Ndio maana mimi huwa siahidi mtu yoyote kama najua kabisa sitaweza kumsaidia mtu. Na ndio maana maana hata mimi sipendi mtu aniahidi chochote bora iwe suprise kuliko ahadi.
video zako za zamani kidogo na za sasahivi kuna utofati fulani sisemi ya kwamba ni mbaya, lakini za zamani ulikuwa unaziwasilisha vizuri zaidi. kama matumizi ya body language, matumizi ya blackboard na ile background music ilikuwa nzuri sana kwa kila video ikianza.
Mimi pia anaweza kuwa ni mtu wakaribu sana akataka kuniazima hela ila nikimtazama najua kuwa kabisa hana uwezo wa kuirudisha huwa naitumia sana hii njia kwasababu unakuta ninahela ambayo nitakua ninakazinayo baada ya wiki 2 yaye anataka kukuazima anakwambia anarudisha baada ya wiki 1lakini ukimtazama kiuhalisia unaona kabisa atakufelisha sasa utamkataaje bila njia hiyo?
Shukrani kaka❤❤
Nishakutana nao wengi sana 😊😊😊
Fact!😀 tatizo hua tunachelewa kujiongeza , najifunza kitu hapa.
😅umeona eeeh
Ni mambo ya kweliii kabisa
Ndio maana mimi huwa siahidi mtu yoyote kama najua kabisa sitaweza kumsaidia mtu. Na ndio maana maana hata mimi sipendi mtu aniahidi chochote bora iwe suprise kuliko ahadi.
Mhhhhh hii ni yakweli kabisa pia NMEJIFUNZA KITU HAPA ndugu 🙏
Sura zimeumbwa na haya zinatokea sana hizo mbanga
Ni kweli kabisa watu kama hao wapo
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
video zako za zamani kidogo na za sasahivi kuna utofati fulani sisemi ya kwamba ni mbaya, lakini za zamani ulikuwa unaziwasilisha vizuri zaidi. kama matumizi ya body language, matumizi ya blackboard na ile background music ilikuwa nzuri sana kwa kila video ikianza.
Nikweli
Kubadilika muhimu asipo badilika tutamchoka
Yah ilinifundisha kua na mbadala always na ku avoid disappointment
Unasema fact zenyewe kaka
Niboraa akuuambiie siwezii kukusaidiaaa kulikoo kukaaa kimyaaa
asanteh
Am waiting
Kweli mwalimi anaona akikuambia hana utachukia.naunajuwa 2 kwamba akonacho lakini anakunyima
Powerful
Mm yamenikuta kabsa alikuwa jamaa alikuwa navisingizio vingi sana
Waiting
Ishawa kunitokea ila nilimpotezea.ilinibidi wazo langu nipambane nalo mwenyewe
Mimi ishanikuta we acha tu siwezi sema humu
Hii iliwahi nikuta kaka nilikua nategemea pesa mahala ilipo fika siku ,ananiambia hawezi kiukweli iliniuma sana
Mm imenitokea Ila kwa mtu ninae mdai😢
See you at the top
Mimi pia anaweza kuwa ni mtu wakaribu sana akataka kuniazima hela ila nikimtazama najua kuwa kabisa hana uwezo wa kuirudisha huwa naitumia sana hii njia kwasababu unakuta ninahela ambayo nitakua ninakazinayo baada ya wiki 2 yaye anataka kukuazima anakwambia anarudisha baada ya wiki 1lakini ukimtazama kiuhalisia unaona kabisa atakufelisha sasa utamkataaje bila njia hiyo?
🎉🎉🎉
✊️✊️✊️
✊️✊️💥
✍️☝️☝️☝️
Brother hii dunia ukitaka heshima fanya yako. Kuna mtu anakisaidia atakutolea mfano mpaka ufe. Utasikia bila Mimiasingefika pale😅
😂kweli kabisaa