JE MUISLAMU AFAA KUSEMA BWANA YESU ASIFIWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2021

ความคิดเห็น • 305

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 ปีที่แล้ว +24

    Masha allah. Asante sana kwa kuzungumzia suala hili muhimu. Khususan kwetu Tanzania imeanza kuwa adi kusema msemo huu. Waislamu tunajitoa akili. Nadhani huu ni mkakati maalum wa kuathiri uislam kidogo kidogo. Asante sana kwa kutukumbusha. Allah akujaze kheri.

    • @brunamgendi2958
      @brunamgendi2958 3 ปีที่แล้ว

      Nan mwenye kuhangaika na uislaaam acha ujinga ww

    • @ramazubery2641
      @ramazubery2641 3 ปีที่แล้ว

      @@brunamgendi2958 ww yanakuusu nn mambo yadini yetu?makafiri wengine wanashida😂😂😂ulikufa sasa umefufuka nini?au ndio uchizi unaanza?

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 3 ปีที่แล้ว

      @Bruna M. Maneno yako yanadhihirisha upungufu wako wa busara, kutokuwa na adabu na ufupi wa upeo wako. Bwana wako akupe hekima stahiki ya binadamu. Nabii Isa, radhi za Allah ziwe juu yake, alikuwa mstaarabu. Wewe vipi?

  • @dodoted5033
    @dodoted5033 3 ปีที่แล้ว +5

    Atukuzwe Yesu milele.Jina tulilopewa lina nguvu linavunja kila ngome za giza. Halleluya 🤩🤩😄

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 ปีที่แล้ว +4

    Wallahi shekh umeongea poit sana shukran sana jazakallahu kheir

  • @yahayaali7970
    @yahayaali7970 3 ปีที่แล้ว +11

    Allaah akujaalie umri mrefu zaid utufundishe siko zotee

  • @stephanomlagala5016
    @stephanomlagala5016 10 หลายเดือนก่อน

    Tuna maana kubwa sana zaidi ya hiyo.Kwetu Yesu ni Mungu

  • @sherbanu9482
    @sherbanu9482 3 ปีที่แล้ว +6

    Asalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh, na WAKO waISLAMU wengine pia huitikia AMEEN panapotamkwa BWANA YESU ASIFIWE.

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op 3 ปีที่แล้ว +1

    Jina Issa lakweli aitwa YESHU, jina la Musa lakweli ni MOSHE

  • @seremenikibwene8633
    @seremenikibwene8633 3 ปีที่แล้ว +6

    Shaykh Izdun naona sasa wazungumza kwa haki lillah, unatoa jawabu zilizo nyooka, Allah akusimamie uzidi kutufikishia yaliyo haki. From tanzania.

  • @meeksson3589
    @meeksson3589 3 ปีที่แล้ว +11

    Message delivered to Alhad Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

    • @ramazubery2641
      @ramazubery2641 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 3 ปีที่แล้ว

      Message Delivered LOUD AND CLEAR.
      AKITAKA AMEZE AU AMUMUNYE , ila ASITEME. BOMU HILO.

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 ปีที่แล้ว +4

    Asalaam Alaykum Warhamatullahi Wabarakatuh kwakweli umetuelimisha kwailo Allah akupe umri mrefu kuzidi kulingania dini tukufu

  • @jumaharuna3995
    @jumaharuna3995 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shukran shekhe jazakallwahu llahu khaira mwenyezimungu akupe uwezo zaid

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu akitajwa lzm majini yatokomee

  • @jumabasaka1540
    @jumabasaka1540 3 ปีที่แล้ว +3

    Manshaallah Message sent

  • @francismangula2715
    @francismangula2715 3 ปีที่แล้ว +2

    Ww mwanadamu kama mimi tu.Bwana yesu asifiwe ndugu zangu waislam..amuaminiye baba aniamin na mimi..sasa kama yeye mwenyew anamuita mungu baba sisi iweje tusimuite mwana wa mungu..BWANA YESU ASIFIWE.

  • @hassamaimun9103
    @hassamaimun9103 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kweli haya maamkuzi hayo hata kwenye Harusi usiku wa vyombo utaskia waisalamu wanasalimia kwanza Tz naona Sanaa

  • @mwana4599
    @mwana4599 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu ndio Mtume Issa.

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh uko sawa majibu yako yesu mwenyewe alkua akiona watu wengi alkua akisema amani ya MUNGU iwe pamoja nanyi hii ndio salamu ya MUNGU hakuna mambo ya bwana yesu asifiwe

  • @afric01
    @afric01 3 ปีที่แล้ว +4

    Aslm alkm wtw.... Ma sha Allah!!! Darsa tamu. Tumeelewa barbara Sheikh wetu. Allah akulinde, akukinge na akuhifadhi. Jazakallahu kheir Sheikh.

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi5048 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana sheikh Allah akulipe kwa kutukumbusha🙏

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana sheikh kwa kuzungumza hilo. Alhamdulillah

  • @adanmohamed7180
    @adanmohamed7180 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa wanasiasa si watu wa dhamani

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani Sheih kumbe unachanganyikiwa Kuhusu jina Yesu Jina Yesu lina maana ya Bwana Mwokozi Maana Ya jina la Yesu maana Yake Bwana Mwokozi, Pia Hata Yesu mwenyewe alisema Yeye ni Bwana ,Yohana 13:13Pia hata malaika Walithibitisha Kua Yesu ni Bwana mwokozi Luka 2:11

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana mungu. Ni uongo sheh. Mungu ni Mungu

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Ni bwana wa mabwana ni mfalme wa wafalme sasa bwana wa mabwana hawi bwanaa

  • @racjidiyssmdias7597
    @racjidiyssmdias7597 3 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta sheikh, barakaAllah fik

  • @abassimakamechademakubwala5580
    @abassimakamechademakubwala5580 3 ปีที่แล้ว +1

    Tena ubaya zaidi hawa wakristo wa asaivi wanaitakidi kua yesu ni mungu mwenyewe hasa alievaa mwili ni ukafiri mkubwa kabisa waislam tusiseme bwana yesu asifiwe

    • @stephenkomolo1085
      @stephenkomolo1085 3 ปีที่แล้ว

      Mkuu Yesu ni Mungu sisi wkristo tunamuabudu, tunachomwomba anatupa.

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh @izudin shukraan jazzakah Allahu kheir kwa ufafanuzi huu Mwenyezi Mgu akupe uzima na umri mrefu barakallahu fik

  • @jbhiyari
    @jbhiyari 3 ปีที่แล้ว +2

    Aa..umemesema ukweli ..wanasiasa waislam..sana Tanzania..imekuwa kama trend..hata aibu hawaoni Kusema B.Y.A..inasikitisha..selling their soul to gain ...!?dunia.

  • @aishasaid8813
    @aishasaid8813 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashalla shukran jazakallwah kheri

  • @ashuahmed8625
    @ashuahmed8625 3 ปีที่แล้ว +8

    Dr. Amkeni samahani..lakin wasikia jirekibishe kaka

  • @medardrembesha3073
    @medardrembesha3073 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe sana.

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Sisi tunamsifu sana mana alitufanya waislamu tufike hapa alifanya kazi ya Allah ys kuutangaza uislamu kwa iyo shida wewe unamsifu halafu humfati aliofundisha yeye unafanya yako

  • @radhiaali8043
    @radhiaali8043 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana Sheikh

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha'Allah

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mpiga pesa za serikali Sh. AL-HADD, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam ndiye aliyeanzisha upuuzi huu wa "Bwana Yesu Asifiwe". Nafikiri ujumbe huu utamfika.

    • @sherallysherally1203
      @sherallysherally1203 3 ปีที่แล้ว

      UJUMBE UMEMFIKIA , SINDANO NDIYO KWANZA IMEINGIZWA - -
      ASUBIRI DAWA. ASIJITINGISHE

    • @seifmohamed836
      @seifmohamed836 3 ปีที่แล้ว

      hajielewi yule

  • @sylvesterhezron8062
    @sylvesterhezron8062 3 ปีที่แล้ว +1

    TUMSIFU YESU KRISTO MILELE AMINA.

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Mbona yeye hakusifu yesu kakukimbia

  • @muniramohammed2328
    @muniramohammed2328 3 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Sheikh kwa kutuelimisha

  • @takdirmahmoud
    @takdirmahmoud 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sana Sheikh Kwa fatwa yako hii

  • @abdulbabalao3160
    @abdulbabalao3160 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @omarjeylani9144
    @omarjeylani9144 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli kabisaa hao wanasiasa ndio vaccine ya corona, ni warongo sana kupindukia, sasa wanabadilisja timu na fulana, ilikuwa KANU, DP UPD WIPER ODM JUBILEE NA SASA UDP, NI haohao tu. Is like Chtistiano Ronaldo changing teams from his home town team of Portugal to Manchester United then Real Madrid n now Juventus. When u supported Manchester United how did Ronaldo help us in anyway? The politicians are the same, wote ni Gora moja.

  • @dekathuva6443
    @dekathuva6443 3 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu Ni chenye nguvu...

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Kama ananguvu mbona alishindwa kujiokoa alipotaka kusulubiwa sasa nguvu iliishia wapi tumia akili soma dini wewe njoo pemba huku nikuslimishe

  • @suleimandaraja49
    @suleimandaraja49 หลายเดือนก่อน

    Swadakta shehe

  • @abdulhalimahmed207
    @abdulhalimahmed207 3 ปีที่แล้ว +1

    BARALLAHU FIYK ALLAH akulipe kher sheikh Izudin

    • @racjidiyssmdias7597
      @racjidiyssmdias7597 3 ปีที่แล้ว

      Kaka cheki spelling,yako maana tofauti na nia yako. Samahani

  • @omarkategille4591
    @omarkategille4591 3 ปีที่แล้ว +1

    Ma Sha Allaah umesema kweli tu

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 3 ปีที่แล้ว +4

    Asalamu alykum sheikh umegonga hapo ndipo walituahidi mpka walimu wa madrasa watawalipa county mwanake serikali kuwalipa walimu wa madrasa hawawezi hawatupendi Ila county pia nao walitoa ahadi za kirongo hawa mungu atuepushe nao mwanake watu ukimtaja Fulani ataka kuukuua kukutusi na nimuislam

    • @user-ws9ek8dj5n
      @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว

      Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli Isa sio Bwana Yesu, Bwana Yesu ni mwana wa Mungu maana yake Yesu ni Mungu aliye hai kwa maana Simba huzaa Simba,Bali nabii Issa ni Mtu wa kawaida kabisa

  • @benyavan5774
    @benyavan5774 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyie waislamu subiruni siku ya Kiama ndo mtajua Yesu ni ni nani,, Yesu siyo mtume,,Elimu ya Dini ya kikristo hamuwezi elewa maana uislamu una sababu yake, ni bora kusema Bwana Yesu asifiwe kuliko kusema maneno yote duniani,, Yesu katuweka huru na dhambi mtajua siku ya Kiama mtajua tu sasa hivi hamtaelewa

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 10 หลายเดือนก่อน

      Subiri ww mwanzo kabla ya kiyama pale ukifa ukitolewa roho uwone unakoenda motoni tu na yesu atakua peponi na waisilamu coz yesu mtume tu wamungu yy mwenye yesu ataingizwa peponi na mungu ama jina lengine Allah

  • @hilalalhabsy4890
    @hilalalhabsy4890 3 ปีที่แล้ว

    Hata wakiristo wanaamini kuwa yesu ni mungu pia ni mtume pia ni mtu. Lakini ukisema Bwana wao wanajua ushamkubali yesu ni mungu

  • @Minister_Jamesdavid_Tv
    @Minister_Jamesdavid_Tv 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamuwez kubali Kua Bwana YESU Maana mnajua kua mkikubar mtaonekana hamna maana mnayofanya.
    Bwana Yesu asifiwe
    Maana yake tunakubali kua tumekombolewa naye pia ni Emmanuel Mungu pamoja nasi
    ISSA NI NAN?
    YESU SI NABII NAKUKATISHA KABISA HUYO NI MUNGU KAMILI

    • @ShaniJSalim
      @ShaniJSalim 3 ปีที่แล้ว

      yesu ni mwanadam aliyetumwa kwa wana wa Israel tu (mathayo 15:21-26)

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni mungu gani angezaliwa na kufaa kama miye na weye kuwa na akili wee huyo mungu wa kibaniani hafi mana ni wa jiti ila wenu kwa mujibu wa maneno yenu alikufa sasa mungu gani huyu anayeshindwa kujiokoa akakuokowe weyee usijipumbaze ingia kwenye uislamu na ubaya wenu wakiristo mungu wenu aliuliwa na watu alowaumba mwenyewe na wakamsulubu wakamuadhibu kwa kutumia msalaba na misumari halafu mulivokua hamuna fikra msalaba munaupenda munauabudu maana yake munafurahiya na kuungana na wale walomuua mungu wenu kuweni na mawazo basii musikubali kuburuzwa kiasi hichoo

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 3 ปีที่แล้ว +5

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh

    • @user-ws9ek8dj5n
      @user-ws9ek8dj5n 3 ปีที่แล้ว

      Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu daa

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 3 ปีที่แล้ว

    Shabbaash sheikh.

  • @fadhatihussein6700
    @fadhatihussein6700 ปีที่แล้ว

    Twaibalasmai

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 3 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah

  • @assalamtv8820
    @assalamtv8820 3 ปีที่แล้ว +2

    Assalam alaikum kwema shehe salama naomba namba zako za whatsapp

  • @misbamohamed8230
    @misbamohamed8230 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah barakallah fik

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukrani

  • @godfreymbuya2659
    @godfreymbuya2659 3 ปีที่แล้ว +1

    Acha wivu mzee,njoo kwa Yesu

    • @mahdsalim
      @mahdsalim 3 ปีที่แล้ว

      aje kwa yesu yupi, ambae wenyenu hamumjui ni mungu mtoto wa mungu au mtume wa mungu??

  • @yahayaali7970
    @yahayaali7970 3 ปีที่แล้ว +3

    Mesejj iwaendee wotee ama soote tujifunze kuanzia leo inshaallah

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 ปีที่แล้ว

      In Sha Allah

    • @saramalya6264
      @saramalya6264 3 ปีที่แล้ว

      Unakwama wapi shehe pambana na hali yako ila yesu ataendeleya kusifiwa tuu?

    • @hilalalhabsy4890
      @hilalalhabsy4890 3 ปีที่แล้ว

      @@saramalya6264 hapa wanaongeleshwa waislamu tuu.

  • @ahmednasir2630
    @ahmednasir2630 3 ปีที่แล้ว

    Wasem kweli wamekua wachache ALLAH Akuhifadhi na usiogope kusea haqi

  • @omarjeylani9144
    @omarjeylani9144 3 ปีที่แล้ว +5

    Hao wanaosema hivo wataka wakubaliwe na wakristo na kutaka kura za wakristo tu.

  • @aminimushi6945
    @aminimushi6945 3 ปีที่แล้ว

    Kwa maelezo ya sheikh, basi hata kauli zinazo tamkwa na masheikh wengine kuwa ushindwe kwa jina la Yesu si sahihi.

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 3 ปีที่แล้ว +1

    Izzudin mashallah

  • @sherbanieabdoul9552
    @sherbanieabdoul9552 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa sheikh wangu

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว

    Uko 💯❤️👏

  • @bashiryusuf6686
    @bashiryusuf6686 3 ปีที่แล้ว

    Alhadhulillahi kwa mafunzo

  • @danielmsangi7271
    @danielmsangi7271 3 ปีที่แล้ว

    Mtazamo wa shekh huo zakuambiwa changanya na zako

  • @kimwanahamisi3015
    @kimwanahamisi3015 3 ปีที่แล้ว

    Dah shukran

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 ปีที่แล้ว

    Swadaqta!

  • @omarynassor6313
    @omarynassor6313 3 ปีที่แล้ว

    Kululhaki laukanamurwa

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaalh uko sahihi shekh

    • @hamisishabani4072
      @hamisishabani4072 3 ปีที่แล้ว

      SHUKRAN SHEIKH WETU KWA KULIWEKA WAZI HILI JAMBO AMBALO HIVI SASA LIMEKUWA NI KAWAIDA KWA BAADHI YA WENZETU WASIOTAMBUA THAMANI YA UISLAM WETU NA KUJIINGIZA,KATIKA MILA AMBAZO ZINA KWENDA KINYUME NA UISLAM,NA HATIMAE WANAJIKUTA WANAMSHIRIKA MWENYEZI MUNGU BILA WAO KUJIJUA,KWA AJILI YA KUWAFURAHISHA JAMAA ZAO.TUMUOMBE ALLAH ATUJAALIE TUWE NA ISTIQAMA JUU YA KUMPWEKESHA MWENYEZI MUNGU,NA ATUJAALIE MWISHO MWEMA KILLA ISLAM.SHUKRAN SHEIKH KWA UFAFANUZI.

    • @michaelsimon4860
      @michaelsimon4860 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni mwana wa Mungu na ndiyo mkombozi wako ana hii hoja yako haina mashiko katika kumjenga mtu kiroho chake na kumwandaa katika kumjua Mungu na hoja yako ya kulikataa hili jina la Yesu na kuwazuia watu huo ni ubaguzi na uchochezi usiyokuwa na tija na msaada katika kujengana bali waeneza chuki tu Mungu akusaidie ili uweze kuijua kweli yote

  • @ibrahimmohd4046
    @ibrahimmohd4046 3 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh watu izudin endelea hivo hivo kutuelimisha inshaallah

  • @musaabudi6318
    @musaabudi6318 3 ปีที่แล้ว +2

    Yaasalaam ya Sheikh izudin Maneno Mazuri kabisa

  • @mzeerajab9154
    @mzeerajab9154 3 ปีที่แล้ว

    Wanaamini vilevile kuwa yeye ni mungu si mtume

  • @mohamedally8663
    @mohamedally8663 3 ปีที่แล้ว

    Ukwel ulioj shekh wetu

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 ปีที่แล้ว

    Haifai

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 ปีที่แล้ว

    YESU KRISTO anawatesa sana ila ukweli utabaki palepale atasifiwa milele yoteeee kwa sababu yeye ni yuleyule juzi jana leo kesho na hata milele....
    Bwana YESU asifiwe...

    • @Basma-eu9ol
      @Basma-eu9ol 3 ปีที่แล้ว

      Its only about greetings....
      Jews...Shalom Aleikhum...
      Muslims...Salaam Aleykum...
      Christians...Praise the Lord...
      Thats it....🤷🏼‍♂️🤷🏼‍♂️

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Kama alivoteswa yeye siku tatu msalabani na alishindwa kujitetea wale ndo kiboko wa huyo mungu wenu alipoona mambo makubwa alikimbia hadi leo akawaachia dunia

  • @msafirikilongo2836
    @msafirikilongo2836 3 ปีที่แล้ว

    Hujui kufundisha

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 3 ปีที่แล้ว

    Kwa uelewa wangu mdogo YESU ni MUNGU MWANA nafsi ya tatu ya MUNGU na MOHAMMAD ni mtume wa Mungu
    Zaidi wote hawa Sisi tumehubiriwa na watu kuja kwa maana ya Wazungu waliohubiri ukristo na Waarabu waliohubiri uislamu. Ifike mahala tisipakanepakane imani waislamu salamu zenu tumianeni mkiwa wenyewe na misikitini, wakristu tusalimiane tukiwa wenyewe na makanisani

    • @salumumchucha8923
      @salumumchucha8923 3 ปีที่แล้ว

      Acha kujipa moyo yesu siyo mungu ni nabii

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Hunaakili mfuasi wa shetani sasa wewe unatofauti gani na walomuita firauni ni mungu ni hao hao katika wewe kumuita binaadamu mwenzio ni mungu utachomwaaa

  • @selemanmohamed8169
    @selemanmohamed8169 3 ปีที่แล้ว

    Haifai kabisa

  • @sullecom
    @sullecom 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu sio Yeso ni kwamba huwezi tamka vzr au hutaki

    • @abdul-fatahyussuf7439
      @abdul-fatahyussuf7439 3 ปีที่แล้ว

      Huwezi kufananiza lafudhi kuwa moja wwushaelew lengo la hii ni kukumbushw Waislamu tu wasiingie huko na sio kukosoa kutamka Yesu

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Ni matamshi ya kimombasa ni mgunya yulee mbona weye L unaitamka R na R unaitamka L ni usikasirike

    • @jamilamasoud7566
      @jamilamasoud7566 3 ปีที่แล้ว

      Umenena wifi yangu subira,hajielewi huyo Alfred maana ya matamshi

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 3 ปีที่แล้ว

    naona yesu ana trend, vibaya sana,👏👏👏👏

    • @Basma-eu9ol
      @Basma-eu9ol 3 ปีที่แล้ว

      I thought ni vizuri sana....😄

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni msanii wa wapi kwani sijawahi kumuona bado wacha apatiwe kiki kidogo

  • @sebastianbwiri4441
    @sebastianbwiri4441 3 ปีที่แล้ว +1

    Hubiri habari za mtume mohamad unayemwamini ,mambo ya Yesu yanakuhusu nini kama humwamini waachie wanao mwamwamini acha kueneza chuki

    • @amanikhamis8392
      @amanikhamis8392 3 ปีที่แล้ว +2

      Hujafahamu anachozungumza hapa anawazungumzia waislam ambao hufanya unafik kwa kutaka waonekane wema majukwaani

    • @abdul-fatahyussuf7439
      @abdul-fatahyussuf7439 3 ปีที่แล้ว

      Na ww pia hii haikuhusu sababu hapa Wanakumbushw Waislamu na sio ww Kafiri ,ww endekea kuamini Yesu usubir mwisho wa siku laa hutaki hilo Usilimu ufuate Dini sahihi

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Sisi tunamuamini mana ni mtume wa Allah na kitabu kipo katika vitabu 4 vya Allah hawamuamini hao wakiristo ndo mana kitabu chake walikijadili wakakichakachua wakaeka agano la kale na la leo na kila siku wanakirekebisha hawamuamini mungu wao hata kwa dakika moja

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 3 ปีที่แล้ว +3

    Yesu hakuwahi kusema yeye asifiwe na salamu yake ilikuwa ni ya kiebrania na ilikuwa hivi “Shallom Aleichem” yaani “Amani iwe kwako” na ilijibiwa kwa kusema “Aleichem Shallom” yaani “Amani iwe kwako pia”. Hizo bwana asifiwe sijui tumsifu yesu kristo hazikuwahi kuwa salamu za Yesu. Ni mambo waliyoyaleta wajanjajanja wavurugaji wa mambo.

    • @vallerinejesse2299
      @vallerinejesse2299 3 ปีที่แล้ว

      Bwana YESU Kristu akurehemu.macho ya akili yako yatiwe Nuru.upate kujua uzuri usio na kifani wa kumjua YESU Kristu wa nazareth Alie HAI MZIMA.

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Sasa umekubali slimuu mana hiyo salamu ya yesu ndio hii tunayotumia waislamu sasa nyinyi wakiristo hamumfati hata moja huyo yesu sisi waislamu ndio tunafata mila za yesu

  • @hilalalhabsy4890
    @hilalalhabsy4890 3 ปีที่แล้ว

    NENO BWANA KWA WAKIRISTO NI MUNGU.

  • @joshuaadauth4150
    @joshuaadauth4150 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa habar ya siasa sina chakusema yamkini umenena vyema maana wengi wa wanasiasa wanajipendekeza wapohitaji kura...
    ila kwa habari za Yesu....
    kama ungeljua yale yaletayo amani na uzima wewe ndio unayakanyaga, usingalitenda hayo utendayo bali ungemkimbilia the only one mkombozi wa ulimwengu, hakuna mkombozi mwingine isipokuwa YESU tu. Yesu pekee yake ndio njia kweli na uzima... kama haumwamini umepotea, tena upo gizan Nikushauri tu usiendele kutembea gizani ikubali nuru leo ikuangazie... YESU ANAWAJUA WALIO WAKE NA TULIO WAKE TUNAMJUA KUWA YEYE NI NANI KWETU Yohana 10:1- ... mwisho sio lazima kuitumia hiyo salamu ila ipo siku utaisema kwa kinywa chako, maana siku yaja ambayo KILAGOTI LITAPIGWA KILA ULIMI UTAKILI YAKWAMBA YESU KRISTO NDIYE BWANA. amen
    1yohana 4:15 yohana 14:6, 1yohana18-27, 4-6.

  • @dekathuva6443
    @dekathuva6443 3 ปีที่แล้ว +4

    Jesus is the prince of peace, savior the bread of life, the way to eternity and son of the most high God...
    One day you will truly confess this on your knees

    • @kareemalamoody6345
      @kareemalamoody6345 3 ปีที่แล้ว

      Seek knowledge please

    • @abdul-fatahyussuf7439
      @abdul-fatahyussuf7439 3 ปีที่แล้ว +2

      Yesu sio Mungu wala so mtoto wa Mungu so soma ujue ukwel upate kujua ipi Dini sahihi ipo siku utajua ukwel n mda utakuw haupo ten Dini sahihi ni Uislamu tu

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว +1

      Mtafute Allah muda ndio huu usijidanganye na dunia yesu mwenyewe alitaka msaada kwa mungu mana anamaanisha yeye ni kiumbe dhaifu sasa wewe akusaidiye nini

    • @rugemalilalucas4533
      @rugemalilalucas4533 3 ปีที่แล้ว

      @@subiramohd1895 hujui itikadi ya ukristo kaa na uelewa wako.

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Dini ya kweli haina itikadi ina sheria za mungu sawaa itikadi ni za milaa dini haina mila wala tamaduni ina sheria zakee huujui ukiristo ni nini unafata mkumbo tu na pale munapofata mila zenu mukisingizia ukiristo ndipo munapokosea

  • @samirybinaliy2564
    @samirybinaliy2564 3 ปีที่แล้ว

    muambie ukweri mpumbav yule njaa zinampenda

  • @sitikhamis7978
    @sitikhamis7978 3 ปีที่แล้ว

    Hakika

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii dini ni ya mpinga Kristo (1Yohana 2:12-22; 4:3; 2Yohana 1:7).

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว

      sio kweli

    • @khuzeimaabdul4275
      @khuzeimaabdul4275 3 ปีที่แล้ว

      Kasome kwako

    • @fatumamroki2716
      @fatumamroki2716 3 ปีที่แล้ว

      Kistor ni nini

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli tunapinga wakiristo mana hamuna dini hamuna mungu mupo mupo tu hamujui huyo yesu ni mungu au mtoto wa mungu au mjukuu wake hamujielewi nyiye kondoo mulopotea

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli tunapinga wakiristo mana hamuna dini hamuna mungu mupo mupo tu hamujui huyo yesu ni mungu au mtoto wa mungu au mjukuu wake hamujielewi nyiye kondoo mulopotea

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 3 ปีที่แล้ว +2

    NDIO MAANA YA DEMOCRASIA NI UKAFIR

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว +1

    Na wanaosheherekea x mass au kupeana zawadi hivyo hivyo. Wanamuamini Allah na wakati huo huo ikifika Xmass wanaungana na wakiristo kumpa mwana/kumfanya Mungu hali yakua hawajitambui.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 ปีที่แล้ว

      Hio ni haraam muislamu kusherekea Xmas na kutoa zawadi kwa mkristo kwa ajili ya kusherekea Xmas au pia kumtakia heri ya Xmas pia ni haraam

  • @modesteessau8032
    @modesteessau8032 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata mumjatae bwana yesu ataendelea kuwa bwana ukubali usikubali bwana yesu ataendelea kuwa

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 ปีที่แล้ว

      Ww husibishe kwani wataka sema Yesu ndiye mtume peke yake?mbona mtume wa kwanza mtume Adam humpi sifa zote au mbona humshangai mtume ambaye ni chimbuko la wanadamu wote kwa izini ya mwenyezi mungu na hakuzaliwa bali aliumbwa na Allah subhuhana watahallah

    • @benyavan5774
      @benyavan5774 3 ปีที่แล้ว

      Waislamu hamuwezi kuusemea ukrsto maana hamuujui sawa na wakiristo wasivoweza kuusemea uislamu maana hawaujui,, Achen kusema Yesu ni mtume, sijui, adamu mnapotoshwa,

    • @ramadhanilukambuzi9760
      @ramadhanilukambuzi9760 3 ปีที่แล้ว

      Ww ndiye umepotoshwa kwa sababu gani umepotoshwa ww huwezi kumuita Yesu(Nabii Issa)kwamba ni mwana wa mungu;wakati huo huo mnasema ni mungu na vile vile sarah zenu zimejaa Yesu asifiwe tu na je mwenyezi mungu aliye umba mbingu na ardhi,akaumba viumbe vyote vinavyoonekana kwa macho na visivyoonekana na sisi wanadamu pamoja na Yesu akiwemo,mwenyezi mungu hana mfano wake,hana ukoo yy ni wakipekee na ukiona Masheikh wetu wa Kislamu wanazungumzia ukristo husizani wanachuki na Ukristo rahasha wanasema kwasababu wamesoma biblia na wanasoma hadi leo na wanalinganisha na Quruani ndipo wanakuja kusema hayo wanayoyasema nia yao nikutaka sisi tuelewe njia iliyo nyooka sio vinginevyo na wamesoma dini kwelikweli sio kwamba wanakurupuka,Hivi unajua Yesu alitumwa wapi?yeye alitumwa Israel kwa wana wa Israel make kipindi hicho watu wa pale walikuwa wamepotea sasa ww ni Mwisrael na kwanini munamfanya anakuwa mtume wa ulimwengu mzima?wakati hakupewa majukumu hayo?hivyo hivyo hata kwa nabii Musa hata kwa wengine kama Ibrahimu,Daudi na wengine wengi kila mtume alipewa jukumu lake,Hata mimi nilikuwa Mkristo nimesali Roman na nimesali Porosestant lakini nilielewa njia sahihi ni Islamu tu

  • @danielmsangi7271
    @danielmsangi7271 3 ปีที่แล้ว

    Kwanini watanzania twahangaika na maswala ya kidini nawakati walioziketa wametulia wanaish vema na sisi tunahangaika

    • @marthaaron2247
      @marthaaron2247 3 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo na ninyi tuwaanbiaje.acheni ubaguzii wa dini Kwan ukisema bwana yesu .mnajifanya ndio mnamjua mungu Sana.acheni ukilitimba pumbaf

  • @zakwani885
    @zakwani885 3 ปีที่แล้ว

    tupoo

  • @samirybinaliy2564
    @samirybinaliy2564 3 ปีที่แล้ว +1

    ndowalivo watu wa maulidi na hitima

  • @emmanuelchifupa4934
    @emmanuelchifupa4934 3 ปีที่แล้ว +2

    Hao waislam hujipendekeza kwa kuomba kura.

  • @user-bi4um8cn2u
    @user-bi4um8cn2u 3 ปีที่แล้ว

    Salam. Aleikum. Shekhe. Kufagia. Usiku. Inafaa. Au. Hsifai.

    • @ramazubery2641
      @ramazubery2641 3 ปีที่แล้ว

      Inafaa usitupe taka ulizofagia nje zitupe asubuhi

  • @mungiawaziri5484
    @mungiawaziri5484 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Ni mcba shekhe

  • @sullecom
    @sullecom 3 ปีที่แล้ว

    Mbona swala la mabucha mlileta shida kwani lzm tule nyama zilizochinjwa na waislamu.hata sisi hatupendi nyama zilizochinjwa na waislamu

    • @zainabibrahim4183
      @zainabibrahim4183 3 ปีที่แล้ว

      Kama hupendi sio lazima,hakuna anaekulazimisha.HAKUNA KULAZIMISHANA KTK DINI

    • @saidswalehe2807
      @saidswalehe2807 3 ปีที่แล้ว

      Ww wajinja kwa dula gan Ili watu wote wale nyama

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว

      Na mpaka hao makafiri wakubwa duniani wanaamini nyana inayochinjwa na waislamu ndio nyama pekee iliyobarikiwa mana bibilia inasema unapochinja mnyama uelekee kaskazini lakini nyiye munaangusha tu hamufati hata maandiko mupo mupo tu sasa hamuelekei huko mana munajua kaskazini ni kibla kwa iyo mumeonekana dunia nzima kuwa hamuna lenuu mbele ya uislamu nukupinga wanaume pale Allah aliposema mukatwe magozi mutohariwee mukapingaa sasa dunia nzima munaambiwa musiokatwa magozi munaleta maradhi dunia nzima munakatwa musishindane na mungu nyiyee hamutowezaa

    • @kondokibugula6551
      @kondokibugula6551 3 ปีที่แล้ว

      @@subiramohd1895 mashaallah. Mpe vipande vyake huyu

  • @dastancharlesslukindo6529
    @dastancharlesslukindo6529 3 ปีที่แล้ว

    Jina la YESU linawasumbua sana. Na kwetu hakuna issa. Bwana YESU asfiwe kulitamka majini hayapendi maana yanamjua sana huyu YESU. Pole shekh.

    • @ShaniJSalim
      @ShaniJSalim 3 ปีที่แล้ว

      yesu ni mtu kama wewe (yohana 8:40 )

    • @dastancharlesslukindo6529
      @dastancharlesslukindo6529 3 ปีที่แล้ว

      @@ShaniJSalim pole mno huwezi kujilinganisha na YESU soma vizuri.Yohana 8:36-37.53-58.

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 ปีที่แล้ว +1

      Majini hayapendi vipi na kutwa maombezi makanisani munatolewa majini kama majini yanamuogopa yesu yangeingia humo kanisanii mpaka yanatolewa kwa mafuta ya upako lakini si kwa yesu aliyepachikwa pale mbele fungua macho wewee usijifanye kipofu

    • @dastancharlesslukindo6529
      @dastancharlesslukindo6529 3 ปีที่แล้ว

      @@subiramohd1895 Jina la YESU tunafahamu ni shida kwenu. Majini tunayatimua huku kanisani hatuyapendi ila nyie mnayakumbatia ndio maana mkiwa kwenye mkiingia msikitini hata uko peke yako una toa salam kulia na kushoto maana majini yako humo yanafanya ibada pia.

  • @frankmsasa948
    @frankmsasa948 3 ปีที่แล้ว +1

    Umekosa chakuwaambia watuwako mzee mbn unavuka mipaka jielewe bac