ITAKUTOA MACHOZI MKASA MZIMA KUKAMATWA KWA BONIFACE | KUNA KITU HAKIPO SAWA KWENYE HILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil หลายเดือนก่อน +17

    Samia abishe Sasa kuwa police sio watekaji mbona walitaka kumteka jacobu lakini iki kitu mungu ana maksud yake kuwa Samia hafai kuwa rais lakini mungu atamjibu kama alivo mjibu magufuri

    • @EastherEmmanuel
      @EastherEmmanuel หลายเดือนก่อน

      Wewe mwandishi wa habari wa kike hebu usituvuruge please

  • @margaretswai8229
    @margaretswai8229 หลายเดือนก่อน +11

    Mwambieni Binti kuna siku yatamsibu hataweza kuzungumza,hakuna kifo ni kifo,kifo cha mateso ya kikatili siyo kifo ni kifo she has to mind her lip,ikibidi East African Redio mwondoeni huyo binti kwenye hicho kipindi anaharibu taswira ya organisation unless yupo hapo kwa ajili ya SERIKALI YA CCM kuteeta hata uovu

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 หลายเดือนก่อน +6

    Alaf huyu dada hapo studio ana double standard kwenye mambo yanayohusu uchambuzi wa kisiasa kwanin kila siku anaongea utumbo na bado anapewa nafas kusimamia kipindi kama yupo kwa maslah ya chama ni bora akae kmya maana kila akiongea anaharibu kwa kuleta masiala kwenye mambo yanayogusa jamii... Vinginevyo kipind kinapoteza mvuto

    • @gabrielsaelie8091
      @gabrielsaelie8091 หลายเดือนก่อน +2

      Elimu yake duni, tatizo ni umbumbu na ujinga

    • @zuwenasaid9707
      @zuwenasaid9707 หลายเดือนก่อน

      Maisha malamute anaogopa kutekwa na kuuliwa au pengine yupo kwa kazi maalum

  • @margaretswai8229
    @margaretswai8229 หลายเดือนก่อน +7

    Mwambieni huyo Binti ni mdogo sana ajali HAKI NA UHAI wa binadamu

  • @alexmalyango1405
    @alexmalyango1405 หลายเดือนก่อน +9

    Ninyi si mnambeba mama enu wa kambo mama gani hana huruma na awaleae😊😊

  • @barakatheodorymwanga5736
    @barakatheodorymwanga5736 หลายเดือนก่อน +6

    Weee dada huna akili aisee.

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 หลายเดือนก่อน +6

    Huyo dada anasema watu walimtukana kwenye X sasa nimejua kwanin walimtukana😂😂

    • @EmmanuelSimion-d3e
      @EmmanuelSimion-d3e หลายเดือนก่อน

      Unajua huyo Dada hajielewi kabisa kabisa

  • @AmmarSadik-x5u
    @AmmarSadik-x5u หลายเดือนก่อน +5

    Ndio mjue wamama hawana huruma,ccm ndio wanaoteka watu si wengine

  • @mwlpierre
    @mwlpierre หลายเดือนก่อน +3

    Huyo dada anataka kutumia Hilo Jukwaa lenu apate uteuzi yaani duuu! Maisha hakuna imani tena kwa sababu nayeye ni mzazi au atukuja kuwa na mtoto wakiume ambaye anaweza kujivunia mafanikio yake kama Boneface

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh หลายเดือนก่อน +5

    Kusemakwel huyu dada mtangazaa lifaaa awemamantilie basitu

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356 หลายเดือนก่อน +2

    Bonifas ni mgombea wa nafasi ya mwenyekiti kanda ya pwani.Ccm wanajua uwezo wa ushawishi wa Jacob haya yanayofanyika ni figisu ili uchaguzi uharibikekuilinda Ccm. Subirini muone

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 หลายเดือนก่อน +1

    Kuweni waadirifu tumieni taalum yenu vizuri ..

  • @charlzmboya
    @charlzmboya หลายเดือนก่อน +5

    MY BRO.. MWENYE SHAT DAK. BLUE UKO VIZURI SANA KUJENGA HOJA YKO HONGERA SANA TUMEKUELEWA

  • @YusuphRehan
    @YusuphRehan หลายเดือนก่อน

    Uyo Dada Takataka kabisa basi Tu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi nyingi za kiafrica hupoteza muekekeo wa maendeleo kwa sababu elimu nyeupe Haina technology tunathamini sana utawala bila resilimali watu ktk technology
    Hii ndio lnafanya Africa kurudi ktk utumwa kitu ambacho mwalimu nyere alijarjbu kutumia akili za ziada kuondoka na nayo taratibu ktk kujitegemea nguvu ya pamoja lakini wazungu wametupa elimu nyeupe tumekuwa wajinga kabisa kuthamini utawala mpaka kwa bunduki na risasi

  • @AlexMlaba
    @AlexMlaba หลายเดือนก่อน +4

    Nauliza kauli zilizotolewa na wanachama wa ccm za kuchinjachinja na kuhujumu uchaguzi ni za kweli au uwongo

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 หลายเดือนก่อน +2

    Km ccm wanasema hao wanaoteka watu hawawajui basi watanzania ni haki yao kujitetea kwa nguvu ya Uma wao wenyewe watasema km hao sio police hata km Wana silaa nzito nikushirikiana kujitetea maisha yetu wenyewe sababu police sio rafiki tena ktk taifa letu

  • @melejijohnson3257
    @melejijohnson3257 หลายเดือนก่อน +1

    Madamu najua unajua ukweli lakini unaogopa kutekwa
    So kama unaogopa kutekwa usichangie chochote kuhusu utekaji kwa sababu utajiweka hatarini hata kama unawatetea wadhalimu..

  • @DeokaraMturo
    @DeokaraMturo หลายเดือนก่อน +1

    Bora ya mama nitirie utafikir hajawahi kwenda reba

  • @alfredymakuru8333
    @alfredymakuru8333 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona enzi ya utawala wa kikwete na ndo kulikuwa na upinzani mkubwa sana mbona mambo haya hayajakuwepo jamn....sijui sana kuhusu mambo ya siasa lakn naona kabisa ukiwa upande wa upinzani maisha yako yapo hatalini mnooo

  • @NeemaKimambo-l6g
    @NeemaKimambo-l6g หลายเดือนก่อน +1

    Mungu !!! mungu kwanini???

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e หลายเดือนก่อน

    Bro mmi nakukuelewa sana ila huyo Dada na huyo jamaa hapo studio HAWAWEZI kuelewa !!

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 หลายเดือนก่อน +4

    Achanikuwatetea nipolisi

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso หลายเดือนก่อน

    Wanaoteka watu wanajulikana ameshawataja Sativa na wanaowatuma wameshajulikana watanzania siyo wakorofi kama wakenya wamemwachia Mungu alipe kisasi juu ya wanaoteka binadamu wenzao na kuwaua Mungu yupo lazima atajibu maombi

  • @betitympeleta9697
    @betitympeleta9697 หลายเดือนก่อน

    Jamani ee tunataka awe salama tu

  • @MturiMturi-j9f
    @MturiMturi-j9f หลายเดือนก่อน

    Nyiee wandishi wa habari muache unafiki na kujikomba kwani ni uongo kua watu hawatekwi?????

  • @SelemanAlly-lz4sb
    @SelemanAlly-lz4sb หลายเดือนก่อน

    Acha polis wafanye kazi

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 หลายเดือนก่อน

    Udhaifu na woga kwa watu kunapokuwa na watu aina ye yote ile watakaokujia kwa njia yoyote ile na kukudhibiti 😂😂

  • @jeunajuatv817
    @jeunajuatv817 หลายเดือนก่อน

    We dada acha maswali ya kinafiki

  • @jeunajuatv817
    @jeunajuatv817 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo habari ya soka ndio imeishia hapo

  • @ZaitunAbdallah-ol1bb
    @ZaitunAbdallah-ol1bb หลายเดือนก่อน

    Makosa ya mtandao ukasachiwe nyumbani

  • @yonaibrahim5112
    @yonaibrahim5112 หลายเดือนก่อน

    Hisia ni ndugu mtangazaji wakati matukio yapo na wanaoteka wanajitambulisha?

  • @mathiaschoma9527
    @mathiaschoma9527 หลายเดือนก่อน

    Ondoeni hiyo background music inakera kwani hizo mic zenu bila backgrounds music hazifanyi kazi au kinachojadiliwa hakina maana. Ulishasikia taarifa muhimu kuna muziki

  • @danielkanso
    @danielkanso หลายเดือนก่อน

    Uwezo wa Jacob wengi wanaufahamu hivyo watakuwa wameanza kumuwekea kigingi ili wasiendelee kufanya kampeni

  • @MturiMturi-j9f
    @MturiMturi-j9f หลายเดือนก่อน

    Sasa kama hawatekwi? Haya tuambie wewe sasa wako wapi huenda unajua walipo

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 หลายเดือนก่อน

    Bc acheni tukae km maadui humu nchini lakini mama kayataka mwenyewe

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 หลายเดือนก่อน

    Hivi polisi wakimchukua mtu ni ndugu zake ndo wanamtafuta aw wao ndo wanatoa taarifa kwamb wamemchukua

  • @AkidaDaudi
    @AkidaDaudi หลายเดือนก่อน

    Uyo hajitambuwi tunahitaji tuambiwe na polisi uwa watu tunazusha tu lwa mihemko ya kivyama,

  • @MaijeNgogomba
    @MaijeNgogomba หลายเดือนก่อน

    We dada unajua ulicho soma maongezi yako n kama zuzu kama mungu yupo atakujib wakat ukifika

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 หลายเดือนก่อน

    Kwanini Jinai ipo kwa viongozi wa upinzani tu?!! Makosa ya wao ccm ambayo wanatamka hadharani hakuna aliyeshtakiwa kwann upinzani ndio wanakosea na kukamatwa kupewa kesi na wengine kuuwawa! Mtu kafariki juzi na wauwaji wanajulikana hajawajibishwa hata mmoja leo Boni Yai kashafanya jinai na yuko ndani?!

  • @MirajiMahamudu
    @MirajiMahamudu หลายเดือนก่อน

    Sasa kushika simu inamaana namba zake hawana na je hakuna wataalamu wa kumfatilia matumizi ya hyo simu ?

  • @lucasathanas9554
    @lucasathanas9554 หลายเดือนก่อน

    kwa mtazamo wangu huyu dada hata D MBILI HANA NAOMBA ATOLEWE HIKI KIPINDI KINATAKA WATU WANAOJUA MAMBO NA KUJENGA HOJA KM ULIKUWA UNABEBWA SHULEN UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NDO TUNAUONA HAPA HUYU DADA HAFAI HIKI KIPINDI NI USELESS AF UNABOA

  • @BITEBOKHALID
    @BITEBOKHALID หลายเดือนก่อน

    Baada ya kushindwa kumteka ndio wamekataza

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน

    'Kitendawili'

  • @pastorjameswatersoflifechu1227
    @pastorjameswatersoflifechu1227 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ndie alietoaga taarifa za yule binti aliyebakwa na vijana watano. Aulizwe vzr.
    Anasambaza habari zakutaharuki.😂😂😂😂

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 หลายเดือนก่อน

    Kama kifo A na kifo B ni sawa na yeye tumchinje afu awe sawa na kifo A kam kina abduli na mkwe wake masayuni hawajatumaliza😂

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 หลายเดือนก่อน +1

    Sikilizeni nyinyi, unaweza kujitambulisha kama polisi ili kulifanya jambo liwe gumu, ki ufupi tuachieni vyombo vya usalama kazi zake, tunapenda kuingilia sana mambo ya kiusalama

    • @DanieliLaizer-r2k
      @DanieliLaizer-r2k หลายเดือนก่อน +1

      Unatafuta na wewe cheo xyo kilichopo tunaomba serikali jambo dogo wasifanye yaibue maswali mengi tunaomba kama inawexekana ijengwe kituo Cha afisa usalama Wananchi tuelewe kama haiwexekani waachiwe jeshi la poli Kasi Yao

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 หลายเดือนก่อน

      @@DanieliLaizer-r2k haya maswali yanayoibuka ni ujuaji wetu tu basi,, wewe, mimi mbona hatujafuatwa kama hivyo? Muda mwengine tunarud nyuma wenyewe, Kama Mnyika kapata wito kituoni kakataa, polisi wakiamua kumfuata kesi na nongwa

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj หลายเดือนก่อน

    Aliwahi kusema mwenyewe waanze kukamatwa yeye badala ya raia Sasa ndiyo hiyo imempata

    • @Abs-tz8dl
      @Abs-tz8dl หลายเดือนก่อน +1

      Watanzania wanakamatiwa viongozi wao na wakoloni weusi, huyi anapigania uhuru

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph หลายเดือนก่อน

    Sio Kuna Eneo Ambalo Hlipo Sawa But Kuna Nguvu inatoka Nje Ambayo Imekuwa ikifadhili Upinzani Kw afaida Yao Kwa Kudanganywa kuwa Chadema Ina Nguvu Kuchukua Dora,Sasa wanzungu Wamestuka Chadema Wanataka Kiwaaminiisha Kuwa awanaonewa Ndio Mana Wanatafuta Kitu Cha kuwaridhisha Lkn watafeli TU sbb ukweli Utasimama