LEMA AWATIMUA TAKUKURU MKUTANO WA CHADEMA NI KUSANIFIANA KAKAMATENI WAHUNI NA WALA RUSHWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
TH-cam : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...
Nakuelewa sana brother wahuni hao.
Safi sana waseme wameshaa shughulikia kesi ngapi za mcc kuiba kura kila miaka ya uchaguzi
Salute !!! ❤❤
Safi sana ,, takukuru wanafiki,
Allah akulinde Lema
That is the cost of love the country big up
Xafi sana lema tunashukuru Kwa ujaziri
LEMA BIG UP SANA.
WEWE NI KIONGOZI WA KUIGWA BIG UP SANA
Kweli kamanda Philipo
GREAT! LEMA BIGUP.
Tunateseka na migogoro ya ardhi na mengine mengi hakuna wanachofanya.
Niliwahi kuripoti tukio nikashangaa walichokifanya. Waishie zao
Huwa nikisikiliza hotuba ya huyu jamaa huwa sichoki.
Na kwa sasa swala la mpira nalichukia balaa kushabikia mpira wakati kuna watu wanatekwa na kuuwawa
Safiiiiii lema hii nchi inahitaji watu wenye maamuzi kama wale wezee wetu wa zamani waliowafukuza wakoroni waliotutawala
Uko vizuri sana na Mungu atakusimamia utaendelea kupata baraka
Hii sawa kabisa hakuna takukuru Tanzania ni ccm inanitia kichefu chefu mungu akurinde namimi naumia sana
Asante Lema kwa kufukuza majambazi yanayolinda wezi wenzao CCM
Asante Lema!! Wakawape semina ccm.
Hongera kamanda lema
Fire hatari Lema umetisha,
Huo Ni ujasili wa kipekee kiutendaji
ayo ndio mahamuzi ya msigi lema safi sana
Dah! Lema Mungu akulinde sana
ukombozi wa fikra unakuja Mungu atasimama na taifa hili
Lema bwana mdgo upo vizuri mno hao machawa waondoke
Akili kubwa sana hii. Unafiki wakapeleke huko
Safiii
Lema unafaa kuwa Mw/kiti
Safi sana kamanda Lema
Mungu akulinde
Lema Mungu akubariki sana
Lema Jembe
Very true
Safi sana
Safi sana inabid wakajifunze majukumu yao kwanza..🎉😂
Rushwa ziko hukooo mnakuja kwenye mkutano kufanya Nini watu wamedhulumiwa vitu hapa wamebugi
Watanzania wote,taasisi zote sisizo za kiserikali hata za kidini tukiwa na msimo wa namna hii ujumbe utafika vilivyo na nchi itapona.
Kweli Kabisa Lyombile
Timuwa hao takukuru wanashirikiana na ccm kuhujum kura zetu kwenye uchaguzi ukipiga sim hawapokei
Ubarikiwe kamanda kwa maamuzi ya busara
LEMA UMETISHA UNASTAHILI KUWA MWENYEKITI WA CHAMA NA RAIS WA NCHI.
Lema asante sana Mungu akutunze baba!!!!
Saf sana
Safi sana lema
Takukukuru wametumwa.. wasanii tuu hao..
Lema ni kiongozi kwa kwwli❤
Lena asante baba
Takukuru pelekeni semina ccm maana huko ndiko rushwa imeshamiri sio Chadema.
Lema unafaa kuwa Mwenyekiti Taifa wa Chadema
lema lema nakukubar sana✌️✌️✌️✌️
Aloooo nakukubali xna kupita maelezo,nakuombea sana kwa Mungu aendelee kukutia nguvu
safi sana Lema
Watanzania wamechoka na huu ujinga ukweli utabaki ukweli takukuru nao ni wanafiki mmefata. Nini
Safi, maamuzi Sahihi
Hongera sana. Hawa wanafiki tu. Aheri nusu Shari kuriko Shari kamili.
Mungu akupe maisha marefu rema
Lema kuanzia leo wewe ndo mwanasiasa wangu Bora hapa tz
Lema kweli sijui kuwa Mungu akupe nini maana ccm wanatumiwa na ccm mbona ccm ndio wezi na majambazi mbona hawaendi kuwapa semina lema umefanya kitu cha maana ccm wamezoe sana watu kwakweli Mungu akubariki Sana sana lema mtumishi wa Mungu kama ni hivyo nchi itakuwa vizuri maana kuna majina feki waliokufa CCM hawaeleweki eti wanapokea maagizo kutoka juu juu wapi kutoka Kwa mungu au.
Wewe ndiyo kiongozi wa kuigwa asanteni chadema kwa msimamo wenu Mungu aliye juu awe nanyi
Honger kamanda
Barikiwa Lema
huyu jamaa hiki kichwa sijui kikoje najua hamtamuelewa wengi huyo jamaa nizaid na mfalme
Rushwa imejaa CCM kuanzia ngazi za juu.
Kuna watu wanakula pesa za bure tu kama takukuru
Hutakufa kaka kwa jina la yesu danu ya Yesu iliyomwagika iwafunike
Fukuza kabisa vibaka hao
Safi sans
Hao Naamini wapo upande wa wajomba , lema una akili sana.
Yaaap uko sahihi kiongozi wanaigiza eti
Wanafiki wabaya sana 😢😢
Komeshea
Ccm wasipo kua makini wakaiyongoza nchi kwa njia ya haki basi kuna siku watakuja kujutia hili na watakimbizana
Viongozi wako nnje yamfumo wajinga wanatuongoza nakutuuwa hongera lema uwanamaisha marefu 😢
Lema unaakili sana huo ujumbe umefika kwa mkuu wanakula mishahala bule
Lema wewe Ni. kichwa Cha nchi
Simba ya Arusha, kuanzia Leo uwe Mwenyekiti Taifa Chadema,sio like lichawa
Lema arusha ni yako kakah
2025 bungeni tunakutarajia
Nakupongeza Takukuru hatuwaewi
Lema upewe mauwa yako
Lema hataki upumbavu
Kabisa✌✌✌
Mikunduuu aoooo
Mimi ni ccm ila hili nimelipenda lema hamia ccm tupate viongozi kama wewe ss tumejazana tu matopolo
Big up
Fukunza kabisa
Hii nimeikubari
Haki itapatikana soon
Ww njoo rais
🎉🎉🎉🎉🎉tz imechelewaa kupataa ukombosii wafikiraa Lakin inaendaa kupataa 225 kwali🎉🎉
Ukomboz upo njiani
Hawatufai
Nguvu ya watu
Heee unataka auwawe
Lema mungu akubariki San Tena san
Lema kichwasanakwamapambano
Chuki inajengeka kidogo kidogo ndani ya nchi.
Baadae itakomaa na kuleta machafuko yasiyotulizika.
Kwahiyo unatudharau huku namtumbo
Lemmaa
Watu wsnapotea wao wako kimya
✌✌✌✌✌❤❤❤💪🏼💪🏼💪🏼🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
kwahyo takukulu wanafanya Nini
Sasa takukuru wanahusika na Hilo ila Kama ni ujumbe
Wangekaa tu lakin kuwafukuza sio sawa.watalipiza mara moa lema umekosea mno
Acha kufundisha watu ujinga hata tanga masauni angetimiliwa serekali ingetoa taarifa za Ali kibao busara za mbowe zimefanya kumekua kimya moto ungewaka tanga
Tunaendekezana haiwezekani tunasumbuliwa kwenye mashamba viwanja na mengine mengi takukuru WAPO Tu, Bora waende zao
Ww ndo walewale
Acha kulea ujinga
ww ndy umekosea sio Lema ww hujijui
Mungu tunaomba amani Tanzania hali ni mbaya sanaaaa
LEMA WACHA UWONGO WEWE NA PROPAGANDA
Taira wewe
Hamtoshika dola milele, kwasababu siwavumilivu, wala hamna demokrasi
Imekuchoma hiyo.. hizo ni chuki tuu... Utachukia vingap.. nyie mumechagua upande wa shetan watu wakiuliwa, wakitekwa, wakiakwa nyie ndio kama ibada kwenu .. hiyo ni laana ipo siku mtajutia..
Ivi we unajitambua kweli?
@PeterUmbella-h4k wanao jitambua ni wale wanao wauwa wenzao ili washike dollar..
We Mind Kwa vile hajatekwa na kuuwawa mwanao au mama yako? Uvumilivu Kwa makosa au mauaji ya Bahati mbaya ok,Ila ukimvulilia anayekuumiza na kukuua Kwa maksudi ni UPUMBAVU na uTAAHIRA wala Si uvumilivu
BIG UP SANA KAMANDA LEMA