Ving’ang’anizi Afrika: Hawa ni MARAIS waliopo MADARAKANI muda mrefu na hawana dalili za KUJIUZULU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 176

  • @saxenaofficial4168
    @saxenaofficial4168 ปีที่แล้ว +10

    Yaaani sky unajua mungu akupe maisha malefu tu zawadi tosha kwangu sky ❤

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 ปีที่แล้ว +8

    Yap. Sio mbaya wakikaa muda mrefu uku wakileta maendeleo
    Mbaya ni pale wanapoanza kwenda tofauti

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 ปีที่แล้ว +14

    Mwana sns popote nilipo mimi ni wa kwanza kusikia leo

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 ปีที่แล้ว +6

    Umetoa ADITHI Nzury sana bab lakn umeisaau CCM KWAN ndio ilio kaa sana madalakn

  • @EastherEmmanuel
    @EastherEmmanuel 17 วันที่ผ่านมา

    Kaka yangu sky uko vizuri sana kwa habari.Mungu akupe maisha marefu. Na baby sky na wafanyakazi wenzako mnaotuwezesha kupata habari kama hizi. Kweli sisi wasukuma ni vichwa kama biblia inavyosema. Unifanya niwafatilia

  • @fabicshofficial
    @fabicshofficial ปีที่แล้ว +2

    Proud to be an sns fan

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx ปีที่แล้ว +10

    Hapa kwetu ni chama ndo kinang'ang'ania madaraka na sio mtu😅

    • @shaurisaidi7470
      @shaurisaidi7470 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli aswaaa

    • @rwagasunzuibrahim8514
      @rwagasunzuibrahim8514 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani huko kwenu ni chama kimoja tu
      Hio nimbinu nyingine huwezi kuelewa wewe
      Tanzania ninchi ya chama kimoja? Ao wengine sio wa Tanzania acheni ubinafsi

  • @benhamza5649
    @benhamza5649 ปีที่แล้ว +5

    Baki hapo madarakani Hadi kifo, sitojali ikiwa kama unaendesha inchi vizuri na Hakuna vita na amani inatawala

  • @mustaphamatelefone-lc9pr
    @mustaphamatelefone-lc9pr ปีที่แล้ว +1

    Asante sana 🙏 🙏🙏

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +10

    Nilisha sema adui wa African ni mwa frica mwenyewe 😂

    • @shaurisaidi7470
      @shaurisaidi7470 6 หลายเดือนก่อน

      Swadacta maneno mazima

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 ปีที่แล้ว +8

    Sasa bro kwa mfano #Magufuli angekaa madarakan miaka 40 shida ingekuwa wap? Mie nafkr kikubwa ni uongoz bora na maslah ya wananch bila kujali muda wa kukaa

    • @user-ym5ui3ov1m
      @user-ym5ui3ov1m ปีที่แล้ว +2

      Pole sana Kwa uwezo wako wakufikiri

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 ปีที่แล้ว

      @@user-ym5ui3ov1m Na ww endelea kupinga kila kitu na uwezo wko mdogo wa kutofautisha.

    • @katunzijasson5410
      @katunzijasson5410 ปีที่แล้ว +1

      Hahahhhh dah sikupingi ila baada y muda usingesema hvyo pia pengine...mwache mwamba apumzike kamaliza kazi tyr

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 ปีที่แล้ว +1

      @@katunzijasson5410 oky ila kaz hakumalza

    • @katunzijasson5410
      @katunzijasson5410 ปีที่แล้ว

      @@danielmkama24 nikweli sababu watu hufa na ndoto zilizo hai xo hata yeye kuna vtu alitamani kutimiza.....ila muda unavyokwenda zaidi uwezo upungua xo angekaa muda mrefu usio na kikomo kma hao ingekuwa shida nyngne kwa taifa

  • @EastherEmmanuel
    @EastherEmmanuel 17 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤sanaaaaa nawapenda

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 ปีที่แล้ว +7

    Lugha ya vinganganizi inakujaje !!!? kiongozi was kiafrika waliokuwa na msimamo was kupingana na sera za kimagharibi akisimama kupingana na sera za wazungu kuweka vibaraka mnawaita vinganganizi lugha za manyangau!! ninyi waandishi nanyi ni wachonganishi na baadhi yenu ni vibaraka was media za magharibi ,, acheni undumila kuwili , kwani mnaacha kuandika taarifa nyingi za uchafu was hao vibaraka wenzenu mnabaki kusndika umbra na udaku ,, samaki nyie wababaishaji tu kuweni waafrika halisi na mpambanie uafrika wenu.

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 ปีที่แล้ว +1

      Unatawale binadamu wenye akili na maarifa kwa miaka 30 huo ni ushetani hkuna tofauti na ukoloni

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx ปีที่แล้ว +1

      Kama lengo ni kupingana na mataifa ya magharibi basi wawe wanaweka mifumo ili kila kiongoz atakaeingia awe anafuata mfumo huo na sio kuongozwa na mtu mmoja yaan kama vile hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza

    • @rashidyusuphwewenimtotowam1761
      @rashidyusuphwewenimtotowam1761 ปีที่แล้ว +1

      Umevuta bange kwahiyo wakifa hakuna wa kuendesha nchi tena na nchi inakufa.

    • @rwagasunzuibrahim8514
      @rwagasunzuibrahim8514 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@josephmantago2837Tatizo nikuelewa tu CCM ya Tanzania ina miaka mingapi? Kwa mfumo wawo wanabadiliaha Mgombea lakini utawala ni ulele haujabadilika tu kwani chama ni kimoja? FPR inamfumo wake wao wanapendelea kuweka Mgombea Umoja hio sio tatizo kwa Chama .Chama kikishindwa katika uchaguzi .Chama kimetawala kitaweka Mfumo wao katika Chama chao acheni kuwa munaingia katika Katiba za watu Rekwbesheni kwanza ya CCM

  • @sad_Classic6
    @sad_Classic6 ปีที่แล้ว +9

    Proud of our Dad Paul Kagame🇷🇼

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 ปีที่แล้ว +2

      If he is your dad no problem think the out of your family which are popular

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      ​@@mohammedmfamau43achana nae huyo
      Awe baba ake asiwe
      Mungu Yuko kazini ss anapita Kila Taifa

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 ปีที่แล้ว

    Haipo sawa

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +5

    Binadamu anabadilika kwa kadri umri unavyo kwenda hivyo Viongozi wanaokaa muda mrefu Madarakani ndiyo inapelekea Ukengeufu wa Kiongozi maana anakuwa amekizoea Cheo au Kiti cha Uongozi

  • @jackhans7708
    @jackhans7708 ปีที่แล้ว +3

    Kati ya pic hizi za viongozi mimi niachie huo watatu waliopo chini,ujue inshu sio kukaa muda mwingi madarakani ni unauzalendo kiasi gani?angalia china,urusi,iran nk ,yani tatizo linakuja kuna baadhi ya waafrica bado wanaamini kuwa ulaya ndio kunakilakitu,uzushi,

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo sio wao.Tatizo ni wale wanaondelea kuatamia uwepo wao madarakani.

  • @user-bq9jt9uj7q
    @user-bq9jt9uj7q ปีที่แล้ว

    Safi bro upo vizuri

  • @meckcassius3983
    @meckcassius3983 ปีที่แล้ว +4

    Sio ving'ang'azi hakuna wa kuwaachia nchi

  • @alibinali_
    @alibinali_ ปีที่แล้ว +5

    Paka leo African ni kama hatuja pata Uhuru 😢

  • @tonnyford5782
    @tonnyford5782 ปีที่แล้ว

    Paul kagame and kaguta museven ni viongoz Bora sana hata kama wazungu hawatak

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 ปีที่แล้ว +3

    Faida ya kusubscrbu

  • @muuminikidunda9214
    @muuminikidunda9214 ปีที่แล้ว +6

    Mtazamo wangu sioni tatizo raisi kukaa muda mrefu kama analeta maendeleo.Mbona China, uingereza ufalume, urusi na zipo nchi nyingi kwa mfano hata hayati Gadafi Ali leta maendeleo Libya kwa kukaa muda mrefu

    • @izamahmasaki4795
      @izamahmasaki4795 ปีที่แล้ว

      Good

    • @izamahmasaki4795
      @izamahmasaki4795 ปีที่แล้ว

      Tatizo no waandishi wetu ndyo vibaraka , wanajali Hela kutoa habari na siyo taaluma zao

    • @geraldyona5597
      @geraldyona5597 ปีที่แล้ว

      ​@@izamahmasaki4795kwamba Fred Bundala amepewa ela mbn vngne viko wazi hataa uwe mzuri vp huwez kukaa madarakani kwa zaid miakaa 30 hmn kitu kma hichoo... A good dance know what a time to leave the stage

  • @KhamisiOmar-v3h
    @KhamisiOmar-v3h ปีที่แล้ว +4

    Asanta sana mtangazaji wetu wa fuse tunafaidika sana.

  • @AshaKhamiss-p9u
    @AshaKhamiss-p9u ปีที่แล้ว +1

    16:40

  • @zesootv6726
    @zesootv6726 ปีที่แล้ว

    Kwani broo sky tangu lini afrika ipo huru mbna mbona unawalaumu hao marais tuu wakat mbinu ya utawala wa afrika ni kama mutu mmoja anatawala muda mrefu basi kuna chama kinakuwa madarakani muda mrefu,
    Kwahyo broo sky naomba next time utulete nakala ya vyama vilivo uphold madaraka muda mrefu.

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว +1

    Niko na Wachina hapa wanasema hao ving'ang'anizi watoke

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 ปีที่แล้ว

    Nazupenda sana makala.zoko.

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 ปีที่แล้ว +2

    Vipi Tanzania,

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 ปีที่แล้ว

    Ufaransa inaonekana ndiyo kinga ya marais ving'ag'anizi wa madaraka Africa.

  • @salvatoryelias3193
    @salvatoryelias3193 ปีที่แล้ว +2

    Mbona queen ekizabeth alitawala mpaka kufa kwake hii ipo vipi

  • @praisesamson8298
    @praisesamson8298 ปีที่แล้ว +1

    Kikwete kasahaulika na Ccm

  • @ramadhanzakayo4232
    @ramadhanzakayo4232 ปีที่แล้ว

    Hawa viogozi hawawezi kufa na mali hata wafanyaje mungu yupo

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว +1

    Unyonyaji kama bongo tu

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 24 วันที่ผ่านมา

    600 million usd, huyo jamaa ni tajiri ata kuliko maraisi wa USA wenyewe

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 ปีที่แล้ว +1

    Wazungu wamebadili zamani walikua wanampa mwafrica bunduki awasimamie wenziwe ikibidi hata kuwauwa huku wao wanachota mali .lkn ukoloni wa leo ndio hao wanavishwa suti huku wanapiga dili za kuuza rasilimali dhahabu na almasi wao wanapewa makaratasi ya kuprinti (fedha)tena kwa gharama finyu kabisa.

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo si kukaa muda mrefu kwenye kiti tatizo maslahi ya mwananchi .
    Ukichukulia hivyo ufalme wa uengereza uondoke hawa wazungu wapo kuleta democracy Africa ila kwao hakuna hayo

    • @joesimba
      @joesimba ปีที่แล้ว

      Ufalme wa uingereza ni constitutional monarchy, hawana mamlaka wale

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 24 วันที่ผ่านมา

    Ukiona raisi wa africa ywasifika na mabepari basi jua kuna kitu

  • @shurayabiira458
    @shurayabiira458 ปีที่แล้ว

    I wish Kagame was the president of my country Uganda

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

    Hawa Yesu tunaomba wasimalize mwaka!
    Wafe tu

  • @babafaida9719
    @babafaida9719 11 หลายเดือนก่อน

    Hamjawahi kimuita mfalme wa uingereza au saudia kua ni king'ang'anizi kwanini hawa wakwetu ( AFRIKA) tena wakwetu wanapigiwa kura

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 ปีที่แล้ว +1

    Hata western countries wapo ambo hawaachii ofisi

  • @ntibaali3865
    @ntibaali3865 ปีที่แล้ว +3

    Wote watatoka
    Allah ni mwenye uwezo

  • @bakarinassoro5513
    @bakarinassoro5513 ปีที่แล้ว

    Mnapenda kuwadhalau waafrika mnashindwa kuazungumzia wazungu waliokaa madarakan mda mrefu waafrka tunamatatzo sana tena nmadkteta kweli

  • @allthings1302
    @allthings1302 ปีที่แล้ว

    Naona Ufaransa inalink na hizo nchi zote

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 ปีที่แล้ว +2

    Kweli waafrika hatujapata ukombozi wa kifikra,,, nyie simulizi na sauti why can't you discuss your continent in a positive way? Ushawahi kusikia watu wa magharibi wanajadili nchi zao in a negative way? Sasa ving'ang'anizi then what, gujatoa pendekezo lolote hao unaowaita ving'ang'anizi wafanyweje... Tafteni vitu vinavyoleta manufaa kwa Africa ndivyo mlipoti kwavyo. Preach African unity ningekupa kongole

  • @ramadhanzakayo4232
    @ramadhanzakayo4232 ปีที่แล้ว

    Kuna mwegini Kenya anakuja hivi karibuni

  • @dandara008
    @dandara008 ปีที่แล้ว +3

    1.malaka hii iko biased !!! sio vinga’nga’nizi mfumo wa democracy ni mfumo wa ki capitalism African baada ya kua liberated ilikua katika mfumo wa socialism mfumo ambao 🇷🇺 na 🇨🇳 bado wanautumia adi leo hii capitalism ni mfumo ambao una divide people sio sawa na socialism angalia mfano china na russia ni ngumu izi inchi kupata civil wars/ au machafuko ya ndani kutokana na mfumo unaotumika kuongoza nchi ko .
    2. sema faida na hasara za mifumo hii ni tofauti tuangalie faida ya socialism katika misingi ya kiuchumi mfano BRICS ni mfumo wa kifedha utakao husisha inchi nying tofauti na dollar mfumo ambao unatak dolla pekee itumike kwenye miamala ya kimataifa ila pia ukija kwenye democracy mfumo wa ki capitalism una faida kutokana na reputation ambayo imejishikiza lakin socialism haina mvuto kwa sababu ya dictatorship reputation. ila mfumo ni mfumo

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 ปีที่แล้ว

      Ulikuw na haja ya kuelezea zaid maana ulikoishia ni kama umehama mada husika

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 ปีที่แล้ว

    Wapo,walikuwepo na watakuwepo wengine tuu

  • @shebemakey2349
    @shebemakey2349 ปีที่แล้ว +1

    Kagame na huyo museveni hao hata wakiongoza miaka buku

  • @dorkasmsuya362
    @dorkasmsuya362 ปีที่แล้ว +2

    congo wanapenda kujichubua adi rais wao😄

  • @HassanAlone-r4l
    @HassanAlone-r4l ปีที่แล้ว +1

    ninapenda makala zenu sms

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 ปีที่แล้ว

    wapinduliwe tu!!!

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว +2

    There is an exception to your point of view as far as Rwanda is concerned, P. Kagame took over after stopping a genocide in 1994. The massacre perpetrators are still hiding in the forests of the DRC, what do you say P. Kagame should do when the enemy hasn't laid down his weapon and is hiding in the next country just around the corner?

    • @RaphaelAganze
      @RaphaelAganze ปีที่แล้ว +1

      Kagame didnt stop Genocide, he is the one who started genocide and killed milions of peoples, until now.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      ​@@RaphaelAganzehawezi kukuelewa!

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka hii uje uifanye kwa kizungu naamini itasikilizwa zaidi hata huko kwingineko.

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Ubwenge sio Sanaa. Ubwenge ni Akili

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 ปีที่แล้ว

    Kazi kusingizia marekani

  • @matalo0551
    @matalo0551 ปีที่แล้ว +2

    Please badili title, mana kuwa madarakani Muda mrefu sio jambo baya, ubaya nikuwa na viongozi mapapeti ambao hawana uzalendo, please zungumzia nchi zilizowahi ingia mikataba fake ya kihaini na sio Marais hawa pendwa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌👍.

  • @nabugobafakhruddin794
    @nabugobafakhruddin794 ปีที่แล้ว

    Mbona ujamtaja nyerere bro

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 ปีที่แล้ว

    Please tuandalia list ya vyama vya kisasa vilivyo kaa madarakani kwa mda-mferu barani Africa.

  • @francismadoshi8529
    @francismadoshi8529 ปีที่แล้ว

    Hebu jiulize, Kagame akitoka na migogoro na fujo alizozima Rwanda, uchafu utazuka tena maana maadui wa Watusi wote walikimbilia Congo na mpaka sasa ndiyo wanaanzisha migogoro mara kwa mara kule DRC. Kagame abaki hapo tu mpaka uwepo uwezo wa kukaa na amaani hapo Rwanda!

  • @emazacharia4455
    @emazacharia4455 ปีที่แล้ว +2

    Kukaa madarakan muda mrefu sio vibaya je wanatimiza Yale wananchi wao wanayaitaji ...HIV nnn unategemea siku Paul kagame aiachie Rwanda Kwa wapinzan ..nn kitayokea ulihis pia hata tizama wingereza wanamalikia wa miaka mingi mbona wao hawamtoi au mnatzana Africa tu

  • @SodariHaruna
    @SodariHaruna ปีที่แล้ว

    Usiisahau ccm

  • @celifpower4993
    @celifpower4993 ปีที่แล้ว

    Duuhh Frank bundala apa umeyakanyaga kwahii makala sababu wana sns wengi siku hizi wanafata sera za china na Russie na hizo nchii sera zao hazi mkatazi raisi kukaa madarakani mda mrefu

  • @gibsdeveloperscompany7062
    @gibsdeveloperscompany7062 ปีที่แล้ว

    kati ya hao uliowataja ccm ndo nambamoja yao acha kutupumbaza sky

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 ปีที่แล้ว +1

    Viva Putin viva African ❤❤
    🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @LwaulaTshisekedi-to6nn
    @LwaulaTshisekedi-to6nn ปีที่แล้ว

    Mobutu seseko alitakiwa ku wekwa kwenye oroza iyo ,miaka 32

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +1

    sioni tatizo lolote kama Kiongozi anaendelea kutawala lakini analeta maendeleo, suala sio kubadili uongozi , issue ni maendeleo, Kiongozi akiwa mzuri au chama kikiwa kizuri kuachia Nchi ni ujinga, Urais sio sehem ya majaribio, nawaunga mkono Viongozi wote wanaoleta maendeleo na kung'ang'ania madaraka hata kama kuiba kura

    • @techpoty
      @techpoty ปีที่แล้ว

      "Ata kama kaiba kura" Bro jaribu kuwa serious kidogo

  • @MsatiOne
    @MsatiOne 2 หลายเดือนก่อน

    Nipo makini kuwasikiliza

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 ปีที่แล้ว

    Kama Raisi yuko madaraka ata akikaa Mika mia kama wananchi wanamaendeleo inatosha kuwa kiongozi wa milele shida ni kwamba unakaa madarakani Mika mingi maisha magumu kila uchwao apo ndio shida inapoanza japo binadamu hawana shukurani gadafi walimuua kisa uchu wamadaraka walitaka na wao waonje uongozi lkn hakuwa na shida ya maisha

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 ปีที่แล้ว

    🇫🇮🇫🇮🤝

  • @sports007tv4
    @sports007tv4 ปีที่แล้ว

    Sky ila Gadafi usimtaje pamoja na hao wapuuz wengine

  • @mubarakahussein9950
    @mubarakahussein9950 ปีที่แล้ว

    Africa bwana 💔

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 ปีที่แล้ว

    Sio tatizo kukaa mudamrefu tatizo nimaeneleyo wengine wanakaa kwamudamrefu kwamanfaa yaowenyewe nasio wanaowaongoza

  • @azizibaraka5114
    @azizibaraka5114 ปีที่แล้ว

    Mbona aushangai markia kutawala mpaka umauti ulipo mkuta

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 ปีที่แล้ว

    Mbona ccm hujawataja wahuni hawa miaka yote wapo waoo wanajifanya kuchenji watu kumbe wezii

  • @limitexitonlyinthemind6579
    @limitexitonlyinthemind6579 ปีที่แล้ว

    🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼❤

  • @Hb_OnlineMedia
    @Hb_OnlineMedia ปีที่แล้ว

    Mbona kila raisi amepigwa picha na raisi wa ufaransa AFRIKA 😂😂😂😂😂

  • @ramadhanibahati2829
    @ramadhanibahati2829 ปีที่แล้ว

    Kwani kutawala muda mrefu ndiyo udikteta?
    China wana rais wa kudumu, lakini inatawala dunia
    Uongozi bora ndilo Jambo la msingi

  • @petrombukwa7306
    @petrombukwa7306 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania tunataliwa na chama kimoja cccm kimekaaa mda mrefu mno i need change know chedema less gooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Halfanhemedi-ec2cp
      @Halfanhemedi-ec2cp ปีที่แล้ว

      kwachadema hapana watakua niwalewale naomba kije chama kingine chenye uzalendo

    • @Halfanhemedi-ec2cp
      @Halfanhemedi-ec2cp ปีที่แล้ว

      chademacatolith hawana uzalendo

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว

      Alikuja Mze mmoja alikuwa anaitwa John Pombe Magufuli na akajitahidi kwa nguvu zote kubadili mfumo kilichotokea Chadema na Ccm mliungana kwa nguvu zote kumdhohofisha na kukwamisha kazi zake.
      Binafsi sina imani na Chadema na CCM.

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว

    Inatakiwa uongelee na vyamavya siasa vilivyokaa muda mrefu madarakani barani Afrika ili tujue vyema.

  • @ElogbneyoBreezy-yz4vq
    @ElogbneyoBreezy-yz4vq ปีที่แล้ว +1

    Pierre nkurunziza nae alika kidogo

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว

      Subutu alikaa mda wakutosha kachukuwa miula miwili yote

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 ปีที่แล้ว

    Ndio tatizo ya waafrika

  • @abrahmanabdallah8479
    @abrahmanabdallah8479 ปีที่แล้ว

    🇴🇲

  • @maase2023
    @maase2023 ปีที่แล้ว

    Ss ww mwandishi ushauri ni upi wapinduliwe au

  • @FurahaEliya-df5fo
    @FurahaEliya-df5fo ปีที่แล้ว

    Congo ina Marais wangapi?

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo ปีที่แล้ว

    Tangaza kujikomboa kumalizia kazi ya wakoloni na maadui
    Sio kuongea uchu wa kutaka uongozi
    Uliowataja wengine wapo vizuri sana kushika nchi na heshima yake
    Mbona hauhimizi kuungana kwa umoja wetu na urusi????
    Upuuzi

  • @saxenaofficial4168
    @saxenaofficial4168 ปีที่แล้ว

    Sky unajua mpaka unakera

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 ปีที่แล้ว

    Wote hao wanatakiwa kupinduliwa na wana jeshi vijana…

  • @ramosfally2318
    @ramosfally2318 ปีที่แล้ว

    kwani congo ziko ngapi? noamba kujuwa jamani.drc ya shisheked ndio ipi?

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 ปีที่แล้ว

    Hawa pia watakwenda mda ukifika

  • @mohammedal7864
    @mohammedal7864 ปีที่แล้ว

    Mbona nyerere hujamtaja yy alitawala miaka michache eti 😂😂

  • @FurahaEliya-df5fo
    @FurahaEliya-df5fo ปีที่แล้ว

    Hivi wazungu walishindwa kusubiri MAGUFULI amalize miaka 10 tu.

  • @user-rg5sg1xz8p
    @user-rg5sg1xz8p ปีที่แล้ว

    Ina takiwa nawao watie maji maaaan mfano wamesha uona kwa mwanaume traore

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv ปีที่แล้ว

    Na huwa hawachoki

  • @himidiwekabuje8402
    @himidiwekabuje8402 ปีที่แล้ว

    😅😊😊

  • @orym4447
    @orym4447 ปีที่แล้ว

    Sky jaribu kujua historia za nchi na nchi. Ubabe wa Tanzania kupitia ccm hujawahi tokea Africa. Hiyo report ya kizungu kuwachochea waafrica. Mbona China raisi wao ni wa Milele! Acheni kusoma report za wazungu

  • @jumasaleiman
    @jumasaleiman ปีที่แล้ว

    Bundala ukubali tizama nchi yako piya tanzania ccm wanaumiza watu sana wanabadili raiss tuu ccm ila chama ndio hichohicho ccm imeiyumiza sana zanzibar na wa watu wa zanzibar utizame hilo saivii wameyanza kuiyumiza tanganyika