JOSLIN - Full Interview na Bongo Project

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Msanii wa Bongo Fleva kutoka kundi lililotamba sana zamani la Wakali Kwanza, Joslin Mchala almaarufu Joslin alitutembelea Bongo Project. Karibu katika mazungumzo haya marefu na ya kuburudisha kuhusu safari nzima ya maisha na muzini ya msanii Joslin. Amezungumzia changamoto zake mbalimbali na yote anayofanya kwa sasa.
    #joslin #bongoproject #wakalikwanza #bongofleva
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 10