HAMISA MOBETTO AFUNGUKA ISHU YA KUTOKA NA AZIZ KI, AELEZA SABABU ZA KUACHANA NA MPENZI WAKE WA CHINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 198

  • @aishahaggan2424
    @aishahaggan2424 7 หลายเดือนก่อน +14

    Namkubali sana Hamisa. She has grown wiser with time. Anajibeba kwa heshima na pia mjasiri sana katika kazi na biashara zake. Always very elegant and wise in her interviews. Wishing her well with her beautiful children.
    She got class, MashaAllah ❤❤❤❤❤

    • @ferejifaraji8644
      @ferejifaraji8644 5 หลายเดือนก่อน

      we mdada kwa nn usimshauri mwanamke mwenzio atubu amrudie mwenyezi mungu kama kuolewa aolewe ndoa halali

  • @LUKIUSJOSEPHATI
    @LUKIUSJOSEPHATI หลายเดือนก่อน

    Iii PISIKALI mondi ndio aliiweza, kumpiga amisa mimba sio kazi ndogo wazee, inatakiwa PESA na ujanja mkubwa mno kumzalisha uyu Demu, brother diamond platinum congratulations kwa mzlisha amisa mobete akika wewe ni super star 💪💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 หลายเดือนก่อน

    Hamisa heshima pia inakufanya watu wakuheshimu na wakuamini endelea hivyo hivyo usijisahau ukabadilika mdogo wangu. Mambo yako mashaallah hakuna uhuni wala makelele ktk kutangaza biashara! Keep it up!

  • @MatridaAntony-g2q
    @MatridaAntony-g2q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dada hamisa ni mkali pia nampend anajiamin hana mashauzi na anaonyesh Nia ya kupambn much congrats 🎉 to you

  • @DanyMaswaga-ir3fl
    @DanyMaswaga-ir3fl 2 หลายเดือนก่อน

    Makukubali sana hamisa mwenyez mungu akulinde zidi ya maadui zako

  • @Rashidykhalidi
    @Rashidykhalidi 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hamisa🎉upo vizuri unashida kabosa❤❤

  • @SabrinaAlly-ei5lr
    @SabrinaAlly-ei5lr 6 หลายเดือนก่อน +5

    Nakukubal San kipenz chang jamn Hun bay jamn mungu akulind

  • @Maria-dg6ik
    @Maria-dg6ik 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah daa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 7 หลายเดือนก่อน +4

    shez meek, calm, collected and beautiful..thanks Hamisa

  • @isayamgallah9294
    @isayamgallah9294 6 หลายเดือนก่อน +2

    Anajielewa sanaa Hamisa tofaut na wauza uchi

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 4 หลายเดือนก่อน

      Hamisa ni muuza uchi Kama wauza uchi wengine tu

  • @denisyohana8104
    @denisyohana8104 7 หลายเดือนก่อน +5

    MREMBO SANA ,HAMISA..
    😍😍😍

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 5 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli Hamisa najikupendeya bure mana unajielewa sana afu unajieleza vizuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AlexMbagata
    @AlexMbagata 6 หลายเดือนก่อน +1

    Uhuru wa kila kitu unahitajika kuwa na mipaka hakika tunaingilia sana uhuru wa maisha ya watu.

  • @MuntuwimanaYona
    @MuntuwimanaYona 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzuri sana hamisa mobetto eshima kwako💛💚💪

  • @AfredJembe
    @AfredJembe 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daaa uyu mtu mzur jaman❤❤❤

  • @LeilaAlly-x9m
    @LeilaAlly-x9m 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisa yupo good kwa kila kitu ni hatariii❤

  • @StephanMhepela
    @StephanMhepela 7 หลายเดือนก่อน +6

    Naamini mzuri huwa haringi mfano ni moberto I love xana

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Most beautiful ❤

  • @AnnaVisent-b6m
    @AnnaVisent-b6m 6 หลายเดือนก่อน

    Hamisa anajua kujieleza vizuri ongera sana

  • @sospetershijah5619
    @sospetershijah5619 7 หลายเดือนก่อน +13

    Ka Hamissa ni kazuri km ka mdoli flani ivi ❤

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 7 หลายเดือนก่อน

      Hio sura yake 😂😂😂😂

    • @sospetershijah5619
      @sospetershijah5619 7 หลายเดือนก่อน

      @@aminatanzanya7475 😀😀😀

    • @umfahad2609
      @umfahad2609 7 หลายเดือนก่อน +1

      kumbe ya nani??

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 2 หลายเดือนก่อน

    safi umegonga mwamba kwa Aziz Vanessa alimuomba Mungu Dana Sasa atakuwa huru na Vaness

  • @SophiaSalim-m9v
    @SophiaSalim-m9v 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe maisha malefu maadui waone mafanikio yako

  • @AmanMgoli
    @AmanMgoli 7 หลายเดือนก่อน +12

    Dah huyu mtu nzur asikwambie mtu❤

  • @GeorgeMakata
    @GeorgeMakata 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ lop u sana

  • @jacobmkada379
    @jacobmkada379 6 หลายเดือนก่อน +1

    Frenk nyaulingo ilov hamixa mobeto

  • @RoseRobart-e1m
    @RoseRobart-e1m 7 หลายเดือนก่อน +6

    She is cute ❤

  • @sweetiepie3012
    @sweetiepie3012 7 หลายเดือนก่อน +6

    Smart 😍😍

  • @AnnaVisent-b6m
    @AnnaVisent-b6m 6 หลายเดือนก่อน

    Hamisa anajua kujieleza vizuri

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 7 หลายเดือนก่อน +15

    Hamisa mkali bhana halafu anajua kuongea haringi wala hajisifii na anapenda watoto wake snaaa na heshima kajaliwa snaaa ,,,,ila yule kigagula wa wasafi misifaa kibao na vingi hana

    • @diksonswairoman5689
      @diksonswairoman5689 7 หลายเดือนก่อน +1

      Fact

    • @LeahBaraka
      @LeahBaraka 6 หลายเดือนก่อน +2

      Ila wew😅

    • @rajabually8894
      @rajabually8894 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu Dada ni maraya halafu anasema oh.nimipango ya mungu mungu ndio amesema ukazini na azz Malaya mkubwa huyu

    • @Firdausiddiothman
      @Firdausiddiothman 6 หลายเดือนก่อน

      Wew huzini au huhaahi kuzini ukute wew una dhambi kulko uyo hamisa rho mbya t​@@rajabually8894

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 7 หลายเดือนก่อน +6

    Nakupenda hamisa

  • @GodfreyHamadi
    @GodfreyHamadi 2 หลายเดือนก่อน

    kilasiku nasema uyu dada waga nimwelewa ndomahana kampuni zinamkimbila

  • @AllyMsafari
    @AllyMsafari 4 หลายเดือนก่อน

    Muambie azizi akuoe msizini

  • @DeoglasSarakikya
    @DeoglasSarakikya 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mpige hela huyo domo😊

    • @IddyZohan
      @IddyZohan 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jiheshimu usiwe kama choo cha stendi kila mmoja anakojoa

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 5 หลายเดือนก่อน

    Jamenii kilasiku mnajisifia kufanya zina subhanallah 😮

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 7 หลายเดือนก่อน +1

    Misawangu❤❤❤❤❤❤

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 7 หลายเดือนก่อน +1

    Madada WA mjini hao ni wasanii kweli kweli wanaangali pesa chapaa na Lukas juuu paleee

  • @Maggie824
    @Maggie824 7 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤mashallah🎉🎉🎉mama NJ🇰🇪🇰🇪🇰🇾

  • @DeusiMussa
    @DeusiMussa 6 หลายเดือนก่อน

    Namukuri hamisa

  • @RAFAELJERONIMO-mq4we
    @RAFAELJERONIMO-mq4we 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli wato wapo kama wewe hamisasa upo kamili kwa ubinadamo nipo mozambigue mueda c. Delgado.

  • @aminaabdulrahman5184
    @aminaabdulrahman5184 7 หลายเดือนก่อน +2

    Siku hizi hakuna mwanamke mzuri watu wote warembo tu,na huyu mobeto Malaya anapenda kubadili wanamume,inshort wasanii wote kuma zao zina upupu wanaona NDIO umaalufu kumbe uchafu

    • @ViolahKulwa
      @ViolahKulwa 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ww vp umwongeleaj mtu usio mjua undan wak

    • @mitinjemaziku
      @mitinjemaziku 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mwache inakuuma nn si chake wewe ni limbukeni tu

    • @mitinjemaziku
      @mitinjemaziku 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@ViolahKulwamjinga sana huyo anasema vibaya yeye ameshindwa ya kwake

    • @sarafinaelius9776
      @sarafinaelius9776 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@ViolahKulwa huyo kukosa pesa kunamsumbuaa😂😂

  • @SarahCharles-oc6bz
    @SarahCharles-oc6bz 7 หลายเดือนก่อน +1

    We unaweza kujiliganisha na hamisa au unajiogelesha2

  • @PaulKhaday-gm4hq
    @PaulKhaday-gm4hq 6 หลายเดือนก่อน

    Almost ubongo na mdomo is different

  • @MourinhoKey
    @MourinhoKey 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mobeto Aziz key

  • @essaumpuma2981
    @essaumpuma2981 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eee mbinu za simba na azam kumpa azizi ki mshangazi ,azizi ki ndio basi

  • @LeonardBandio
    @LeonardBandio 6 หลายเดือนก่อน

    Uko makini 5:51

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 5 หลายเดือนก่อน

    Amisa wanyooshe sana

  • @MsabaaMwenebokyo
    @MsabaaMwenebokyo 6 หลายเดือนก่อน

    Mobeto kama kweli una mapenzi Na simba basi mlete Aziz ki simba wwww

  • @Victoria-cb4do
    @Victoria-cb4do 5 หลายเดือนก่อน

    Nampenda huyu dada jamani

  • @ClintonMalumbuja
    @ClintonMalumbuja 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hamisa analiwa na watu maalufu wote. Wachezaji ndo usiseme

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph 7 หลายเดือนก่อน +2

    She's very blessed ❤

  • @StephanoCharles-d3v
    @StephanoCharles-d3v 4 หลายเดือนก่อน

    Ww mrembo sana

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 7 หลายเดือนก่อน +4

    Unajielewa sn Misa❤

  • @AbubakariKimbonji
    @AbubakariKimbonji 6 หลายเดือนก่อน

    🎉❤❤

  • @AllyRamadhan-ks9sd
    @AllyRamadhan-ks9sd 6 หลายเดือนก่อน

    Nguo mitumba,magari mitumba Hadi wake.hii hatari😂😂😂😂

  • @barnabaclemence6163
    @barnabaclemence6163 7 หลายเดือนก่อน

    Ungekazia hapo aliposema "kwa sasa aziz ni mshkaji wang"...unakimbiliq habar za migogoro ya simba

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 6 หลายเดือนก่อน +1

    Penda sna mobetto

  • @leeheyon
    @leeheyon 7 หลายเดือนก่อน +28

    anajielewa .. sem ndo hvyo passengers kama wote wanaingia

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 7 หลายเดือนก่อน +8

      ingiza na wewe abiria mahi

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 7 หลายเดือนก่อน +2

      Na ww pia 😊

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 7 หลายเดือนก่อน +1


      HHHH 🤦🏿🏃🤦🏿HHHHH

    • @zaitunisagwa2082
      @zaitunisagwa2082 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ingiza na wewe kama rahisi.

    • @mmarycalvin6395
      @mmarycalvin6395 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wadhamini hao hawakosekaniii

  • @RashidHamis-o6w
    @RashidHamis-o6w 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa huo uzuri wako hamisa.....lile domo la azizi ki unalipetipeti vipi mbona kinyaa au ndo maokoto Kwanza.

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah ❤

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ttzo mzur 😊

    • @AzhadSaid-j1t
      @AzhadSaid-j1t 6 หลายเดือนก่อน

      Nampenda asa

  • @WWEdyonjrnice
    @WWEdyonjrnice 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢 umalaya tu

  • @LovelyBigWaterfall-ex2yp
    @LovelyBigWaterfall-ex2yp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah members san

  • @dismasmariananga4776
    @dismasmariananga4776 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu najua kilio chetu Wana simba nikumpata mtu wa kumlegeza Aziz ki miguu hyo kwisha atamfuata jobe

  • @Rashidykhalidi
    @Rashidykhalidi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @musadavid9938
    @musadavid9938 6 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa ukipiga pumbu unaachana nae😁

  • @IdahNamwila
    @IdahNamwila 6 หลายเดือนก่อน

    Yani uyu dada nimalaya Yani wanaume wote niwake

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 7 หลายเดือนก่อน

    Usijali maisha siolazima mbwana.

  • @poulwilliam-jp4ff
    @poulwilliam-jp4ff 6 หลายเดือนก่อน +1

    Utopolo mmeelewa

    • @IddyZohan
      @IddyZohan 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂, wameelewa uto

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hana uzuri wowote makalio aliongeza ndo yanambeba

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @IrankundaAnit
      @IrankundaAnit 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nawewe unaweza kwenda kuongeza mana sio kwa makasiriko hayo

    • @Faith_joseph
      @Faith_joseph 7 หลายเดือนก่อน

      Naww kaongeze

    • @HawaSwaleheh
      @HawaSwaleheh 7 หลายเดือนก่อน

      Wasanii wote ni Malaya tu si hamisa si wema si uwoya si zuchu si nani wooooooooooote

    • @EndeshiMollel-k6c
      @EndeshiMollel-k6c 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio mm ni tim misa kwendaaa kakojoe ulale ww una bikra unamuhukumu misa km nani una jipy mjini dada wivu tuu ovyoo muache misa atese ww teseka

  • @mujahidnassor8011
    @mujahidnassor8011 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani hyu mdada hana upndo wwte ispokuwa anataka kumramba pesa zke arudi kwako kweupe bc

  • @SarahCharles-oc6bz
    @SarahCharles-oc6bz 7 หลายเดือนก่อน

    Je ww unaelinda heshima ya wanao je tofaut ya heshima una nn kingine cha kuwaachia hamisa anavitu vingi juu ya wanae je ww utawaachia heshima na ndoo za maji kaa umasikin wako kwa kurinda heshima ya wtt wako na aibu itakuwa juu yao kwakuacha wakiombaomba mtahani mbwa ww

  • @PaulKhaday-gm4hq
    @PaulKhaday-gm4hq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahahaha! Business women

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kama mchina

  • @EndeshiMollel-k6c
    @EndeshiMollel-k6c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwendeni zenu kule mbwa nyie hamisa Hana sajari hata Moja angalia picha zake za utotoni acheni makasiriko pelekeni kelele kwenye vikao venu vya familia Mimi ndio team amisa og mkomeni amisa

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 7 หลายเดือนก่อน

      Kumbe wewe ni timu Malaya hamisa mobeto, pole sana😂😂

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 7 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kabisaa makasiriko ww kinuka mkojo hamisa Hana sajar fatilia picha za utoton aliye pewa kapewa

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyota ya ndoa ndio Hana kama mie🤣

    • @KigwaFaida
      @KigwaFaida 7 หลายเดือนก่อน

      Njoo nikupe nyota ya ndoa

    • @fetyalmas698
      @fetyalmas698 7 หลายเดือนก่อน +1

      Wkt haujafika

  • @stonetown578
    @stonetown578 7 หลายเดือนก่อน

    Tz kwa kujimwambafai wamezidi.

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 7 หลายเดือนก่อน

    Sasa timu Yako ufatiliii alafu unafatilia ya yanga mshamba kweli

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke mrembo

  • @Faith_joseph
    @Faith_joseph 7 หลายเดือนก่อน +1

    😍🥰🔥🔥🔥🔥

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @Honorx6Honorx6-w4n
    @Honorx6Honorx6-w4n 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ilajamani. Awandungu zetu. Wanatumika sana yani ata badae watoto wakikua uta waelrza nin😢

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 7 หลายเดือนก่อน +3

      rudi shule hata hueleweki.unataka kuandika nini?

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kasema kweli lakini kazi yao kujiuza tu

    • @wennceslausmushi2356
      @wennceslausmushi2356 7 หลายเดือนก่อน

      @@masalakulwa7601 huelewi nini mtu kila uçhwào mwanamme. Mpya

    • @shanimbwando863
      @shanimbwando863 7 หลายเดือนก่อน

      inawezekana wewe umetembea na wanaume wengi zaidi ya Hamisa ila tu kwakua wewe hujulikan​@@wennceslausmushi2356

    • @svt3
      @svt3 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@masalakulwa7601yaani kila mwanaume alikuja anatomba anaenda zake, kuzalishwa na wanaume tofauti tofauti ambao hawana hadhi ya kumuweka nyumbani

  • @IddLimbanga
    @IddLimbanga 6 หลายเดือนก่อน

    Huy bonge la mwanamke

  • @thetas08
    @thetas08 7 หลายเดือนก่อน +1

    Never see this gal without makeup she don't trust herself ??

  • @chimnyengeUpdate
    @chimnyengeUpdate 7 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥

  • @DicksonOnesimo
    @DicksonOnesimo 6 หลายเดือนก่อน

    Bogo inalana

  • @kessynurutajiri4940
    @kessynurutajiri4940 7 หลายเดือนก่อน

    Hamisa tuliwahi kumuona Marekani akipita kwenye Manyota ya Freemasonry akiwa amevaa Suti nyeusi, suruali, shati na viatu virefu vyote vilikuwa Vyeusi. Umaarufu una Shughuli sana. Hamisa siku hizi kawa Mzungu, wakati kwa asili yeye ni Mweusi tiii.😂.

    • @IrankundaAnit
      @IrankundaAnit 7 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa apo kinacho kuuma nini?

    • @Faith_joseph
      @Faith_joseph 7 หลายเดือนก่อน +3

      Maelekezo marefu halafu huelewek acha makasiriko tafuta hela

    • @kessynurutajiri4940
      @kessynurutajiri4940 7 หลายเดือนก่อน

      @@Faith_joseph Kaa kwa kutulia. Usidhani kila anaefanikiwa ni hivi hivi tu. Jiangalie kwanza unaongea pumba kisha shut up your mouth. You know nothing about the World. You just eat and sleep. Keep quiet I m not you are can't argue with me.

    • @kessynurutajiri4940
      @kessynurutajiri4940 7 หลายเดือนก่อน

      @@Faith_joseph Take your time to productive things for your benefits and to urgue with something which you don't even their reality. Get me?.

    • @kessynurutajiri4940
      @kessynurutajiri4940 7 หลายเดือนก่อน

      @@Faith_joseph Stay away, it's you are totally ignorant. Shame on you.

  • @AhmadKhatibu
    @AhmadKhatibu 6 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubal amis

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 7 หลายเดือนก่อน +13

    Make up inaficha uhalisia wke

    • @Mathias_Malugu
      @Mathias_Malugu 7 หลายเดือนก่อน +7

      Wee humjui vzr Hamisa mobeto she was cute since her young age. Ni mzr bila Make up.

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Mathias_Maluguhana uzuri wowote

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@agwalubifaridah7079basi unao wewe

    • @joanithapeter8316
      @joanithapeter8316 7 หลายเดือนก่อน

      Ni mremboo hat bila make up​@@agwalubifaridah7079

    • @sikudhanimohammad7692
      @sikudhanimohammad7692 7 หลายเดือนก่อน +4

      Ni kweli. Bila makeup ni mzuri zaidi

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 7 หลายเดือนก่อน +3

    Akaa bila make up muone uhalisia wke hapo

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 7 หลายเดือนก่อน +3

      Hakuna msani nimrebo bila make up kama hamisa 😊😊😊😊

    • @EufrasiaMsham-ul2nl
      @EufrasiaMsham-ul2nl 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli hamisa asipo hasipo paka nimzuri zaidi anangozi nzuri sana

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kahaba la mjini mama malaya mtoto malaya ila walang sio wakuwashangaa ni malaya balaa hawez kula au kuishi nila kuuza mwili wake apate kula du wana wake wasanii wote hapa tanzania ni malaya wanajiuza miili yao ili wapate kula

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 7 หลายเดือนก่อน +4

      Acha makasariko

    • @SaidiMkome-qq7hy
      @SaidiMkome-qq7hy 7 หลายเดือนก่อน +7

      Vipi unatukana mama wa mtyu kupitia mtto wake xo kukosa umalaya wa mama yko wwe ungezaliwa acheni kuingiza kina mama kwenye mambo ya kishamba

    • @IrankundaAnit
      @IrankundaAnit 7 หลายเดือนก่อน +3

      Mkijibiwa mnapaniki unapo mwita mama wa mwenzio malaya basi na mama yako atakuwa ni malaya

    • @HalimaFuketi
      @HalimaFuketi 7 หลายเดือนก่อน

      Waaaa!!😮😮

    • @sophyodago5062
      @sophyodago5062 7 หลายเดือนก่อน +1

      Alikuuzia pia? Je na babako keshamuonja?

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 7 หลายเดือนก่อน

    Acha wongo

  • @barnabaclemence6163
    @barnabaclemence6163 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dah! Vido mfupi...si mngekaa tu!! Ilikua lazma kusmama

  • @tysondeo6016
    @tysondeo6016 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe Ni butcher tu kuuuza ch....tu

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 7 หลายเดือนก่อน

    Xavi mtupu

  • @chamberlain-f7z
    @chamberlain-f7z 6 หลายเดือนก่อน

    Ungekuwa mzur bc

  • @KhairatiOmary
    @KhairatiOmary 6 หลายเดือนก่อน

    Amisa fungukatu usiogope

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ana kasoro si kwa kuachwa kila siku

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 7 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe usipo achwa inatosha 😅😅😅😅

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shoga unafanya masajari ya makalio nenda ukafanye safari ya mdomo wako kaulekebishe hicho tu

    • @witnessmlay7415
      @witnessmlay7415 7 หลายเดือนก่อน

      Surgery ya mdogo ashafanya mbona

    • @sweetiepie3012
      @sweetiepie3012 7 หลายเดือนก่อน +5

      🤣🤣🤣 if she wanted to pump her lips up it’s just a little bit of filler lol it’s not a surgery she doesn’t want to she’s got a small cute mouth!

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@witnessmlay7415weye ya kujibu ushafanya😅😅

    • @23khusnahamis-nd8px
      @23khusnahamis-nd8px 7 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila watu

    • @salmasudi8901
      @salmasudi8901 7 หลายเดือนก่อน

      Hiv Hamisa huwa anasema am very maitii single or nn anae jua pls anirekebishe 😂😂😂😂😂

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 7 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ana mdomo uliopinda