In shaa Allah,, Ya Raab atunusuru na nakila mabaya,,,dini siku hizi imegeuzwa,,,mashekhe wanapinduwa mafunzo ya mwenyezi mungu,,,Mola akuzidishie umri ili uzidi kutupa ilmu,,,,nakuombea xana ufike Kisumu,,,
Alhamdulillah alhabib, leo niko off kazini basi tokea saanane mchana niko kwenye you tubes zako nakusikiza wallahi nawala sijachoka nahivi sasa ni saamoja usiku...mashaAllah mola akuzidishie ilmu yako akubarikie yotte...waisambaza dini waifanyakazi ya Allah, mola azidi kutunufaisha...Allah twawil umraak yahabib.
Shukran wajazakallahu Kheri swali umesema mwanamke Hana lazima ya kuangalia wtt je mwanamke awe Na Mali akifa je mume aweza kurithi Na ile Mali iwe ya mwanamke kila kitu
My Favorite Sheikh Kila Nikikuskia Nafaidika sana👍
Allah(s.w)akujalie pepo na mwisho mwema shekh
Mashaallah mawaidha mazuri inshaAllah Tuwe wenye Kuyafuata
Hakika fani imepata mwenyewe
Sheikh wangu kwa kipindi hiki sijaona kama wew. Upo vizuri masha Allah kheir
Sheykh izzuddin, Allah Azidi kuikuza ilmu yako tuzidi kupata Athari ya ilmu yako,Ameen.
Shukran sheikh wetu kwa mawaidha mazuri unayo tupatia tunamuomba Allah akujaalie umri mrefu na elmu zaid uzidi kutuelimisha sisi pamoja na vzazi vyetu
Allah akupe umri wenye kheri na baraka ISHALLAH
Mashallah ustadh mchu ni kwao naona umekhatimisha ramadhan kwenu mungu akuhifadhi
Jazzakamullah kheir sheikh....Allah Akupe mwisho mwema....Aaamiiin
from Zanzibar island nakupata vizuri sheikh wangu
Sheikh lzudin Mashaallah Allah akuongoze vyema na akujaalie uhai mrefu uzidi kutufundisha Amin
Mashallah Allah akupe kila la kheri
In shaa Allah,, Ya Raab atunusuru na nakila mabaya,,,dini siku hizi imegeuzwa,,,mashekhe wanapinduwa mafunzo ya mwenyezi mungu,,,Mola akuzidishie umri ili uzidi kutupa ilmu,,,,nakuombea xana ufike Kisumu,,,
Mashalla mungu awaongoze watto wetu amin
Sheikh nakupenda saaana kwa ajili ya Allah s.w.t.
Maashallah
Allah akulipe kila la kheri Aamiin
as salam alykum mm ndug yako katika iman abdullah basalama allah akupe umri twawil tuzidi kufaidika na kufata ambayo kidog yalituponyoka katika iman
Maashallah sheikh Allah akuongezee
Ninakuwelewa sana sheikh wangu,mungu akuzidishei ahayai,amem
Jazzakum lawgheiry
Mashaa allah shekhe uko vzuri Allah akulinde nakila shari
Asalam aleykum mashekhe tunawaomba uwe unawatembelea waumini wezenu hali ya dini inapolomoka haswa wilayani na vijijini karibuni nyamtumbo luvuma
Alhamdulillah alhabib, leo niko off kazini basi tokea saanane mchana niko kwenye you tubes zako nakusikiza wallahi nawala sijachoka nahivi sasa ni saamoja usiku...mashaAllah mola akuzidishie ilmu yako akubarikie yotte...waisambaza dini waifanyakazi ya Allah, mola azidi kutunufaisha...Allah twawil umraak yahabib.
Abdul Babalao mola akubarikie na atutakabalie kwatuyafanyao
Izudin Alwy Din salaam Aleikum mm nahitaji kuuliza Ile sikupati katika What's App na swali linanikera moyoni tafadhali naomba
Abdul Babalao wallah vipindi vyake vinafundisha sana
@@najma3268 naam
Mashallah sheikh letu, mungu akulipe
Mashallah mashallah mawaidha helwa maraa
Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa amin
Wasema kweli ustadh
Mashaallah Jazakallahu kheri
mashaAllah Allah akuzidishie kheri inshaallah
MashaAllah.
Hapana shekh vitimbi vya wanawake nivikubwa sikubaliani nawe kwa hilo . Ila samahan
Hujamuelewa vizuri
Nafurahia sana mawaza yako alla akupe afya karibu tanzania tabora
Mashallah jazaakallahu lkhairi
Allah akulipe kila la kheri Amen
Shaban Kajara Aamin
Shuk-ran sana sheikh tunaendelea kufaidiaka
Allah akubaariik shekhe letu......alhamdillah nafaidika kwa hizi durus zako
Allah akulipe pepo
Salallahu alaihi wasalam 💘
Shukran shekhe allah akujalie kheri na barka nying allahuma amiin
Aslmk.ni.kuwanabwana.hakanikatabilasababu.nasaihameowa.kaziyakenikutumapichakwasimuyangu..
Salama Alsumri salmk.mimi.bwana.uyohanashangazamimihamenihachabilasambu..basi.utumapichakatika.icmuyangu.jebifayeje
MashaALLH
Salama Alsumri
Asante sana
maashaaAllah sheikhna Allah akubarik akuzidishie ilm naafia
tunafaidika sana jazakallahu aljannah
Shukrani jazakallahu Khair
Amiiin yaa Rabb
Shukran wajazakallahu Kheri swali umesema mwanamke Hana lazima ya kuangalia wtt je mwanamke awe Na Mali akifa je mume aweza kurithi Na ile Mali iwe ya mwanamke kila kitu
Fatima Said ndiyo mume anamridhi mke wala hakuna kizuwizi
Kutoyuwa au kutojua shekhe kiswahili siunajua tunajifunza
Mashallah
Mash'Allah
MASHALLAH ALEIK
Swali mm mumewagu. Toka stoke juu mwezi wa 8 hajalejea nyumbani he? Bado Mimi mkewe ?
maashaaAllah
sheikh Allah anijaalie niwe kama wew *amini*
Amin
Dr. Abdi Nassir mola akujalie unishinde mm uwe bora na bora zaidi yangubmm in shaa allah
ameen inshaallah uwe zaidi ya shekhe huyu
Inshallah,allahuma amin
Mashallah Jazakallahulkheir
Masha Allah
Masha allah
mashaallahl
Allah akulipe kwa kila jambo jema.
Amin
Habshuu A
Shk Allah akulipe
JAZAKALLAH KHEYR
Nashukurusana shekhe kwakutufayidisha
Mashaallah
Masha Allah
Sheikh madamu darsa waziweke mtandaoni ukitumia kiswahili cha ki lamu sema na kiswahili cha ki Mombasa ndio tuelewe (zembe) (
kuzanya)
Basi aseme na Cha Tanzania 🙋
Mimi wa Tz nimemuelewa kabisa
Amin inshallah
Mashaallah alhamdulilah
Kweli wanaume vitimbi vimezidi va wanawake esp karne hizi
Je mtoto kumtolea fitri nikuanzia miaka mingapi mpaka mingapi
Hata akizaliwa b4 salah ya Eid yakulazimu utowe zakatul fitr.
Masha Allah basi hicho kilamu...napenda kukiskia sheikh wanichekesha
Mashallah
Mashaallah
Masha Allah
Mashaallah
Masha Allah