RC CHALAMILA AMCHEKESHA RAIS SAMIA - ''HATA MIMI PIA ni MSANII - INABIDI MJE MCHEZE HAPA''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 หลายเดือนก่อน +5

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 6 หลายเดือนก่อน +9

    HONGERA SSSSSSANA MH RAISI WANGU KWA KUJIACHIA URAIANI! NCHI IMETULIA KIMYAAAA!❤

  • @samwa9496
    @samwa9496 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mama kapendeza 👏👏👏

  • @juliusphaustine
    @juliusphaustine 6 หลายเดือนก่อน +4

    Big up harmonize

  • @SporaMrutu
    @SporaMrutu 6 หลายเดือนก่อน

    Ladies in publck hongera mama uko vizuri tuko pamoja unanweza

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 6 หลายเดือนก่อน

    MashaAllaah MashaAllaah mama samiyaa uumependezaaa khan saa khamasaaaaa

  • @diplomaticdiplomatic3931
    @diplomaticdiplomatic3931 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata Mimi pia. Msanii

  • @NurdinSaleh-jf8so
    @NurdinSaleh-jf8so 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli kutoka moyon mwangu nampenda sana Rais mama Samia SULUHU HASSAN

  • @moddy8744
    @moddy8744 6 หลายเดือนก่อน +9

    Huyo ndio Raisi Mstaarabu na ni Mama mwenye upendo Mungu Ambarik na Amkinge na kila aina ya shari

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน

      Amin

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 6 หลายเดือนก่อน

      Muuza Tanganyika 😂😂

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@shinipapaya846Kauza kiasi gani, acha izo

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 12 วันที่ผ่านมา

      AaminaYaarabi

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mama wawatu acheni chuki. Mama yetu habagui wa mtu wa khali yeyote penda sasa mama love sana Rais wangu. Siku zote siichoki kukuombea na sintokaa nichoke kukuombea mama yangu

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mama ni Mrembo Sana. Ana roho ya Upendo Kwa watu wake

  • @angolina1768
    @angolina1768 6 หลายเดือนก่อน

    Love you mama ❤❤❤

  • @Gracemagoma-mi9ub
    @Gracemagoma-mi9ub 6 หลายเดือนก่อน +5

    siyo siri mama kapendeza sana leo

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa hili tukio ni kubwa nzuri nipwnda ningetamani niwepo kwa kweli

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna kuchanganyikiwa kwingi kwa viongozi wetu kwa sasa

    • @jamesloshilunye414
      @jamesloshilunye414 6 หลายเดือนก่อน

      Ki ukweli mpka roho inauma sana,,Nani anaangalia kesho ya Tanzania??? 😭😭😭😭😭Tnajenga nchi ya namna gani ??? Tutakuwa na vijana wenye uwezo wa kudhubutu kufanya mambo makubwa kwa ajili ya nchi???😭😭😭😭
      Tanzania nchi yangu nakulilia sana,,umepoteza mwelekeo,, Tanzania nchi yangu unawayawaya kama kondoo walio kosa mchungaji . Ole wako Tanzania kwa sababu kesho yako ipo hatarini, huna uwakika wa kustawi tena ,tumain lako limefifia, usatwi wako umezikwa kwenye makaburi ya maiti wanaoishi. Sikia Tanzania,,usikie kutoka mashariki,na uwe makin kupokea sauti kutoka magaharibi na ujifunze Maarifa yalitwayo na upepo kutoka kaskaszini na uvute hewa iliyo toka kusini . Ndani yake Kuna maneno yameandikwa" ujitetee kwa maana watu wako wamekusaliti, miti yako ikutetee,maji, hewa, udongo, wanyama, mawe, na kila kitu kilichopo kisimame kukutetea sasa maana umebaki mpweke""

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 6 หลายเดือนก่อน

    Imebuma hiyo

  • @peterkasonso3169
    @peterkasonso3169 6 หลายเดือนก่อน

    Dizeli petroli inazidi kwenda juu,maisha yanazidi kuwa. Magumu,Kila mahali upigaji tu,alafu eti anaupenda ,dah!!!!!!!!!?

  • @AzoryIgnas
    @AzoryIgnas 6 หลายเดือนก่อน

    Hata mm pia ni msanii

  • @twalibmassea6593
    @twalibmassea6593 6 หลายเดือนก่อน +2

    Siku ya wafanyakazi anamtuma mipango, Uzinduzi wa album yupo😅

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน +3

      Ndio labda siku ya wafanya kazi hakuwepo nchini na pengine iyo siku ilikua mchana na hakupata nafasi

    • @beatricefelix1271
      @beatricefelix1271 6 หลายเดือนก่อน +1

      😆😆😆😆

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน

    Mama kaonesha ishara wa2 wakacheze mbele aone wanavo serebuka watoto wake na wajuku zake

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chalamila comedian mno asee

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 6 หลายเดือนก่อน

    Makubwa hayo

  • @shmaiderkiborey5144
    @shmaiderkiborey5144 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona mama huwa anakwenda kwenye matukio mengi

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chalamila huna taarifa. Mbona huyu huyu alienda kwa Sugu?

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 6 หลายเดือนก่อน

    Mama karibu kwenye wedding yangu, nitafurahi sana kukuona maana nayo itakuwa pambe

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sugu , samia alikuwepo

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 6 หลายเดือนก่อน

      Haikuwa kuzindua Album.

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona kila siku hafla za ajabu ajabu mama kuwa siliuzi kama baba mambo ya harmonize we unaenda kufanya nini

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 6 หลายเดือนก่อน

      Sio ya ajabu ajabu sekta ya michezo na sanaaa inachangia uchumi wa nchi nyingi analengo analengo la kuikuza kama diamond kodi analipa zaisi ya ml 300 kwa mwaka msanii mmoja wakiwezeshwa wengi kodi itakuwa kiasi gani

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 6 หลายเดือนก่อน +3

      @@AllyMaya-yj3xd kwani nani kasema haiingizi. Ameshindwa kuzuia wezi wanaitafuna nchi anaharibu muda kwa mambo ya mipasho huo muda akautumie kuzuia wezi ambao wanatuibia Kodi zetu Kila siku nchi imemshida kafeli kusimamia rasilimali za nchi nchi Sasa hivi imekuwa pango la wanyanganyi huku akipoteza muda kwenye mipasho ya harmonize

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 6 หลายเดือนก่อน +1

      UliSkia wap rais joe biden kaudhulia uzinduzi wa album ya Tyga😓😭😭😭

    • @aminakasim1198
      @aminakasim1198 6 หลายเดือนก่อน

      Mmmmmmmmmmmmmmmmmmh

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 6 หลายเดือนก่อน

      ​​@@Hussein-gx4quPole sana. Faida ya hili jambo analofanya Mama yetu siyo rahisi kila mtu kulielewa. Inahitaji mtu kuwa na mtazamo chanya wa mambo😂

  • @sarahmuhammed6872
    @sarahmuhammed6872 6 หลายเดือนก่อน

    Sound poor jeshi hawa managers zako wanaocontral spund wafute kaxi