Maisha ya Diddy yapo hatarini kwenye Jela aliyofungwa, ametengwa, wafungwa wanamuwinda, ni pabaya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 37

  • @IbniAbbas-yz3kt
    @IbniAbbas-yz3kt 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Jela kama Apartment!!

  • @daprince7545
    @daprince7545 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Ama kweli pesa na umaarufu sio kitu cha kujigamba, uchafu wote alioufanya umefika mwisho. Shetani sio kiumbe kizuri. What gos around comes around

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    Sio poa halafu basata mbona wasingilie kati

    • @willinjowritter206
      @willinjowritter206 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂

    • @noela86rogers
      @noela86rogers 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hahahaaaa

    • @FreedomFighter-i8o
      @FreedomFighter-i8o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Nomaaaaa basata Ina mmudu ney wamitego

    • @geofreyniyonkuru5724
      @geofreyniyonkuru5724 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂

    • @Gersah
      @Gersah 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huku marecani watu weusi wanapata shida . Ukiwa tajari sasa watahakikisha unabaki maskini

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Mungu awalinde waafrica wetu mnao kula viapo nchi za ughaibuni ili mpate riziki nakutimiza ndoto zenu, P.didy,R.kelly,busy.signal,pop.smoke,2pac,m.j.jackson

  • @RecapFarFromWeak
    @RecapFarFromWeak 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    💔

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Duh hatar

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Kaka sonny music niwanoko sana ukiwakataa kama hupotez maisha unakwenda jela

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ukiwa na skendo platform ZOTE zinakukataa

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂😂 hao ndio freemason sasa kama huwajui wameanza na r Kelly saivi p Diddy dj Khalid yu njiani pamoja na Rick Rose wakijichanganya tu

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@josephwilliam5813ata kama huna masonic akiwasaliti tu wanakufilisi na kukufunga tyson yeye wamemfilisi tu 😂😂😂😂😂😂

    • @hamsikemery2736
      @hamsikemery2736 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwahiyo kasingiziwa kesi zote hizo???

    • @hamsikemery2736
      @hamsikemery2736 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@shaviercharvinho18usisingizie freemason ni vitu wamefanya hayo ndio malipo

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    AMEISHA HUYU KAMA ALIVOISHA R.KELLY. FREEMASON WAMEWALA. UKIJIKWATU WANAKULA NDOOKAMA HIVI SASA HELA YAKE NA UMAARUFU WAKE IMEKUWA ZERO SASA.

  • @emanuelathanas6613
    @emanuelathanas6613 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kinachonikeraga tu saut ya huyu jamaa mbaya haifai kusimulia

  • @EvelyneIsambi
    @EvelyneIsambi ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Angekimbilia urusi kabla

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😂😂 ko basata wametoa kauli ganj

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂wataongea leo

  • @norobo205
    @norobo205 18 นาทีที่ผ่านมา

    Kwaiyo uko akuna tena madem kama alivyozoea? Kweli jela noma

  • @JeanMalilo
    @JeanMalilo 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Abakwe Tu nayeye

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 16 นาทีที่ผ่านมา

    Mbele bhana lile neno sheria msumeno wenzetu wanaishi nalo kwa usahihi mamae, did leo kalala ndani dah kweli dunia haina mwenyewe “anapita kweny njia za R-kelly

  • @noela86rogers
    @noela86rogers 37 นาทีที่ผ่านมา

    BASATA wametoa hatima gani ?

  • @JosephBrooklyn
    @JosephBrooklyn 34 นาทีที่ผ่านมา

    Tayari shetani kashamuacha apambane pekee yake

  • @DjMswati
    @DjMswati 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    filaun ulo jamaa acha liishie jela

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mond aende kumviziti baba yake