SIRI NZITO Nyuma ya MOTO ulio teketeza LOS ANGELES

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 93

  • @SalimKidela
    @SalimKidela 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kichww Cha habar na story tofauti unaadithia vitu vilivyopita baada ya kuelezea main story

  • @SalimSeif-lf3db
    @SalimSeif-lf3db 11 วันที่ผ่านมา +6

    Mtazamo wako ni mzuri, lkn nasikitika kwa taarifa unazo toa kwa watu mazombi na mavampire waliotengenezwa na mifumo hiyo hiya ya mayahudi wa kimagharibi hawata kuelewa, ahsante sana

  • @PaskoNgoi
    @PaskoNgoi 8 วันที่ผ่านมา

    Amina nimepata kutu kaka barikiwa

  • @OGBUSTER-j1n
    @OGBUSTER-j1n 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unajua mjomba kwa tunaojua,,, 👏👏👏Ila usiwe mjuaji Zaid ulimwengu uko na wenye nao{🆕🌐Order} plan👽🙌🔥

  • @bathokriss161
    @bathokriss161 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂

  • @BajouNizeye
    @BajouNizeye 9 วันที่ผ่านมา +3

    Uwongo uyo ,Mungu ameonekana kwao wamurudiriye Mungu wao nimwenye lehema atawasame

    • @vizoneinternational
      @vizoneinternational 9 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu wetu hadhihakiwi, yeye ni moto ulao

  • @lusekelokajigili4564
    @lusekelokajigili4564 7 วันที่ผ่านมา +1

    Haya yalitabiriwa mapema na kwa uwazi kuwa haya yangetokea. Mwaka 1909 yaliandikwa miji ya Los Angeles na mingine ilitajwa kuwa Kwa sababu ya uovu wao uliokithiri itakuwa na janga la moto. Soma kitabu cha nabii wa Mungu wa kweli Ellen G White kiitwacho matukio ya siku ya siku za mwisho, sura ya pili na ya nane. Hizi ni miongoni mwa dalili za wazi za kurudi kwa Yesu mara ya pili. Tuombeane tufanywe Wana wake

  • @SimiyuFelix-r8z
    @SimiyuFelix-r8z 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Josess skills

  • @NasraAlMarjabi
    @NasraAlMarjabi 11 วันที่ผ่านมา +9

    Ni. Wauwaji wakumbwa Katika. Nnchi. Za. Kiarabu Waache. Wapewe. Adhabu. Ya. Mungu🎉🎉🎉🎉

  • @charleskibuthi5942
    @charleskibuthi5942 6 วันที่ผ่านมา

    Wanao imiliki nchi ni hakinanani,kama si MUNGU.wewe usilete upuzi Kenya ,God is still the king

  • @ellyodhiambo-rs7sr
    @ellyodhiambo-rs7sr 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tangulizi lako ni ndefu Sana. Jaribu kufupisha ili tuweze kuelewa Kwa haraka.

  • @simonphabiano9050
    @simonphabiano9050 11 วันที่ผ่านมา

    Unajua sana 🎉

  • @EmanwelinaAlistides
    @EmanwelinaAlistides 9 วันที่ผ่านมา

    Sawa

  • @MussaKhamis-k5q
    @MussaKhamis-k5q 8 วันที่ผ่านมา

    Siri ya Mungu tulijuwe ilo

  • @Micho-z5h
    @Micho-z5h 6 วันที่ผ่านมา

    😮

  • @ElbertusElemegio-e7w
    @ElbertusElemegio-e7w 6 วันที่ผ่านมา

    Mataifa yote yajue Mungu ndiye wa kuabudiwa na kuogopwa,na ndiye mfalme wa wafalme muumba wa mbingu na nchi,akisema amesema.

  • @shukranjaphet637
    @shukranjaphet637 7 วันที่ผ่านมา

    Tatizo unazinguka Sana, mpaka kutoa point

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 11 วันที่ผ่านมา +1

    kulikuwa kuna haja gan ya kujitia hasara na kuchafua mazingira?

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu ndie mwenye siri.

  • @kajinakimsafirindama8448
    @kajinakimsafirindama8448 11 วันที่ผ่านมา

    Yes of cause tell us the True Men

  • @AbdalaMomba-m7s
    @AbdalaMomba-m7s 11 วันที่ผ่านมา +8

    Bom dia my friend? Iyo nihazabu Kutoka kwamungu a mini usiya mini lakini hawo makafiri hawamini sababu wawo hawamini kwamba kuna mungu niwachache saana wanayo hamini Sasa kama na wewe nimmoja wawo endelea na habar zauwongo. Good morning brother.

    • @piusmbwana3329
      @piusmbwana3329 11 วันที่ผ่านมา

      Acha ujingaa

    • @Daudimakaza-s1v
      @Daudimakaza-s1v 11 วันที่ผ่านมา

      Mungu atoi adhabu inayozibitiw Lile n janga ty

    • @kingsolomoni-xp3dv
      @kingsolomoni-xp3dv 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani uarabuni hakujawahi kutokea moto

    • @HajiMkomwa
      @HajiMkomwa 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@Daudimakaza-s1vjanga lann acha ujinga like nifundisho waachie kuwaonea waarabu kupora mali za watu kwasababu Wana nguvu kuuza silaha nakwenda kufanya mauaji kwenye nch za wengne wanafanya majaribio ya silaha zao kwenye nch za waarabu kuwaua nakupora ardhi mama eeeeeee, mungu mkubwaaa Kawa pga bomu mwenyewe walipze sasa kwa mungu

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 11 วันที่ผ่านมา +1

      Hiyo ni Hali ya hewa tuu Mungu awashe moto kuna mwanadamu atathubutu kuzima? Mbona Uturuki Sirya walikumbwa na matetemeko makubwa wakafa wengi mno mafuriko Uturuki yalisomba makazi na watu wakatumbukia baharini je wao walimpora nani? Au nao Mungu kawaadhibu? Acheni ubaguzi wa uislam au huko Maka yale Mafuriko yalikua ya adhabu ya nini? Acheni zenu.

  • @JustinNditijeJoseph-b8z
    @JustinNditijeJoseph-b8z 10 วันที่ผ่านมา

    Unachokngea ni kweli ninaweza kukusapoti kwa asilimia nyingi kvs

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 9 วันที่ผ่านมา

    Kumbuka kuna matetemeko LA watajenga vipi majengo marefu ?

  • @saidalnaamani1233
    @saidalnaamani1233 11 วันที่ผ่านมา +2

    Acha ufala wewe iyi lana kutoka kwa mungu vitu awa wa marekani kifasi duniani na ushoga umezidi uko America

  • @Said_Ki
    @Said_Ki 8 วันที่ผ่านมา

    Ingekuwa hii ni insha na mm ndo mtahini ningekupa 5 chini ya ishirini,unajirudia ovyo ila hakuna hoja unaongea

  • @DeboraCalton
    @DeboraCalton 9 วันที่ผ่านมา

    Nilitaka kushangaa maana Mungu alisema sitaichoma dunia hii kwa moto wa kwa maji... Sasa huu moto umetoka wapi...Huu moto nilihisi tu ni hawa viumbe

  • @NaomiKisonga
    @NaomiKisonga 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu ndo mwenye siri peke ake

  • @johnngunjiri5416
    @johnngunjiri5416 9 วันที่ผ่านมา

    They mock GOD

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ni Mungu pekee hiyo nibupumbavu wa maakafiri

  • @YahyaSaleh-i2s
    @YahyaSaleh-i2s 10 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅nlitulia kwa umakini sana nakusikiliza nlizani una lamaana😅😅 kumbe pumbatu

  • @margaretmahege7948
    @margaretmahege7948 11 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo walikuwa na mpango wa kuujenga huo mji upya kisasa zaidi?

  • @KassimSaleh-nk4jf
    @KassimSaleh-nk4jf 10 วันที่ผ่านมา

    Shda wenzetu hawamjui Mungu na hatawakijaribu kumjua wanajidanganya kuwa kuwa Mungu nguvu take NI Kama ya tramp tu jitathminini nyny ukubwa wa Mungu hata make maisha yenu tote mkae mkifkr ukubwa,nguvu za Mungu hamuwez kujua ukubwa wake kueni na adab Allah ni Zaid ya wwte

  • @TumaMwinyi-sk6dw
    @TumaMwinyi-sk6dw 10 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo na hao waliokufa watarud waishi katika uo mji mpya 🤔

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo 11 วันที่ผ่านมา

    Watu wa LA wanatakiwa kumrudia Mungu.

  • @JoanMayende-b4w
    @JoanMayende-b4w 10 วันที่ผ่านมา

    Wajuwe kwamba mungu ako

  • @deogratiusdeo6954
    @deogratiusdeo6954 10 วันที่ผ่านมา

    unajua wazungu ni wajanja sana inawezekano wanatumia mfumo huo

  • @AnethMasaki-c5f
    @AnethMasaki-c5f 11 วันที่ผ่านมา

    🤔🤔🤔

  • @HassanHassan-qd4dl
    @HassanHassan-qd4dl 10 วันที่ผ่านมา

    ISRAEL imeundwa mwaka 1948..nchi inayotamvulikana ni PALESTINE..toka jadi..ROMA alitawala PALESTINE

  • @sweetbartcloud2787
    @sweetbartcloud2787 10 วันที่ผ่านมา

    Ninaweza kukuelewa kwa sababu hata maafa ni ya kawaida tu nikitu ambacho si chakawaida

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nae mwongo

  • @HawaHawakudura
    @HawaHawakudura 10 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo

  • @PauloMelayeki
    @PauloMelayeki 10 วันที่ผ่านมา

    Hiyo idea ya wakristo ni ya kweli,mengine hayo ni conspiracy theory achana nayo ni ya uongo

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hata sikuelewi kwa kweli

    • @sadicksamuel2005
      @sadicksamuel2005 11 วันที่ผ่านมา

      Na mimi sijamuelewa kabisa 😂😂😂😂😂

    • @Givendivine
      @Givendivine 11 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa unaijua siasa utamuelewa bila tatizo we umewahi kuona wapi eti marekani washindwe kuzima moto kwanza wazima moto ni wachache mbona iko 😮

    • @MosesOklan
      @MosesOklan 10 วันที่ผ่านมา

      Kwan maeneo yao mengi ni mapori saana au

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 11 วันที่ผ่านมา +1

    Umefafanua vizuri nakuunga mkono

  • @Suzanapaskoqnkn
    @Suzanapaskoqnkn 11 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU NI MWEMA WAME UWA SANA

  • @mikejust747
    @mikejust747 11 วันที่ผ่านมา

    Kumbukeni kabla ya moto.drone zilikua kwenye anga.sasa serikali inajua nini kinafanyika.kwa nn moto uingie mpaka kwenye makazi ya watu. Utajengwa mji mpya wa kisasa

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 11 วันที่ผ่านมา

      Una uhakika asilimia ngapi

  • @georgemerere3448
    @georgemerere3448 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuwa nasubir mwananguu

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 11 วันที่ผ่านมา

      Kwl

    • @georgemerere3448
      @georgemerere3448 11 วันที่ผ่านมา

      Inaendelea ndugu yang?

    • @georgemerere3448
      @georgemerere3448 11 วันที่ผ่านมา

      @AlexGwiha jamaa anatutoa porin na kutuweka barabaran tunajuwa ukwel

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 10 วันที่ผ่านมา

    Naona unaporojoporojo tu huna fact

  • @JacintaMaiyu-ed2mh
    @JacintaMaiyu-ed2mh 9 วันที่ผ่านมา

    Jesus Christ ✝️

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 10 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo walishindwa kuvunja nyumba mojamoja na kujenga upya bila kuua watu kwa moto na kuharibu mazingira ?.

    • @kaskilegide
      @kaskilegide 10 วันที่ผ่านมา

      umeongea point kbx bro wameshindwa kubomowa wakahona waunguze nama pesa zawatu uyo niujinga

  • @SusanWanjiku-yq6bk
    @SusanWanjiku-yq6bk 11 วันที่ผ่านมา

    Wamemwaga gas moto unafuata wenyewe wamechoma

  • @BochaHamz
    @BochaHamz 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hao warud kwenye Surat sajda mungu kashasema tutawaonjesha adhabu ndogondogo endapo wata kufuru na kuas

  • @sadicksamuel2005
    @sadicksamuel2005 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani unazungumzia nini mkuu 😅

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 11 วันที่ผ่านมา

      Mi naonakama mmtu anaangua mapela

  • @NasraAlMarjabi
    @NasraAlMarjabi 11 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ni Adhabu ya Allah sio mpango wa kutengeneza mji mpya wewe muandishi muamini mungu usiwe na fikira izo za kikafiri

  • @SalimsaidHussein
    @SalimsaidHussein 11 วันที่ผ่านมา

    Wamerika ile nchi hakua ya wazungu ilikua nchi ya wafigaj redi indian walikuwa wafugaj ni nchi ilikua na vituko hiyo mioto mtetemeko wa arithi mfua za mafuriko zilikuako ile nchi siyakawaida hawaredi india walikua wanakinga hivyo vituko walikua wachawi sana nchi ilikua na madin kila aina wanyama kila aina faras wanatoka huko ndio kwao.hawa wazungu wakaenda kuwafurusha hawakutaka kijua tabu zaile nchi ndio mamana Leo tinaona ajabu nivitu vilikueko likuwa havioneshi kwamtandao na walerendi indian walikuwa wanajua ilimisimu ya vituko walikuwa wakihama semu tofaut hawakuwa na nyumba zakudimu kwasababu tabia ya ile nchi mwametika walikuwa kama pweza wanajichoma wenyewe mwiba wakujidunga hauabiwi pole.

    • @MakameRashid-j3n
      @MakameRashid-j3n 8 วันที่ผ่านมา

      Hhhhhhhh sasa na zamani ni vitu viwili tofaut

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 11 วันที่ผ่านมา

    FOR NOTHING BROO,YANI HAKUNA KINACHOELEWEKA

  • @theofridmtulima3666
    @theofridmtulima3666 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hata sijakuelewa ninahisi wewe ikawa mmoja wa wafuasi wao

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 11 วันที่ผ่านมา

    Wamechoma ill wajeng magorofa

  • @Said_Ki
    @Said_Ki 8 วันที่ผ่านมา

    Go straight to the point mjinga ww

  • @MoinamoinaSaid
    @MoinamoinaSaid 10 วันที่ผ่านมา

    vipi ?? mbona wachungaji manabii watz ambao wanaongea na mungu subhanallah hawaja pewa tarifa toka binguni kuhusu moto wa marekani ????

  • @IkramJuma-u1f
    @IkramJuma-u1f 9 วันที่ผ่านมา

    muongo kalale uko

  • @butterflymediatztv
    @butterflymediatztv 10 วันที่ผ่านมา

    Nikama ujinga ula wewe ambaye umefanikiiwa kusikiliza jiongeze tusome fitna za masih dajal nikubwa mno

  • @allanalex8822
    @allanalex8822 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nilikuwa nasubir mtazamo wako kihus hili swala

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 11 วันที่ผ่านมา

    Shetani amejipa mamlaka ya Mungu Kwa hiyo amini Mungu mrusie Mungu Shetani atashinda Tu.