Mkutano-siamini macho yangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 4 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nawaza hivi wazee wetu walipokuwa wanapewa shanga na wakoloni na wao wanatoa dhahabu,hivi walikuwa wanawaza nini na walikuwa timamu kweli,na sasa nayaona kumbe tusiwadharau wale wazee wetu kumbe ni jadi yetu,hivi Kazi kubwa anazozifanya Mh Magufuli hadi dunia inashangaa,wenzetu uchumi umeshuka ,sisi ndiyo kwanza tunaingia uvhumi wa kati kabla ya muda wa malengo yetu,hivi wewe unayedharau na kuzomea unaakili kweli?au laaana?Mungu aseme nawe leo je ni Rais yupi yule tuluyemuona akitejekeza kwa vitendo au hawa wa maneno tuu.Hebu sema na Mubgu wako.kumbe watanzania tumezoea maneno matamu bila vitendo.Mungu aingilie kati tumtie moyo Mh Magufuli kwa kazi nzuri na anastahili kuwa kiongozi

  • @thegreatsource2953
    @thegreatsource2953 4 ปีที่แล้ว

    Naomba sana Lissu akishinda arudishe Kodi ya Kichwa, Ada mashuleni watoto wanasomaje Bure aisee, Ushuru wa Baiskeli, Ushuru wa wafanya Biashara ndogondogo na makusanyo mengi ili serikali ipate fedha nyingi kwaajili ya Ujenzi wa Ofisi za Chama kwenye Wilaya zote Tanzania na Mikoa yote. Tulipe ili tuweze kujenga nchi yetu, #Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Lissu💪

  • @naishookinevel9449
    @naishookinevel9449 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awalinde viongozi wetu 😍 Mungu mlinde lisu kama ulivyo muokoa maisha yake

  • @peacepallangyo9768
    @peacepallangyo9768 4 ปีที่แล้ว +1

    Asimilia 💯 chadema mbele kurudi nyuma ni mwiko kabisa 2020.hadi mwaka 3020.chadema100

  • @elizazakaria9420
    @elizazakaria9420 4 ปีที่แล้ว

    Mbeya is the best of luck

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Dahhhhhhhhhhhhhhh uyu yani mbunge tu at a magu haoni ndqni mhh

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 ปีที่แล้ว

    C kweli video za kuunganishwa hizo

  • @abelmasele6836
    @abelmasele6836 ปีที่แล้ว

    Makamanda peoplezzzzzz!!!!

  • @rinovarthiliwi1314
    @rinovarthiliwi1314 4 ปีที่แล้ว

    Mikutano ya Siasa Tanzania lazima ijae watu kwa sababu mumeua viwanda vya kutoa ajira na kununua Ndege. Siasa ni shidaaaaaa.

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 หลายเดือนก่อน

    Chadema ilikuwa ichukuwe nchi zaman

  • @sijaliabdhallah1731
    @sijaliabdhallah1731 2 ปีที่แล้ว

    Ata Mimi siamini hilo nyomi sijawai kuona

  • @simonliduke8570
    @simonliduke8570 4 ปีที่แล้ว

    Hii chadema ya Dr slaa haita kuja kutokea tena

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ni yule Zitto Kabwe opportunists aliyefukuzwa Chadema. Eti ilikuwa waungane wamutowe Rais MAGUFULI our GOD sent President WATAWEZA? HAWAWEZI

  • @ngagidaudi5958
    @ngagidaudi5958 4 ปีที่แล้ว +1

    Good na Mungu atutangulie nami 2030 ni lazima nigombee

  • @deocostar1162
    @deocostar1162 4 ปีที่แล้ว +1

    Nguvu ya umma

  • @yonabilshan6424
    @yonabilshan6424 4 ปีที่แล้ว

    Duuu wapo Tena wale walosema upinzani umekufa

  • @renatapauli9872
    @renatapauli9872 4 ปีที่แล้ว

    Peopleeee napenda chadema sana

  • @mtengulerashid7868
    @mtengulerashid7868 4 ปีที่แล้ว

    Ninyi.watu wa mbeya.badilikeni mnamchagua mbunge kila siku rumande ndiomaana hamna maendeleo amewafanyia nini.cha maendeleo hiyo sugu ? Mjitafakari

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 4 ปีที่แล้ว

    Tunduuuuu la shetaniiiiiii

    • @sagutihussein3697
      @sagutihussein3697 4 ปีที่แล้ว

      Pombeee imelaaaniwa ni haramu
      MwnyZ mungu kaiharamishaa
      Msinywe

  • @faridaharifa2511
    @faridaharifa2511 4 ปีที่แล้ว

    Ccm mngekua mnaenda mazuri chadema

  • @MwarabuTz
    @MwarabuTz 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo ni miaka 9 iliopita but CCM iko pale pale wai

  • @sarahjohn1093
    @sarahjohn1093 4 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda sana chadema family

  • @robertdioniz3364
    @robertdioniz3364 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe na kipindi hicho mlikuwa na watu nyomi ivo bado mkaanguka na leo hii bado mnapiga kelele. Utaendelea kutoamin mpaka kufa kwako. Ccm no 1, nyie wengine kalale mnatufokea bhana 🙄

  • @abubakaryomary3985
    @abubakaryomary3985 4 ปีที่แล้ว

    Umoja ni nguvu

  • @ibramanoma5275
    @ibramanoma5275 4 ปีที่แล้ว

    Mumetisha

  • @fadhirimwaruka8789
    @fadhirimwaruka8789 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe ndaza

  • @samsonmweta5040
    @samsonmweta5040 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo ana chama chake binafsi
    😀😀

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 4 ปีที่แล้ว +1

    Shule hazikufungwa, ni mtu mzima nyomi!

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 4 ปีที่แล้ว

    Waliosema chadema imekufa wajipange cheki hiyo nyomi

  • @hamisrashidi6922
    @hamisrashidi6922 4 ปีที่แล้ว

    Jaman naomba kuuza hivi kunawasinii au

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 4 ปีที่แล้ว +2

    Picha za miaka 9 iliyopita ndo mnatuwekea.

    • @salimhusseni4784
      @salimhusseni4784 4 ปีที่แล้ว

      Wamechoka mapicha tangu utawala wa mweheshimiwa kikwete duuh pumba tu

  • @alyssagiven6566
    @alyssagiven6566 4 ปีที่แล้ว

    Kwan niyie melogwa na nn jaman

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania fanyeni mabadiliko tuko nyuma yenu tutawalinda. Acheni kutishwa na hawa CCM hawana msaada wowote nchi hii. Wananunua Ndege hazina pa kwenda wanaacha kufufua viwanda vyenye kutoa ajira kwa vijana. Boda boda zikichakaa mtafanya kazi gani sasa ndugu zangu. Kura zenu ni za siri mchagueni mtu atakaebadili nchi. Toka Magufuli aingie madarakani afya za Watanzania wasio wa CCM mbaya sana. CCM wananenepa tu lakini Watanzania wenye kuzalisha na kulipa kodi wanakondeana tu. Wakati CCM wanataka kuongeza ndege CHADEMA fufueni viwanda na kuwajengea Watanzania huduma muhimu.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว

    Kwenye mitandao bana mnamdanganya sana huyu tundu

  • @luluamri370
    @luluamri370 4 ปีที่แล้ว

    Mnafukua makaburi 🤣🤣🤣kila aliondoka na watu wake kama alivyokuja kuanzia dr silaha

  • @francistairo6849
    @francistairo6849 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni yeye

  • @amanirashid9011
    @amanirashid9011 4 ปีที่แล้ว

    Mwaka 2015 tunataka 2020

  • @selemaniahmadi8501
    @selemaniahmadi8501 4 ปีที่แล้ว

    Hapo panaitwa mkendo

  • @abubakaryomary3985
    @abubakaryomary3985 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalah

  • @deogratiasmassawe4543
    @deogratiasmassawe4543 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwaka huu niwakwetu

    • @remvugibo5804
      @remvugibo5804 4 ปีที่แล้ว

      Sawasawa tumechoka viongozi wetu wameteseka sana na CCM safari hii mungu katuona mshikamano wetu nchi zima

    • @revocatusjames573
      @revocatusjames573 4 ปีที่แล้ว

      Mwaka huu nyinyi wajinga kwel zitto no chadema

  • @milhajiabdallah2787
    @milhajiabdallah2787 4 ปีที่แล้ว

    Mtabaki hamna stendi wala maendeleo

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 4 ปีที่แล้ว

    Watanzania tunataka mabadiliko hizi boda boda zikichakaa tutafanya kazi gani. Tumchagueni Tundu Lissu afufue viwanda alivyojenga Mwalimu Nyerere CCM wakaviua. Lissu atatujengea mashule ya kutosha watoto wasome. Leo hii watoto waliofaulu kidacho cha 4 kwenda kidato cha 5 wamekwama hakuna mashule wanarudi majumbani. Wafanyakazi wanakaa miaka 5 hakuna kuongezwa mishahara ili zinunuliwe ndege za kuanika juani.Tumechoka kuona inanunua ndege huku wanatukana Wazungu wenye viwanja vya kutua ndege ulaya na Marekani kwa kuwaita MABEBERU/MASHOGA. Hivi ni akili kutukana mzungu anaekutumia Watalii kwenye nchi yako. Mzungu anakuletea madawa hosipitalini unamuita BEBERU/SHOGA mimi nadhani CCM wamechanganyikiwa. Binadamu mwenzako unamuita SHOGA mimi naomba Mungu usiku na mchana wasisikie haya matusi. Hivi haya matusi ni kwa ajili ya kodi za CHADEMA, ACT, CUF, TLP, NCCR, CHAUMA na wengineo tunazolipa Serekali kuletea nchi maendeleo CCM irudi itambe na kutukana kuwa kila kitu wamefanya wao. Siku tukikosa kodi kabisa au tukipata janga itakuwaje na sisi tunaishi kwa kutukana. Majirani wametuchoka kwa ajili ya matusi ya CCM wakiwa majukwaani. CCM wachome vifaranga, na kupiga risasi ngombe za majirani tunawangalia tu tutakuwa wageni wa nani tukikosana na majirani. "SASA BASI""

  • @odith_odith
    @odith_odith 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe Tundulisu ndo alivyo fanya hivyo kabla ya kuja Tanzania sikiliza 👇👇👇👇
    th-cam.com/video/U5Ca3QHTrfc/w-d-xo.html

  • @francismnyige9310
    @francismnyige9310 4 ปีที่แล้ว +2

    Chadema moja

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 ปีที่แล้ว

    Mwaka gani?

  • @deogratiasmassawe4543
    @deogratiasmassawe4543 4 ปีที่แล้ว +3

    Wataelew2

  • @mussamapesa5632
    @mussamapesa5632 4 ปีที่แล้ว

    Arusha washamba wengi

  • @godifreymasawe3209
    @godifreymasawe3209 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kwa anae faham apa niwap anijulishe

    • @jastininjano262
      @jastininjano262 4 ปีที่แล้ว

      Lina maana gani hasa kwa mtu mzima

  • @deogratiasgabriel8555
    @deogratiasgabriel8555 4 ปีที่แล้ว

    Zilipendwa

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 4 ปีที่แล้ว +1

    Pipozzzzzzzzz pombeeeeeeeeddsdss

  • @remvugibo5804
    @remvugibo5804 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmetufunika Arusha tupo pamoja

  • @elimenardmgonja6966
    @elimenardmgonja6966 4 ปีที่แล้ว

    Yeyeeeee

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 4 ปีที่แล้ว +1

    Wote hao unaowaona na ccm wataishangilia wamenunuliwa sehem mbali2 hao chadomo nao watu

    • @mugehans1660
      @mugehans1660 4 ปีที่แล้ว

      Nape na bao LA mkono yupo, hatuogopi

  • @joeljames8420
    @joeljames8420 4 ปีที่แล้ว +1

    Nani nipo Musoma ,uwingi wa watu usikupe matumaini, sio wote watakupigia kura. CCM TUMEJAA ,tunakuangalia unavyojigonga .

  • @gizakazeno1688
    @gizakazeno1688 4 ปีที่แล้ว

    Enzi za kina zito

  • @lugembesweya3288
    @lugembesweya3288 4 ปีที่แล้ว +1

    Ccm ccm

  • @odith_odith
    @odith_odith 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe Tundulisu ndo alivyo fanya hivyo kabla ya kuja Tanzania sikiliza 👇👇👇👇
    th-cam.com/video/U5Ca3QHTrfc/w-d-xo.html