Rabi Usinipe Mapenzi (Video Lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @AboubakarShaaban-st2zl
    @AboubakarShaaban-st2zl ปีที่แล้ว +10

    Nakupenda ww na sauti yako mashaaaalah nakumbuka mbali zamani bonde gwaru masimbani masuguru kwetu

  • @henrymutabari
    @henrymutabari ปีที่แล้ว +3

    Noma sana my favorite song❤"oooh Rabii, "wapendwa hakuna"

  • @AllyAhmedkibila
    @AllyAhmedkibila ปีที่แล้ว +5

    Namkumbuka mpenz wangu wa Kwanza kumpenda jaman Habiba.❤

  • @maliammashauri8352
    @maliammashauri8352 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo mzr Sana naupenda ujumbe wake kwa wale tuloumizwa

  • @Anniesoft1
    @Anniesoft1 2 ปีที่แล้ว +16

    Nimeipenda sana hii taarabu ❤️❤️ ila toeni hao wazungu tuwekeeni wale warembo watu waswahili asilia.

    • @manzithegreat3494
      @manzithegreat3494 2 ปีที่แล้ว +2

      Kaka agiza soda popote ulipo 🌼🌼

    • @Anniesoft1
      @Anniesoft1 2 ปีที่แล้ว +3

      @@manzithegreat3494 sio Kaka ni dada 🤣🤣🤣. Hata hivyo nawaunga mkono warembo wakiswahili wenye fani mbalimbali za sanaa.

    • @Jamila-ch9rg
      @Jamila-ch9rg ปีที่แล้ว

      Wanaume siku hizi ni mtihani😊

    • @Jamila-ch9rg
      @Jamila-ch9rg ปีที่แล้ว

      Ukitendwa. Bor uwe single

    • @shamsudeen1600
      @shamsudeen1600 7 หลายเดือนก่อน

      Apo kweli unenaa❤

  • @AmirAbdallah-pr4uq
    @AmirAbdallah-pr4uq 4 หลายเดือนก่อน +3

    😭😭😭😭😭😭Nuru Juma nakumbuka sana sana mpnz wangu uliondoka wewe na mwanangu Radhia sijui kama nitakua real kwa mdada yoyote yule i miss u

  • @ammyommy
    @ammyommy ปีที่แล้ว +3

    Msikejeli kwa kuwekwa wazungu ubaguzi nazani si mzuri but I like this song too much ❤❤

  • @johnstonekhamisi3519
    @johnstonekhamisi3519 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kwa raha za mateso na wema wamasimlizi ya moyo .
    .❤

  • @beatricedali4783
    @beatricedali4783 หลายเดือนก่อน

    Nilipokuwa mtoto nikiona watu wakishikana nilijua kumbe upendo nilipokuwa mhhh kumbe mapenzi kitu buree kabisa sina haja nayo😢🎉

  • @JamilaRashid-l1g
    @JamilaRashid-l1g 5 หลายเดือนก่อน +2

    Najuta kuwafaham wanaume hakuna mapenzi

    • @ChamaziMusic
      @ChamaziMusic  5 หลายเดือนก่อน

      @@JamilaRashid-l1g Pole Sana

  • @lawrencentabago1085
    @lawrencentabago1085 2 ปีที่แล้ว +5

    Kitambo sana, kweli old is Gold

  • @AminaTsuma-m2c
    @AminaTsuma-m2c 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wanatutesa sana awe nacho awe Hana

  • @johnkaranja2041
    @johnkaranja2041 10 หลายเดือนก่อน +1

    usinpe mapenzi na wa kumpenda hamna

  • @SolomonNganga-f1v
    @SolomonNganga-f1v 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ MASHALAAH DAAAAAH TOKA APO SKILIZA VITU NZURI

  • @LuvunoChuphi-io6vz
    @LuvunoChuphi-io6vz ปีที่แล้ว +3

    Nakubali,inaingua moyoni mwangu na kumbuka mpenzi wangu wa kwanza

  • @mohammadjuma1726
    @mohammadjuma1726 2 ปีที่แล้ว +3

    nakumbuka mbali nkiskia hii nyimbo, nkiwa mdogo

  • @CHARLESMURAYA-uj2mg
    @CHARLESMURAYA-uj2mg ปีที่แล้ว +1

    napenda sana uhalisia illa...

  • @alexmasinde3543
    @alexmasinde3543 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo huu ni wa usitarabu,wanitia moyo

  • @mwajumajuma8
    @mwajumajuma8 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna wapendwao

  • @alexsavatia5584
    @alexsavatia5584 10 หลายเดือนก่อน +1

    Taarab my favorite songs since small boy

  • @aminabest6957
    @aminabest6957 หลายเดือนก่อน

    Mashallah 👌👌❤️

  • @Jamila-ch9rg
    @Jamila-ch9rg ปีที่แล้ว +3

    Nakumbuka rafik yang alitangulia mbele za haki

  • @valentinejomo1845
    @valentinejomo1845 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sauti ya kutoa nyoka pangoni 😊

  • @imransaid9801
    @imransaid9801 2 ปีที่แล้ว +1

    hata mimi pia nampenda 🥰 🥰

  • @stanomachaa
    @stanomachaa ปีที่แล้ว +2

    Najibaba nikiwa Nakuru tarabu naipeda

  • @maryamhussein9799
    @maryamhussein9799 ปีที่แล้ว +1

    Taarab nzur sana!

  • @mohamedmnango3660
    @mohamedmnango3660 2 ปีที่แล้ว +5

    Tanga raha

  • @hustlertv1694
    @hustlertv1694 ปีที่แล้ว +3

    Kifo cha taarab... nzuri kama hizi ziko wapi?

  • @Chikukagoma
    @Chikukagoma 8 หลายเดือนก่อน

    Nashindwa kuichukua naangaika jaman 😢😢😢inanikumbumbusha mbali kwa mwenye kujua anifundishe

    • @DullaZeko
      @DullaZeko 7 หลายเดือนก่อน

      Nikutumie

  • @mauanassour5410
    @mauanassour5410 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanahela

  • @kassimumagombeka1318
    @kassimumagombeka1318 ปีที่แล้ว +1

    N@ikubali sana

  • @Chikukagoma
    @Chikukagoma 8 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana

  • @OnolataEmmanuel
    @OnolataEmmanuel ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤❤mwaaaaaaaaaaaa

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews ปีที่แล้ว +2

    Woow

    • @ChireyaMuhammadan
      @ChireyaMuhammadan ปีที่แล้ว +1

      She's asking the Almighty God to spare her from falling in love after being ditched by her ex,

  • @jumaalimohd6967
    @jumaalimohd6967 ปีที่แล้ว +2

    Mmeiyondoshea uhalisia wake kwakuieka wazungu

  • @JacobMwana-jc3fb
    @JacobMwana-jc3fb 7 หลายเดือนก่อน

    When music was music

  • @Jamila-ch9rg
    @Jamila-ch9rg ปีที่แล้ว +1

    Namkumbuka mpenzi Wang ametangulia mbele ya haki kwa ajal ya shengena bas

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 ปีที่แล้ว +1

    Halow I hope now you're mature enough to know the massage au hujapigwa tukio😢2023

    • @Amina-zl4dd
      @Amina-zl4dd ปีที่แล้ว

      😂😂😂Wacha tu nikiwa mtoto nalipenda ila sijui maana yake ila Sasa acha tu

  • @abdulbasidosman4106
    @abdulbasidosman4106 7 หลายเดือนก่อน

    Old school

  • @RidiwanKhator
    @RidiwanKhator 11 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢

  • @Jamila-ch9rg
    @Jamila-ch9rg ปีที่แล้ว +1

    Wapendwa walikua xaman sasa hiv hakuna

  • @TameerRyan
    @TameerRyan 8 หลายเดือนก่อน

    Naipenda sana