KWANINI KUWE NA NDOA ZA SIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @saaddumila3974
    @saaddumila3974 4 ปีที่แล้ว +8

    Allah akuhifadhi Sheikh wangu. Wallahi mafunzo na furaha katika darsa zako, Mungu atuekee sheikh wetu.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndoa ya Siri sio nzuri shekhe. Ataishi kusubiri siku mume apate nafasi yakusema uwongo kwa mke wa kwanza ndio aje kwako. Utaishia kula mistari tu. Wakati mwingine uko nae mara apigiwa simu aitwa nyumbani lazima atoke. Afadhali ya dhahir mtaheshimiana na mwanaume anakua huru anajua kabisa Leo zamu ya Nani. Shekhe maisha ya kutafuta uwongo kila siku Wenda safari mara uko nje kikazi. Haya. Ndio uko kwa mke wa Siri wakumbwa na tatizo huko Nani lamu na kisumu. Au bibie wa Siri ndio mume akupotee hujui hata kwao wapi uka mtafute. Na haya hutokea sana.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 ปีที่แล้ว

      Unayo elimu ama ni mano matupu, sikisiza mwalimu anavyo elezea. Anakuambia hakuna elimu ya siri sharti iwe na mashahidi

    • @nimzmohammed4849
      @nimzmohammed4849 3 ปีที่แล้ว

      Ndo nayo pitia ndugu yangu

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah sheikh wetu..

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +8

    Inshaallah tutaolewa

  • @aliomar612
    @aliomar612 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh jazaka Allah kulu kheyri

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว +1

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @kausarsaleh708
    @kausarsaleh708 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalah mazuri twajifunza

  • @fahadswabra7345
    @fahadswabra7345 4 ปีที่แล้ว +2

    Asalam aleikum, ustadh je ukiolewa bila idhini ya bbko wala walii wako,na wameona zaidi ya miaka 10,eti ndoa haiswii,na je ka haiswi mpka mufungishe nikkah tena ama?jazzaka Allah kheir

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว

    Mh mwenyewe shabiki wa ndoa ZA siri ustadh 😃😃

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 4 ปีที่แล้ว

    Maasha Allah sheikh swadaqta kwa hio hakuna ndoa ya siri wala ya dhahiri

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 ปีที่แล้ว +2

    😁 😁 😁 Alhamdulillah TU

  • @janetmule5927
    @janetmule5927 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂asante kwa mafunzo yako mimi sio Muslim but napenda kukufuatilia

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  4 ปีที่แล้ว

      Mola akuzidishie kupenda kufuatilia mambo ya kheri na azidi kukuonesha njia ilio bora anao ipenda yeye.

    • @janegitau6857
      @janegitau6857 4 ปีที่แล้ว

      Janet pia Mimi hapa

    • @leilakarama9777
      @leilakarama9777 3 ปีที่แล้ว

      Janet karibu tufaidike

  • @ruqaiyyahabbas9630
    @ruqaiyyahabbas9630 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 kumbe wachawi ni sie wenyewe

  • @ahmedyusuf9634
    @ahmedyusuf9634 4 ปีที่แล้ว +1

    Slm, shukran
    Ukinena Nana atakua mkali 🤐

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀swadakt sheikh

  • @janegitau6857
    @janegitau6857 4 ปีที่แล้ว

    masha Allah

  • @fatmajamal6612
    @fatmajamal6612 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah 🥰😘

  • @moridohome4790
    @moridohome4790 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Kweli sheikh

  • @AbdulAbdul-vp2np
    @AbdulAbdul-vp2np 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @doctahudihudi3331
    @doctahudihudi3331 4 ปีที่แล้ว +1

    SHUKRANI KWA MADA ILA NNAOMBA KUULIZA SWALI
    JE MME UYU ANAEOWA SIRI ZAMU KWA WAKEZE ANAKWENDA VP. KULALA ZAMU

  • @AishaAli-lk7gh
    @AishaAli-lk7gh 3 ปีที่แล้ว

    swadkta hapo umenena wanawake tunajiapiza wenyewe wallahi

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Shubuana Allah

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +1

    Khery shi kama mashi

    • @fetysukafetysuka8811
      @fetysukafetysuka8811 4 ปีที่แล้ว

      mke anadai talaka mme hataki kutoa talaka je yafaa kuoa kabla ya yule mke kupewa talaka? nijibu shekhe nijjue

  • @neisha2732
    @neisha2732 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh mi nakupinga hapa maana tukienekeza ndoa za siri huwa itakuwa hakuna uadilifu maana itakuwa huyo ni mke WA mchana tena kwa kujificha uliwahi fkiria Hawa wake wakaja zaa je kama hawajuani huoni Kuna hatari Hawa kuoana ama wakaja kuwa katika uhusiano wowote usofaa kindugu

  • @kausarsaleh708
    @kausarsaleh708 4 ปีที่แล้ว +1

    Asalaam alykum sheikh
    Na wote ndugu zangu wadogo na wakubwa wangu🙏

  • @abdullohmunaswar1878
    @abdullohmunaswar1878 4 ปีที่แล้ว +1

    .

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni cc

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +1

    Watatu

  • @moonermuhammad420
    @moonermuhammad420 3 ปีที่แล้ว

    Kama mkewe hajui zamu ya mke wa pili itakuwaje. Ama ndio atakuwa akidanganya? I don't agree with you.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu kama huna elmu bora uulize lakini sio kusema I don't agree with you. Wewe kama ukubaliani naye mbona usitupe hio elimu yako?

  • @sniperroblox3188
    @sniperroblox3188 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah