SHARUTI ZA KUONGEZA MKE WAPILI ?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2016

ความคิดเห็น • 119

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 6 ปีที่แล้ว +6

    MashaallAh Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani sana Sheikh kwa juhudi zako na kwa faida tunayoipata watazamaji. Hayo matamshi uliyoyatamka mwanzo, kwa lugha ya Kiarabu, yanapendeza sana. Nadhani ni vyema ufanye uwezavyo utuelimishe hayo na utufafanulie, kwa lugha ya Kiswahili.

  • @zoizanzibar5923
    @zoizanzibar5923 5 ปีที่แล้ว +6

    Izudin Alwy namkubali sana sheikh huyu....Am Kassim 4rm Zanzibar...tunakukaribisha sana Zanzibar Sheikh

  • @hassanramadhan8978
    @hassanramadhan8978 3 ปีที่แล้ว +3

    Msisahau kuwa wanaume pia wana mitihani wakiwa na umri mkubwa hukosa nguvu za kiume

  • @salamakhamis4558
    @salamakhamis4558 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shekh unafahamika yani mawaidha yko ni illmu tosha allhmdllh

  • @ami.atwaha7024
    @ami.atwaha7024 4 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi Mungu Anijaarie Nipate Kuolewa Na Mume Mwenye Hofu Ya Mwenyezi Mungu

  • @mahmudmkali5725
    @mahmudmkali5725 2 ปีที่แล้ว +1

    A.aleikum Sheik wetu wake zetu wengi huwa wanasema Mtume hakuongeza mke wapili mpaka mke Bibi Khadijah akaaga

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 6 ปีที่แล้ว +3

    asante shehe mungu atuzidishie imani

  • @aishamaulid2358
    @aishamaulid2358 3 ปีที่แล้ว +2

    Asalaam Aleikum....sio siri ila hakuna wanaume wanaodhulumu wanawake kama wanaume wa kiislamu...Mapenzi yao ya haram huwa matamu kuliko ya ndoa....na wako hapo na wewe sheikh wanakusikiza ila zaingilia sikio la kulia latoka sikio la kushototo....Wanawake yasemekana wamejaa motoni ila wanaume wa kuoa wanawake zaidi ya mmoja nao vile vile watajaa...REHMA NYINGI TU ZA ALLAH NDIZO ZITAKAZO TUOKOA...MANAKE NI GHAFUR RAHIIM...ARAHMAAN.

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulipe pepo

  • @latifajuma2457
    @latifajuma2457 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana mawaidha ya Izdun

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah shukran shekh

  • @user-vi5rv3ju9n
    @user-vi5rv3ju9n 6 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @omarsharif3904
    @omarsharif3904 6 ปีที่แล้ว +3

    mashallah mafunzo mazuri sana

  • @mariamnuru9939
    @mariamnuru9939 ปีที่แล้ว +1

    Minatka kuolewa make WA pili ama Watatu ila sjapta mume sahihi

  • @rehemahusseni4936
    @rehemahusseni4936 5 ปีที่แล้ว +3

    Allahumma amiin

  • @rukysaid7240
    @rukysaid7240 6 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah ajiyyyb shekh izudin. Lakini kama nyinyi hamuna uwezo wakitandani kikombe kimoja cha chai chapili hamuwezi tena jee sisi tufanyeje wanawake

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH ALEIK

  • @shumamyrama8479
    @shumamyrama8479 4 ปีที่แล้ว +4

    wanaume hamzeeki naona mnajisahau