Waambie kweli sheikhe wametuchoshwa waume zetu simke simume kila moja yuenda mbio na maisha lakini wao pia hawatuthamini wala hawana imani nasi naukiona penzi kwamume basi humuitishi mahitaji yanyumbani wamezidi jamani afadhali afaidishe malaya kuliko mkewe washeria ....
Jazakaallahu kheir, wallahi sheikh Izudin unanifundisha mengi mno nilokuwa nna mashaka Nayo , Allah akubarik na kukuhifadhi na akuondolee hasad na akulipe ujira unao stahikki kwa kazi uifanyayo kwenye dini yake ....from +255
Ndo maana Mimi nasemaga Kama waislamu mkiishi KATIKA Imani yenu sawasawa nasisi tusio waislamu tutapona.Ongera kwa kazi nzuri.Mungu akuzidishie.
Andrew Nyumayo Allah akuongoze na ww uingie kweny uislam
Jazaaka llahu kheir.
Kwa kweli darsa zako zinatupa mafundisho mazuri sn.
Endelea kutuelimisha sheikh wetu, Allah akuhifadhi.
Waambie kweli sheikhe wametuchoshwa waume zetu simke simume kila moja yuenda mbio na maisha lakini wao pia hawatuthamini wala hawana imani nasi naukiona penzi kwamume basi humuitishi mahitaji yanyumbani wamezidi jamani afadhali afaidishe malaya kuliko mkewe washeria ....
Jazakaallahu kheir, wallahi sheikh Izudin unanifundisha mengi mno nilokuwa nna mashaka Nayo , Allah akubarik na kukuhifadhi na akuondolee hasad na akulipe ujira unao stahikki kwa kazi uifanyayo kwenye dini yake ....from +255
Maashaallah Allah akulipe shekh tunajifunza shekh kupitia kwako Allah akujaalie uhai wenye kheri nao aamiin
Mashaallah ALLAH akujazi kheir
Mashallah Shekh uko vizuri,njoo Madale Tz jamani nasie tuppate hizo funzo zako
Mukinipangia safari nitakuja in sha allaah
MASHAALLAH Mawaidha mazuri yenye mafunzo
Mashaalla sheikh izudin unaelezeya vizuri kuhusu ndowa ila wanandowa mtihani alla awasaidiye
Masha Allah
Jazaka llahu lkhair 💘
Shukran Sana shekh kwa mawaidha yako
Mashallah nakupenda sana shehh
Salwa Mohammed 🌷😍
I love darasa zake
Shukran kwa darsa ruzi Allah akulipe kheri insha Allah
Munguakulipekilalaheri nafitiliya San a maizayako
Shukrn Allah bariq
MASHALLAH AL HAJI HAPO MM NAKUUNGA MKONO NI KWELI USEMAYO. MUNGU AKUZIDISHIE UZIDI
Jazzakallahu khery
sheikh
Kabisa ukpenda huoni
nand
nakupenda shekhe kwa ajili ya Allah
Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi nakupenda sana
Mashaallah. Allah akuhifadhi. Atuhifadhi wote. Ameen.
Maarafu jamani
Aa jee mume akimwambia mke wake mm nimekulisha mpaka umewandaa sana anamsunduga, nakumfanya ndio mpishi walazima in sasa hivyoo
Mashallah
Wanawake Wengi..hawana mafunzo. Sahihi
Wanaume ndio kabisaa.
mohamed nasser na wanaume pia sema wanawake akiwa hana elimu ya din hizid zaid
ma sha Allah.
FARMEEN DADAR xxzdzaaaall
Shukran haji
MASHALLAH ALEIK
masha Allaah
nzuri
Salallahu alaihi wasalam 💘
Inshaallah tutajitahid
😃😃😃asante shehe
Jazaaka llahu kheir.
Kwa kweli darsa zako zinatupa mafundisho mazuri sn.
Endelea kutuelimisha sheikh wetu, Allah akuhifadhi.
Masha Allah
Ahmed Yusuf shukran
Ahmed Yusuf nzuri sana