Wananchi Maeneo Mbalimbali Nchini Wachachamaa, Washirikiana Kudhibiti Uhuni, WAWATIA NGUVUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 132

  • @nasraomar2449
    @nasraomar2449 12 วันที่ผ่านมา +16

    CCM hawajawa tayari na demokrasia

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 10 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa wananchi kufichua haya.wananchi amenities acheni usingizi

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 12 วันที่ผ่านมา +9

    Yaani kwa uwezo wa Allah CCM uchaguzi ujao itaondoka madarakani. Tumechoshwa nayo. Nchi imewashinda. Lakini wanatumia udhalimu tu kuiongoza.

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 11 วันที่ผ่านมา +3

      Haya mambo ya hapa Duniani tusimsingizie Mungu,Wananchi tuchukue hatua kali dhidi ya hawa watekaji,wauaji,wezi wa Rasilimali zetu na wezi kura wakati wa uchaguzi,CCM ni janga la taifa,tuiondoe madarakani,hapa asiachiwe Mungu ni UBAYA UBWELA.

    • @JumaNjiku-df1fd
      @JumaNjiku-df1fd 11 วันที่ผ่านมา

      Mungu ni mwanasayansi hashughuliki na mambo yanayobadilishwa kila kukicha. Hatasaidia watu kushinda au kushindwa. Hili ni jukumu letu, tukiamini mungu ataingilia kati tazama mayahudi yanavyotesa na kuteswa pia lakini hakuna nguvu kutoka mbinguni kusaidia. Achana na ndoto!

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 11 วันที่ผ่านมา +1

      @@JumaNjiku-df1fd Nikweli kabisa

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 11 วันที่ผ่านมา

      Ndoto

    • @w4058
      @w4058 9 วันที่ผ่านมา

      Watanzania tuamke wenyewe na CCM ni waongo wanafiki wasiaminiwe

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 12 วันที่ผ่านมา +9

    Ccm chama change mnanitia aibu

    • @w4058
      @w4058 8 วันที่ผ่านมา

      @@neemanziku5403 hawajui aibu imekaa vipi ndio maana

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ccm ama kweli wauwaji na wezi wakuu hiko chama cha ccm hakitufai Tz

  • @AkwilineKawishe-t3d
    @AkwilineKawishe-t3d 11 วันที่ผ่านมา +3

    Good wananchi.

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 11 วันที่ผ่านมา +4

    Hiyo ndiyo ccm, ukishazoea kula nyama ya mbwa mwisho utaihalalisha ndivyo ivanyavyo ccm wizi ktk uchaguzi na mali za umma kwao ni sawa tu

    • @ZaharaAlly-ic2yz
      @ZaharaAlly-ic2yz 5 วันที่ผ่านมา

      Na walivo dhulma ukisema hakki unatekwa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 11 วันที่ผ่านมา +1

    Milady Ayo na Global hawawezi riport hii sijui kwa nini wakati ndiyo tunawaamini kiasi😢

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 11 วันที่ผ่านมา +8

    CCM wanaiba kweli, lakin wanatia aibu jaman!!

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 11 วันที่ผ่านมา +1

      kila siku wanajitamba kuwa ccm inakubalika lakini ikifika uchaguzi wanaiba kura hapo utagundua kuwa CCM ipo madarakani kwa mabavu na sio ridhaa ya wananchi

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hatari sana

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu fundi tutaona mengi sana mapaka uchanguzi uishe mungu huu ni ufuno mwenyezi mungu anafanya kazi yake apa nihaki tu mungu ni moja tu jamani

  • @paulrwechungura4284
    @paulrwechungura4284 2 วันที่ผ่านมา

    😊😊

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sana ndugu zangu watanzania tufanye maamuzi ya maendeleo ya nchi yetu

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 4 วันที่ผ่านมา

    Yaani bado wapo nje.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahaa,,hovyo mapema sana

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 6 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wapinzan mnajitakia hawa mkiwapiga wagapigia watasoma lakin mnawachia hata kofi

  • @SaidiKitange-us2ej
    @SaidiKitange-us2ej 12 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania ni nchi ya amani ila ccm na polisi ndo wanao leta vurugu Tanzania.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 11 วันที่ผ่านมา +2

    WATANZANIA tunapenda kufuatilia mambo ya nchi zingine kama ya akina pididy lkn twaacha yetu ya msingi kama haya.

  • @KhamisSeif-t3d
    @KhamisSeif-t3d 12 วันที่ผ่านมา +3

    Tunawaomba waandishi wa habari mutusaidie kufichuwa maovu ili nchi yetu ibaki salama

    • @ZaidAKissinza
      @ZaidAKissinza 12 วันที่ผ่านมา +2

      Waandishi gani

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 11 วันที่ผ่านมา +4

    Tuache kufuatilia ya hexbola na Israeli tuaze kufuatilia ya nchi yetu

    • @SaidKawela-qy5wv
      @SaidKawela-qy5wv 11 วันที่ผ่านมา

      Hahaaa hebu tufatilie mashariki ya kati tujue nani kapigwa leo hapa bongo tupaache

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 12 วันที่ผ่านมา +3

    M cc mijizi midhalimu wanatafuta mbinu za kuwa watu

  • @B23-i8p
    @B23-i8p 12 วันที่ผ่านมา +2

    Waandishi wa habari hawawezi kulipoti hizi taarifa nchi ipo kimya kama hakuna uchaguzi mbele

  • @FrankNzombo-k3j
    @FrankNzombo-k3j 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hawo ndo wa kuwa mana wanatufanya.tuendelee kuwa masikini

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 10 วันที่ผ่านมา

    Kwani ih nchi ina shida gani haswa kwa nn wasiachiwe wananchi wakachagua viongozi wanaowataka kuliko kuwalazimisha kuwawekea viongozi wasiowataka

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 11 วันที่ผ่านมา

    Mama yuko kaziniiiii mama kaziniiiii

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 11 วันที่ผ่านมา

    Kweli, kazi ipo. CCM hawajiamini.

  • @MakameAly
    @MakameAly 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hao wezi bila kukinukicha hakuna liwalo

  • @BadiFakibadi
    @BadiFakibadi 12 วันที่ผ่านมา +2

    Pigamot haoo

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 11 วันที่ผ่านมา

    Uweni huyoo uwaa

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mkwe waziri du anasimamia Watanganyika tumelogwa

  • @RehemaOmar-k8u
    @RehemaOmar-k8u 11 วันที่ผ่านมา

    Wakamataji waongo huu ni mchezo wa kuigiza hao ni wapinzani wenyewe kwa wenyewe hao kukitia Chama cha CCM ubaya tuu.

  • @rogerssiwale
    @rogerssiwale 8 วันที่ผ่านมา

    Pambana nao mpaka kieleweke washenzi sana hao wamezoea kula bila kunawa hawana akili

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 11 วันที่ผ่านมา

    Safi sana,kazi NZURI ,wanaweka watoto?

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna tatizo kubwa la kutenda haki na kusimamia haki.mm sihangaiki

  • @InnocentEdward-h6v
    @InnocentEdward-h6v 11 วันที่ผ่านมา

    jamani Mungu wa haki atusaidie

  • @NestorSimbi
    @NestorSimbi 12 วันที่ผ่านมา +6

    Mnatia aibu ccm

    • @venanceroman5113
      @venanceroman5113 11 วันที่ผ่านมา

      Hahaha😂😂😂😂😂😂

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 10 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli ni feki hawakuulinzi unakaa wapi yaani hawadadisi kabisa Kuna vitu ccm wamepanga

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hata mjisumbue wawe wapinzani au ccm, Sisi tutawaachia, hakuna uchaguzi ila maigizo ya uchaguzi..bora kirudi kivuli na picha ya mtu ili tuache kuchagua kivuli tumchague mtu

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 12 วันที่ผ่านมา +1

    Piga mbwaaaaaa huyooooo

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kwahili hakuna kukosea maana mumelijua mwanzo kabla ya kulifanya. Kwahiyo tutawawajibisha jinsi tunavyojua sisi. Maana serikali haitokufanyeni kitu maana mupo pamoja nao.

  • @hamissomary6869
    @hamissomary6869 12 วันที่ผ่านมา +1

    Uchaguzi huuu ccm mtakunya maviii"mmezoea mmayeeeewwe

  • @AdamuIbrahimu-e9m
    @AdamuIbrahimu-e9m 11 วันที่ผ่านมา

    Hio ni comed Yenu wapinzani CCM haina ubabaishaji

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 วันที่ผ่านมา

    AIBUU KUHUBIRI HAKI

  • @HassanRubota
    @HassanRubota 10 วันที่ผ่านมา

    Mm nimefika kituoni kuandikisha naona huu uandikishaji ni ni feki huulizwi unaishi wop kwahiyo mtu mmoja anaweza akaandika hata vituo 3 sababu hakuna data za huyo mpiga kura

  • @VitalisMmassi-oh4jb
    @VitalisMmassi-oh4jb 11 วันที่ผ่านมา

    Nchi ya hovyo sana wizi mtupu.

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 11 วันที่ผ่านมา

    Nyumbu wananaswa mmoja baada ya mwingine

  • @ndimizarohomtakatifurichar9802
    @ndimizarohomtakatifurichar9802 11 วันที่ผ่านมา

    Wana andikisha kwa siri sana

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve4522 11 วันที่ผ่านมา

    Wewe kijana wa njombe unatuzalilisha

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 11 วันที่ผ่านมา

    Yani ccm mnaharibu sana ndiyo maana ccm imekuwa ikipinga tume huru ili waendelee na mambo ya ajabu kama haya.

  • @rogerssiwale
    @rogerssiwale 8 วันที่ผ่านมา

    Hapo ndio kuna wizi mkubwa unaofanyika

  • @Teddy-z4i
    @Teddy-z4i 11 วันที่ผ่านมา

    Mmuchome uyo mrah

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l 11 วันที่ผ่านมา

    Hivi kwanini kuna mambo ya kipumbavu na yakijinga kama hivi mpaka inakera yaani sijui CCM IKOJE

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 11 วันที่ผ่านมา

    Huyo achezeee kichapo

  • @w4058
    @w4058 9 วันที่ผ่านมา

    Looo CCM Allah atazidi kuwaadhir hachaguliwi mkwe asimamie kazi alafu aifanye kihalal washazowea kula haram Hasbunallah Waniimal Wakiil

  • @songeza
    @songeza 10 วันที่ผ่านมา

    Uongo mnapandikiza wstu nyie duuuh yaani mnashindwa kabla poleni chadema

  • @FadhiliMgalla
    @FadhiliMgalla 11 วันที่ผ่านมา

    Haya mambo yahovyo sana

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 12 วันที่ผ่านมา +1

    Visha tairi huyoooooo😅

  • @gaspermsunga8686
    @gaspermsunga8686 11 วันที่ผ่านมา

    Chapa fimbo hao NDIO wanakula BILA KUNAWA,PUMBAVU ZAO.

  • @HawaOman
    @HawaOman 11 วันที่ผ่านมา

    Cc wanaiba sana

  • @EMILIANMNGONGO
    @EMILIANMNGONGO 11 วันที่ผ่านมา

    Tanzania !hakunaga uchaguzi!!😂😂😂

  • @davidrweyemamu938
    @davidrweyemamu938 11 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 ccm buana! Hamjiamini kiasi hiki pamoja na kutawala tangu enzi za mwalimu?!

  • @GodfreySospeter-f7r
    @GodfreySospeter-f7r 11 วันที่ผ่านมา

    Mh! Tufanyeje jamani mbona hii selikari inatuonea hivi?

  • @isaacksika3576
    @isaacksika3576 11 วันที่ผ่านมา

    Usanii tu huo tunajua

  • @EmmanuelErnest-xd1rc
    @EmmanuelErnest-xd1rc 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mpigeni.mawe.msenge

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 11 วันที่ผ่านมา

    Ccm ndo umefika mwisho tuandae kaburi lakuzika

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 11 วันที่ผ่านมา +1

    Awamu hii tutawanyonga inchi hii watakao leta vita ni ccm wala si wengine

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli ndugu yangu dhalau na uongo ndo utawala wao

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ngoma inogileee

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 11 วันที่ผ่านมา

    Hapo ni uandikishaji, vipi ktk kupiga kura na kutangaza matokeo? Midomoni tunasisitiza haki na uhuru lkn miyoni mmebeba shetani na kwa dhambi hii Mungu hatawaacha!

  • @BuhetySharia
    @BuhetySharia 11 วันที่ผ่านมา

    Ngoma nagwa😅😅

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 11 วันที่ผ่านมา

    Hiyo comedy

  • @kLaknFXIOLI73acvSSWurw
    @kLaknFXIOLI73acvSSWurw 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi ushenzi tuu kutaka vyakuchinjwa. Kazi za chama ushenzi ushenzi mtupu.

  • @JumaNjiku-df1fd
    @JumaNjiku-df1fd 11 วันที่ผ่านมา

    Sisiem wanaleta mambo ya kihuni! Wamezoea kuiba kura, hawana ukomavu, wao kila uchaguzi hawajiamini. Kama wanasema wamefanya makubwa, mazuri kuna haja gani kufanya mambo ya kihuni Kama hivi?! Kuna haja gani kutumia pesa ya umma kwenye chaguzi fake kila wakati?!

  • @jafarmlawa9627
    @jafarmlawa9627 10 วันที่ผ่านมา

    Usani tu huoo jamaaa

  • @LemaRapoi-np2gs
    @LemaRapoi-np2gs 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mchomeni moto huyo mwizi ni mwizi

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa ni maccm sasa muuone haya.

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 12 วันที่ผ่านมา +1

    Waliandaliwa mapema hao wote ni maccm wote

  • @jitulakaleboymastr6477
    @jitulakaleboymastr6477 11 วันที่ผ่านมา

    Naya chukia sana ma CCM

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 10 วันที่ผ่านมา

    Tunduru huku maaneo ya kalanje wamefanya hivyo hivyo

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 12 วันที่ผ่านมา

    Sijaona hata banzii moja apigweee

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 11 วันที่ผ่านมา

    Ccm wanajua hawakubaliki tena hawana njia nyingine upuuzi mtupu

  • @BungeyiSaiboku
    @BungeyiSaiboku 11 วันที่ผ่านมา

    Duh ubaya ubwela shikilieni hapohapo ndugu zangu ubaya ubwela kuma nyie CCM waizi

  • @GasperEmmanuel-v8z
    @GasperEmmanuel-v8z 11 วันที่ผ่านมา

    kinacho fata xaxa ni kuuana coz cion polci wakitoa maelezo yoyte juu ya hili cjui

  • @FadhiliMgalla
    @FadhiliMgalla 11 วันที่ผ่านมา

    Watu wakichaluka munasema chadema wakolofi serikali tafazali muwe makini nahayo mambo ipo siku mutayalipa hayo mambo

  • @DorkasKamau
    @DorkasKamau 11 วันที่ผ่านมา

    Hellos

  • @MichaelJudo
    @MichaelJudo 11 วันที่ผ่านมา

    Ccm hawawajua wananchi Bado wanabeep

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 11 วันที่ผ่านมา

    Piga jinga hilo

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 11 วันที่ผ่านมา

    😂😂yan haya mambo ni upuuzi mtupu,,tusubirie kizazi kingine cha kuikomboa hii nchi kifikra,,sio ccm wala chadema wala yoyote yule kwa sasa wa kuisaidia nchi isipokuwa waliopo wanaisimamia kama geresha hadi kizazi kinachojitambua kitakapofika,maana waliopo kwenye nafasi wanakula zaidi na kujilimbikizia mimali tu kuliko kuijenga nchi...yani mambo ya siasa huwa siyapendi hata kwa kuyasikia tu

  • @JoshuaSabu-r2p
    @JoshuaSabu-r2p 10 วันที่ผ่านมา

    Duuuu

  • @VailetPiter
    @VailetPiter 11 วันที่ผ่านมา

    Mtoeni sadaka

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 12 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 11 วันที่ผ่านมา

    Amejtuma baada ya aliowahamassha kukuta niwagonjwa sishida nikuelmishana tu

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 11 วันที่ผ่านมา

    Kwendeni zenu huko mnataka hata sie tunao wamini kidogo tuwafute kichwani mwetu

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 11 วันที่ผ่านมา

    HAKI HUINUA TAIFA

  • @rahimhassan6722
    @rahimhassan6722 11 วันที่ผ่านมา

    Ccm wezi majambazi wauwaji wote makonda na rais wao shenz..hi nchinwataichafua

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 11 วันที่ผ่านมา

    Dunia iko mwisho mbona hakuna hata mtu ataondoka na madaraka?

  • @HawaOman
    @HawaOman 11 วันที่ผ่านมา

    Chukueni hayo majina walioanza kuandika

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 11 วันที่ผ่านมา

    Ipo cku Ccm watawezwa Tu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 11 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ndio ccm kazi yao ni DHULMA TUPU.

  • @MustaphaSeleman-z7c
    @MustaphaSeleman-z7c 11 วันที่ผ่านมา

    Hii mchi ngumu kisenge hii

  • @HawaOman
    @HawaOman 11 วันที่ผ่านมา

    Hawataki haki nimabaze