Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • DAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaja majina ya watuhumiwa wengine 65 wa madawa ya kulevya, wakiwemo Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Elikael Mbowe, Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, Askofu Josephat Gwajima na Mbunge Mstaafu wa Kinondoni, Idd Azzan

ความคิดเห็น • 15

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongeren kwa kaz mzr mrio ifanya na bba maguful🙏lkn sasaiv wamerud kwa kaz na kusingizia kes watu leo sabaya leo makonda chuki ya kisasi hii ndio leo hi wanaripiza...lkn mrisaidya sana watto wetu wariasirika sana viongoz wa chadema hawana dimukasia bar ni uchafu wa madawa ya kuleva na ushoga...

    • @jamesshao538
      @jamesshao538 2 ปีที่แล้ว

      Huyu fala tu hongera ya nini bwegee tu huyu

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations 👏👏👏👏 Kwa kazi ya kupambana na madwa ya kulevya

  • @EsterPaul-uc7ny
    @EsterPaul-uc7ny 3 หลายเดือนก่อน

    Hongeraa kwakazi unanyoifanyaa mheshimiwaa hakika mungu akupee maishaaa marefu

  • @sarshahemed284
    @sarshahemed284 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumepitia mengi sana hii nchiii...pwaa

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 หลายเดือนก่อน

    Hii vita siyo yetu.ina wenyewe

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +2

    Kazi Nzuri

  • @jeremiahpatel7916
    @jeremiahpatel7916 3 ปีที่แล้ว +3

    Ulev wa madaraka mshamba

  • @jotitv7513
    @jotitv7513 3 ปีที่แล้ว +2

    Hi laaana ya kumchafua Manji inakutafuna

  • @gideonemmanyi9593
    @gideonemmanyi9593 หลายเดือนก่อน

    Nchi iliharibika sana hongera Mama umetuliza nchi

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 ปีที่แล้ว

    Akili ndogo

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 หลายเดือนก่อน

    Na wewe mwenyewe ujitaje dhuma inazo zudhumu watu

  • @barakamwakyolile9263
    @barakamwakyolile9263 ปีที่แล้ว

    This was not a serious conversation about crimes especially a serious crime like drug trafficking… kwanza unakula na list ilokamilika na inatangazwa na police maana ndo ana wadhifa wa kufanya uchunguzi. Chombo cha dola

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 ปีที่แล้ว

    Wew jamaa ulikuaga lijinga sana enzi za Maguful ulikuwa unaonge kwa kibul sana