MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU MAMAJUSI | NYOTA | UCHAWI | Story ya Christmas🎄

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @kelvinjoseph4545
    @kelvinjoseph4545 12 วันที่ผ่านมา +6

    Your the best brother,content nzuri sana umesimulia vizuri utulivu wa Hali ya juu...nmeipenda,hongera sana Mungu akubariki

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  12 วันที่ผ่านมา

      Amina kaka! Mungu akubariki

  • @eliyampesa4352
    @eliyampesa4352 11 วันที่ผ่านมา +4

    Umedanganya sana. Imani zao zilijuwa tofauti sana. Dini ya kiyahudi ilikuwa ni dini ya kiyahudi na dini hiyo ilikuwa ni kutunza sabato. Mfumo wa ibada wa dini ya kiyahudi ulikuwa ni mfumo kamili usiohitaji kuongezea maarifa yafananayo na Imani nyingine.
    Dini ya mamajusi iliitwa dini ya zelosti na dini hiyo ilikuwa ni dini yenye mfumo kamili na misingi ya Imani Yao ilikuwa ni kusoma nyota huko babeli ya uajemi. Mama jusi walipoona nyota tofauti na nyota walizo zizoea walikumbuka maneno ya danieli juu ya unabii wake.
    Mamajusi walijua kuwa baada ya majuma sabini masiya atazaliwa na baada ya kuzaliwa atakataliwa na watu wake israeli Kwa kuambiwa na danieli hapo danieli alipo ishi baberi kama mateka mapoja na wayahudi.
    Mamajusi walihifadhi taarifa hiyo Kwa muda wa miaka 490 Kwa uaminifu mkubwa sana bila kukosea.
    Kwa hiyo mamajusi walifika kushuhudia yaliyo tabiliwa na danieli sio Kwa kuwa Imani zao zilifanana

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 11 วันที่ผ่านมา +3

    Bwana Yesu akubariki sana 🙏 .

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  9 วันที่ผ่านมา

      Amina ndugu! Mungu azidi kukubariki pia.

  • @augustinakashaigili4464
    @augustinakashaigili4464 10 วันที่ผ่านมา +3

    Ujumbe mzuri sana kwa vijana

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  9 วันที่ผ่านมา

      Kabisa. Mungu akubariki ndugu!

  • @paullissu719
    @paullissu719 12 วันที่ผ่านมา +3

    Finehas Samuel.
    🎉 Ubarikiwe sana nimeipenda hirsoria hii❤❤

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  9 วันที่ผ่านมา

      Amina! Ubarikiwe...

  • @mugishaedwin5424
    @mugishaedwin5424 11 วันที่ผ่านมา +5

    kazi nzuri

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  9 วันที่ผ่านมา +1

      Amina. Ubarikiwe...

  • @zakabeat1
    @zakabeat1 2 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe na Bwana

  • @KingDavidAfrobeats
    @KingDavidAfrobeats 9 วันที่ผ่านมา +2

    Ujumbe mzuri sana. Asante!

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 13 วันที่ผ่านมา +3

    Jambo mzuri Ila ulifupisha sana. Ungeli fanya utafiti wakina. Ila nimependa ufafanuzi wa majusi na jinsi ulivyo honyesha jinzi kizazi cha Leo kinapotosha na kuzania Elimu ya Nyota na kufanya Meditation na yoga ndo kufika Mbinguni na kujisikia wanasema na Malaika. Kumbe ni viumbe vya Uranus vinao jifanya kuwa Malaika wa nuru. Shukrani sana Mungu akubariki

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  12 วันที่ผ่านมา +1

      Amina kaka! Nadhani nitafanya nyingine iliyoingia kiundani zaidi juu ya elimu ya nyota

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 10 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana msimuliaji

  • @peterbanzi6868
    @peterbanzi6868 12 วันที่ผ่านมา +3

    Ubarikiwe! Somo ni zuri sana

  • @JeronimoMagaja
    @JeronimoMagaja 12 วันที่ผ่านมา +3

    Ubariwe mtumishi

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  12 วันที่ผ่านมา

      Amina ndugu!

  • @BarakaMsafiri-hc5nn
    @BarakaMsafiri-hc5nn 13 วันที่ผ่านมา +2

    Nimeipenda ulivyo eleza kuhusu mamajusi je vp christmas

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  12 วันที่ผ่านมา

      Nilipanga kuiandaa mwaka huu lakini ilishindikana, naamini nitaitengeneza mwaka huu unaoanza.

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 11 วันที่ผ่านมา +3

    Eeeee unaufahamu endelea kumsogerea mungu

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  9 วันที่ผ่านมา

      Amina. Ubarikiwe sana...

  • @lordorcas9344
    @lordorcas9344 11 วันที่ผ่านมา +4

    acsenti kua story ya mama Judi Lakini meme si elewe Vizuri Swahili ya Tanzania Ina Nguvu kua hi sana

  • @JeronimoMagaja
    @JeronimoMagaja 12 วันที่ผ่านมา +3

    Ubarikiwe

  • @Yusuph-h3p
    @Yusuph-h3p 15 วันที่ผ่านมา +3

    Amen

  • @GilbertVitalis
    @GilbertVitalis 13 วันที่ผ่านมา +3

    amina

    • @davidtry4ne
      @davidtry4ne  12 วันที่ผ่านมา

      Haleluyah!

  • @dicksonmagabe5194
    @dicksonmagabe5194 9 วันที่ผ่านมา +1

    Awa watu awataki kazi wanajiunga TH-cam na kurusha adisi za uwongo tu wapate hela Kama vile utapeli wa kukopesha hela kila mtu anakopesha uwongo mtupu

  • @UpendoMbonica
    @UpendoMbonica 6 วันที่ผ่านมา

    😅 .
    ..
    .

  • @easy-muchwa8175
    @easy-muchwa8175 12 วันที่ผ่านมา +1

    mara uonyeshe mamajusi wanamsujudia mtoto wa wastani wa umri wa miaka3 na mara uonyeshe mamajusi wanasujudia kitoto kichanga..picha zako umetudanganya na umejaribu kuwaeleza mamajusi ni kina nani ila umeshindwa na pia umeshindwa kuhitimisha stori yako....ila unajitahidi ktk biashara

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 12 วันที่ผ่านมา +11

    Mtangazaji unaongea uwongo.huna ukweli wowote kuhusu mama jusi hawa na histioria yao...kwa ufupi tu ni kwamba hawa mamajusi ni kweli walikuwa ni watu na majina yao ni baltazar / gaspar na melchior/. watu hawa walitoka katika mabara tofauti wakiongozwa na nyota iliyowakutanisha mahali ambapo Yesu kristo alizaliwa..ulikywa ni mpango wa Mungu ukiwa na ujumbe maalumu..mamajusi hawa walikuwa wamebeba zenye ujumbe maalumu...( Hilo nitaliongelea baadae kuhusu maana ya zawadi zao na kwanini walikuja kutoka mabara tofauti) ..sasa tuangalie mama jusi hawa waliktokea mabara yapi!...melikiori yeye alitokea Ethiopia katika bara la africa... Gaspar yeye alitokea " TURKEY" kwa sasa ni uturuki katika bara la ulaya... Na baltazar yeye alitokea mongolia katika bara la "ASIA" ... Maana yake ni nini ? Ujumbe hapa ni kwamba mtoto YESU alizaliwa kwa ajili ya wanadamu wote. Na Nuru yake mfano wa Nyota i! iangaze mataifa yote.....itaendelea...

    • @LeornardLusogo
      @LeornardLusogo 8 วันที่ผ่านมา +3

      Sawa Bado ukweli uko palepale, mamajusi ni wapiga bao au ramli za kishirikina nk.

    • @ninkambazielitwaza7859
      @ninkambazielitwaza7859 8 วันที่ผ่านมา +3

      Umeeleza kirefu sana ila kifupi elewa tu mamajusi walikuwa wapiga ramli Kwa lugha ya kutokuficha walikuwa wachawi utafiti wako itakubidi uufanye vizuri

    • @HoseaLeonard
      @HoseaLeonard 7 วันที่ผ่านมา +1

      Pamoja na yote uliyoongea hawa ndio wanajimu ( watabiri wa nyota)

    • @JesusEvangelofShepherdforUnive
      @JesusEvangelofShepherdforUnive 2 วันที่ผ่านมา +1

      Yes

  • @JasusilaMbinguniGCTC
    @JasusilaMbinguniGCTC 8 วันที่ผ่านมา +1

    🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🇹🇿amin

  • @KamaTaiSermons
    @KamaTaiSermons 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amen