HATARI YA SHEMEJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @moanshabahrain8621
    @moanshabahrain8621 4 ปีที่แล้ว +7

    Asante sheikh izudin .tupe mafunzo .ndoa zina mitihan kwa wanaume na wanawake.mungu atunusuru inshallah .N balaa

  • @timaanwar9133
    @timaanwar9133 4 ปีที่แล้ว +7

    Subhanallah!!! Shukran ustadh kwa funzo kama hili,tuacheni uswahili wa kukusanya ndugu wa kike na marafiiki kuwaeka majumbani kwa mashemeji.

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 4 ปีที่แล้ว +5

    Mafunzo mazuri na faida sana haya ...
    Allah akujaze kher sheikh izzudin

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 4 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH ampe subra ya hali yajuu,aondoke kwa amani,najua ALLAH amempangia stara bora mahali pengine,mitihani hii yamashemeji, ALLAH atustiri

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว +3

    Sbhuana Allah inaumanga mungu ampe guvu dda wwatu na wanandowa wote liwe funzo shehk wetu shukran kwa ucya wtu Allah akupe mema nduniani na khahery wwe na familia yko na jamii islam amiin

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 ปีที่แล้ว

    Subhanallah 😢

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 4 ปีที่แล้ว +6

    Subhanallah Mungu ampe subra tatizo sisi hatufat dini inavyoamrisha wallah hawa warabu wana roho mbaya lakin napenda wanavyoishi...amiin kwa dua

  • @awaznasor2913
    @awaznasor2913 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallahu khaira sheikh

  • @farhiaibrahim2950
    @farhiaibrahim2950 4 ปีที่แล้ว +6

    Subhanallah,mungu atuepushe na aibu za aina hiyo na mengine pia.

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +1

    Waaalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazaak Allah kheir Sheikh

  • @abuusheyba0094
    @abuusheyba0094 4 ปีที่แล้ว +1

    JazakaAllahu kheiri sheikhi

  • @princessamnemuhamad3755
    @princessamnemuhamad3755 4 ปีที่แล้ว +3

    Subhannallah malaika wamenisimama ya Allah tunusuru na tamaa za ulimwenguni😪

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhana allah

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallaa inalillaah wainalillaah rajiun mungu atuepushie duu

  • @rahmahussein4019
    @rahmahussein4019 4 ปีที่แล้ว +2

    Powerful message .. thanks for sharing .

    • @myid9554
      @myid9554 ปีที่แล้ว

      Ahsant kwa ushauri mzuri wa daraja ya juu kabisa.mola akuzidishie elimu ya manufaa .jazaka LLAHU kila kheri

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akupe umri mrefu wa afya Amin

  • @sidkas2318
    @sidkas2318 4 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh mungu akuhifadhi...ukweli umeusema lakini watu hawasikii...katika moja ya definition ya madness ni kufanya the same mistake expecting different result...

  • @shufaamohd2336
    @shufaamohd2336 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah hakika duniani mtihani

  • @khanrashidi394
    @khanrashidi394 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah Allah akuhifadhi sheikh wetu dah kisa kinamazingatio sana

  • @aminabakari9719
    @aminabakari9719 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akibar ya rabi

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhana

  • @umkalthaminvestment9007
    @umkalthaminvestment9007 4 ปีที่แล้ว +1

    SubhanaAllah. Inasikitisha sana

  • @_TheChronicler
    @_TheChronicler 4 ปีที่แล้ว

    Shukran ustadh,mawaidha mazito Sana,nakufatilia nkiwa Bungoma,Allah akujaalie uendelee kutuelimisha

  • @tatuhaneni5898
    @tatuhaneni5898 4 ปีที่แล้ว

    Subhana llah 😪

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhanallah wallah nitihani allah atustiri na ampe subra huyo dada yetu

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa shukran Sheikh .

  • @sanurandune8066
    @sanurandune8066 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Sana kwa mafunzo mazuri

  • @aliidirisaxmedhuvavaruu6384
    @aliidirisaxmedhuvavaruu6384 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah mawaidha mazuri

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtihan subuhanallah

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah shukuran sana shekh wetu kisa Chenye mafunzo muimu sana

  • @ramadhanramourz2247
    @ramadhanramourz2247 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh mola akuzidishie miaka mingi inshaallah

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 4 ปีที่แล้ว

    ALLAH akuhifadhi

  • @YH-bn9ks
    @YH-bn9ks 4 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah😲😲😲

  • @fatumaali9517
    @fatumaali9517 4 ปีที่แล้ว

    subuhanaAllah
    amrundishe kwa wazazi wake
    na achane na mumewake .
    Hata akimuwowa ananyangamya
    na medbringe mwanaume
    si wakuaminiwa

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 ปีที่แล้ว

    Shukran shekh izudin

  • @tutahamudy2534
    @tutahamudy2534 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukran

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 4 ปีที่แล้ว

    SubhanaAllah. Very sad 😭🥺.Mola atusitiri waja wake. Ameen!

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 ปีที่แล้ว

    Mtihani jaman

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 4 ปีที่แล้ว

    ASALAM ALEYKUM WARAHMATULLAH

  • @aishanassor8130
    @aishanassor8130 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @zakiyakassim9331
    @zakiyakassim9331 4 ปีที่แล้ว +1

    huo ni uvundifu tu na tamaa mungu atatupa subra

  • @filvobrowbrown6238
    @filvobrowbrown6238 4 ปีที่แล้ว

    mashallah

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 4 ปีที่แล้ว

    Amwachie mungu mungu ampe sibra na nguvu

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo hata hukijipamba hakuna mtu hata kuona kwani sasahivyi kila mtu barakoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shadyborki460
    @shadyborki460 4 ปีที่แล้ว

    mwenyezimungu akuzidishie pia ww

  • @aminabakari9719
    @aminabakari9719 4 ปีที่แล้ว +3

    Kama mie shehe walianzana kipind atuko katk ndoa je had sas hiv mie nimeolewa je ndoa yangu atakuwa salama kwel

    • @binrashid8671
      @binrashid8671 4 ปีที่แล้ว

      Sasa hapo waulza nn? Tangu kabla hujaolewa washaaanzana bado ukaingia kwenye ndoa leo tena? Too late

  • @mejalomayani1606
    @mejalomayani1606 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ni masai ila nimekuelewa shekh kwa mafundisho mazuri

  • @hafidhmabaraza6812
    @hafidhmabaraza6812 4 ปีที่แล้ว

    NI sahihi m.mung atuepushe na balaa hilo

  • @ameenaameena5727
    @ameenaameena5727 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh izudin hujawahi kuniangusha kabisa

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 4 ปีที่แล้ว +1

    Naam shekhe

  • @vitadzuya9990
    @vitadzuya9990 4 ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum sheikh ..nauliza sheikh kisheria huu ushauri jaman waeza msaidia huyu dada .

    • @vitadzuya9990
      @vitadzuya9990 4 ปีที่แล้ว

      Sheikh ....waume wengine ni kama wanyama hawaoni aibu yuaeza muoa huyo huyo shemeji yake subhanallah

    • @binrashid8671
      @binrashid8671 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna ushauri bora kuliko huo na akijikaza akaufanyia kazi ataona faida yake mbeleni...hakuna hakuna hakuna njia ya kusuluhisha hapo zaid ya ushauri huo coz vovote itakavo kua wakikutana lazima wataendelea

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 ปีที่แล้ว

      @@vitadzuya9990 lakini makosa yako na wanawake kuwaleta ndugu zao karibu na mabwana zao ususan ndugu wa kike ndio uwa karbu zaidi na mashemegi zao na sababu kubwa na mke alie olewa

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 4 ปีที่แล้ว +2

    Haifai hata kama shemegi haram ajnabi

  • @aisham3
    @aisham3 4 ปีที่แล้ว

    Wambie hao wasituharibie raha za mawaidha kila mara kutia matangazo ya kibiashara

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 4 ปีที่แล้ว

    Kaka Zaydu upo tutafutane waadimika sana

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 4 ปีที่แล้ว

    Assalam alaykum shekh naomba unisadie na namba yako niko na swali

  • @famidaa4524
    @famidaa4524 4 ปีที่แล้ว

    Asijiue ampe twalaka yy atizame mtoto AL atamujalia mke mwingine

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤦‍♀️

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah

  • @zaidumohd3125
    @zaidumohd3125 4 ปีที่แล้ว +4

    Shukran

    • @fardhiyambarak463
      @fardhiyambarak463 4 ปีที่แล้ว

      sheikh niko na swali..

    • @fetysukafetysuka8811
      @fetysukafetysuka8811 4 ปีที่แล้ว +3

      subhanaallah haya yanatokea sana.kuna kisa kimetokea juzi mtu na rafiki yake wakushibana kasafiri kurudi kamkuta na mke wake kawaangalia kisha karudi nyuma baada ya hapo hakufanya chochote akazidisha mapenzi kwa rafiki yake na kwa mke wake.kilichotokea yule mfumaniwa wa kike ndo anahangaika kumuitia watu kila akiulizwa anasema mm sijawafumania mpaka kashita kwa wazazi pia akawakatalia.kaenda mpaka police anasema hana raha kabusa anajiuliza hajui anapanga nini moyoni mwake kuna wanaume wanavifua mashaallah

    • @fetysukafetysuka8811
      @fetysukafetysuka8811 4 ปีที่แล้ว +1

      nilikosea mwanaume mfumaniwa ndo anahangaika hivyo anahadisia siku ya pili yake akawatoa mwaka mpya anasema hata hiyo hamu ya kula sina kapatwa na wasiwasi mkubwa

    • @abdulshakur8425
      @abdulshakur8425 4 ปีที่แล้ว

      @@fetysukafetysuka8811 subhaana llaah