jinsi kipimo cha UKIMWI kinavyotumika kupima UKIMWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • namna kipimo cha UKIMWI kinavyotumika kupima HIV/AIDS.

ความคิดเห็น • 213

  • @afyatips
    @afyatips  4 ปีที่แล้ว +18

    ZINGATIA: Majibu ya kipimo yanatakiwa kusomwa ndani ya dakika 15-30. Kama utawahi sana au utachelewa kusoma majibu, unaweza ukapata majibu yasiyo sahihi.
    Kwa mfano: ukikiacha kipimo kwa muda mrefu, kuna mistari mingine inayoonekana kwa mbali inaweza ikajitokeza.

    • @allymuhammadi9497
      @allymuhammadi9497 4 ปีที่แล้ว +1

      Vinapatikana wapi?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      @@allymuhammadi9497 unapatikana mkoa gani??

    • @kasimumaulidi7690
      @kasimumaulidi7690 4 ปีที่แล้ว +2

      Kuonekana kwa hiyo mstari ya mali pia inaweza ikawa HIV maana mimi nimepima lakin naona mstari minne 4 nachanganyikia hata sielewi

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +3

      @@kasimumaulidi7690 umesoma majibu baada ya muda gani?!

    • @kasimumaulidi7690
      @kasimumaulidi7690 4 ปีที่แล้ว

      @@afyatips nilisoma majibu ndani ya dakika 15

  • @amininassoro2216
    @amininassoro2216 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezimungu akubariki. Naomba utuandikie majina ya vifaa hivyo ktk usahh

    • @AbdallahHamisi-k9o
      @AbdallahHamisi-k9o 2 หลายเดือนก่อน

      Na Mimi na mpeziwangu nime Pima na Mimi umetoka msitari mmoja kwenye c lakin yeye misitary miwili kweny c na kwenye namba mbil VP dokta apoo

  • @simonmathias3225
    @simonmathias3225 3 ปีที่แล้ว +13

    Hivi ukimwi unaweza kuupata kupitia salon wakati wa kuchonga endapo mashine hiyo ilitumika kumchonga mtu mweny maambukiz? Naombeni majibu please.

  • @musaabuebker1750
    @musaabuebker1750 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks kaka nataka nipime hapa nna kipimo.umeelkeza vzur sana ubarkiwe

  • @topistaakinyi5051
    @topistaakinyi5051 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante nimekuelewa

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Karibu sana Topista

  • @samymdundu
    @samymdundu 3 ปีที่แล้ว +3

    Asilimia kubwa hapa mliopima inaelekea mmechepukachepuka sana.... Bakini njia kuuu michepuko inaleta umasikini

    • @neemabernard3543
      @neemabernard3543 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😹😹 nimecheka

  • @afyatips
    @afyatips  4 ปีที่แล้ว

    Kama unahitaji ushauri kitaalamu au una swali kuhusu maswala ya mzunguko wa hedhi, Uzazi au Afya kiujumla, tutumie message WhatsApp kwenye namba 0717 442 590

  • @Merrywilian-w9d
    @Merrywilian-w9d 13 วันที่ผ่านมา

    Kipimoni aina gan

  • @HashimLuvasike
    @HashimLuvasike 4 หลายเดือนก่อน

    Samqahan naomba kuuliza kama umepima majib yakqtoka vizuri mstqr mmoja lakin baada ya masaa matat au zaid kipimo kikabadilika shida inakua nn kwamaana ikatokeq mistar miwili

  • @carolinemamito233
    @carolinemamito233 11 หลายเดือนก่อน

    Weeeh Asante sana

  • @EstherWanjiru-m6s
    @EstherWanjiru-m6s 11 หลายเดือนก่อน

    Mm nilijipima ikakuja line moja nusu iko sawa

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 4 ปีที่แล้ว +1

    Good!

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank you Frank

  • @mnyamamkalitv6575
    @mnyamamkalitv6575 ปีที่แล้ว +2

    Ivi vpimo nivyakijinga unapima unajikuta Safi ukikiweka kwenye. Jua kinabadili majibu

  • @hilderkihiyo5395
    @hilderkihiyo5395 4 ปีที่แล้ว +2

    nimependa mno maana nilikua sijui asante

  • @tumastar9397
    @tumastar9397 3 ปีที่แล้ว +2

    Unaweza ukajioma mwenyewe ikaja mistri miwi nikenda sptl ukaja mmoja apo nnntatiz

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      Ulisoma majibu baada ya muda gani?

    • @edinajohn8511
      @edinajohn8511 2 ปีที่แล้ว

      Mmmmh

  • @MrDuke-o7p
    @MrDuke-o7p 4 หลายเดือนก่อน

    Dr ukipima bila maji akileti majibu sahihi!!!

  • @abouhamidu9623
    @abouhamidu9623 3 ปีที่แล้ว +1

    Je ni ni kweli muhathirika anatakiwa atumie dawa kila Yani asipitishe siku bila kutotumia je ni kweli Naitaji kujua kiongozi

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      Abou Hamidu ndio, ni muhimu sana mtu mwenye VVU akazingatia dawa na kumeza kila siku. Hii husaidia kupunguza makali ya VVU, na mtu kuendelea kuishi kawaida

  • @suleasalum1123
    @suleasalum1123 ปีที่แล้ว

    Mbona me nilipima tng Juz hd leo mstari ni Mmoja tyuuu

  • @HassaniSaid-fj5in
    @HassaniSaid-fj5in 2 หลายเดือนก่อน

    Ni dakika ngapi majibu yanabaki kua sahihi na inawrza kubadili majibu baada yadakika izo kupitaa au itabaki na manibuyaleyale yakiwa

  • @sabrafaris3665
    @sabrafaris3665 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimepima lakini umekuja mstari mmoja umekooza lakini wapili unaonekana kwambali sana pia ni nusu na upo mwisho kwenye moja hii ni inakuaje

  • @asteriakimaro5660
    @asteriakimaro5660 4 ปีที่แล้ว +5

    Nimepima na mpnz wangu leo lkn yake imeonyesha mstari mmoja umekolea mwingine umepauka nimemshaur arudie tena

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +7

      Ni wazo zuri sana.
      Ikiwezekana aende kituo cha afya akapime ili apate uhakika zaidi.

    • @sarahlyanga3766
      @sarahlyanga3766 4 ปีที่แล้ว

      Kwann itokee ivyo dr

    • @johnmasungansolezi576
      @johnmasungansolezi576 4 ปีที่แล้ว +3

      Tayari huyo, achana nae

    • @samymdundu
      @samymdundu 3 ปีที่แล้ว

      Hahhahha eti umepauka hahaha daaah

    • @kaisamjunior3692
      @kaisamjunior3692 ปีที่แล้ว +2

      Mkimbie huyo tayar kaumia dadekhiiii

  • @josephseba3652
    @josephseba3652 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimepima vizuri tuu uka tokea musitari mmoja nika subili wa pili wapi nika sepa job kuludi nakuta misitari mitatu miwili imefifi sasa do nini

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +2

      Usihofu, majibu ya kipimo yanatakiwa kusomwa ndani ya dakika 15-30.
      Baada ya hapo mistari mingine inaweza ikajichora na hivyo kutoa majibu yasiyo sahihi.

    • @fauziaherry2550
      @fauziaherry2550 4 ปีที่แล้ว +1

      Yamenikuta Mimi nilipima hivyo hivyo ukatoka mstari mmoja nimelala kuamka asubuhi nakuta mistari mitatu nusu nianguke kwa mshtuko

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      @@fauziaherry2550 pole

    • @abigaelymahenge6915
      @abigaelymahenge6915 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah hivi vipimo kibo me mwenyew nilipima Ucku msat ulikua moja kuamka asubuh mistar mi ta3 presh ilipanda joto kama lote 😥😥

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      @@abigaelymahenge6915 pole sana

  • @dottokasimu1504
    @dottokasimu1504 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa mfano mtu kafnya mapnz na mtuu mwenye vvu amekaa miezi 2 kaenda kupima kaonekana Yuko negative je ina umuhimu wa kwend kupima tena mwezi unao fata

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio. Vipimo vya kawaida vya UKIMWI huwa vinaanza kuonyesha kama mtu ana UKIMWI miezi mitatu baada ya mtu kupata UKIMWI.
      Na ndio maana ukienda hospitali kucheck wakakuta negative huwa wanakwambia rudi tena kupima baada ya miezi mitatu.

    • @dottokasimu1504
      @dottokasimu1504 4 ปีที่แล้ว

      Lakni siinawezakna mtu kupata ukimwi kama leo akakaa kama wiki kuenda kupima akaonekna anao au ndoo mpka miezu 3

    • @dottokasimu1504
      @dottokasimu1504 4 ปีที่แล้ว

      Ndoo unaonekana kwani lazma miezi 3

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว

      @@dottokasimu1504 hapo inategemeana na aina ya kipimo cha UKIMWI kinachotumika.
      Kuna vipimo vingi vya kawaida huwa vinaonyesha baada ya miezi mitatu. Lakini kuna vipimo vyenye uwezo mkubwa vyenyewe huwa vinaweza vikaonyesha kabla hata ya miezi mitatu.

    • @muhajrkhamis3944
      @muhajrkhamis3944 4 ปีที่แล้ว

      Afya Tips na ikipita miezi mitatu huna inakuaje

  • @NasraAmanabd
    @NasraAmanabd 9 หลายเดือนก่อน

    Samahn dokta ukipm ukikut mistr miwil mmoj umekolea mwngn umepauk unaez kua na ukimw

  • @NasraAmanabd
    @NasraAmanabd 9 หลายเดือนก่อน +1

    Au ukiw na magnjw mengn ya zinaa ukipm itaonyesh mistr miwil

    • @lailathhussein4975
      @lailathhussein4975 9 หลายเดือนก่อน

      Mmh kwel ukiwa na magonjwa ya zinaa vinaonekn

    • @NasraAmanabd
      @NasraAmanabd 9 หลายเดือนก่อน

      @@lailathhussein4975 sawa lkn unaez kua huna ukimw

  • @mmarikamalick3208
    @mmarikamalick3208 3 ปีที่แล้ว +2

    Je kipimo wakati wakisubir kikasheki mfano ukakitia ndani ya begi,mfuko,au hakijakaa sweya yani semu ambayo haiko sawa kinaweza kuleta majibu sahiii

  • @ramadhanissa7500
    @ramadhanissa7500 ปีที่แล้ว

    Samahani kwa kuuliza.. inawezekana mtu kujipima ukimwi kwa damu pekee bila bafer na majibu yakatoka sawa??? Naomba mnisaidie kwa hapa tafadhali mimi nilijipima bila kutumia bafer ilikuwa ni damu tuu ba ikaleta majibu

  • @sarahyusufu2626
    @sarahyusufu2626 4 ปีที่แล้ว +5

    Jamani Leo Nimepima HIV DAHHH IS NEGATIVE

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Hongeraa!!

    • @emmyaugustine4024
      @emmyaugustine4024 3 ปีที่แล้ว

      Jaman nyie hivo vipimo mnanunua wapi, havipatikani kama nyara za serikali

    • @tumastar9397
      @tumastar9397 3 ปีที่แล้ว

      Dokta mfano umetia tu damu kwa harakaharaka imetika nying imengii pale dakika3 ikaja mistari 2 inakuwaje

    • @getrudamartin2409
      @getrudamartin2409 2 ปีที่แล้ว

      @@tumastar9397 mmh sitk kukuvunja moyo nenda hospitl tu moja kwa moja huko ndo utapata uhakika

    • @getrudamartin2409
      @getrudamartin2409 2 ปีที่แล้ว

      @@emmyaugustine4024 pharmacy

  • @ChristinaExavery-oj1hm
    @ChristinaExavery-oj1hm 8 หลายเดือนก่อน

    Mfano ukijitoboa bila kijisafisha kidole kuna shida

  • @allymuhammadi9497
    @allymuhammadi9497 4 ปีที่แล้ว +3

    Vinapatikana wapi vipimo hivi

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว

      Unapatikana mkoa gani?!

    • @samymdundu
      @samymdundu 3 ปีที่แล้ว

      Kwa mimi nipo dar ... Naomba kujuaa vinapatikana WAP hospital ama maduka ya dawa na bei ipoje?

  • @athanasvicentbitana9970
    @athanasvicentbitana9970 4 ปีที่แล้ว +3

    Dokta ukisoma kuanzia dakika ya 3-15 unaweza pata majibu sahihi?

  • @barakasalehe4407
    @barakasalehe4407 ปีที่แล้ว

    Je kipimo kinaweza kisionyeshe majibu mara ngap

  • @joharimussa2552
    @joharimussa2552 4 ปีที่แล้ว +1

    hivi kwa mfano umetumia kipimo ambacho kimeexpire je kitaonyesha majibu kua umeadhirika au vipi doctor

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Kwa sababu kitakuwa kimeexpire... hata majibu kitakayotoa yatakuwa sio ya kuaminika

    • @hawakimaya8482
      @hawakimaya8482 3 ปีที่แล้ว +1

      @@afyatips eti nawez pima alafu nitumie maji yoyot

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      @@hawakimaya8482 hapana, tumia maji hayo yanayokuja na vipimo

  • @jayproducts5871
    @jayproducts5871 3 ปีที่แล้ว +2

    Et kwa mtu alitumia Dozi wanasema Ukipima virus avionekani kuna ukwelii??

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +2

      Ndio. Mtu akitumia dawa vizuri kuna kipindi huwa inafika virusi vinashuka kiasi kwamba hata akipimwa damu vinakuwa havionekani.

    • @rodneylamai2847
      @rodneylamai2847 3 ปีที่แล้ว +1

      @@afyatips vinakuwa havionekani au vinasoma negative?

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +2

      @@rodneylamai2847 vinakuwa havionekani kwenye tests so kipimo kinasoma negative

    • @rodneylamai2847
      @rodneylamai2847 3 ปีที่แล้ว

      @@afyatips shukran

  • @allymtapera5370
    @allymtapera5370 4 ปีที่แล้ว +1

    Unafaa kuwa mwalimu

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Asante...

  • @ZenahIssack-bw4sj
    @ZenahIssack-bw4sj 3 หลายเดือนก่อน

    Ikitoke imesoma mistari 3 inakuaje

  • @hemedinuru6867
    @hemedinuru6867 2 ปีที่แล้ว

    Kama sijajifuta kabla ya kujitoboa,alafu nikachukua damu nikaweka, kipimo kinaweza kutoa majibu sahihi??

  • @mohamadally4200
    @mohamadally4200 3 ปีที่แล้ว

    Docta mm nliwah kumpeleka mtu ikatokea mistar miwil na nkaambiwa Hana ugonjwa au kuna sehemu malum ambazo ukiona hii mistar ndio mtu anakua mwasirika au sehemu yoyotetu ya kpimo ikiwa mistar miwil ni poztv?

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว

      Majibu ya hichi kipimo yanatakiwa yasomwe ndani ya dakika 20- 30. Hapa ndio utapata majibu sahihi. Lakini ikitokea kipimo kimekaa kwa muda mrefu, kuna mistari mingine inaweza kujichora na kukupelekea ukadhani kuwa mtu huyo alikuwa ni positive

  • @ebbyndeso3524
    @ebbyndeso3524 2 ปีที่แล้ว

    Yeeeeeees, I'm healthy

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 ปีที่แล้ว

    Hicho kipimo kinaweza kuonesha maambukizi baada ya muda gani tangu kuambukizwa?

  • @zulphahassan384
    @zulphahassan384 4 ปีที่แล้ว

    Mpk iwe nyeup kbis dam hizo hazionekn zinazopit Ila ss watu wanatum zikiw n dam

    • @majidinamanka9293
      @majidinamanka9293 3 ปีที่แล้ว

      Dah doct nimekubali sana kuna siku nilimpima mtu kama kawaida lakini kipimo kilikaa muda mrefu kikanishangaza sana tayar nilikuwa nimeshamtumia kuna mistar kwa ndan inaonekana mmoja ndio ulikuwa mwekundu niliogopa sana lakini nimeshagundua asante sana doct ndg yko majidi Namanka drc congo mtanzania

  • @juliusbenson8772
    @juliusbenson8772 3 ปีที่แล้ว

    ikitokea imekomea kwenye namb 1 inakuaje apo dokta

  • @franklinelambileki415
    @franklinelambileki415 ปีที่แล้ว

    Damu ni lazima ya kidole?

  • @ericksospeter9313
    @ericksospeter9313 3 ปีที่แล้ว +3

    Kipimo kina bei gan dukani?

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      Pharmacy nyingi huwa wanauza kati ya sh 3,000/= hadi sh 5,000/=

  • @PendoJoseph-zh6bt
    @PendoJoseph-zh6bt ปีที่แล้ว

    Et negative ikichora misitari miwili maan ake nn naomba jib samahani

  • @danielchonde8209
    @danielchonde8209 3 ปีที่แล้ว +1

    Vifaa hivyo vinauzwa dukan

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio... ukienda kwenye maduka ya dawa (pharmacy) utapata

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 4 ปีที่แล้ว +1

    Matone mangapi?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Boniface Beatrice matone matatu

  • @fatmamazige865
    @fatmamazige865 4 ปีที่แล้ว +1

    Je hayomaji yanaunzwa pamoja nakipimo au?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Ndio huwa yanauzwa na kipimo

    • @peterelisha1828
      @peterelisha1828 4 ปีที่แล้ว +1

      Dawa yake Nini? Ww kma doctor ebu tueleze msitake kuachia Kila kitu madoctor wa kzungutu tu.

    • @samymdundu
      @samymdundu 3 ปีที่แล้ว

      Kunywa mkojo wako utapona kaka @peter elisha

  • @latifapancras5734
    @latifapancras5734 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kikikaa masaa mengi km 12 kinaonesh n mistar mngne kwa kufifia nn maan yke?

    • @crershawmafia1009
      @crershawmafia1009 4 วันที่ผ่านมา

      Majibu sahihi ni ndani ya dakika 20 toka uweke maji

  • @peterelisha1828
    @peterelisha1828 4 ปีที่แล้ว +2

    Na kma ikitokea vimejichora vimichirizi vitatu

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo mistari mitatu yote imetokea imekolea??

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Au kuna mingine haionekani vizuri?

    • @peterelisha1828
      @peterelisha1828 4 ปีที่แล้ว

      Mingine imefifia momoj ndo umekolea

    • @peterelisha1828
      @peterelisha1828 4 ปีที่แล้ว

      Yaan miwil imefifia mmoj umekolea

    • @carolinaephraim2867
      @carolinaephraim2867 4 ปีที่แล้ว

      Majibu yanaweza yakaonyesha mstar mmoja lakini kikikaa sana kinajiweka cha pili kinakuwa kwa mbali hapo inakuwa vp

  • @pauloevaristpolebaba8436
    @pauloevaristpolebaba8436 2 ปีที่แล้ว

    Ukishapima ni mda gan na uki2pe baada ya kupat majibu

  • @stephanosanga4307
    @stephanosanga4307 2 ปีที่แล้ว

    Mtumwenye TB inawezekana akipima vvu asikutwe na vvu

    • @getrudamartin2409
      @getrudamartin2409 2 ปีที่แล้ว

      Mtu mweny tb or gono akipim ukimw kwenye hicho kipimo ch kawaida anakutwa imo but ukienda hospital kunakuaga n vipimo vyao ukipimw kule unapata majibu y uhakika so bora uende hospitl moja kwa moja

  • @emmyaugustine4024
    @emmyaugustine4024 3 ปีที่แล้ว

    Vipi kama utapima bila kuweka hyo buffer? Hutapata majibu sahihi?

    • @ibrahimally7637
      @ibrahimally7637 ปีที่แล้ว +1

      Usipo weka hayo maji hakisomi mm nimesha jaribu mara kumi lakini nilivyo kuja kudondosha tome kubwa la maji kilianza kutembea mfano wa alivyo onyesha hapo na kilipiga mstari mmoja kama alivyo onyesha hapo ila changa moto iliyopo nikusubir majibu hapo ndo unaweza kukiacha uka kikimbia

  • @bahatminja1711
    @bahatminja1711 ปีที่แล้ว +2

    Hi doctor ningependa kuuliza kwamba mtu anayetumia dawa akipima kupitia vipimo vya kawaid majibu yake yataonyesha vp

    • @afyatips
      @afyatips  ปีที่แล้ว +1

      Yataonyesha kwamba yupo positive.

  • @catherinejullu6615
    @catherinejullu6615 2 ปีที่แล้ว

    Dr unaweza kuishi na mtu mwenye ukimwi? Mwanaume anatumia dawa ya H 124 harafu hakwambii kama yeye ni mwasilika,ikatokea umeviona vidonge anatumia bila kukushilikisha je utakuwa na imagine anyone?

    • @catherinejullu6615
      @catherinejullu6615 2 ปีที่แล้ว

      Sorry je utakuwa na imani nayo? Yani kuishi pamoja?

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 4 ปีที่แล้ว

    Subiri dakika 15-30.

  • @sebastianivenusto9071
    @sebastianivenusto9071 ปีที่แล้ว

    Je ikitokea mitatu

  • @olivermick3215
    @olivermick3215 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuna kipimo kinaweza kuonyesha mstar mmj umekolea miwili imefifia hapo majb yake yapoje?

    • @peterelisha1828
      @peterelisha1828 4 ปีที่แล้ว +1

      Doctor kalala mbele😆😆😆😆

    • @olivermick3215
      @olivermick3215 4 ปีที่แล้ว

      @@peterelisha1828 duuuuuu

    • @allyzayumba7624
      @allyzayumba7624 4 ปีที่แล้ว

      Ukiona doctor kala kona ujue mmh

    • @suzantarimo4675
      @suzantarimo4675 4 ปีที่แล้ว +2

      Ikishapita dakika kumi na tano hayo mengine sio sahihi ndo maana unashauriwa majibu ndan ya dkk kumi na tano

    • @meshakikigumbi4459
      @meshakikigumbi4459 4 ปีที่แล้ว

      Mataka kupima nitavipata wap ivo vipimia nipe maelekezi tafadhari dokta

  • @priva7421
    @priva7421 2 ปีที่แล้ว

    Samahan kiongozi me nasumbuliwa na mishipa ya dam ya kichwa inaniuma sjui tatizo ni nn

  • @sarahlyanga3766
    @sarahlyanga3766 4 ปีที่แล้ว

    Ivi vipimo nasikiaga kuna mda mwingine vinakosea yaan unawwza kupima ukaonekana unao alafu ukienda kurudia tena siku nyingine ukipima unaambiwa huna no kweli? Maana mpka naogopa kupima

    • @praisesteven7774
      @praisesteven7774 2 ปีที่แล้ว

      hakuna kukoseaaa unao bwana 😆kipimo kinakosea vp jmn

    • @barakasalehe4407
      @barakasalehe4407 ปีที่แล้ว

      Ata mm Kuna mdogo wangu tayali anatumia dawa ila kapima nne mara Tano ndio imeleta majibu

  • @majidinamanka9293
    @majidinamanka9293 3 ปีที่แล้ว

    Jee? kama huyu mtu amepata maambukiz anaweza julikana kama ana maambukizi mara nyingine tunaowa tunasema lazima tupime inakuwaje hapo doct samahani Naitwa majidi niko congo ni mtanzania

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว

      Kama mtu ana maambukizi akipima kwa kutumia hichi kipimo kitaonyesha kuwa anayo. Na kwa uhakika zaidi, kama mtu alipima akaonekana ni negative anaweza kurudia kupima tena baada ya miezi mitatu.. kikionyesha kuwa hana basi kweli hana

  • @hamisalfan9150
    @hamisalfan9150 2 ปีที่แล้ว

    kinauzwaje icho kipimo na je nakipata wap

  • @happinesschristian1319
    @happinesschristian1319 3 ปีที่แล้ว

    Sorry kwani ukinunua hicho kipimo kwenye famance unapewa moja kwa moja hayo maji au hayo yanauzwa kivyake

  • @islamsultanofficial
    @islamsultanofficial 4 ปีที่แล้ว +1

    Samahan dokta Kuna vifonde sivielew kutoka kwa mpenzi wangu dokta

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Vidonge gani hivyo?!

    • @islamsultanofficial
      @islamsultanofficial 3 ปีที่แล้ว +1

      @@afyatips samhana dokta naomba namba yako ya sim nikupigie doktq

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      Nitumie mesaage whatsapp kwenye namba 0717 442 590

    • @islamsultanofficial
      @islamsultanofficial 3 ปีที่แล้ว

      @@afyatips saw dokta

    • @sofiaarishy9295
      @sofiaarishy9295 3 ปีที่แล้ว +1

      @@afyatips doctor

  • @janethmhagama8984
    @janethmhagama8984 3 ปีที่แล้ว

    Je ikiwa umepima ikitokea mistari mitatu?

  • @happynesspeter4179
    @happynesspeter4179 3 ปีที่แล้ว

    Na kama ikitokea mistari mitatu?

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว

      Umesoma majibu baada ya muda gani?!

  • @dottokasimu1504
    @dottokasimu1504 4 ปีที่แล้ว

    Et mtu mwenye vvu akiparua na kucha yake anaweza kukuambukiza

  • @eliazambaga7051
    @eliazambaga7051 3 ปีที่แล้ว

    NI muda gani natakiwa kusoma maji

  • @allenmuro8455
    @allenmuro8455 4 ปีที่แล้ว

    ikaa poa sana

  • @runzi7398
    @runzi7398 2 ปีที่แล้ว +1

    Kilimo cha kupima HIV kuchukua dakika 10-15dk zaidi ya hapo ni wrong results. Usije ukachanganyikiwa

    • @christinaadam2832
      @christinaadam2832 ปีที่แล้ว

      Mmi nikipimaga inaniletea majibu ayaeleweki mbele Apo nimekaa Kama dakika 40 adi masaa 2 nashangaa kimebadlik naishia kuishiwa pozi

    • @calvinkimario1318
      @calvinkimario1318 ปีที่แล้ว +2

      Ahsante maana nilipima juzi nikakaa dakiki 20 mstari ukatoka mmoja Sasa nilikitupa sehemu nikakuta Kama kinaniletea mambo meusi nimekivunja😂😂😂😂

    • @suzycharles-b7r
      @suzycharles-b7r 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@calvinkimario1318😂😂😂😂 vinabadilika hivi, ukitupa utupe mbali kabisa

  • @veronicajumanne4127
    @veronicajumanne4127 4 ปีที่แล้ว +1

    Mi nataka kupima lakini maji hayamo kwenye test nifanyeje?au nitmie ya kawaida?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Hapana usitumie maji ya kawaida.
      Majibu utakayoyapata hayatakuwa ya uhakika

    • @levinastephano2961
      @levinastephano2961 4 ปีที่แล้ว

      Je nikitumia injection water n sahihi?

  • @levinastephano2961
    @levinastephano2961 4 ปีที่แล้ว +1

    hiko kipimo kinauzwa bei gan?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      Huwa kinauzwa kati ya 4,000/= na 5,000/=

    • @levinastephano2961
      @levinastephano2961 4 ปีที่แล้ว +1

      na je kupima hospitali au klinik wanatoza pesa au n bure?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว +1

      @@levinastephano2961 kuna baadhi ya hospital wanatoza hela na baadhi ya hospital ni bure

    • @levinastephano2961
      @levinastephano2961 4 ปีที่แล้ว +1

      @@afyatips sawa asante

    • @alutemdulu936
      @alutemdulu936 3 ปีที่แล้ว

      @@afyatips duka LA dawa kipimo hakipatini au mpaka hospitali

  • @merinajames5611
    @merinajames5611 3 ปีที่แล้ว

    Kwaiyo doctor kama una hiv ndani tatizo dk 15 mpka 30 ndo uleta mistali 2

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว

      Yes... ndani ya hizo dakika, mstari wa pili utajichora kama una HIV

    • @dullahman8673
      @dullahman8673 3 ปีที่แล้ว

      Yani ukijichora baada ya dk 30 wapi umeathirika?

  • @cholobrain6715
    @cholobrain6715 2 ปีที่แล้ว

    Kipimo kimoja kina weza tumiwa na watu wangapi

  • @ulindulaadamson8781
    @ulindulaadamson8781 4 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanasema vipimo hivi vinadanganya je ni kweli?

    • @afyatips
      @afyatips  4 ปีที่แล้ว

      ULINDULA ADAMSON hapana sio kweli.
      Ukikitumia kipimo kwa usahihi, na kama kipimo hakijaexpire bado, kipimo kinatoa majibu ya kweli

  • @happyswai2106
    @happyswai2106 3 ปีที่แล้ว

    Je kama kipimo kimeisha muda wake unajuaje

    • @afyatips
      @afyatips  3 ปีที่แล้ว +1

      Huwa vinaandikwa expiry kwenye hiyo package yake, so hakikisha unaangalia expiry date kabla ya kukifungua na kukitumia

  • @ndiwesalmu2848
    @ndiwesalmu2848 ปีที่แล้ว

    sorry ivo vipimo vinauzwa au mpaka ukapime