Safi kabisa mhe mpina wamekunyima muda lakini usijali watakuelewa tuuu hata hao wanaopiga kelele NI vicheko vya kinafiki watakuelewa Tuu siku moja maana watakuwa nje wanakusikiliza box la Kura litawaumbua yupo tunawaangalia
tuna bunge la ajabu ajabu sana tanzania; yaani mbunge anatoa hoja muhimu namna hii lakini mwisho wa siku anaambulia kukalishwa chini, wabunge wenzie wote kimya, hakuna hata kusapoti na mada ndio imeishia hapo, kweli hii ndio Tanganyika shamba la bibi
Mh,Mpina Mungu akubariki na akulinde.
Big up
Mpima hongera, tengeneza Tanzania iwe GREAT. ❤
Hongera mh
Hongera Mzalendo.
Safi kabisa mhe mpina wamekunyima muda lakini usijali watakuelewa tuuu hata hao wanaopiga kelele NI vicheko vya kinafiki watakuelewa Tuu siku moja maana watakuwa nje wanakusikiliza box la Kura litawaumbua yupo tunawaangalia
Hongera mbunge wa Taifa kwa kurejea tena bungeni, baada ya kusikia leo utakuwepo nmelazimika kufatilia bunge
Mpina upo vizuri wabunge wote wangekua kama wewe tungekua mbali sana mungu Akusimamie
Wafuasi wa Trump Barani Africa tujuane
Jamaa yupo vzur sn,, SEMA tu anakosa support.
Jamani msiitaje DP World! Hamtakua salama** 7x70🙏🇹🇿
Hapo kwenye dp world umetonesha kidonda na mda wamekubania ila message imefika hongera sana mbunge wa Taifa 🙏
Hongera jemedari wetu
Dah hii nchi wapeni wasukuma waisukume sasahivi unavutiwa bomba la maziwa kila nyumba wanakitu hawa watu kwenye sekita ya uongozi wako vizuri
BG up For Dp world issue
Kwahiyo serikali inasema tunaingiza MW 740 kati ya 2150 ambazo ni 99.1%😂😂😂😂 Jamani nchi yangu
MW 2150 TUMEZALIZA 750 NA HAPO TUMEFIKIA ASILIMIA 99% SIJAELEWA
Wabunge wanamshangaa mpina, anapga nodo za uchumi na mipango biashara na mikakati. Mpina wa moto sana
Hogera mh. Mpima kumpongeza Trump maana wengine wamepata kigugumizi. Heri we ilijitenga na uchawa kumshabikia Kamara kama wengine.
Hatutaki mambo ya mikataba isiyokuwa na tija.
Namkubali sana luhaga mpina
Akichukua fomu ya Urais niwe muwazi tu tusipangiane
Mpina Hoyeee Umerudi Mdogo Wangu Piga Kazi
Ni kweli hayati JPM alituahidi umeme utashuka bei sasa mbona kimyaa
tuna bunge la ajabu ajabu sana tanzania; yaani mbunge anatoa hoja muhimu namna hii lakini mwisho wa siku anaambulia kukalishwa chini, wabunge wenzie wote kimya, hakuna hata kusapoti na mada ndio imeishia hapo, kweli hii ndio Tanganyika shamba la bibi
mbunge ambae anaonekana kuwa mkweli mlimtoa kwa maslahi yanani?
Kweli ccm kuna huyu mbunge 1 tuu
Hatari na nusu
M nachojiuliza niaina gani ya bunge tulilonalo nilitegemea kwa point anazoogea agepigiwa makofi lakini wapi
Hahahaha, hii ndio Tanzania yetu
Wewe piga makofi
Mpina Trump anahusu nini na siasa za bunge...basi nenda USA ukaoshe vyombo
Tuache na mpina wetu, tunamuona JPM Kupitia mpina
Ujumbe umefika, hawwzi kukuruhusu uhitimishe sababu yumkini anayo maslahi kinyume na hapo angekupa hizo dk😮
Alipo ishia sasa anaendelea mungu akulinde japo kunanamna wanakufanyia 😂😂😂
Shitiiiiii mambo muhimu alafu unang'ang'ana kingele ya pili kengele ya pili huyu na yy anausika kwenye hii mikataba ya hovyo
Wabunge wengine hawawezi kuuliza maswali kama haya kama kibajaji
Dhaa
Me sioni Cha kumpongeza kidogo democrasia mama kajitaidi