BIZMAN - Full Interview na Bongo Project

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • BIZMAN kutoka Inafrika Band - Wana Indege amekuja na mengi sana leo katika meza ya Bongo Project. Hii ni interview maridhawa tuliyofanya naye na ameelezea kwa kina safari yaku ya muziki na maisha kiujumla. Ametuimbia vibao vyake vingi pendwa pia ikiwemo Ametoroshwa. Usikose hii!
    #bizman #bongoproject #bongofleva #tanzania #inafrika
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 6