc 7 หลายเดือนก่อน

    mangungu out, try again, out masudi out hawa wooote wachumia matumbo yao

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa nafujo.sana sassa mzee ameshauli nimeacha

    • @brisillarutaigwa5022
      @brisillarutaigwa5022 7 หลายเดือนก่อน

      Mwenye ela ni mwenye ela anaongea point sana

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 7 หลายเดือนก่อน

    Wahindi pesa wanakazi nazo

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo anaongea maneno Yale Yale ya familia Yao ya dewj

    • @CharlesMgassa
      @CharlesMgassa 7 หลายเดือนก่อน

      Kuma wewe kuwa na heshima kaongelee mech ya mama Ako na baba ako

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 7 หลายเดือนก่อน +3

    Msimlaumu mo anashida

    • @KisendiNyanda93
      @KisendiNyanda93 7 หลายเดือนก่อน

      Shida ni yeye kudai iyo 20 b iwe mtaji

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee mwambie mwanao atupe bilion 20 yetu asepe..

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 7 หลายเดือนก่อน

    SIKU SIMBA HAIPO , KUNA TIMU NYINGINE ITAKUWA KAMA LIPULI au PAN AFRICA , TIMU GANI HIYOO????

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu nae kumbe bwabwa wapili Kwa point 69 Kwa 80 halafu Simba sio kwamba inasajili wachezaji wabaya ila nikwamba kila mtu mjanja kila mtu mpigaji mo alitakiwa kuchukua wachezaji ambao niwakali halafu wewe walete kama Kuna kizuri kinakataliwa

    • @seshiorman6924
      @seshiorman6924 7 หลายเดือนก่อน

      Mo hausiki na usajili

  • @curtainpalace7369
    @curtainpalace7369 7 หลายเดือนก่อน

    Garasa

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe kama nani? Uwasemee mwambie Mangungu aje atuambie tatizo nini??

  • @AdamKombo-jt4xy
    @AdamKombo-jt4xy 7 หลายเดือนก่อน

    Ww hishima haiuz

  • @obeidchamila6392
    @obeidchamila6392 7 หลายเดือนก่อน

    Waziri mkuu itusha mkutano na viongozi wa Simba Kisha baadae ya mkutano huo itusha mkutano na wanachama wa Simba ili kuweka sawa Mambo haya kwa busara kubwa

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 7 หลายเดือนก่อน

    AMEONGEA UKWELI YAANI AMETOA NASAHA NZURI

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 7 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wasiondoke lazima tufate Sheria tuwe na nidhamu na viongozi na lazima tuheshimu katiba.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 7 หลายเดือนก่อน +2

    Acha Yanga wafurahiee banaaa😂 Yani washindwe kufurahiaa kwasababu ya ujinga wetu sisi, aaaaah mzeeee ebu focus na ujinga wa Simba achana na furaha za watu😂

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo ni timu ya familia mtetee ndugu yako.

  • @Geoglemdoe-uh8ch
    @Geoglemdoe-uh8ch 7 หลายเดือนก่อน

    Kujenga Ni ngumu kuliko kubomoa

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 7 หลายเดือนก่อน

    MZEE ameongea MAMBO MAHUMU SAANA.
    kweli utu UZIMA dawa

    • @jamesmohamed4612
      @jamesmohamed4612 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaona mbali kikubwav wakamilishe mchakato Kisha wamforce aweke Hela lkn kama hakuna hiyo basi hata mwingine akija atatoka

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee chukua busara na hekima zako kuinusuru timu waitishe mkutano wa dharura ili kuiweka salama na maelewano ipatikane

  • @shefujosee617
    @shefujosee617 7 หลายเดือนก่อน

    Kama huna D2 huwezi muelewa

  • @Njeriii536
    @Njeriii536 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwan huyu ninani simba

    • @saidimwanyiro5147
      @saidimwanyiro5147 7 หลายเดือนก่อน

      Huyo sio km wewe tuliza kishundu

  • @houmdmajid-ur9dp
    @houmdmajid-ur9dp 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hatumtaki try gani hapo ndio umekosea kwenye maongezi yote babu mweupe

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa ummeongea je wamekuelewa

  • @mayaladominico2126
    @mayaladominico2126 7 หลายเดือนก่อน

    Et tujihesabu WA pili

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 7 หลายเดือนก่อน

    YENU NAFASI YA 3

  • @mfaumeally4476
    @mfaumeally4476 7 หลายเดือนก่อน

    Mzee kuma huyu.

    • @MossesMassawe
      @MossesMassawe 7 หลายเดือนก่อน

      Kakosa nini unamtukana?jifunze kuheshimu wakubwa

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee ovyo kabisa na ni muongo mkumbuke kwenye ubingwa wa abiola cuf huyu aliahidi kila mchezaji gari lakini baada yakuona inawezekana akatoa hongo kwa mwameja masha na masatu ili timu ifungwe asitoe ahadi ya fuso kama sijakosea

    • @babengarutta44
      @babengarutta44 7 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika? Aliwapa shilingi ngapi ulizoziona

  • @nkoydavid9658
    @nkoydavid9658 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa hyo anaamini Simba inafanya vzr ee ?

  • @johntulio2644
    @johntulio2644 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe unatoa nn Simba!!

    • @nasseralshaibani6995
      @nasseralshaibani6995 7 หลายเดือนก่อน

      Na wewe unatoa nini?

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe unatoa nini??

    • @nasseralshaibani6995
      @nasseralshaibani6995 7 หลายเดือนก่อน

      @@narrissajackson3869 mimi sikumuuliza kassim anatowa nini
      Isipokuwa wewe umemuuliza hilo.sasa na wewe jibu suali wewe unatoqa nini simba?

  • @ProsperKileo-h2y
    @ProsperKileo-h2y 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna lolote hizo porojo tu mzee maamuz magum yanatakiwa

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 7 หลายเดือนก่อน +2

    PIPA NA MFUNIKO TU NYIE,FAMILIA YENU NDIO INAITAFUNA SIMBA HIVYO HATUSHANGAI KUONA WEWE UNAMPIGIA DBE

    • @jackmabirangacharles9398
      @jackmabirangacharles9398 7 หลายเดือนก่อน

      Umeona 😅😅 Simba Ilisha Nunuliwa Na Dewji family tangu Miaka hiyo tukiwa chini ya FAT

    • @mpembawapilitz3202
      @mpembawapilitz3202 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe maku hem tulia

    • @hasheembaadae4478
      @hasheembaadae4478 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe unajuwa nini kuhusu simba au unaongea usenge tu

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 7 หลายเดือนก่อน

      @@hasheembaadae4478 NAJUA KWMBA MIKIA FC NI MBUMBUMBU

    • @TwahirBurhan
      @TwahirBurhan 7 หลายเดือนก่อน

      @@hasheembaadae4478 YAANI KIUFUPI MO NI KICHWA CHA TRENI KISHA NYIE NI MABEHEWA ANAWABURUTA ANAVYOTAKA

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 7 หลายเดือนก่อน

    Shida imekuja Simba imeanza kuzungumziwa na wajinga, na mitandao yakijamii inatumika vibaya kutoa taarifa adi za wajinga, mtu mwenye njaa tu anaibuka anataka watu waondoke ukimuuliza wakuja ajui mashabiki wengi wanaoongea sasaivi kwenye midia ni wenye njaa wanataka ulaji ila watu awataki kuelewa ilo, sasaivi siyo wakati wakuleta shinikizo watu kuondoka.

  • @jovnroma
    @jovnroma 7 หลายเดือนก่อน

    Na huyu mzee nae tushamchoka aachane na sisi

    • @hasheembaadae4478
      @hasheembaadae4478 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe unatoa mchango gani simba

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 7 หลายเดือนก่อน

      Anaongea vizuri sana

    • @jumbeojaso5767
      @jumbeojaso5767 7 หลายเดือนก่อน

      Wewe na nani muachiwe simba, ikiachiwa mtafanya nini, au unadhani timu ya mpira ni lelemama.
      Simba ni ya waarabu na wahindi toka mwanzoni waliianza wao

  • @allymganga3223
    @allymganga3223 7 หลายเดือนก่อน

    Wanachama waliliongea ilo muda mrefu lkn mkakaa kimya na waandishi wenu wa mchongo wanaongea maneno matamu matamu mwisho wenu meumbuka

  • @andekisyenasibu312
    @andekisyenasibu312 7 หลายเดือนก่อน

    Hii ni shida, ko mzee unataka tuendelee kumpa muda Jobe?

    • @rynerlinuma8484
      @rynerlinuma8484 7 หลายเดือนก่อน

      Mumpe Jobe misimu miwili😂

  • @MRPRESIDENT-w4l
    @MRPRESIDENT-w4l 7 หลายเดือนก่อน +1

    HAWANA UNDUGU HAWA ?

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 7 หลายเดือนก่อน

    Tunamuhitaji Mangungu aje atuambie tatizo. Siyo wewe Muhindi

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 7 หลายเดือนก่อน

      Mangungu ana hisa kias gani hapo simba?

    • @gaspeldaniel1140
      @gaspeldaniel1140 7 หลายเดือนก่อน

      @@jasonwatz7457 51