Historia ya (YESU) Nabii Issa bin Mariam (SEHEMU YA 01)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @ladijumaine
    @ladijumaine 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunataka nambambil kiongozi wewendowangu tuelimishekabisa mungu akujalie umrimrefu kwakuwa tumefahamu mengi kupitia wewe mungu akubariki lakini tungelipata sehemu yapil❤

  • @ladijumaine
    @ladijumaine 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunataka nambambil kiongozi wewendowangu tuelimishekabisa mungu akujalie umrimrefu kwakuwa tumefahamu mengi kupitia wewe mungu akubariki lakini tungelipata sehemu yapil

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 29 วันที่ผ่านมา

    Yesu alikua akimsujudia Elaha ambae cc waislam tunamuita na tunamsujudia Allah
    Yesu alikuwa akitawadha na kuingia mskitini na cc waslamu tunatawadha na tunamsujudia Allah ambae yesu alikua akimuita Ellaha...
    Yesu atarudi duniani na ataingia mskitini kama alivyozoea na atashangaa kwann mnamuabudu maana yeye mwenyewe alikua anaabudu na akuacha ujumbe wa yeye kuabudiwa...
    Okay done!

  • @zenahussein2242
    @zenahussein2242 หลายเดือนก่อน +1

    Historia ya mariam imejaa kwenye Surat Maryam

  • @eugeniepongo2886
    @eugeniepongo2886 หลายเดือนก่อน +1

    Bro Yesu sio Issa
    Kwanza Kumbuka na ujuwe Yesu Alikuwa Myahudi na Wayahudi wakale walikuwa Weusi
    Issa ni Mwarabu
    Hivyo basi Yesu na Issa sio wamoja
    Kwanza Inakuwaje Watu wa sehemu nyingine wajuwe Historia yawahudi na kuipinga Biblia ambao imetangulia daada ya Myaka 600

    • @QasmRashid-y3v
      @QasmRashid-y3v หลายเดือนก่อน +1

      61:6 - Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri!

    • @FxL_47
      @FxL_47 หลายเดือนก่อน +1

      Biblia siimeandikwa na wazungu hiyo iko wazi hamna Mtume wa mwenyezi Mungu aliekuja na biblia

    • @FxL_47
      @FxL_47 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@QasmRashid-y3vTatizo kaka wakristo wame Brainwashed HAWAWEZI kukubali ukweli... Wakristo wengi hata MAANDIKO YA biblia hawajui vizuri

    • @YusuphRashidi-b1j
      @YusuphRashidi-b1j หลายเดือนก่อน +1

      Hili linafuata uwongo wa wazungu

    • @NassorBinSalum
      @NassorBinSalum หลายเดือนก่อน +1

      Issa tunaemjua sisi waislamu sio mwarabu sawa alikuwa ni banii Israel sawa

  • @bestmovies939
    @bestmovies939 หลายเดือนก่อน

    Noma ni contradiction, Yesu wawili tofauti. Yesu ndiye Yeshua in Hebrew. Kwa bibilia Yesu ndio peace mwenyewe, hahitaji peace yoyote upon him. Utaamini historia ya eye witnesses, ama maandiko ya 600 years baadae na prophet ambae alikua mwenye dhambi mingi.

    • @ladijumaine
      @ladijumaine 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Somandugu aowewe jaribu kutupa storiyenyewe aonizolestoy zawagiriki so zacostantinopol