Amekufuru atakae sema anayajua mambo haya|| Nassor Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 96

  • @rashidissa1009
    @rashidissa1009 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah Amjalie kaburi lake liwe miongoni mwa ktk viwanja peponi tena ktk pepo za juu kabisa firdausi amiin

  • @shekhally5741
    @shekhally5741 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu na akulipe pepo kwa rehema zake kwa kazi kubwa ya dini uliyo ifanya na adhari ya dini uliyoiacha ktk dunia inshaallah

  • @khamismussa6308
    @khamismussa6308 3 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah, kiukweli uyuu jamaa anajuwa,Allah amjalie pepo miongoni mwa pepo zajuuu amin amin amin

  • @khaledsuleiman9819
    @khaledsuleiman9819 3 ปีที่แล้ว +9

    Sheikh Nassor ni Chuo, Allah amsameh na amrehemu.

  • @RamaMohamed-oi9ff
    @RamaMohamed-oi9ff 10 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah, mawaidha mazr n mafunzo mema yalo wazi, Allah akuzdshie

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 ปีที่แล้ว

    Umeondoka ila kama hukuondoka; vijana wako wameunga vizr sana pale ulipopaacha! Allah akulipe kila kheyr

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah akuhifadhi sheikh akulipe pepo yajuu kabisa kwa rehma zake amin

  • @abuusufiyanjamada3775
    @abuusufiyanjamada3775 2 ปีที่แล้ว +1

    Shekh Nasoro Allah amrehemu na amsamehe madhambi yake na atukutanishe naye ktk Pepo ya Firdaus ya juu

  • @idrisaaly3557
    @idrisaaly3557 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah a
    Amlaze mahali pema peponi sheikh wetu marehem sheikh Nassor bachu na akupe afya njema ewe kaka yetu Muhammad Nassor bachu uwendelee kuturushia mawaidha ya sheikh wte huyu Nassor bachu ili tupate fawaida

  • @mansoormannix1753
    @mansoormannix1753 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Nasur Bachu Allah amhifadhi na ampe wepesi kwenye sirat. Kipenzi changu na wengi waliomjua.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +4

    Maashallah Allah akupe kivuri chake kaburini na sikuyakiyama kwa uwezowake na huruma wake lnshallah 💕

    • @seifasaa7838
      @seifasaa7838 3 ปีที่แล้ว +2

      السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

  • @mohamedswaleh6778
    @mohamedswaleh6778 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akurehem na akupe pepo y juu

  • @salmaiddi1527
    @salmaiddi1527 3 ปีที่แล้ว +3

    Namuomba allah akupe pepo ya hali ya juu

  • @AhmedAhmed-ct5pg
    @AhmedAhmed-ct5pg 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah,Allah akurehemu ktk Maisha yako ya Akhera,kwa hakika nakupenda Sana sheikh wangu,Kama wewe mm sijaona,

  • @yassirsuleiman7804
    @yassirsuleiman7804 2 ปีที่แล้ว +3

    اللهم اغفرله ورحمه وادخله فى الجنة جزاه الله الخير وجنة النعيم

  • @suleymanislam4015
    @suleymanislam4015 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashallah. Amalhakika tumepoteza kiungo muhimu katika dini hii. Allah amrehemu

  • @RehemaJafari-u5o
    @RehemaJafari-u5o 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Allah akuhifadhi shekh nasoro

  • @MrTouch-rm4rh
    @MrTouch-rm4rh 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah mwenyezi mungu akufanyie wepesi uko kabulini ulipo

  • @OmarAbdallah-y8q
    @OmarAbdallah-y8q 6 หลายเดือนก่อน

    Allah anajua juhudizako ktk dini bc kwahayo akulipe aliyoyaahidi kwa wajawake wema

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah alipe kheri shekhe wetu

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhan'Allah! Allah nimjuzi zaidi🙏

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran kwa ukumbusho Allah amrehem sheikh wetu

  • @SalmaAhmed-qb8wy
    @SalmaAhmed-qb8wy 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah waadhi mzuri,Allah atuongoze njia njema.Amin.

  • @issaabdallakhamis2692
    @issaabdallakhamis2692 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha allahu mungu akurehem she nassor bachu

  • @ibrahimmwinyi6957
    @ibrahimmwinyi6957 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akurehem

  • @hassanhemed9603
    @hassanhemed9603 2 ปีที่แล้ว +2

    Allahumaghufir lahu waskinhu filjanah

  • @nurdinibakari2283
    @nurdinibakari2283 3 ปีที่แล้ว +2

    Allaah amrahamu Shekh wetu.katuachia Mtoto imekuwa fitina kwasababu haka kanaye hakana hekma..Mudi jifunze Busara za babako.

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 2 ปีที่แล้ว

      Muogope mungu ayo yazugumziza maneno machafu xn Yan fitina kivip chuki zako bak nazo kwenye nafsiyako usidanganwe n pumzi

    • @shabaniumande
      @shabaniumande ปีที่แล้ว

      Nifitna kwa watu wa bidah
      Kama baba yake pia alikuwa fitna kwa watu wa bidah

    • @omarkhamys9818
      @omarkhamys9818 ปีที่แล้ว

      Mtu akiwa hana lakusema hutakiwa anyamaze

  • @MikidadiKapinga-m1p
    @MikidadiKapinga-m1p ปีที่แล้ว +1

    جزاك اللّٰه خيرًا

  • @abuunajat4450
    @abuunajat4450 3 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah sheikh ,Allah akufanyie wepesi katika maisha yako akhera amiin

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 3 ปีที่แล้ว +1

    Namuomba ALLAAH AKATUFUFUE KESHO KIAMANI TUKIWA MIONGONI MWA WATAKAO PATA KIVULI SIKU HIYO NA ATUINGIZE KATIKA PEPO YA FIRDAUS.
    #ALLAAH HUMMA AMIN YARABBY

  • @mahmoudali2881
    @mahmoudali2881 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu amrehemu sheik wetu

  • @BinshakbuHemed-gb2zi
    @BinshakbuHemed-gb2zi ปีที่แล้ว

    Allwah. Akuhifadhi. Sheh. Wetu

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akurehem shekh wetu

  • @Zigzag-o6k
    @Zigzag-o6k ปีที่แล้ว

    اللهم اغفرله وارحمه واسكنه مكان في الجنة الهم لا تحرمنا اجره ولا تفتنا بعده واغفرلناوله ولجميع المسلمين

  • @seifasaa7838
    @seifasaa7838 3 ปีที่แล้ว +12

    اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك

  • @mwakakigona2803
    @mwakakigona2803 2 ปีที่แล้ว +1

    M/mungu ajarie kaburi lako liwe ktk viwanja vya pepon

  • @abdallahzahorrashid5204
    @abdallahzahorrashid5204 ปีที่แล้ว

    Allahumma Ij-alna Bikhusnil khaatimah

  • @ShiraShira-qd9el
    @ShiraShira-qd9el ปีที่แล้ว

    Allah amsamehe

  • @jumamohammed7983
    @jumamohammed7983 3 ปีที่แล้ว

    Inhaallaah tujitahidi kuusimamia na kuufuata kikweli kweli uislaam w2

  • @abeidali5136
    @abeidali5136 3 ปีที่แล้ว +2

    Ma Shaa Allah

  • @mohdmbarouk8465
    @mohdmbarouk8465 2 ปีที่แล้ว +1

    Mohammed Bachu fata njia ya huyu Marhuum Sheikh Nassor Bachu utapata faida Sana uwache mijadala

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 ปีที่แล้ว

      Hata huyu pia alikuwa anapinga maulidi ni bidaa kubwa niuzushi hakufanya mtume wala maswahaba wake walio waongofu nyie masufi mmetoa wapi bidaa hii

  • @mohamadynjiwa
    @mohamadynjiwa ปีที่แล้ว

    allah akuhifadhi

  • @ishakafaki3501
    @ishakafaki3501 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAAH amrehem shekh we2 .
    Kwelii badaa ya 10 tunayaona ulioyasema 😭

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikweli kabisa hakuna anaejua mambo hayo bali watu wanakufuru kama hizo nyutro saund kuna mdada anawtt wakiume sasa anataka wakike kila mimba anapima anaambiwa na doctar anamtoto wa kike akijifungua wakiume sasa wamefika wtt 5

  • @mikealeck6447
    @mikealeck6447 3 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah.

  • @athumanisese5580
    @athumanisese5580 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 3 ปีที่แล้ว +6

    اللهم اغفرله ورحمه وسكنه فلجنة

  • @SalumMzee-mu7zt
    @SalumMzee-mu7zt 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akabar

  • @hamzaalliy8210
    @hamzaalliy8210 2 ปีที่แล้ว

    Allah bless you more wherever you are

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 3 ปีที่แล้ว +2

    Allahumma Ghfirlahu warhamuhu

  • @jiongezeemaarifa1496
    @jiongezeemaarifa1496 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks for Sharing!

  • @ismailnamtuma1830
    @ismailnamtuma1830 3 ปีที่แล้ว +1

    allaahuma ghfirlahu warhamhu

  • @abousumayyahhassandjuma1332
    @abousumayyahhassandjuma1332 3 ปีที่แล้ว +5

    رحمه الله تعالى وغفر له

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akurehemu sheikh nassor ila mwanao ameiwacha manhaj ya salaf tunamuomba Allah amuongoze aifuate manhaj ya salaf swaleh

  • @khamisothman1154
    @khamisothman1154 3 ปีที่แล้ว +3

    غفر الله له

  • @ahmedbaga26
    @ahmedbaga26 3 ปีที่แล้ว +2

    Amiin

  • @AdanHumbe-os8dg
    @AdanHumbe-os8dg 11 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar

  • @sadiqabdullah1294
    @sadiqabdullah1294 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️

  • @bakariabdallah2579
    @bakariabdallah2579 3 ปีที่แล้ว +3

    Nambuomba alla amrehm

    • @muslimmassoud2673
      @muslimmassoud2673 3 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @ishakali8219
      @ishakali8219 3 ปีที่แล้ว +2

      Allaah akurehemu shekhe wangu, wewe ndio sabb yamimi kuona njia na kujua kusudio langu la kuletwa hapa duniani

    • @aishasalum5173
      @aishasalum5173 3 ปีที่แล้ว

      Ewe mola wetu mrehemu shekhe wetu na amsamehe yy na sie tuliobakia. Ameen

    • @kishingokishingo1840
      @kishingokishingo1840 3 ปีที่แล้ว

      Tafadhali anza.kwa harufi kubwa unapotaja jina la.Mola wako

  • @hatengekimanaajml7230
    @hatengekimanaajml7230 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️❤️

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh ametukumbusha umuhimu wa kuelimika masomo ya Uislamu na ametutahadhrisha wengi watu tumepuuza utekelezaji wa mambo ya masomo. Kwa mfano, tazama vijana utaona wengi hawana uwezo wa kimasomo ya Dini wala ya kishule wanapotelea kwenye anasa kama vile za nyimbo na ulevi na uzinzi na wapo wanapotoshwa na matapeli kwa unajimu nk. Kwa sababu hawakupata kujua Tawhid na kujua vyema tofauti baina ya halali na haramu nk. Hasara
    Lawama juu ya viongozi kwa kuwa wanafunga misikiti haraka baada ya Swalah badala ya kuwaandalia vijana na wazazi na Waislamu wapya masomo angalau muda fulani baada ya Swalah na wafuatilie wajue wanafunzi wanaelewa au la na wawakusanyie zawadi za kuwashujaisha na mawaidha waoende kusoma....tutapata hasara tukipuuza Ujumbe wa Allah

  • @thureyazuheir293
    @thureyazuheir293 2 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @issaabdallakhamis2692
    @issaabdallakhamis2692 3 ปีที่แล้ว +4

    Masha allahu mungu akurehem she nassor bachu

  • @eid2643
    @eid2643 2 ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa ALLAH