Sababu ya wanaume wengi kufunga ndoa za siri - Ukht Raya Omar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 247

  • @sefuswalehe2173
    @sefuswalehe2173 ปีที่แล้ว +1

    Asante mwalimu kwa kutoa darasa. Mungu akujali kila la kher hapa duniani na kesho akhera.

  • @stacymutheu1025
    @stacymutheu1025 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa Allah ukhty Allah akujaalie.
    Mie nimeshawahi kuolewa na hakuna mambaya sikupitia..Sasa hivi nimesilimu na nimejifunza mengi kuhusiana na ndoa..yaani mimi ndoto yangu napenda uke weza sana..huwa Naona wenye wameolewa na mwanamume amejielewa inakua tamu zaidi🙏🙏🙏🙏

  • @mozasalim2483
    @mozasalim2483 ปีที่แล้ว +2

    Asante mwalimu wetu kama nakuona vile unavotufunda ukiwa darsani.tulikua manyangarakata ndani ya nyumba zetu,ila kusema kweli umeyabadilisha maisha yetu ya ndoa mungu azidi kukupa elmu yenye manufaa.
    Nakupenda dada rehma za Allah.
    Upole heshima na utiifu vimetawala saivi kwenye ndoa za wanafunzi wako.ubarikiwe n mungu akupe umri mrefu.

    • @muhammad-o8r9t
      @muhammad-o8r9t ปีที่แล้ว

      Darsa zake huwa maeneo gani mkoa gani

  • @mozasaid-zs4nl
    @mozasaid-zs4nl ปีที่แล้ว +5

    Ma Shaa Allah ukhty wangu .maneno yako niyakweli kabisa unayo waambia kwakweli nimefurahi Sana

  • @zulfajamal4741
    @zulfajamal4741 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulilah MashaAllah twambie hasa nafsi zijue nazikubali maamlisho ya Allah

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah tabaraka llah Ukhty Raya wanaume wengi zama hizi wanaowa Siri ili wasikinukishi Kwa wake wakubwa 😁😁 Allah atustiri 🤭

  • @ladybird-ng3wv
    @ladybird-ng3wv ปีที่แล้ว +5

    Siku hzi w'me wasiokua na ibada na khofu ya Allah ndio wenye kuongeza au kuzini baadae kuongeza. Ila wenye ibada na khofu ya Allah hujifungia sunna zake akashughulikia hilo zigo lake moja la mke na wtto wasije wakamchomesha moto akhera. Na kuwasaidia wazee, ndugu, jamaa majirani masikini na mafakiri, kujitoa kwenye misaada ya misikiti na km anauezo aende Makka. Ila wazinifu wenye kujificha kwwenye kivuli cha ndoa na wavivu wa ibada ndio hupata taabu na kupelekeshwa na mwisho wake wengi wao

    • @aisha-rj6uc
      @aisha-rj6uc ปีที่แล้ว +3

      Dada lady bird, mashaaallah imeongea vizuri ila punguza jazba hapa ni mwendo wa kuchangia kilichopo kwa kadri ilivyoelezwa na zaidi kwa ushahidi zaidi kutoka katk Qur'an na Sunna. Mm nmekuelewa ila haya yote tumeyasababisha wenyewe kwa wachumo ya mikono yetu. Watu wameacha maamrisho ya Allah s.w pamoja na mienendo ya mtume s.a.w ndio hayo yote yanatokea. Pande zote mbili tunahusika baadhi ya wanaume wameacha majukumu yao na pia baadhi ya wanawake wameshindwa kutumia vizuri sauti zao, akili zao na il'mu zao ktk kutengeneza ndoa zao na jamii kwa ujumla. Tupige mifano ya wanawake wema waliopita hivi ni mwanaume gani kwa zama zetu mwenye kiburi zaidi kumshinda firauni, lakini bb Asia r.a alimvumilia vitimbi vyake na hatimae kuwa mwanamke bora, ila leo hii ss wanawake wa utandawazi tumekuwa wazi kila kitu. Hatuna mipaka kwa waume zetu isipokuwa kwa wale wachache wanaojitambua na bado wanaonekana kuwa wajinga na wamepitwa na wakati. Ni kweli wanaume ni viongozi lakini akiimba mwanamke atumie vipawa vyake ipasavyo kuijenga ndoa yake. Kelele zitapungua kama si kutoweka.

    • @aisha-rj6uc
      @aisha-rj6uc ปีที่แล้ว +3

      Tumeacha kusoma sira mbalimbali za waja wema waliopita sasaivi tunaendesha na sinema za wazungu tukidhani kubwa zinafundisha. Majumba yameoza viigizo vyetu ni wasanii mbalimbali wa sanaa tofauti. Ambazo zinaharibu maisha ya waislam na jamii kwa ujumla unafikiri ndoa zetu zitabaki salama? Matokeo yake ndio haya. Kikubwa kila mtu atoe nia ya kubadilika kuanzia sasa na kuangalia wapi tulikosea ili ndoa zetu na maisha yetu yawe yanamridhisha Allah S.w tutapata salama hapa duniani na Akhera kuliko kudhaniana vibaya, kudharauliana, kusemana, kuvunjiana heshima na kutopendana kwani kila nafsi italipwa juu ya kile alichokitanguliza katk kitabu chake. Allah atupe mwisho mwema ndugu zangu nawapenda wote kwa ajili ya Allah, na niliyemkwaza kutokana na sms zangu naomba anisamehe kwani mkamilifu ni Allah s.w. hizi ni challenge za kimaisha tuu. Assalamu alykum'.

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว

      Sahihi

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz ปีที่แล้ว

      Una uhakika ww

  • @khalfanmakoyo
    @khalfanmakoyo ปีที่แล้ว

    MashaAllah Ukhty tupe Ilim

  • @nillammaashaallahamdan8711
    @nillammaashaallahamdan8711 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume haombi ruhsa kwa mke Bali anatia taarifa na ukipewa taarifa una budi kukubali riziki anatoa Allah

  • @zulfalughudo2038
    @zulfalughudo2038 ปีที่แล้ว

    Ye mwenyewee apa ukifatilia vizuri anapinga uke wenza,amche ALLAH aache ujinga

  • @rashidsaidi5415
    @rashidsaidi5415 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah dada raya wewe mwenyewe umeolewa mke wa siri

  • @suleimanmohammad694
    @suleimanmohammad694 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo siyo sababu we Dada ,unashindwa kuweka wazi tu ,wivu tu mpaka mnavuka mipaka mnafikia kudai talaka nawala sio kuwa mume hawezi kuhudumia na sio kupangilia Kwa fulan alia hika sijui nn.

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Allah akuhifadhi

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 ปีที่แล้ว +2

    Inshallah sisi kama wanaume tutaoa kwa siri tena kubwa sababu ninyinyi mnavisa sana mwanaume akisema anataka kuoa tu utavimba kama kitumbua kimewekwa amila ya chenga tena utavisa kulala na nguo kisa mumeo kasema anataka chungu cha pili unaanza kumuliza mumeo kwani mimi siikutosheleze uwezi kila siku kula binzi lazima ule nyama mchicha ndio ladha ya maisha ila mnatubana ndiomana tunasema tutaoa kwasiri tena unaona nalevidume vimesha zaliwa ndio dawa yenu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa mpaka wajitambue wao ni wake wameolewa nasio wao wame waowa wanaume, Dunia yaleo unaowa mke akifika tu nyumbani yeye ndio anakua mume,ana kumiliki kama dera lake analoshindia nyumbani

    • @ladybird-ng3wv
      @ladybird-ng3wv ปีที่แล้ว

      W'me wanaoficha wote ukiwachunguza hua hawana sifa za kuitwa waume. M'me haswa alooa akajua kutimiza majukumu yake mwenyewe bila ya usaidizi akiamua kuongeza Hua hana khofu wala kujifichaficha. Lkn km ulonae anakushinda kumhudumikia ndio unapoanza kuficha ficha. Na w'me wa siku hzi wengi wenu hamna nguvu wala uwezo wa kuhudumikia mke mnaoa kwa njaa tu mnajua km hakujapikwa huku utakwenda kula huku. Mana hamtafuti wasionakazi....njaa na uvivu ndivyo vinavyokusumbueni.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +2

      Fanyeni kazi muwahudumikie watajua km wameolewa na hivyo ndivyo mume anavyotakikana si utake kusaidiwa majukumu yako halafu ujuilikane. Atakudharau mpaka mwanao

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@Fear_Allah394 kazi ni moja na kigezo muhimu na sababu ya m'ume kupata mke,kama huna kazi au huna kitu kinacho kupatia ridhki basi hufai kuoa hata huyo mke 1,wacha 2 na zaidi,mke gani awezae kuolewa na mume asie jishuulisha?asie na future? Basi ndo hao w'ume wanao olewa na kuwekwa makalio ni na makwapani,mazoba mazuzu mandondocha majina yote yao, lkn tusichanganywe tafadhali! Sio w'ume wote hao baadhi ulo waona isiwe ndo w'ume wote wako hivyo,ni baadhi yao,na baadhi ya wake wa najipa amri na mamlaka yasio yao!Leo hajulikani nani mume nani mke! mume hajui majukumu na wajibu yake kwa mke au (wake) na mke pia hajui wajibu wake kwa mume

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      @@aairraahseif5648, Wew umechanganywa au unajichanganya mwenyewe kwa kua ni ndio wale wale ninaowaelezea? Km ungekua sio ungedumu mtandaoni kujibu comment tangu Jana??? Katafute kazi ufanye utimize majukumu yako yote halafu uone km utapata mda wa kujibu comments tangu Jana? Ndio nikakwambieni wengi mnatarget wenye kazi mpate kusaidiwa majukumu mkae mitandaoni au vibarazani mpige soga na kusubiri w’ke wanaopita mzini kwa macho baadae muone mlonao sio.

  • @NiyoyitaEric-b2v
    @NiyoyitaEric-b2v 7 หลายเดือนก่อน

    Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh

  • @Mrschid958
    @Mrschid958 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah tabarraka Allah

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 ปีที่แล้ว

    Sahihi kabisa kuna wamama wawili hapa wamejiolesha Kwa Siri basi nimtihani mpaka huwa nawaoneya huruma nikaona Bora yamimi mjane kwamaana yotee ulosema ndio wanayo pitia mume anakas hatawiki3 hajaja anamuogopa mkewe yaani siyo ndoa wapo Kwa ndoana

  • @iddyramathan4507
    @iddyramathan4507 ปีที่แล้ว +2

    Tunaoa kwa siri kwasababu wanawake mmekuwa na Akili za kikristo za ubinafsi wa mke mmoja mmejaa tamaa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      timizeni majukumu yenu muheshimiwe na wake zenu. Mayahudi na wakiristo ndio wenye kugawanya majukumu kwa wake zao na mwisho wao hukosa kuheshimiwa na nyie mnaiga ndio mana mnakosa kuheshimiwa. Uisilam unatufunzq pesa ya m’ke ni haram kuitumia bila ya ridhaa yake. We ushatumiq ngqpi kwa hadaa jiulize

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 ปีที่แล้ว

    Mashallah wajina wangu

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 ปีที่แล้ว +2

    masha allah

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah

  • @mtt_maridhia2073
    @mtt_maridhia2073 ปีที่แล้ว

    Napenda hapo kwa hadi raha

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 ปีที่แล้ว

    Mnaume anaowa kwa Siri kwa sababu mke wangu mkorofi nikimwambia hakubali ndiyo sababu mwanaume anaowa kwa Siri je Ni halili hiyo ndo

  • @mollelyally5213
    @mollelyally5213 ปีที่แล้ว +4

    Wamasai hatuogopi kuoa waziwazi mke mkbwa ndie a anapeleka posaa

  • @aisha-zu8vr
    @aisha-zu8vr ปีที่แล้ว

    Mashaallah 👏👏👏

  • @AishaAishaathuman-ov5pk
    @AishaAishaathuman-ov5pk 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว +2

    Ndoa ni mkataba wa hiyari wa watu wawili,kati ya mwanamke na mwanaume ikiwa ndani ya maisha ya ndoa hakuna zile sababu muhimu zilizo tufanya tuoane, basi mume anayo sababu ya kuongeza mke hata kama mume hana uwezo, naweza kuongeza mke nikawa nafuraha bila kuwa na uwezo huo mnao sema nyie,na mke ikiwa huwezi uke wenza basi achika! Unayo haqi yako kuachika lkn siyo kujimilikisha mume nakumkataza asiowe hali yakuwa ndoa haina furaha,sababu za kuowa hata mke 1 pia mume awe na uwezo, je nikawa na uwezo na ndoa haina furaha bado mke hawezi kuruhusu kuongeza mke! Hizo ni Hiyana na choyo roho mbaya za wanawake wengi, tena w/wake wa kiisilam aibu sana hii

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว +1

      Aairaah za wapi

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@kalamuMedia Tz Dar

    • @aisha-rj6uc
      @aisha-rj6uc ปีที่แล้ว +2

      Kaka Aairah seif umesema kweli yani mashaallah ukhti anaelemea upande mmoja .

    • @aisha-rj6uc
      @aisha-rj6uc ปีที่แล้ว +2

      Pia nasisi wanawake tumekuwa vikwazo ndio maana wanaoa kwa siri

    • @aisha-rj6uc
      @aisha-rj6uc ปีที่แล้ว +1

      Kama mwanamke anafanya Sunna ya bikhadija r.a halafu tunasema mume hana vigezo tunaweka vizuizi je asione kwa siri huku akitafuta fursa nzuri ya kumwambia mkewe kama ameoa kwa sababu wanawake tuna vitimbi anajua akikwambia mapema utavuruga naye bado anakupenda.

  • @cheka480
    @cheka480 ปีที่แล้ว +2

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu, mbona ni kama ukhti umetendwa?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว +1

      Sio kutendwa, Nani anahaki juu yamume zaidi ya Allah?Allah ni mjuzi zaidi,jambo la kuongeza mke limechukuliwa nikama haramu,naharam ndo inafanywa halal,hii ni Sunna kutoka kwa Mtume wetu S.A.W ustadhat wengi wanaiongelea kiunyonge sana"wanaigeuza ni uonevu na yamkini hawapendi kuongelea mada hii wanalazimika tu'lkn hawaoni kama ni jambo la kheri,mollah wetu ameiruhusu sisi viumbe ninani kwa Allah, hii ni ibada ya Sunna kama Sunna zingine,tujifunze kuipenda tutapata fadhila za Allah, ni kipimo cha Subra na mtu mwema ukiwanayo

    • @cheka480
      @cheka480 ปีที่แล้ว +2

      @@aairraahseif5648 Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu tone ya sauti yake sijaipenda imekaa kama ni mipasho zaidi ya dawaa. Na Allah anajua zaidi na anisamehe kama nimedhania vibaya. Uke wenza ni mzuri sana kama utapata wenzako wenye hofu ya Allah. Kuna faida nyingi mno katika hili basi sisi wanawake hatujui scientifically proven kuwa hili ni jambo jema. Binafsi nimetoka kwenye madhna kutokana na mtihani mkubwa nlopitia na sipingi maamrisho yake Allah ila namuomba Allah aniletee wa kwangu in shaa Allah kama ni kheri kwangu katika dunia na akhera yangu la imeandikwa madhna basi anipatie wenzangu wenye hofu ya Allah nisipitie kwenye misukosuko nlopitia.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      @@aairraahseif5648, Ndoa ni ibada na ibada yyte inatakq elimu na inasharti zake. Kwahio unapooa au kuongeza hali ya kua huna elimu juu ya unachokifanya utambue unaeza kujiona au kuonekana umeoa lkn mbele ya Allah ikawa unazini tu. Kwa hio kuongeza ni halal lkn kwamujibu ya w’me waliowengi wanavyoyachukulia kiurahisi tu upo uwezekano wa kuongeza kwao kukaa ni haram mbele ya Allah.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว +2

      @@cheka480 , Ttzo siku hzi wanaoongeza 98percent ni wale wale wazinzi ndio mana matzo mengi sana. Mtu mwenye imani ya dini hutafta njia za kujinusuru nafs yake na ahli zake lkn wazinzi ndio hutafuta kujitumbukiza kwenye Sunna baada ya kutosheka na kuzini kwa macho.

    • @cheka480
      @cheka480 ปีที่แล้ว

      @@Fear_Allah394 Ni kweli hilo naunga mkono. Tatizo ni watu kutokua na elimu ya ndoa na ndoa ya madhna.Advantages ni nyingi mno. Otherwise ndoa ni kitu kizuri mnoo. Mimi napata fahamu bibi yangu ni mke mkubwa na wallahi Allah amjaalie jannatul firdaus amelea watoto wa wenzie, nakumbuka mazishi yake watoto alowalea walisema tunamzika mama yetu nyie mlozaliwa nae kaeni kando. Mamangu na wenzake hawajachangia chochote tofauti na sanda marehemu alikua ashajinunulia siku nyingi. Yale mapenzi ya kuwalea na binafsi napenda madhna ila nlipigwa na kitu kizito japo alitamba bi mkubwa Mimi ndio mwanamke hakai mke mdogo kwenye ndoa yangu utajuta kuzaliwa na kuolewa na huyu bwana. Alhamdulilah namshukuru Allah. Na ndio Mana naomba Allah aniletee wa kwangu Kwan kwa Allah hakuna kubwa ameona uonevu mkubwa na WA aibu nlofanyiwa katika madhna ila ikitokea amenikadiria Tena madhna anijaalie wenzagu wenye hofu yake Allah(s.w.t). Nlopitia yameniadhiri kisaikolojia sana

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว +1

    Aya tufundishe mtume . Maana alietuambia tuoe wanne Hatujui . Nyinyi wake zetu ndiyo mnatjjua.Hivi vikao sikuizi vingi kweli.Nyumbani Kuna vita kwa ajili ya vikao Hivi.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Mtume s.aw alilea kizazi chake vzr lkn w’me wengi wanaooa siku hzi hua ni wake wasionakhofu juu ya Allah, hawashughulikii wtto ndio mana wtto siku hzi wanaharibika sana.

  • @لبااتتاا
    @لبااتتاا ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 ปีที่แล้ว +1

    Wewe muwongo labda mumeo ndio hana uwezo mwanamke gani anaetaka ukewenza hata mke wa tajiry hataki uke wenza

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว +1

    Ukhty ulianza vizuri ila mwisho umeboronga

  • @swiddiqabubakar7500
    @swiddiqabubakar7500 ปีที่แล้ว +1

    Lakini sauti ya mwanamke ni uchi ni haraam kuskia sauti zenu kuzitoa utub Dunia mzima iskie sauti Yako una madhamdi ukhti hata kama ni daawa ifanyeni kwa Siri sio kueneza sauti Yako kwa utub قال الله تعالى لا تخضعنا بالقول فىتمع الذى فى قالها مرضmungu asema musitoe sauti zenu kwa watu sije mkatia tamaa katika nyoyo ambazo Zina maradhi ,hii ukhti umeenda kinyume na Sheria sauti Yako yaskika Dunia mzimaaaaaa

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      Leo ndio umekua Sauti ya m’ke uchi?

    • @sallysafisanakijanakazibut1688
      @sallysafisanakijanakazibut1688 ปีที่แล้ว

      Bi Aisha aliongea vp na maswahaba wa mtume

    • @sallysafisanakijanakazibut1688
      @sallysafisanakijanakazibut1688 ปีที่แล้ว

      Kwa sababu maswahaba walikuwa wakimftwa bi Aisha wakikwama jambo. Mashaallah na alikuwa anayajuwa mengi

    • @jumashaameomar-hs1fo
      @jumashaameomar-hs1fo 9 หลายเดือนก่อน

      Wasanii wa kike Wana kaaa hadharani uchi na Wana changanyika wake na waume hii ni Haram lakini haya tuna kumbushwa

    • @jumashaameomar-hs1fo
      @jumashaameomar-hs1fo 9 หลายเดือนก่อน

      Hii SI haram

  • @ahmedmukolwe43
    @ahmedmukolwe43 ปีที่แล้ว +4

    Akitaka kuondoka sababu nimeoa aende tu

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 ปีที่แล้ว

    Nimekumisije nitafute pls

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Za wapi wajina wake na dada

    • @rayasalum5392
      @rayasalum5392 ปีที่แล้ว

      @@kalamuMedia nilikuwa mtoni Sasa naelekea Canada

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      @@rayasalum5392 shosti si uje uniweke kwenye mfuko

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      ​@@kalamuMedia hii mada nipana sana msiichukulie kitoto, inaathari kubwa ktk jamii za Islam kama hamta athamini na kujua dhawabu zake na umuhimu wake! Mmeibeba kanakwamba ni uzinifu na tamaa za w'ume lkn kuna mambo jamii ya Islam inaathirika ktk hili, kwa kuwa mwanamke ni mtu muhimu sana ktk jamii,na kutowaekimidha ktk hili nikuuangamiza uislam bila kujua,vizazi na vizazi vina kuja kurithi mfumo muovu kama huu kutokea ndani ya familia zetu,mnachukulia ni jambo la tamaa,uzinifu hautaisha kwa style hiyo, mnalibeba kwa nia mbaya na dhihaka kebehi, tune na sound zenu kimadharau kana kwamba ni jambo la haramu hivi'au niaibu 'au fedheha na ni dhambi kama uzinifu na umalaya!huwezi ondoa dhulma kwa kutenda dhulma

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว

    Maneno yako swadkita ukhut raya

  • @yasmeeenmusajuma6531
    @yasmeeenmusajuma6531 ปีที่แล้ว

    Kweli

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd ปีที่แล้ว

    Wewe dada unavuruga tuu mi ninavyoona

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 ปีที่แล้ว +1

    Mwaname anaowa kwa siry kutokana nyie humumudu mwaname rijali hamuwezi mke 1 hatoshelezi nyie wachoyo tutaowa kwa siri nyie wachoyo naume hamuwawezi

    • @mzeeomary5780
      @mzeeomary5780 ปีที่แล้ว

      Inshallah tena ukisema unataka kuoa tu mwanamke anavimba kama kitumbua kime wekwa amila sababu mwanamke mmja hatoshelezi ila hao wanafikii kweli nyumba zinaficha mengi Allah mwenywe ndio katuumba waja wake ila hao wanawake ndio tatizo ndiomana zinaa imejaaa tena ww bibi shehati acha kutufundisha wake zetu pumba nguvu zakiume huja pale vyungu nivingi

    • @ladybird-ng3wv
      @ladybird-ng3wv ปีที่แล้ว

      Fanyeni kazi mtimize majukumu yenu halafu ndio mseme mmoja hakutosheni. Kutwa mpo mitandaoni mnatizama nyuchi za w'ke kitakutosheni nn mnafikiri km si dongo??? Ndio mnapozidi uvivu mkatafuta wake wenye kazi zao msaidiwe majukumu yenu. Na too I random hallowed. Wengi mnaoa kwa ufakhari uonekane unawake wa2 kumbe wote wanahisabu boriti au mpkaa upate mizizi ya sheikh ndio ukutane nao.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 ปีที่แล้ว

      M’me rijali hufanya kazi akabeba majukumu yote mwenye we. Si atafute wenye kazi akaoe asaidiwe majukumu.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nicomment lakini nikaona basi.

    • @nahimanaaisha4284
      @nahimanaaisha4284 ปีที่แล้ว

      Unaowa siri mahar bimkubwa hakupewa havikwi haudumiw hasemeshwi jee uyo wakuolewa sir juu yanyumba yake pia nae ataachwa wanawake wenzangu tutubiyen juu iman zetu wanazivuruga ukty naomba no yako im box tuonge

  • @bas2823
    @bas2823 ปีที่แล้ว

    WHAT ABOUT MKE WA PILI KUZAA WATOTO!?? WAKATI KAOLEWA NA ANATAKA WATOTO WAKE MWENYEWE PIA!

  • @shokashara1511
    @shokashara1511 ปีที่แล้ว

    Leo umejistiri

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

      Kwani hawagi anajistiri muwe mnapita kama hna coment 😇

  • @rayasalum5392
    @rayasalum5392 ปีที่แล้ว +2

    Kweli yametukuta na bi mkubwa akijua humpa masharti mumewe niache mm au muache yeye na usiombe mume kuowa mke ndugu ndio umeangamia.

    • @iddially9770
      @iddially9770 ปีที่แล้ว

      We ni hizbiy unakanusha ruhusa ya Allah sauti yako nyenyewe ni uchi umerusha kamera unaongea utumbo nani hapo ulipo ulipo unapata madhambi kurusha hizo video tumbu kwa mollah wako unaona zifa wajinga wezako ndo watakusifia

    • @kalamuMedia
      @kalamuMedia  ปีที่แล้ว

      Umeangamia tena?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@kalamuMedia hio Sio sahihi

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@kalamuMedia ustadhat, waweke wenzio ktk imani na misingi ktk jambo hili la uke wenza,lkn mmekuwa hamjiamini kwanini? Sunna zote za mtume mmezikubali ila hii ya kuongeza mke nikama Israel na palestrina, ukiangalia kwa makini utaona ummati wa Mohammad S. A. W unapigwa vita Sio tu namaqafir bali hata na Islam wenyewe hasa w/wake wa Islam" uke wenza" hata nyie mlo na elimu ya dini hampendi mume aongeze mke! mmepumbazika nahili,nguvu nyingi kuupinga uke wenza kuliko kuangalia athari za Dini yetu mnaipinga sunnah hii mnapunguza ummat wa Islam,mnaona ni mzaha mada hii huwa hamuitendei haki inawauma siyo?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@kalamuMedia hata kama inawauma, hamuipendi watieni imani w/wake hili halikuja tu hivihivi'limo ktk Dini na kitabu cha Allah, Allah amewafadhilia hili msiwadhulumu wanaume haqi zao,Sunna hii ya Mtume wetu S.A.W,nimoja ktk misingi imara ya dini'wema imani ndani ya ndoa na familia za Islam!msijikufurishe na hili kumbukeni na muogopeni Allah

  • @feisal6592
    @feisal6592 ปีที่แล้ว

    Ndiwa za Siri wanaumeogopa vigwezo ya vishindo vya wanawake

    • @ladybird-ng3wv
      @ladybird-ng3wv ปีที่แล้ว

      Wanaoficha ukichunguza hana uadilifu. Huyo alokua naye hamtimizii anatafuta zigo jengine. W'me wenyewe wa siku hzi awawezi llte, hudum za ndani nusu kwa nusu au mke anajitimizia mwenyewe. Ssa atajiamini vp na anajua madhaifu yake? Isitoshe huyo mke alokua naye mmoja pengine miezi 2+ hajakutana nae.

  • @buifamily-iq4xq
    @buifamily-iq4xq ปีที่แล้ว

    Musifanye jambo hilo

    • @azizaramdan5879
      @azizaramdan5879 ปีที่แล้ว +3

      Mashaallah lakini mwana wake tupo weng sasa tukiangalia uweze wa wa kimali kwani mtume alikuwa na mali alafu unatufundisha nini ambao hatujaolewa

    • @abuarafatmkweli748
      @abuarafatmkweli748 ปีที่แล้ว

      @@azizaramdan5879 Swali zuri

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@azizaramdan5879 mashaallah,umeongea sadakta 👌Allah akuhifadhi Duniani na Aakhera(amin) hao maustadha wenyewe wanapingana na Sunna za mtume s.a.w, huwaoni ikifika mada hii ni chungu hata Kwao

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @Abdulrahman Yussuf kweli kabisa hawajiamini,hawa maustadha hata wao hawapendi Sunna hii, inawauma kweli,wanapingana na Mtume S. A. W na kitabu cha Allah Qur'ani, wakiiongelea mada hii wanaifanyia idhihaka hivi, kana kwamba haina umuhimu ktk dini, lkn hawajui hii nayo ni ibada pia, wameweka mbele zaidi maslahi yao kwakuwa wamesitirika wao basi tena wao ndio na thamani zaidi hawa jali na wenzao watasitiriwa nanani?chuki, roho mbaya za choyo zimewasujuma hata kuwatawala waume zao na kujimilikisha waume hao, Allah amewaruhusu 4 wewe mke 1 tu unaziba ridhki ya wengine 3,hii ni kutojiamini nakupingana na Allah S. W

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      @@azizaramdan5879 mashaallah swali zuri, vyema pia upate jibu ustadhat njoo utujibu tunasubiri