ALI BONGO ONDIMBA: RAIS wa GABON aliyepinduliwa, ameitafuna nchi bila HURUMA, alianza BABA yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 218

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +17

    Mwenyezimungu atusamehe na atuepushe na Tamaa na kuwadhurumu watu,,mungu akikuteua kama kiongozi kuwa muadilifu mana Kuna kesho,,eeh mola tusamehe mazambi yetu sisi waja wako wadhaifu na utupe mwisho mwema sisi na vizazi vyetu innshaala

    • @Muda27
      @Muda27 ปีที่แล้ว +3

      Amen.

    • @FatumaMuya
      @FatumaMuya ปีที่แล้ว +1

      Amiin

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 ปีที่แล้ว +17

    We so happy about new change in Africa we tired 😫 😩 about old generation we need new generation now

  • @allyhassan7169
    @allyhassan7169 ปีที่แล้ว +17

    Mwanajeshi wa kweli na mwanamapinduzi mzalendo hapa kwetu alikuwa hayati maqufuli bahati mbaya alikuwa jeshi la mtu mmoja aliyejitolea uhai wake kwa kuwatetea wanyonqe wa Tanzania kutoka raslimali zao tunaimani ukombozi wa Africa utaenea bara lote dhidi ya mabeberu na vibaraka wao wote

    • @Halfanhemedi-ec2cp
      @Halfanhemedi-ec2cp ปีที่แล้ว +4

      kamtetea nani kajitetea mwenyewe mi anayenitetea ni aliyeniumba tu

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +1

      ​@@Halfanhemedi-ec2cpUpo sahihi Bro Wazalendo wa kweli walikuwa ni wakina Mwl.Nyerere, Thomas Sankara,Colonel Muammar Gadaffi,Kwame Nkrumah,Gamal Abdel Nasser,Patrice Lumumba na Ahmed Ben Bella wengine waliofuata ni Wachumia matumbo yao

    • @Halfanhemedi-ec2cp
      @Halfanhemedi-ec2cp ปีที่แล้ว +2

      watu wengine akili mchwa

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +1

      @@Halfanhemedi-ec2cp Hakika Mtaalamu

    • @lucasngalawa8826
      @lucasngalawa8826 ปีที่แล้ว +4

      Binafsi mimi magufuli kwangu ni shujaa❤❤❤❤

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 ปีที่แล้ว +18

    Nchi yetu sis watu hawana mda wame umbea na udaku baasi kuwaza vitu vya msingi hakuna

    • @allymwilu8089
      @allymwilu8089 ปีที่แล้ว

      Kwakweli tunaangamia😂😂😂😂

    • @salimalaquimane3077
      @salimalaquimane3077 ปีที่แล้ว +1

      Jeshi Lina taka sale zao tu😅😅😅😅

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@salimalaquimane3077ndo wanachokiona chamuhimu kuliko vyote lkn hili wanalofanya wenzao wala hawalioni kuwa lamuhimu zaidi ili kuwasaidia wananchi na kuisaidia nchi pia

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 ปีที่แล้ว +6

    Familia moja imeikula Gabon kwa miaka 55,hvyohvyo na ccm yetu imeitafuna nchi Ni vle wanabebwa tu na katba Ila utafka tu wakat wa Mungu maana malipo Ni hapahapa dunian

  • @Muda27
    @Muda27 ปีที่แล้ว +22

    Mioyo inaumia,tunasikitika,tunateseka ila Mungu anasikia kilio chetu..muda wa Mwenyezi Mungu ndio muda sahihi.

  • @nasrinairi9556
    @nasrinairi9556 ปีที่แล้ว +2

    Hii Safi Sana. Pongezi kwa Maamuzi Hayo Kwa Niaba ya Wananchi Wanyonge kwenye Nchi Yao. ✊🔥

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious ปีที่แล้ว +7

    Kikubwa Mapinduzi Hayo Yasiwe Ni Uroho Wa Madaraka 🙏🏼🙏🏼

    • @georgerichard4902
      @georgerichard4902 ปีที่แล้ว

      Uwe unasikiliza kwanza unaelewa ndo uncomment

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +5

    Wanajeshi wanaojua wajibu wao kwa nchi zao Mungu awaongoze na wao wasiwe km Watangulizi wao

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 ปีที่แล้ว +12

    Mimi napenda nchi wanajeshi wanaojimbua. Safi sana wanajeshi Gabon.

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 ปีที่แล้ว

      Ndugu pale Gabon hakuna mapinduzi ila kuna bifu ya kifamilia kwann kaka uanakula peke yako na cc tunataka kwaiyo apo hakuna mabadiliko yyte bali ni bifu za kifamilia kwamba upande flani unanufaika kuliko we jiulizie maransa anapiga kelele au marekani c unawaona wako kimyaa manake wao hawakuguswa wanaendelea kula so hakuna shida kwao c umeiona Niger usaransa kakataa kuondoka kisa haitambui serikali basi ya gaboni ataitambua coz haijagusa wala kutishia maslai yake sasa apo utasema mapinduzi au wanagombea ulaji ,, ndugu Sio kila mapinduzi lengo lake Uzalendo hapana kikundi kiomoja kinaona wenzao wanakulakeki ya taifa pekee so na cc tuingie tule lkn c kwaaajili ya maslai ya taifa wala wananchi cjui umenielewa

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao ปีที่แล้ว +3

    Mungu Ikomboe Afrika🙌🏾❤️🇰🇪

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz ปีที่แล้ว +1

    Proudly sns Asanteni sana sns Kwa kutujuza mambo ya msingi sana

  • @jeffyasin2977
    @jeffyasin2977 ปีที่แล้ว +2

    Sometimes najiuliza sana hivi watu hawaridhiki mbona ukiwa unakula vzr unafamilia unaweza kula utakacho na kwenda popote inatosha sio lazima uwe na mabillion peke yako dah maisha yenyewe haya ya kupita tu mbona me nashangaa sana kwa kweli asee sijawahi kuelewa watu wanatamaa gani kwenye haya maisha

    • @davidmarik4633
      @davidmarik4633 ปีที่แล้ว

      Binadamu aridhiki ata apewe nni tumeumbiwa Tamaa nikurudishe nyuma kilocho waponza Adam na Eva ni Tamaa kwahyo ata uwe bilione wa namna gani Bado tuu autaridhika

    • @lalesmhina5090
      @lalesmhina5090 ปีที่แล้ว

      ​@@davidmarik4633uhakika

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +2

    ❤kwa brog yenu kwa uchambuzi mzuri na hasa jamaa namwelewa Sana ❤ djsma kupasua brog za umbea tupa kule mbelembele

  • @emmanuelmwakibolwa735
    @emmanuelmwakibolwa735 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tamaa ni kitu kibaya sana. Fikiria mtu ungekwapua uchumi wote wa nchi. Ni maisha yepi hayo utakayoishi ambayo ni tofauti na maisha ya mwanadamu? Kumbuka sote tunakula, tunaugua, tunalala, tuanakufa. Kama ni chakula ni kile kile tu, kama ni wali ni ile ule, kama ni nyama ni ileile, kama mbuzi ni wale wale tu, kama ni kuku ni wale wale tu, tena wa kienyeji ni watamu zaidi, tena usipokula mboga mboga za majani unatafuta matatizo, je kuna wali wa dhahabu, kuna nyama ya tanzanite! Je, kuna pizza za almasi? Je, au ni sahani na vijiko vya dhahabu? Ndio tuite tunakula maisha??? Ni nini tukikila tunakuwa tofauti na wanadamu wengine?? Au tukisafiri sana Ulaya au America tunakuwa tofauti kivipi? Je, afya yetu itabadilika? Au hivyo tutakavyoviona huko vinatuongezea nini maishani? Au tukiwadhulumu wananchi na kuwaibia kwa ufisadi tunatofautiana vipi nao?? Je, kufa kwetu kutatofautiana? Je, hao hawatazikwa na kusahaulika kama wengine tu???
    Je, kuiba uchumi wa nchi nzima kumemsaidiaje kiafya??? Mbona mguu wake mmoja umeshakufa angali yu hai??? Pesa alizoiibia Gabon zimemsaidia nini?? Mbona anatetemeka na kuweweseka tu??? Pesa imemsaidia nini??? Mbona aliowaibia wananchi maskini wana afya zao wanadunda vizuri tu??? Fahari iko wapi?? Wananchi Aliowaibia na yeye, ni nani aliye nafuu??? Japo wengi wamelala njaa mara kadhaa, lakini tofauti yao na huyu rais ni nini kwa sasa???
    Tumwogope Mungu! Mungu anapotupa nafasi za juu kama hizo ni ili tuwatumikie wananchi sio, tutumikie matumbo yetu!!!! Aibu huwa haiwagi mbali itawapata tu siku moja!! Hata wangeficha mabillioni ya dollar nje ya nchi, hawawezi kukwepa aibu na kifo. Siku ikifika wala hizo pesa hazitawasaidia kabisa. Aibu ya mwisho inakuwaga ni mbaya kuliko utukufu wao waliojipatia walipokuwa madaraka ni!!
    Tumwogope na kumheshimu Mungu!!!

  • @emanuelyigwira2511
    @emanuelyigwira2511 ปีที่แล้ว +1

    Bro wewe ukiweka sauti yako ktk simulizi Aise u sound so professional, sound track iko poa sana

  • @redockbracard9455
    @redockbracard9455 3 หลายเดือนก่อน

    We're so happy with our lovely new generation African leaders

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo ปีที่แล้ว +2

    Kweli kaka lakini kumbuka atujui anavo waalika malafiki zake kitatokea Nini ila namalizia Afrika bara tajiri sana ila imekua ni mladi mkubwa sana kwa wazungu wanafulai kuona tuna uwana waafrika wao wanatumia nafasi iyo kuiba Mali zetu sio sawa inauma sana mungu ibariki gaboni isitokee vita tuiombee gaboni

  • @victormalelemba4324
    @victormalelemba4324 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ibariki africa yajayo yanafurahisha kinachofuata nchi zote viongozi ambao ni mafisadi wapinduliwe

    • @esternjauzi6310
      @esternjauzi6310 ปีที่แล้ว

      Nakupendaga we kijana simulizi zako asante kwa taarifa nzuri

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka skay kwa makala nzur sns ninatuabalisha vizur

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana my brother from another mother

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 ปีที่แล้ว +1

    Uganda munakwama wapi😂😂

  • @user-qy5qw1jv4s
    @user-qy5qw1jv4s ปีที่แล้ว +12

    Yaani mi nasema je nchi zetu nyingi za afrika zinaita kufanyiwa hivyo,maana marais wengi wa afrika wamejifanya miungu watu kutaka kutawala milele tena kwa matumizi mabaya ya madaraka kwakutujali raia wanaowaweka madaraka,mi naona mapinduzi yaanedelee tu labda wengin akili zinaweza kuwasogea

  • @Bama959
    @Bama959 ปีที่แล้ว +6

    Bro Sky tunataka makala ya utawala wa kikwete nayo pia maana hata yeye ni kama huyu mamba Bongo.

    • @ahmuhally4430
      @ahmuhally4430 ปีที่แล้ว +2

      Mambo hayo azungumzie Mtangazaji wa Nchi nyingine ila yeye atafunguliwa mashtaka

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 ปีที่แล้ว +1

      Umtakii mema sky 😂😂😂

    • @khadijazungu8627
      @khadijazungu8627 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂 labda azifanye kisha azitume kwa mtu wa nchi nyengine aichambuwe tena huyo mtu awe msiri wake hivi hivi watamuuwa paleeeee

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 ปีที่แล้ว

      Haswaa maana lilikuwa jizi kweli kweli hilo jamaa

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@salmaalimusa6809 salma Acha hila hata wewe upate urais utakwiba tu ,

  • @Gody360
    @Gody360 ปีที่แล้ว +2

    Wapigaji wote wapigwe chini

  • @user-bu9hc1tp8y
    @user-bu9hc1tp8y 11 หลายเดือนก่อน

    Noma

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 ปีที่แล้ว +3

    Kwani sky hajawahi kupata tunzo ya mtangazaji bora wa TANZANIA jamani dah!

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 ปีที่แล้ว

      Anastahir kwer ipo sk atapata tu

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 ปีที่แล้ว +1

    bado uganda na rwanda

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      Kwakweli
      Nao wajanja
      Wameweka watt wao kwenye wizara za ulinzi ,ila ipo siku

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 ปีที่แล้ว +9

    Kwani Bongo familia Kama za BONGO OMARI MBONA ZIPO NDO ZINATAFUNA KEKI YA TAIFA.KILA MMOJA ATAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKE😢😢😢😢

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @libetztanzania-kiswahilina2845
      @libetztanzania-kiswahilina2845 ปีที่แล้ว +1

      @@christinewomanoffaith5479 BABA RAIS MSTAAFU, MAMA MBUNGE , MTOTO MBINGE NA WAZIRI SASA KUNA TOFAUTI GANI HAWA WATANZANIA NA FAMILIA YA MSEVENI AU KAGAME 🤣🤣Tanzania mnawafaham mpaka wakww

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 ปีที่แล้ว +1

    Makala nzuri sana aisee 👏🏿👏🏿

  • @user-bq9jt9uj7q
    @user-bq9jt9uj7q ปีที่แล้ว +1

    Bro your the best story teller

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Aisee haina tofauti na uganda,looo🙌🙌

  • @lindidistrictcouncilchanne2671
    @lindidistrictcouncilchanne2671 ปีที่แล้ว +1

    Napendeleza Mr Bundala nakala hizi kuziita nyuzi 360

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 ปีที่แล้ว

    Asante kwa Historia....

  • @mdl6463
    @mdl6463 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo africa nzima na mimi nikiwemo ni wapumbafu sana
    Kuna familia zinajifanya kama hawakukopeshwa school fees na serikali wanapata hela wasahau walikotoka usengerema kabisa upo 😅😅😅😅

  • @georgeoketch9027
    @georgeoketch9027 ปีที่แล้ว +1

    The Same should b e done in Kenya

  • @aminishebwana8660
    @aminishebwana8660 ปีที่แล้ว +2

    Simulizi nzuri kuliko Dj sma.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Familia 1?? 1963 mpk 2023?🙌🙌🙌😩😌Lord have mercy
    55 yrs????
    Nyie noma aiseee

  • @jacobmlumbe6653
    @jacobmlumbe6653 ปีที่แล้ว

    Bro una jua sana

  • @Callkingb
    @Callkingb ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sky na mtayalishaji

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 ปีที่แล้ว +2

    Pls God make thing happen in est Africa, in Indian Ocean pls pls🙏🏽🙏🏽🙏🏽🌊

  • @ThomasMaico-wm4or
    @ThomasMaico-wm4or ปีที่แล้ว

    Asanteee sana sns mnatoe elimu ya bure
    🙏🙏

  • @isaacgwams8080
    @isaacgwams8080 ปีที่แล้ว +2

    Kaka tunashukuru sana kwa habari hii,

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca ปีที่แล้ว

    Ahsante sana #Sky Na #360... we are together 😊

  • @ShabanHamis-s6h
    @ShabanHamis-s6h หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi sasa fanya ufanyavyo Ila mungu anakusubiri

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 ปีที่แล้ว +2

    Asingepinduliwa, NAAMINI hizi makala za Leo, tusingezipata🥴🥴

  • @tatujuma8781
    @tatujuma8781 ปีที่แล้ว

    Toeni izo takataka uku afrika

  • @semenitheclassic
    @semenitheclassic ปีที่แล้ว +2

    Kisha anatuambia tufanye fujoo 😂
    Badoo haja semaa 😂😢

  • @mwamudaniel7912
    @mwamudaniel7912 ปีที่แล้ว

    Message well sent

  • @pmctv787
    @pmctv787 ปีที่แล้ว

    Bundala we ni noma

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 ปีที่แล้ว

    Hata tanzania miaka 63 sasa ipo na chama kimoja kinachoendeshwa na muengereza rasilimali zote zipo chini yao kabla kupata uhuru tanzania mpaka leo hii tumefunga nao mkataba

  • @user-tv5rb2ef6d
    @user-tv5rb2ef6d ปีที่แล้ว +1

    Jeshi letu la Tanzania limezubaa sana, ndiyo maana wengine Wana mavitambi mpaka raisi wao anawashangaa

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 ปีที่แล้ว +4

    Viva Putin viva African ❤❤
    Kitawaramba wote fibaraka
    Viva African 🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪🇰🇪🇰🇪

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes ปีที่แล้ว

      Vibaraka*

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 ปีที่แล้ว

      Yaani Africa imejaa vibaraka SiO Viongozi Bali ni vibaraka na masrahi Yao. Hata Tanzania Bongo wapo Vibaraka Bara lote hili

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      Kenya afadhali, Uganda je?

  • @luckymsomba4818
    @luckymsomba4818 ปีที่แล้ว +2

    ifike kipindi nchi ziwe zinaendeshwa na makamanda sio hawa kuku wa kisasa waliokalia ikulu.yaan rais hawezi hata kujitetea mwenyewe halafu eti ndio amri jeshi mkuu.mfalme inabidi ajue kuipigania nchi yake

  • @musaakida9951
    @musaakida9951 ปีที่แล้ว +2

    Bado bongo 😢😢

  • @user-qy5qw1jv4s
    @user-qy5qw1jv4s ปีที่แล้ว

    Hongera kwa wanafanya mapinduzi safi sana

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน

    Jana niliskusa mahojiano Na TBC huna baya kk

  • @tizzyboy7745
    @tizzyboy7745 ปีที่แล้ว

    Obrigado por esta vídeo brw

  • @herbertygeofrey2724
    @herbertygeofrey2724 ปีที่แล้ว +1

    Akaimbe muziki si alikuwa msanii uyo alii bongo

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 ปีที่แล้ว

      Tena amapiano zitamtoa tu 😂😂😂

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว +1

    Ilipaswa kufanyika A/Mashariki pia tuna viongozi waajabu sana Wananchi tunalazimishwa mkataba wa DP World ilhali tumeshaukataa!!

  • @vidomwape7768
    @vidomwape7768 ปีที่แล้ว

    Sns muwe mnasoma comment zetu basi yule jamaa ambae anaita Dj hatumuelew kitaan kwetu imekuwa gumzo saut yake hatujaipenda,

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 ปีที่แล้ว +1

    Yaan waafrica n huongozi jmn dah bdo museven

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 ปีที่แล้ว

    Hakuna jipya unalojaribu kutuambia hapa nikiongozi gani wa Africa unaweza kumtofautisha na huyu bwana? Huo ndo mfumo wa watawala wa Africa. Angalia uganda zimbabwe kongo zote. Cameroon angola etc. Hakuna jipya hapo.

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว

    Safi sana wajeda

  • @AishaSalaga-rv7sb
    @AishaSalaga-rv7sb ปีที่แล้ว +1

    Where is dj Sam kuja hapa Bundara is at work,,,,u need to learn from him

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana makala zako ..uzidi kututiha raha

  • @ericknyalusi2579
    @ericknyalusi2579 ปีที่แล้ว +9

    Much appreciated bro for good Documentary

  • @AndrewPaul-wy6qq
    @AndrewPaul-wy6qq ปีที่แล้ว

    Babukubwa sky💪✊

  • @hallin9561
    @hallin9561 ปีที่แล้ว +1

    wanajeshi wetu wapo bize kuwakamata watu waliovaa magwanda ya jeshi

    • @monicahovda5890
      @monicahovda5890 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅. Wana uyaga uyaga Mwingi Yaani wamejawa na usingizi wa ujinga. Stupid,dum. Kwani Mabadiliko ya Nchi Jeshi linausika kuweka nchi kwenye mustakabali wa Taifa bila kumwaga Damu æ. Pindi pale Wananchi hawajalidhia uongozi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Eti hajui mtt wake wa kiume alipo wala mkewe!
    Wamwachie na familia yake akafie mvele huko
    Apigwe exile apelekwe nchi nyingine!
    Hizo mali huko ufaransa zipigwe bei pesa irudishwe Gabon

  • @yohanalemaiyan3076
    @yohanalemaiyan3076 ปีที่แล้ว +1

    Absolute power corrupt absolutely!...mchenzi bila ubongo!...!

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 ปีที่แล้ว +4

    Tatizo la BONGO hupenda kufuatilia matatizo ya watu wengine sawa alikuwa fisadi "Mbona nyie kwenu kwenye nchi yenu ufisadi n mkubwa na hamjawahi kutolea makala 😂😂, ESCROW EPA etc , na kila siku Mama Ana lalamika na Wala hamumsaidii kuibua hizo kashifa 😂😂😂😂😂😂😂 Aya bana n maoni yangu

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 ปีที่แล้ว

      Fact

    • @djoe8266
      @djoe8266 ปีที่แล้ว +2

      Wapo watu wanazungumzia hii serikal uwoni kinacho watokea

    • @anordgerison8639
      @anordgerison8639 ปีที่แล้ว

      @@djoe8266 ndio hapo Sasa ... Kama mmeshindwa kuzungumzia UFISADI na RUSHWA kwenye nchi yenu kaeni kimya kuzungumzia UFISADI na RUSHWA kwenye nchi za wengine b🙄🙄🙄

    • @khadijarashidy9304
      @khadijarashidy9304 ปีที่แล้ว +1

      Mnaotaka atoe makala ya nchini kwetu ili afungiwe au muacheni sky

    • @joshuajereman7510
      @joshuajereman7510 ปีที่แล้ว

      Tanzania siyo huru

  • @samuelkimaniwanjiru3343
    @samuelkimaniwanjiru3343 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu na Uhuru Kenyatta Ni same

  • @vidomwape7768
    @vidomwape7768 ปีที่แล้ว

    Ndio saut sasa.❤

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 ปีที่แล้ว

    Babaake mnigeria bongo sio baba yake mzazi

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 ปีที่แล้ว

    Kama hapa bongo

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Dah! Ingekuwa Dunia Inadumu tungeshakufa masikini sote.

  • @user-fl5mt6dm9o
    @user-fl5mt6dm9o ปีที่แล้ว

    Good history!!

  • @KhalifaMkali
    @KhalifaMkali ปีที่แล้ว

    Bundara unajua saana sio kama yule chalii wa fuse.... 😃😃😃😃 Big up brooh

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 ปีที่แล้ว

    Makala nzuri sana

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 ปีที่แล้ว

    Ana asili ya Bonqo nin ?

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 ปีที่แล้ว +1

    huu nihukoo waajabu 😩😱😱

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 11 หลายเดือนก่อน

    Sio GABONI TU hii hali ya kukatwa mawasiliano siku ya matokeo ya uchaguzi hata kwetu ilitokea 2015 ili waibe vzr kula watangaze matokeo yao ya uwongo

  • @johnphilipo6760
    @johnphilipo6760 ปีที่แล้ว +2

    Hii story ita-hadithiwa tena mwaka flan kuhusu Tz (nipo nimekaa pale)

  • @allymwilu8089
    @allymwilu8089 ปีที่แล้ว +1

    Mmbwa kabisa hawa piga risasi za kichwa wote wakajibie kuzimu huko😂😂😂

  • @RobertUledi
    @RobertUledi ปีที่แล้ว +1

    Natamani ingekuwa Tanzania 🇹🇿 ningefurahii sanaa sio kwa maisha hayaa

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 ปีที่แล้ว +1

      Tanzania labda Wananchi tufanye hivyo lakini kwa mfano wa Gabon, Burkina Faso,Niger usitegemee uchawa umetawala

    • @tatujuma8781
      @tatujuma8781 ปีที่แล้ว

      Mmhh si heri kwenu..njoo kenya uone maxingaombwe

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 ปีที่แล้ว +1

    Gaboni nifamilia yabongo, huku Tanzania no familia ya CCM hakuna tofauti sana nahuko gabon

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว +1

    Subutu hawezi kurdi hii ina itwa bai bai

  • @user-hx3fl4iz2k
    @user-hx3fl4iz2k ปีที่แล้ว

    Nakupata mkuu

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 ปีที่แล้ว

    Sky ♥️♥️❤️

  • @ndikumanaismail5419
    @ndikumanaismail5419 ปีที่แล้ว +2

    He must be arrested Ali bongo Gabon 🇬🇦 is not kingdom no or Africa is not kingdom one family must be finish all the country we saying never never never the must put all family in side jail

  • @EkyochiLobange
    @EkyochiLobange 11 หลายเดือนก่อน

    Viongozi kama hawa atuwataki Africa
    Tunawachaguwa alafu wanatusahau wanakula na mabeberu kwanza nikuwasukajelatu

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 ปีที่แล้ว +1

    SNS, ni wachambuzi mubashara..Hongereni ila hizi habari c za Gabon pekee ni kila taifa la Afrika linatamani ivo.....😀

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 ปีที่แล้ว +1

    Bado bongo tunayahitaji hayo mapinduzi tu 😠😠😠

  • @salmamzashi3609
    @salmamzashi3609 ปีที่แล้ว +1

    We pambn na Hali yko

  • @givenmalatu4146
    @givenmalatu4146 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwann mnajua madhaifu ya mshikaji baada ya kupinduliwa

    • @hamzamussa7081
      @hamzamussa7081 ปีที่แล้ว

      Kuna makala kibao za zamani youtuber kadhaa walishafanya kumuhusu

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว

    Kama ilivyo Tanzania kwa sasa baada ya Nyerere.

  • @charlesngamia8006
    @charlesngamia8006 ปีที่แล้ว +1

    Anaitwa bongo na Hana akili huh

  • @chembamsangi
    @chembamsangi ปีที่แล้ว +1

    Acheni viongozi ving'ang'anizi wakutane nacho.

  • @salimthedon
    @salimthedon ปีที่แล้ว

    Kaka Sky!