ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Jembe langu Sheikh wang Izudin Allah akuhifadhi na akupe kila hitaji la moyo wako lenye kheri
Mimi mkirsto lakini hoja zako zilinibadilisha sasa Mimi nilislim juzi tu siku ya jumatano
Dini yetu ni nzuri Mashaallah na hasa ukipata mchambuzi kama ww Shekh wetu Mungu akuongowe zaidi.
Asalaam alleykum warahmatulah wabaraqatuu Maasha Allah sheikh umesema kweli mada muhimu Mwenyezi Mgu akuzidishie afya njema na umri shukraan jazzakah Allahu kheir barakallahu fik
sheikh Allah akubarik akupe hidayaa Ww na sisi amiin
Mashaalh,hii dini haijaacha kitu
ALLAH akuzidishie kila la kher na akusahilishie haja zako sheikh wetu izudin
Masha Allah humuachi msikilizaji na maswala ya kujiuliza
Zote hizo zimeletwa na wakatholic.mambo hayo sio ya uislamu
Wengine maiti ikitoka tu basi kama kuna harusi watu wenda na mziki kwa juu tena sio watu baki, subhanallah Imaan dhaifu.
Shukran sheeh amiin.nimecheka hataa.Alhamdulillah
Ma shaa allah kanzu nzuri ustadh
Sikuiz huku kwetu sio matanga tu ata maiti hajazikwa watu wasengenya
Nakupenda sheikh wangu in shaaa Allah naomba ALLAH atukutanishe
Mashaallah jazakallahu kheri❤️
Shukuran jazzakal kheir sheikh
Wengine wafanya ndio njia ya kula waondoke
Shukraan Sana sheikh wetu
Jazaakallahu kheran kathiira yaa Sheikhuna Al- Jaliil
mshaallah sheikh allah akujaalie kheri zaidi inshaallah