Tundulissu anaongea ukweli lakini baadhi ya watu hawamwelewi! Mungu tunaomba utusaidie uwafungue Watanganyika/Watanzania waujue ukweli unaozungumzwa na watu hawa! na ulibadilishe Taifa letu! Taifa linauzwa! Watoto wetu watarithi nini kama rasilimali tulizopewa na wewe Mungu zinauzwa zote kwa wageni! Mungu tusaidie,Ameni
BRAVO MH. LISSU....WATANZANIA WANAKUELEWA NA WAKO NYUMA YENU CHADEMA....WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU TUTETEE RASILIMALI ZA NCHI YETU KWA NGUVU ZOTE.
Mungu akusimamie akulinde, akujalie afya na kukuongoza daima katika maisha. You are a blessing to our beautiful countries ( Tanganyika and Zanzibar) Tanzania
Asante viongozi wazalendo Tundulissu,Mwabukusi,Mdude,Askofu Mwamakula, na wengine wengi ambao sikuwataja,Mungu awalinde,wapo wengi Heche Msigwa,Wenje Lema,Mpina na wengine,hakika sitawataja wote,Suzan kiwangwa,Ida Kenani na wengine ni wengi! Mungu awalinde.Ndugu zangu Watanganyika na watanzania wenye uchungu na Taifa letu tuamke tuungane tumkatae shetani ccm na wafuasi wake,kwenye uchaguzi mkuu ujao,tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tukatae mkataba wa bandari IGA ni haramu UFUTWE! Tukatae wananchi kunyang'anywa ardhi zao kwa nguvu na kuhamishwa kwa nguvu,wananchi tukatae utumwa huu! Tundulissu wewe ni msema kweli siku zote ambae hakuelewi na hatakuelewa atalaaniwa kwa sababu Nchi inaenda kuangamia lakini bado watu wanaikumbatia ccm! Mungu atusaidie,Amen
Aisee mungu akupe Nini,zawadi ya kwanza ,magufuli alipofeli kukuua nabadala akafa mwenyewe ndiyo zawadi. Pia mungu amekuaandalia zawadi ya kuuwa raise wa nchi ya jamuhuli ya muungano
Mungu akubariki Lissu usife moyo na watesi wenu Mungu yuko pamoja nanyi ipo siku Tanzania itaondoka mikononi mwa wanaokandamiza haki na maisha ya wananchi wanyonge
Ni mtu ambae nikimsikiliza ananiongezea Sana kuwa mwerevu na kunipa uwezo wa kufikiria kwa kina kuhusu nchi yangu ninayoipenda Sana. Napenda Sana kujifunza kutoka kwake, Mana Kama watu hata robo tu ya watanzania wangekuwa na uelewa Kama wa lisu, nchi ingekuwa na Baraza Sana.
Hata wakianza kutengeneza uchafuzi kwa kugawa kata na kutuongezea wananchi gharama za uchaguzi, watambue kuwa kushinda kwa mbinu zote mbaya sio ushindi halali,kwamaana hiyo watafitinika mbele za Mungu na kukalia viti hivyo kwa tabu na mitihani mingi
Ni kweli kabisa mh.Makamu Mwkt.wa CDM-Taifa, kwamba baba Askofu Emaus Mwamakula ni Mtume wa MUNGU katika ukombozi wa taifa hili, MUNGU hatamuacha aumizwe na mabeberu wanasiasa wa nchi hii kabla hajatimiza kazi aliyoitiwa,wengi mtapuuza lakini mtakuja kuamini maana Mungu hajawahi kushindwa kumuangusha shetani dhidi ya wateule wake, amina!
Mh.Makamu MWKT.CDM Taifa,ongea yote ya kweli na MUNGU kupitia maombi ya watumishi wake atakulinda kama alivyokuokoa na risasi 16 mwilini mwako na bado wasiweze kuutoa uhai wako!!
Mimi nimesema kabisa Mungu kama Lissu huyu anamakosa yanayomfanya usimpe anachokipambania miaka yote awe Raisi na chama chake wawepo madarakani hizo dhambi nipatie mimi nipe adhabu ye yote ila huyu bwana umpandishe kitini na akomboe hili Taifa sisi wabongo hii sio size yetu hata kidg kwa mujibu wa maneno yake hakika!
Umeomba jambo gumu. Wewe omba Mungu amuinue na kumpa hiyo nafasi unayoisema. Ila kwa habari ya dhambi zake sidhani kama unaweza kuzibeba. Ila huyu mwamba anastahili kuwa Rais wa TZ, tumwombee Mungu ampe afya njema na amuepushe na maadui.
Hakuna jambo gumu mbele ya Mungu,, aombalo mtu ndo apewalo ilimradi kaomba kwa Imani yake yote na kwa moyo wake wote na kwa akili yake yote,, thenks@@brownsebastianmwibi5647
Wawapeleke kwa wafugaji kama walivyofanya OPERATION TOKOMEZA alafu waanze ohoo ilikosewa, ohoo tunakiri ilifanyike kinyume na matarajio wakati huo watu wameishapoteza maisha😛😛🥲🥱
Yani nimekuerewa ccm Allah anawaona mtaendatu kaburini mtaacha kila kitu mali ulioichuma kwa dhulma mtaiyachatu afu faida aitokuepo bali faida ya dhambitu
tunakurewa sana liissu mungu akupe nguvu ya kuwashinda ma ccm
q2 wewe 18:52
P
Watakao mjibu Mh. LISU, WAMJIBU KWA HOJA. SIO KUTOA TAARIFA NA KUSEMA HAKUNA UPINZANI TUTAWASHANGAA SANA
Bigup LISSU Tupo Pamoja Sana Mungu Akulinde.
Asante Shujaa Wetu Tuliofunguka Macho.
Tundulissu anaongea ukweli lakini baadhi ya watu hawamwelewi! Mungu tunaomba utusaidie uwafungue Watanganyika/Watanzania waujue ukweli unaozungumzwa na watu hawa! na ulibadilishe Taifa letu! Taifa linauzwa! Watoto wetu watarithi nini kama rasilimali tulizopewa na wewe Mungu zinauzwa zote kwa wageni! Mungu tusaidie,Ameni
mungu ambariki askofu mwamakula nife mimi yeye abaki mwamakula mungu amekutuma tanganyika ipate uhuru amina
11111111111❤❤❤❤❤❤❤I 11111111
Ameen Lisu . Mungu akubariki sana wewe Chadema. Nyinyi ni wakombozi wa Taifa hili. Hivi vita ni vikubwa sana. Tusikate tamaa
Great thinker 💥💥💥
BRAVO MH. LISSU....WATANZANIA WANAKUELEWA NA WAKO NYUMA YENU CHADEMA....WATANZANIA WOTE BILA KUJALI VYAMA VYETU TUTETEE RASILIMALI ZA NCHI YETU KWA NGUVU ZOTE.
Mungu akusimamie akulinde, akujalie afya na kukuongoza daima katika maisha. You are a blessing to our beautiful countries ( Tanganyika and Zanzibar) Tanzania
Hakika tundu lisu ulizaliwa kwa kusudi LA mungu kwa ajili ya ukombozi was dunia na Tanzania hadi ikungi mahambe
Barikiwa sana Tundu Lisu. Mungu akulinde inafaa uwe ndo President nimefuhishwa saba na speech yako❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😢🎉🎉🎉🎉
Asante viongozi wazalendo Tundulissu,Mwabukusi,Mdude,Askofu Mwamakula, na wengine wengi ambao sikuwataja,Mungu awalinde,wapo wengi Heche Msigwa,Wenje Lema,Mpina na wengine,hakika sitawataja wote,Suzan kiwangwa,Ida Kenani na wengine ni wengi! Mungu awalinde.Ndugu zangu Watanganyika na watanzania wenye uchungu na Taifa letu tuamke tuungane tumkatae shetani ccm na wafuasi wake,kwenye uchaguzi mkuu ujao,tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tukatae mkataba wa bandari IGA ni haramu UFUTWE! Tukatae wananchi kunyang'anywa ardhi zao kwa nguvu na kuhamishwa kwa nguvu,wananchi tukatae utumwa huu! Tundulissu wewe ni msema kweli siku zote ambae hakuelewi na hatakuelewa atalaaniwa kwa sababu Nchi inaenda kuangamia lakini bado watu wanaikumbatia ccm! Mungu atusaidie,Amen
Kaka wa Taifa amesema 🙏💪
Aisee mungu akupe Nini,zawadi ya kwanza ,magufuli alipofeli kukuua nabadala akafa mwenyewe ndiyo zawadi. Pia mungu amekuaandalia zawadi ya kuuwa raise wa nchi ya jamuhuli ya muungano
una ushahidi
Tundu lisu mungu aendelee kukulinda by Elibariki Kitemangu
Pamoja sana baba, umebaki ew tu ndio mtetezi wa taifa letu, tunakuombea sana mungu akuweke miaka elfu
Mwenye sikio na asikie hekima hii ya Mh. Tundu. Tuchukue hatua
Mungu akubariki Lissu usife moyo na watesi wenu Mungu yuko pamoja nanyi ipo siku Tanzania itaondoka mikononi mwa wanaokandamiza haki na maisha ya wananchi wanyonge
Mungu akulinde
Nakuelewa Kabisa
Hotuba ya leo ni zaidi ya elimu ya miaka 3 ya chuo kikuu
HUYO NDIYE TUNDU ANTIPAS LISSU NILIYEMPA KURA MIMI UKIMSIKIA MWINGINE NI UONGO❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyu mh lissu anafaa kuingoza Tanzania kwasababu Ana kipaji kikubwa cha uongozi
Lisu yuko sawa 100%100%
Sema mzee baba
Aisee inauma sana ! Lisu unafikisha ujumbe kwa raia. Kinachobaki ni wa Tz kuamua
Rasilimali ziendelee kuuzwa au ccm wajitafakari
Wewe ni tunu ya Tz
Sahihi
I really respect this man. I Hope he were our président.
Kwa mtu mwenye akili ukisikiliza roho inauma kweli.
Ni mtu ambae nikimsikiliza ananiongezea Sana kuwa mwerevu na kunipa uwezo wa kufikiria kwa kina kuhusu nchi yangu ninayoipenda Sana.
Napenda Sana kujifunza kutoka kwake, Mana Kama watu hata robo tu ya watanzania wangekuwa na uelewa Kama wa lisu, nchi ingekuwa na Baraza Sana.
Naona tunapiga hatua pmj mimi namuelewa sana tena sanaaa natulia sana kumsikiliza nijue mengi nijifunze mengi sana
Hata wakianza kutengeneza uchafuzi kwa kugawa kata na kutuongezea wananchi gharama za uchaguzi, watambue kuwa kushinda kwa mbinu zote mbaya sio ushindi halali,kwamaana hiyo watafitinika mbele za Mungu na kukalia viti hivyo kwa tabu na mitihani mingi
Elimu kubwa sana ndani ya siasa za CCM wameziba masikio hawataki kabisa kuzisikiaa hoja zinazo elimisha jamiii iliyopo mbele yetu
,hb
Ni kweli kabisa mh.Makamu Mwkt.wa CDM-Taifa, kwamba baba Askofu Emaus Mwamakula ni Mtume wa MUNGU katika ukombozi wa taifa hili, MUNGU hatamuacha aumizwe na mabeberu wanasiasa wa nchi hii kabla hajatimiza kazi aliyoitiwa,wengi mtapuuza lakini mtakuja kuamini maana Mungu hajawahi kushindwa kumuangusha shetani dhidi ya wateule wake, amina!
Lisu your best man ever seen in Tanzania your better than juliasi nyerere
Jamani jamani, ingekuwa ni ombi langu kwa wote MUNGU WETU ATUSAIDIE kutuvukisha jamani uchaguzi ujao, tufunge tuombe kwa ajil ya LISSU. 🙏🙏
Baba weeee!!!!! Kumbeee
Mungu Akupe Maisha Malefu we mzalendo Tundu lisu Hakika Unaipenda Tanzania na watuwake
Sio malefu, ni marefu
Lissu ndio mkombozi pekee wa kweli wa taifa hili
Tundu Lisu ni tunu ya Taifa
Kweli kbs
Anapo ongea mh tundu lissu ,,moyo na akili na ubongo huwa tulivu kwasababu mh lissu hutowa madini ya uhakika
Iv kwanini ccm wanaogopa katiba mpya na uchaguzi huru
Haiitaji elim kubwa kuku elewa thenks my brother
Sema kaka mi nakuerewa sana,
Mungu tusaidie tundu lisu
Hallelujah
Lisu tunakukubali hua unafichua ukweli ambao hua wanauficha
ASANTE MHESHIMIWA TUNDULISU MUNGU AKUBARIKI. AKULINDE NAUOVU
Mungu akulinde muheshimiwa ndio jambo la kwanza nalamsingi afyaaa iwe tele muda wote ili mambo mengine yafuate kwa nguvu kubwa.
Tundu Lisu ni kichwa kweli kweli
Mwambaaaaaaaa, tunakuelewa sna
Yananiingia sana
mama wa kambo ipo siku atafungwa na kufia jela kwa mambo anayo fanya sania ipo siku mtasema
CHADEMA....CHAMA PEKEE MBADALA KWA CCM.....WATANZANIA WOTE TUKIUNGE MKONO CHADEMA.
Brother unatoa shule kweli!! Ila watz ni kazi kweli.
Mh.Makamu MWKT.CDM Taifa,ongea yote ya kweli na MUNGU kupitia maombi ya watumishi wake atakulinda kama alivyokuokoa na risasi 16 mwilini mwako na bado wasiweze kuutoa uhai wako!!
Amen
Leo lissu umeongea kwa uchungu Sana hotuba Kali Sana inamashiko kweli wewe niyelemia kweli mm huwa nakukubali sana sana
Halafu utakuta kuna limutu likimbeza Lissu,,,yaaaan haya matumbo haya hayanaga shukrani😭😭😭
Hilo darasa la kuhusu uchaguzi na uwiano wa majimbo tunamwelewa Tundu Lissu ? Hapo ndipo mwanzo wa kupigwa.!
Ongera Lissu
Kuna limsukule la ccm linakukejeli watanganyika tulioteswa miaka yote hii tunakuelewa
Hongera mtoa taarifa
Wewe akili ndogo
Mungu atatusaidia tukiamka
Siku Moja isiyo na jina nchi yetu itavuka tu maana Mungu anasikia
Chama changu kutoka moyoni
Ccm mukikubali katiba mpya mumeisha mana watu mtaani hawa waelew bass tu uchawa kisa ela zenu bas
Watanzania tuamke ukijani utatumaliza kama mmewapendea rangi mtabaki kulalamika maisha magumu kila siku tuchukuwe hatua nyoka wa kijani atoke
Tutakuwa wageni wa nan tanzania
Mwambaaa waafrica
Mwamba namkubal sana
lissu wewe ni shujaa na mtetezi weetu pekee
Kwa hutuba hyo wenye hakili na wazalendo tunaelewa
uoga unawaponza mnashindwa kumtaja na biii idda nabii bora kuriko nabi yeyotee dunianiani
huyu anaf\ kua kiongozi wa jimbo kuriko yure changudoa wa ccm kamoli
Nabii idda ?
huyu mama nae akiiba uchaguzi nae atakufa ghafla kama jpm dictetar magufuli atakufa mapema tuu samia ngoja muone
Makato na ushuru kwa wamama wanao okota uchafu wa mawe au ukwale kwenye migodi midogo ni kero kubwa na ni aibu.
Sasa huu siyo mkutano wa imani unapotaka kuhusisha imani uwe na weledi wa kuangalia pande zote.Naona baragashia mkutanoni !!!
Yani we loss I kweli inamasna badala ya kuanzia na mwenyezi mungu kwanza unasnza na Askofu apo umefeli sana
👍✌️🙏.
Tundu lissu ni chuma
Amen
Watanzania wanaangamizwa kwa kunyimwa maarifa
Hapo umeongea point sana mkuu
Mhe LISSU nakuelewa sn mung akuweke sn
Amina
✌️✌️✌️
Sio wewe lisu Bali
Mungu amekufunulia na kw uwezo wa
Mungu c m wataangamia wasjidanganye tumewachoka mno
Bila maandamano yasiyo na ukomo,mtaishia kupiga kelele majukwaani na hatutambulia kitu.
Kuweni Jaramongi Odinga wa Kenya tutakuwa nanyi
Kweli mkuu nchi hii tunakupa Hao kwao huruma mwiko
Maendeleo na ajira zitapatikana sio bure HAO wanalipa na SIO kuuzwa vitu vinazalisha BIASHARA ajira zitapatikana 😮😮😮😮😮😮
Tuko pamoja
❤
Chadema mngu awaweke pazen saut Kwa ajili ya haya ila ipo sku
Mimi nimesema kabisa Mungu kama Lissu huyu anamakosa yanayomfanya usimpe anachokipambania miaka yote awe Raisi na chama chake wawepo madarakani hizo dhambi nipatie mimi nipe adhabu ye yote ila huyu bwana umpandishe kitini na akomboe hili Taifa sisi wabongo hii sio size yetu hata kidg kwa mujibu wa maneno yake hakika!
Umeomba jambo gumu. Wewe omba Mungu amuinue na kumpa hiyo nafasi unayoisema. Ila kwa habari ya dhambi zake sidhani kama unaweza kuzibeba. Ila huyu mwamba anastahili kuwa Rais wa TZ, tumwombee Mungu ampe afya njema na amuepushe na maadui.
Hakuna jambo gumu mbele ya Mungu,, aombalo mtu ndo apewalo ilimradi kaomba kwa Imani yake yote na kwa moyo wake wote na kwa akili yake yote,, thenks@@brownsebastianmwibi5647
Wawapeleke kwa wafugaji kama walivyofanya OPERATION TOKOMEZA alafu waanze ohoo ilikosewa, ohoo tunakiri ilifanyike kinyume na matarajio wakati huo watu wameishapoteza maisha😛😛🥲🥱
Kweli kabisa mbona watumishi darasa la daba kutoongezwa mishahara ukweli ni ubaguzi wasemee na wao
Sasa ni siasa au dini
Kesi ya tundulisu huko uingereza
Mbona huwataji Kitima na Bagonza?
EE MUNGU IBARIKI CHADEMA VIONGOZI NA WANACHAMA
TUNAKUSHUKURU SANA MUNGU KWA CHADEMA INALIPA GARAMA KUBWA KUWATETEA WANANCHI TUSIOJUA HAKI ZETU
Yani nimekuerewa ccm Allah anawaona mtaendatu kaburini mtaacha kila kitu mali ulioichuma kwa dhulma mtaiyachatu afu faida aitokuepo bali faida ya dhambitu
Lissu ungekua mwalim wa hisabati watanzania wengi wangefaulu hisabat maana unafundisha kwelikweli