Lost Adam Part 1 - Rose Ndauka & Jacob Stephen (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2018
- Lost Adam - Part 1 Full Movie (Rose Ndauka & Jacob Stephen)
Tazama Lost Adam Part 2 Hapa : • Lost Adam Part 2 - Ro...
Cast: Rose Ndauka, Jacob Stephen, Hemedi Suleiman, Patcho Mwamba, Skyner Ali, Warda Walid, Miriam Robert, Aisha Fat'hi, Bakari Makuka
Executive Producer, Mastering & Story : Mtitu G Game
Script : Ali M Yakuti
Makeup / Continuity : Mayasa Mrisho
Lighting : Abdallah Matotola
Sound : Rahim Khatibu
Camera / Editor : Leonard Muhumbira
Music : Beny Chaila
Production Manager : Mayasa Mrisho
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film - บันเทิง
Hii movie n Kali sana jmn Kam nko na wenzangu twaangalia 2024/ tujuane Kwa like naomben japo 5 tuu❤❤❤❤
Tupo
Tupo wote❤❤❤❤❤
Niko na wewe
Pamoja xn
❤
Tunaoangalia 2024 gonga twende nalo❤❤❤❤❤
😂😂😊
❤❤❤
Nan anaangalia hii movie 2023
mimi hapa
16 September 2023 zaidi ya mara kumi na sikinai hii movie mm❤
October 12 2023 mimi Napa.
Mm naangalia
Gomagere🎞️🎞️
Tunao angalia movie hii2023 gonga like tujuane
ok
Who is here in 2024?
Nipo ndugu
🙋🙋🙋🙋
Tulioangalia 2024 tujuwane
Aneangalia 2021 mov hii tujuaneekw like zenu jmn
Mncas7muvr
Bosudo
Mimi
Ubinadamu kazi Sana
Imeniuma sana hii movie mm ctawai. Saidia MTU kma hii ndio malipo acha ikae
Tar 15/1/2024 but movie kama imechezwa Jana vile❤❤❤❤
Ukitaka kufanya mema usifanyie binadamu maana hawa shukrani naumia sana inanikumbusha mbali😭😭😭😭
Pole sana dada yangu irakoze asia
KAMA ULITAZAMA WIKI HII GONGA LIKE MDAU
Hii movie unaeza comment hata mara 100
Hiii ni nzuriii bado 2024❤❤❤❤❤
Tunaotazama mudaa huu like kwa comment
Naangalia hii movie 2024❤❤❤
Tunao Angalia 2022 Gonga reki hapa twende sawa
Team 2022 mko wap...Yan movie 🔥🔥🔥✌️🥰
Uzuri wa TH-cam unaangalia movie unavyotaka. Muda wo wote na sehemu ye yote unapopataka kupaelewa unaparudia. Hongera sana TH-cam na wasanii kama mnajiamini achieni kazi zenu direct tube achaneni na bloggers
Kweri kabis. Mim. Ivi hata tiv. Sitizama. Nyumbani. Kabis
Tare 7/7/2020 kama upo nami piga kelele moja kwa Bongo move yetu..............😂😍❤
Weweeee
Weeweeeeeee
@@user-iv2qg2hw2b 😂😂😂 Atariii
@@chidymalo5504 Yeyeee Babaaaa
Net
Tujuane tunaoangalia 2021 mwezi 5
Mimi apa mara ya nne
Mm apa2023
Gonga like kama unatizama wakati wa karantini
Nawwpia
Daaaah jmn nikukumbuke huyu dada ambae amechukuliwa barabarani kweli binadam Hana shukurani ungekuwa mi nishamfukuza kea nyumba angu daaah namuonea dada watu mwenye nyumba Hadi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭gonna like Kama uko nami
Kwakweli mweshimiwa Jacob Steven umeliziba pengo la marehemu Steven kanumba
Kwangu mtitu game Gabriel ndiy producer and director Bora Tanzania Kwa movie zake huwa aniangushi kbsa huyo ndiy alifany nguvu rip Steven kanumba anakuwa mwigizaji Bora tz
Marudio yakuitizama ni 2024 njoon wenzangu na mimi
I love you is movie
hii movie kila mwez lazma niichek bigup rose na jb hata cheupe wote mevaa uhusika
Ukweli mpo vizuti !
Hii mov ni somo kubwa sana kwetu sisi wanaume
niko mwishon mwa 2023. nimezid kuikubal hii movie boreshen zaid na zaid
NDauka we mtoto mzuri Sana
Rose Ndauka nakuogopa licha yakua ni movie haki weye n nyoka mwenye sumu kali umesahau fadhla zote zakuokotwa barabarani u av no wear 2 go🙆♀️
Very interesting
Nice move bg up kwako Rose ndauka na jb
Napenda sana mov za jb na ros
Adam uliambiwa siwakusaidiwa huyo ni nyoka ona sasa,hii move imenifunza mengi sana
09 01 2021 ndio naangalia
Nzuri sana filamu za zamani zilikuwa na mafuzo
29/9/2021
Nimezoea jamaa muvi zake akiwa ana msimamo dhidi ya wanawake ila kwenye hii kayumba anaongozwa na mwanamke hivi
Mwanaume yeyote ambaye ametazama movie hii jamani tosheka na mkeo
Nakukubar San jb na rose ndauka
Tamaa hz jaman
Dah! Tamari nimkatili sana, tena una roho ya shetani maana huna hata shukrani...!!!
Msamehetu
Mjifunze nanyie wabb sio mnaalibu2 majumbani natamaa zenu😏😏😏
Mnasababisha nyiye wanawake ndio hamtaki kufata maamuzi ya wanaume wenu
5/8/2023 naitizamaa Tena iih muvii
Nice movie
nice movie
Tunaglia Iko vzuri sana twende nalo❤❤❤
Nimekupenda apo ukweni jamani mungu akosei Roz umeboa apo
Iko poawa sana ata aichoshi kuitizima
Ndauka bana unachekesha ukwen hahahahahaha daaaah noooma sanaa penda Sana❣️❣️❣️🙏🙏🙏🙏🙏
number 1
Jamn kunailee movie ya yusuph mlela kilaa akitembea nawanawak anawauwa inaitwaajee nakutaftaa sana
Binadamu bora umpe hela imsave then pita hivi maana unamhifadhi alaf hana shkran
Jamani binadamu mupoje mpendwaje
Hayo mashauzi Rosse punguza
😂😂😂
Zilippendwa
Safii
I love it
I love this video
Movie refuu atarii
Pole dadangu ak wema wake umekuponza yani roho za huruma hazihurumiwi
Very nice
254nairobi tunawazama movie zenu
Shida ya kikuyu ni hii ya kuitw jina la mama badala ya baba
Simon joyce au peter njeri😁😁😁
@@mathayonelson6289 wewe kama hupendi mama ako kaa hivo c kusema eti mtu hana baba
Utaitwaje jina la mama hata kama unampenda
Huyu mke wa Adam kajitakia kwa sababu Adam alimwambia tumsaidie afike kwao tu akakataa
Naesaje jiunga nanyi
My number 0795780634
Umeona hee
I love it mary from keny
nimependa dada ako bz nakaz sana t
KWAKWELI HII MOVIE INANANIJENGA SAANA.MUNGU NAKIUOMBA UNIPE KUISHI KWA HAKIRI KWA SABABU JAPO KUWA NIMEFANYA UPUZI MWINGI NAJUWA WEWE UMENISAMEHE.NA NAKUOMBA WEWE UWE MWANGA WANGU KATIKA UCHUMBA WETI NA MCHUMBA WANGU NA UTURINDE KUSAHAU MENA TUNAYO FANYIANA NA MCHUMBA WANGU.
NIPE MACHO YA MOYO MTAKATIFU.
MIMI NIKO BURUNDI NAPENDA SAANA MOVIE ZA KITANZANIA
Ulipatwa na nini Amos?
Kabisa umeon bro
Dah ii movie kal jaman
Nimejifungua mengi bora ufadhili mbuzi asanteni bongo movie
Mwanamke busara na hekima kweli kweli
Tunaomba movie ya swahiba tafadhal jmn kacheza jb, Rich single mtambalike na rose ndauka
Tujuane tunaotazama 2021
Tupo
Niko Moçambique ni me ipenda sana i mov
Ukweni🤣🤣
Wema naohuponza wakati mwingine 😢
Pcha
Ya
Veronika
Wakat wote tenda wema wende zako
Hi guys I like your bongo movie from Kenya but prayer is very important madam
JB in 2023🎉🎉🎉❤
Duh ni hatari sana............laiti angejua
Apo ukweni nimecheka kmaa mazury
Rose ndauka. Kumbe katika kiu ya kisasi imejirudia. Kumchukua JB kutoka kwa MARIA CATHERIN. Ambae alikua dada yako. Duuhh ROSE wewe ni noma
Adamo.pore. sana
Safi sanaaa
JB utajuta kwa hili ambalo umelifanya na huyo mfadhil wa muda rose ndauka hakika kumdadhil mtu usiyemjuatabia zake ni mbaya ndani ya nyumba hasa unapokuwa na familia yako,
Kali sana
Love
Daaaaaa!!!! Kali ya family
Gjhp
Nice sana
nice
I love the movie but felt sorry 😢 for Natalia she was a kind lady indeed.
Mwema ila ana hekima. Kilaza
Nice
Kwa vazi Kama Hilo rose bdo sijapenda
Yaani sijui ila watu kama tamali ningewateketeza yasinitoke sn moy nikauwa
Rose UK na pepo
Nzuriiiiiiiii
Hiii movi niliipenda sana Adams
jamn na pia naipend
Yaa huyu jamaa namkubali sana
Noma sana 👏👏👏 nime enjoy kinomaaa🙆🙆🙆🙆
Mambo
Mgeni kumukaribisha kumbe kujitongea
Rozi uko vizuri uko silidhz
Apo mmepatia aswaaa.Baadhi ya wanaume ndio chanzo cha kujaa watoto wa mitaani. Chanzo cha family kuvurugika.
Aminia sana
Mm apa 2022 napenda saaaan
Sasa Mbona hamjatuwekea part 2 please
Mbona ipo
Ipo
Binadam hatuna wema...... inauma sana
Part 2 pls nzur moves
Mshika mawili moja huanguka chini pole Sana ndugu
Jkb amekufa ameoza kwa mgeni,Rse ndauka Rse ww kiboko😂😂😂😂😂chukua maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😅😅😅😅 hataaaariii