UTACHEKA! RC CHALAMILA ALIVYOCHEZA SINGELI MBELE ya RAIS SAMIA, DULLA MAKABILA AKIPAFOMU KAGERA..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- UTACHEKA! RC CHALAMILA ALIVYOCHEZA SINGELI MBELE ya RAIS SAMIA, DULLA MAKABILA AKIPAFOMU KAGERA..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Mhe. Samia Suluhu Hassan amekishiriki Hafla ya Makabidhiano na Uzinduzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi na Huduma Cha Mkoa wa Kagera katika Chuo Cha Veta - Burugo Mkoani Kagera Oktoba 13, 2022..
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Rais hii nyimbo anaijua toka wakati wa Magu ni mzuri hii nyimbo inaelimisha sana aina ubaya wowote.Kama wayao ni kweli watu wa dini sana sio uongo.👍👍👍❤❤
Dah majembe ya RIP MAGUFULI ndo muhimu safi kabisa
Wahaya wapi na wapi na Singelii
Sema nn Dula umekomaa kwenye Pafomanc nice
Yuko poa sana
😂😂😂😂😂magufuli dah😭😭😭😭😭😭😭
Nianze kwa kuwakumbusha wasioujua huu wimbo unaitwa nadekezwa .. king kiba wewe ni noma nimpe maua yake jirani yangu nandy anakujua Hana mashaka na wewe hapa umeua kama vipi irudie nyimbo nzima
King hapana umetisha hatareee nimeisikiliza hii Mara 365×4=1460
Inapendeza ndugu yngu
Uko makin brooo
Muziki wa siku hizi bwana, hovyo!
Mziki mtamu sana huu sana
Afadhali wewe umeona,,,
Hongeraaa Chalamila !!!una uhakika na unachokisema
Yuko poa sana
Kwakweli wimbo na tukuo vitu viwili tofauti hii shida kwakweli
Safi sana
Unajua sana
Dulla Kamtaja Majaliwa hadi Mshehereshaji akaaamua kukata fitina ina maana Dulla alisahau kuwa Boss yupo
Hapo washabiki wa mpira ni Majaliwa na Chalamila sasa kosa la kutokumtaja Samia liko wapi?
King makabila
Yanga nimsmba 😅🎉
Pamoja nahayo tumependezewa na ujio mkuubwa mkoani kwetu Kagera
King
2:19
Hahahaaa kwa wahaya apo
Akili Hana
Umezingua sana dulla wenzio huwa wanaedit nyimbo huko mwisho mchezaji uliemyaji cjui kapu"ungetaja kivingine mara kachomoa huyo ni rais hapo wamekaa viongozi weww ni mwanamzk umeahindwaje kutumia akili zako cjakukubali wala nn umezingua sana
Kachomoa😂😂😂😆
Utafikiri wewe ndio samia sasa akati mama hana tatizo
Tulia ww,,kwan rais ndo hajui maana ya kuchomeka na kuchomoa
Kazingua sana unampa sifa nyingi chalamila na waziri Mkuu?. Umemkosea sana RAIS WETU.
Kweli nyimbo hiyo ya simba mh
naona mkuu wa mkoa CHALAMILA uwanja haumtoshi pamekuwa padogo 🤣🤣🤣💪🇹🇿🇦🇪
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇪🇭
🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇹🇿
Dah hizo Kodi Zetu zinatumika vibaya
Nimesubili ataje sifa ya muhaya mbna hajaitaja jmn eeeeh
Ulikimbilia koment
😄😄😄 chalamilaa
.
Mbona mama hajamfagiria
Dulla nakifurahisha
D 5:39
Huyo wamemuokata wapi mbona hana stara mbele za viongozi wakubwa 🙆🙌
Hana akili
nchi ngumu mnoo hii
Uzuri serekali ya Tanzania Haina dini
Nimecheka
Mimi nasubiri rais wangu kibondo
Sitaki kuoa hahaha
Hapo umewapata sn
mzaramo atakodishwa kwenda kusutana!!!
😂😂😂matumbo basi
Yaaani hahahaha
Chalamila lazima acheze ajira tamu
🤣🤣🤣🤣