Nyie mnaochochea vita tamanini amani sana maana ikipotea patakuwa pagumu nchii zenye vita ukifanikiwa kuongea na aliekimbia vita anakuambia usiombe yakawakuta ni huzuni kubwa mno fanyeni siasa za amani za kusaidia maisha ya watu 😢
Serikali ya KIDIKTETA inatesa wananchi wa TANGANYIKA , WATAGANYIKA lazima mfanye MABADILIKO ccm iondoke madarakani, watanganyika hawana UHURU katika nchi yao.
Hata mi mi naunga mkono polisi hawezi kikukamata bila tatizo lolote tuache uwongo....mbona mi sikamatwi na nadunda mtaani saa nyingine hadi usiku sana...kwa sababu najiamin....sina uhalifu ninaofanya.. why you 😂 bro
Daaaah Tanzania yangu,, police hawataki kuhojiwa wala kumsikiliza raiya,,Na hii ni ishara mbaya sanaMungu tusaidie,,Hakikisheni usalama wake bado ni kijana mdogo Taifa na jamii inamtegemea
Wandishi mbona hamtuoneshi plet namba?
Kuna mambo mpaka yanatia hofu na kuogopesha kama vile nchi hii ni wachache au mtu mmoja
Samia kahalalisha kazi tunayo
Sasa ivi kufa na wako atakae kufata piga nae picha
Haya mambo tulikuwa tunayasikia kwa wenzetu kumbe mgao sasa umetufikia Tanzania!! Du! Mungu tusaidie.
Hawa Polisi kwanini wasipekuwe mikundu ya mama zao.
Ccm ilishakufaga,vimebaki vyombo vya dola tuu
WATANGANYIKA tumieni UHURU WENU msikubali kunyanyaswa na mapolisi wa ccm mwisho wao unakaribia.
Mungu atamsaidia ndugu yetu mtanzania mwenzetu.
Ningekuwa mchawi wakwanza kumloga angekuwa bibi afu ningefata wanaomiliki mitutu
Nichangamoto kwenye hiinchi mungu atulehemu masikali niwajinga Sana nikenge zanchikavu wanajifalagua
Unamwambia mwenzio asiogope kuna manyampara jera huko 😂😂
Jamani kwenye hii nchi hakuna haki.ila mbele za mungu kunahaki Kila mmoja atapata haki yake anayo stahili.
CCM ni waoga sana hawajiamini sijui siku chadema wakija kuchukua nchi itakuwaje? Mungu siyo mwanadamu
Hii nguvu wanayoitumia sasa wangeitumia kuwakama mafisadi ingekua poa sana nchi hii inapoenda mungu atajua
Tanzania imekuwa nchi ya kijajusi hakuna Demokrasia kabisa
Mbona Zanzibar Mambo haya hayapo wakati kuna ACT WAZALENDO wao wanaishije bila kukamatana
Ile nchi nyingine kaka kule usibipu wanapiga jumla na kifurushi hakiishi
CCM wameishiwa na sera Sasa wanaona kutumia polisi kuvuruga amani ndio sera zao zilizobaki.
Hata Mimi nilivyoona wanatumia masikali tumienisana masikali
Masikali haondiyo wauwaji wakangi kweli
Serikali inajaribu kuficha maovu yake
Uyo aliekaa nae pembembeni sijui asikali.mbona anasila
Msinge komaa.Angekua Ally kibao
CCM WASIPEWE KURA TENA WAUWAJI
Awo malafiki aliokua amekaa nawo uko sinza kunammoja ndokafanya mchongo
Shida nn jamn mbn Tanzania amani inazidi kupotea shida nn
wacha wakamatwe wasituletee ujinga
Wanaendelea kuteka ,watu wakiongea wanakanusha ,hii maanake nini?
POLISI FANYENI KAZI YENU
Subr zamu yako
Nyie mnaochochea vita tamanini amani sana maana ikipotea patakuwa pagumu nchii zenye vita ukifanikiwa kuongea na aliekimbia vita anakuambia usiombe yakawakuta ni huzuni kubwa mno fanyeni siasa za amani za kusaidia maisha ya watu 😢
Hao ndio watekaji kwanini gari iondolewe namba?
Ccm kazi yao ni hii tu hawana jipya,wali kwenda tu kuangalia jumba lake jinsi lilivyo zuli wivu unawasumbua
MNAWACHA MAFISADI WANATUIBIA MANADILI NA CHADEMA HII SIO SAWA ILA YOTE MAISHA TU
Allah Allah Allah.
Munyika kaitwa lakini amekataa kwenda ,hiyo nayo imekaaje?.Tuwe wapole mambo haya yana mwisho wake
Kwani jamaaa amekoseaa wp jamnii mbn Tanzania kuna manyanyaso sanaa kama viongozi wa ccm hawataki vyama vingi si wafute jamani
Serikali ya KIDIKTETA inatesa wananchi wa TANGANYIKA , WATAGANYIKA lazima mfanye MABADILIKO ccm iondoke madarakani, watanganyika hawana UHURU katika nchi yao.
N wale wale watekaji,PT mbona hayana namba MUNGU watekaji wafe kw Ajali, Allah atusaidie KWANZA w Tanganyika,tunaisha,w Tanganyika,
mtaaisha, kuweni wazerendo ,muhemko siyo diri kwakarini hii
Ndio mnapo waoa jeuri watu hivi usiogope
Safar ya ukomboz inaitaji ukakamavu.unaona mwenzako anakufa hapa.lakini
Ww unaitaji kusonga mbele
acheni uongo eti hana nguo mbona anaonekana kavaa nguo
Kama Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia chezea Allah atacheza na watekaji wafe kw Ajali ndenge vx wapinduke
Tushaona sura zao mwacheni waende nae
Usiogope usiogopee Kamanda...
Fyoooo... Nyie mnapumzika na Familia zenu..
Mwenzenu amebakii usonii kudogoo... Midevu tuu.. Tumacho tudoogooo.
Pamoja wanaharakati wetu wanaotafuta ukombozi wa pili wa taifa letu ❤️❤️❤️❤️❤️☑️💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿mko sawa
Hazina namba hizo PT unaonaje hio,ma killer,kbsa,kama Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia
Kwanini akamatwe! Nafikiri kuna wakati tusilaumu polisi. Ebu tufikir mara mbili zaidi. Lazima kuna jambo lililowalazimu kukamatwa kwake. Tusilaumu tu.
Watu wengne hawaelewi kbsaa
Hata mi mi naunga mkono polisi hawezi kikukamata bila tatizo lolote tuache uwongo....mbona mi sikamatwi na nadunda mtaani saa nyingine hadi usiku sana...kwa sababu najiamin....sina uhalifu ninaofanya.. why you 😂 bro
Watanzania tuko nyuma yako
Daaaah Tanzania yangu,, police hawataki kuhojiwa wala kumsikiliza raiya,,Na hii ni ishara mbaya sanaMungu tusaidie,,Hakikisheni usalama wake bado ni kijana mdogo Taifa na jamii inamtegemea
Mbona kama hii nchi ni ya mtu mmoja kumaaanina 😢😢
Samia rudi kwenu kizimkazi utunatutesa Watanganyika kina soka hatujui wako wapi😢😢😢😢
na ww rudi kwenu burundi
Mbona hayo hayakuanza Leo wala jana?
Simameni kidete
Mama ndio sheten anae kula wa2