834KJ OPERATION MAKAO MAKUUU DODOMA2019...kambi yngu makutu ya demooo siwezi sahauuu wanangu wote wa bravo coy...maaafande wangu walele..mbeo...shayo muuaji..mfaume..mkoba.haule...na wengineo wengi
Congrant my neighbor soldiers jambo kwa wanangu wote wa Danger coy chini ya afande VEMPA ,Kipingu,Mponela wazee wa vibe danger coy @2021 for demo that why full moraly🪖💪
Congratulations.Long live Tanzania People's Defence Forces 🏹🇹🇿❤❤
834KJ OPERATION MAKAO MAKUUU DODOMA2019...kambi yngu makutu ya demooo siwezi sahauuu wanangu wote wa bravo coy...maaafande wangu walele..mbeo...shayo muuaji..mfaume..mkoba.haule...na wengineo wengi
Hongera sna jkt inankumbusha 2019
Hongera sana jkt makutubola Dodoma mko serious sana
Honger san makukupola mko fire👍👍👍
Hongeren sana jkt namwona afande kidume mwka 2003 alikuw ruvu kj
Hongera kwa kazi nzuri JKT ila huyu alielenga shabaha vizuri zaidi kwanini asiajiriwe kwenda JWTZ.
Unalihoji jeshi?
@@stn4873 😂😂😂😂😂😂
Hahahaha nimecheka had wamezima mziki hapa Kwa jiran
Siri ya Kambi jeshini hakuna mbora
ila kuna watu mnamajibu mazuriiii, mtadumuuu @st n
Respect nguvu kazi ya taifa❤
Nice commander... Nami mepita hapo834 kj
Jeshi raha sana
Kinoma nomaa
Nakubali wanangu wa makutupora
kosa kupiga salut bila kofia
Kikosi changu hicho op kikwete 2015
Hongera sana wapiganaji!! Kikosi changu jamani 1989 OP Mpito!!!!
834kj ni hatari sana, inanikumbusha mwaka 2014. Kwata ya pale sio mchezo kabsa iko serious sana.
Ilikua operation miaka 50 ya muungano
Hahahaha Vamper, Mama RSM, Fuime, Gadafi, Mlomo etc
Jktmafingailngaa
Nimeona kazi ya mikono yangu ...vyema sana
Namuona Lt Canal Mbanga
Uyoo Chaula Ni Naaangaa Wa Brigade Unaaanzaje Ku salute Bila Ya Kuwa na Kofia
tulichotaka ni usahihi wa vitendo, kama alivyofundishwa. na angefundishwa kuwa ukienda kupokea zawadi kofia ikikuvuka uspige salute asingepiga.
Daah et
Siku hizi kuna na zawadi kumbe! Hili jeshi au kampuni ya kiraia! Zamani hakukuwepo na askari bora ila zama hizi mh!
Hahahaha 😂😂 aloo Hadi namba Moja kikundi Cha pili big up sana tuliupiga mwingi sana
Niliipenda cku hii na sitoisahau sante sana makutu
❤
Kumbe salute inapigwa pasipo na kuvaa kofia.
Kwakua imeangukia yenyewe haina shida
No haikupaswa salute
Kwa uelew wangu mdg wa mujib wa sheria asingepga
Huyu ni Nanga
Kumbe wewe sio msikivu,,,amesema yote ni makubaliano kwa lililotokea
Nzuri hiyo safi Sana vijana
Noma sana
Kambi yangu hiyooooo
Huyo nanga anapigaje saluti huku kofia imetoka kichwani
Op makao makuu dodoma 2019 .... 843kj nachingwea ... 🙌 still memories
😂kwa Afande Zungu
Sadam shabani licheula mlenga shabaha.. huyo kaivaa kabsa apewe nafasi ya kujiunga na JWTZ asa mtaan alud kufanya nn
Tuliopita hapa makutupora
Nilikuwa napenda sana ila nilikosa kampani
My friend ch
Mauno ya Askari wa jkt
Op samia suluhu💪
Paul ulikuwa combania ipii mzee me nilikuwa A coy 2019 opp makao makuu
😂😂😂 kitengo k.o
hot sana wajuba wapambanaji
Nafasi zipo tunao taka kujiunga
Mm nataka kuwa jeshini
Kazi safii sana
Jkt laha xana
KAZI IENDELEE
Wawooo Tanzania kitovu changu..
Mwantembe nitafute popote ulipo Nina zawadi yako ila nanga wangu Dinah umeniangusha kwakwel
MashaAllah
Nataka kujiunga
Some how good
Mung na sisi atujalie tufikee
Makutupora 2017 op Tanzania ya viwanda , tukutane apa
#kamanda wetu vempire
Vempa ni mnyama
Hahahaaaa mzee wa bombaa
CO Safari Fuime bado yupo hapo au kahama
Uhakika
2014 nimepita hapo Afande UG A.k.a Trunk alikuwa ni shida
Lex
Mwenyew nmekuta hapo 2015 op kikwete ...acha huyo mzee wa kichaga
Usione wanapokea ukafurahi wamesugulika vya kutosha hongera
Upendo Alikuwa Shemegi Yetu Kwa Coy Sir Mojar
Comrade comrade mdomo uliponza kichwa
hujaivaaaa nanga mkubwa
Unatoa ronja kuruta
Utapigwa nua
Unasarut bila kofia ww nanga kabisa
Kazi nzuri sana
Tuliwanje kaivaaaa
Kitengo xhabaha anadog had
Mambo ya chaula si ya kitoto
NZur
Miaka 25 ya jkt jamani zama hizo
Safi
O.
Congrant my neighbor soldiers jambo kwa wanangu wote wa Danger coy chini ya afande VEMPA ,Kipingu,Mponela wazee wa vibe danger coy @2021 for demo that why full moraly🪖💪
mwishowe kaya ko mabuga