WEMA SEPETU MCHAWI SHABIUSI❤️ PART 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2019
- BONGO MOVIE New Film SHABIUSI Part One Full HD video OG...Washiriki KOKO BYANKO WEMA SEPETU BUMPU KIMAZI,JAQLINE WOLPER,MAMA KANUMBA Na wakali wengine wengi wamo ktk Film Hiii Ya SHABIUS pata uhondo Kwa Maumivu ya mapenzi,Ubaguzi Na Siri Za WACHAWI na MAJINI Na ROHOI Za Watenda Mabaya kufichuliwa na ECHUPEE MTU WA MUNGU Katika FILAM Hii Ya SHABIUSI ENJOY👍👍👍🔥🔥🔥 from Tanzania vijana wa magufulu For More Cont: +255718458457 +255652724436 or +255657862080 ,Email Sunzukoko@gmail.com INSTAGRAM KOKO_BYANKO,FACEBOOK KOKO BYANKO PII
- ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Kama upo hapa for Madam Sepetu, gonga like....... From 255+
Jamani kumbe na mama kanumba anakipaji cha uigizaji kama mwane kanumba hongeara sana mama kanumba gonga like
walper amsha dude kwa hii move Tuzo upewe
nimenjifuza sana kupitia hii move
love u walper umeitendea haki.
Kiukweli wema na wolper mpo vizuri sana kwa mwendo huu 2tafika mbàl kàma uñakubaliana na mm like japo
Sauti tu ndo mumeharibu ndunguzanguni ila mumecheza Poa kbs 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Kwenye sinema za kiswahili wabongo hoye eeeeeeeh .😍😍
Kuusu sauti nijinga la bingo movie
Mama sakina woyeee👏👏😁 anafaa ashirikishwe kwa kila bongo movie
Sijui nimechekewa wap daa hui muvi kali sana mashallah ♥ 💖 😍 ❤
Jamani namkubali @koko👍🏼,
@wolper❣,@wema❣na wengine muko poa movie 👍🏼👍🏼👍🏼
Kweli wachawi wanakazi aiseee.. Yan uyo anafurahia kuwanga zis iz so fantastic
mama sakina kanogesha sana move much love😁😁😂😂😙😍😍
يحيى السناني dy
nimempenda uyo mama anaemfokea mwanae kala ela ya chuo yani kaect vzr kabisa kavaa huusika vzr
Celine Samson asante sana kwaniaba yake
Movie nzuri tokea kanumba afariki hii ndo ya kwanza kuangalia Mungu awaongoze mzidi kutupa mafundisho mema yatakayotujenga kitabia
ahsante sana
Kweli kabis
Wolpa umeniliza kwa kwel siwez kujizuia hii movie ni kali mno imetisha hongeren sana kumbe na sisi bongo tunaweza yaan imekua kama movie ya marehem Kanumba
Same to me
fatma chamb
Iko Powa Sana hongereni San wasanii wetu Umeanza vizuri imeisha vizuri pia tumejifunza mengi kupitia hii maana wengine wanajidai wachamungu wachungaji na mashekhe wakubwa kwenye nyumba za Ibadan Kumbe wao ndo wanaingoza kumkufuru Mungu,, leteni nyingine nzuri Kama hii naamin soko la bongo litapendwa zaid kuliko za nje
ahsante sana kwa maoni yako mazuri yanayo niongezea ujuzi zaidi wa kuandika stori zitakazo kuchimbua matatizo yanayo zunguka ktk jamii zetu
Siangalii movie mpk nisome comments..nikisikia nzuri .... Ngoma ina tambaaA,,,,,bravo all the actors.my god....awafikishe mbali
😂😂 kumbe tupo weng wa kusoma comment kabla ya kutazama movie yenyew.
Tupo wengi kkkkkk
ok thanks
Yaani ww mwenzangu kbs
Munapendeza dana
Dah movie nzur sana...endeleen kutoa kaz nzur zenye uhalisia zaid
Mjomba mbaya sanaaaa
Walper umetisha Sana
gonga like Kama muvi umeipenda
Ohh mashallah kumbe wolper kajistiri zamani ❤
Hujawahi kosea wolper nimependa sana kazi hii
mama sakin jicho 😂😂😂daah mov nzr sana ila 😭😭😭😭😭😭melia sana 😢😢😢😢jamn wachaw wakoje eet ooh lord plz prtct us 🙏🙏🙏😖😖😖😖
bonge LA kazi brother
Stawa Paul mama sakina ninoma 😂😂😂😂
Wema na Jack fikieni alipofikia marehemu kanumba kazi nzuri sana jitahidi muinue ile talent yenye imepotea kwa MDA mrefu naona mpaka mama kanumba hapo hongereni
Tyeu Hsvsy kbs hongera san
Daaah aseeee neipendaa
aina saut
Tyeu Hsvsy ongela Dada wema nimependa
kama upendi wachawi nipe like basi tujuane.
Josephine Makungu wachawi nonsense useless ppl
Josephine Makungu
mi nawachukia sanaaaa hata ningekua na uwezo ningewatokomezea mbali
Sipendi uchawi san
Ya Josephine wajina wa dada yangu siwapendi wachawi kwasababu wanaludisha nyuma maendeleo
Mama sakina anavyosema hivyo amekuwa mama eti maisha yanichanganye na wewe unichanganye
Yaani koko unaweza Mungu akuinue zaidi tumepata kanumba mwingine jamani
safi sana koko kwa rudisha bongo muvi tena endeleeni kukaza
freditto official ahsante kaka
Kama umeikubali hii muvi gonga like tujuane jooooh
Mkenya nimeikubali hii...imeweza
Jossy Josphin
Mama sakina maneno yake😂😂nice movie jamani
Mama hayuko ivo jaman
Jomon saut au mm ndo inazingua kama na ww saut inakta kata weka like
Tuko weng
Ndio sauti inakata sana hapo ndoutagundua jasili haachi asili
Support me
th-cam.com/video/XX6acAMUjQI/w-d-xo.html
Ah saut inakata tuu hata mm
nikweli kabxa move zuri lakini haina sauti raha ya move sauti
Nakupenda mama sakina mama koko mama kanumba wolper ..koko..mjomba yani dah picha qaliiii sana hii😜😜
🌹
Worpa ukiwa na mimba unapendeza sana 😍😍 gonga like kama unakubaliana na mimi
Nina
N
Good boy
Wolper mzuri sana. Big up nakupenda bure mama
Eisher Mohamedi asante kwaniaba yake
Sauti wanafunga kusudi watu wasizum wakaiba lakini bonge la mchezo sijaona movie kama hii bongo kisha mashallah nimelia Sana inaumiza kweli mchawi so binadam kabisaa na wapo katika maisha yetu kila siku mungu awauwe
Jacky amependeza na hiyo mimba kweli..+971 watching
Mgonjwa anaumwa alaf unasimamisha gari ujinga ulioje....apa ndo mnafeli kabisaaa.....movie kali cjawah kuangalia bongo movie muda kaz nzuri vitu vidogovidogo sana umenishawisha tena kuanza kuangalia bongo muvi
Nalia nasijamaluza niko katikati....wooiii machozi itaniisha ..good actress WOLPER
Daah movie tamu bongo movie imefufuka ongereni sana wapendwa
Nasomaga comment kwanza mwenzenu
daaah!hii movie Kali sana tangu afe kanumba hii ni movie ya kwanza ambayo ni Kali nawapenda sana
ahsante sana kwa kunipa moyo
Km unaona sio vzr kuwadharau maskin na km unaona usiku ni mida ya wanga gonga like LA nguvu hap
Mama sakina nakukubali sanaaaa
Nimeupenda imenupa fundisho kubwa Sana
Kazi nzuriii hongereni sanaaaa nawapenda bure
Gud job Wema ake ni bonge la movie kwan ni maisha yetu hasa na wengi yametukuta haya ktk familia zetu hawa viumbe hawakosekan ni kucmama tu kwa Mungu wallahi
wolper jaman unapendezaa ukiwa na mimba mpenz your s swety
.
wapedwa ombeni bila kuchoka kuna watu wana tembea usiku na mchana kutuangamiza .
hii move ina mafunzo sana.🙇🙇🙇mjifunze kupitia hii move
ushawi sai ni kila mahali tujifiche kwa maombi kila wakati
Amen
Amina mpendwa
Nikweli kabixa
Ameen
Sasa iyo sauti jamani nihatari
Nzuri kweli lakini kwanini gabo akucheza umujamani mi nimekumiss❤️❤️❤️❤️ sana kwenye movie kama izi
huu ni mwanzo tuu usijali wote utawaina kwenye kazi zinazo zinazo kuja
Koko Byanko Official Asante kaka yangu nitashukuru sana
Kazi.safiiiiiiiii
konk Bonge LA Move
hahahahah😂😂😂navua nguo mm navuaaaaaaa😂😂😂ataki vuaaaaa🤣😃😃
Partiedo Joshua hahahahaaaa
Love wema Sepetu love jackirine Worlper love mama kanumba mmetuletea kitu kizuri xana
Elasto Maluko
Watumie kakitu kwa simu
@@mathildemwangaza109 😁😁😁😁
Koko amekubali kwa nguvu oyeeee pole sana koko
Kwakweli muv nzuri saan
Nice movie from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👈❤️🔐
👏👏👏👏👏 hii movie ni 5star⭐⭐⭐⭐⭐. Big up
Koko the star love u much fro Kenya
thanks
Izo ndo movie ninazo tafuta kweli ohhh 🙏 Asante sana from Canada 🇨🇦🇹🇿🇨🇩🔥🙏🙏
Unafanya nini huko
Vaneesa Vaneesa ndo kwenye naishi uku
Hi
@@didahassanhassan687 hey Sister
Deborah Jm kwakweri hii filam ninzuri tena inafunzi mema nimeipenda bule jaman
Jackline wolper my favorite actor ❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍
John Mwangi actress 😊😊😊😊
@@kaylaminani5296 sawa msomi
John Mwangi wew sio actor hahahaaaah
@@latipherhussein2260 sawa msomi
Sio Actor ni Actress
nimeipenda na inamafunzo mazuri asante washiliki
I like this movie good I like wolper
Oo lord have mercy on people, so painful n I can't hide my tears. Big up bongo movie 👏👏👏👏
Eeeh bwana wee hapo ss naona mnairudisha bongo mv big up sana Wote mmecheza vzri
Duu nimejikuta nalia Hongera sana wolper
Khadija Hussen asante kwa niaba yake
Cjawah kuipita movie ya wema bila kuangalia....who's one else ?😘😘😘😘😘
Nic moov
Move nzuri kweli nmempenda mama sakina saana
Hii move nimeipenda kama nawe umeipenda gonga like twende p1
Mwana Idd ninzuri ila sauti hamna
Zuli kweli
Saut inakata
Nimeipenda sana
mama sakina umenongesha Sana hongera
ongera kaka mungu akufikishe mbali zaidi
Kwenye sauti apo nmeboreka sana kama na wewe umeboreka gonga like apo
Koko nakupenda bule 💛💛💛👍👍
Love you Jaques congrats my dear
Nzuri nakupenda WOLPER
Yaan bongo movie me apo tu axa ndege imetoka ethiopia ad tz inamaana hyo ndege ilimbeba mtu mmoja tu au apa mmepoteza kwakwel😀😀😀😀😀
Mi ndo naangalia nimejixemea hizi bongo muv nazo puuuu
Yaani hapo ndo ujue bongo movie hatarii
Ongea wew mi shamaliza
MashaaAllah nice movie most capture and intresting in Mama Sakina she act very great big up mama and mama Koko you really made it MashaaAllah you made it like really you really made me shade tears over your kids ...nice progress queen wema and all
Yes yes mama kanumba she is so nice, that's why kanumba was in top
Muvi nzr sana shida sauti jamani.
Daah nimelia saana
mme jitahidi San Kama Jackline worp nampenda Sana una igiza vizuli sana
Mama sakina yuko sawa😂😂😂
Bonge ra movie so very good
Hahahahahaa. Koko huyo anakula kilo ngapi kwa siku mpaka anakuchanganya kiasi ichi. Hongera mama koko
daah! movie zuri sana hongera jameni
aaaaaaah nimekukubali xn Cct wema I like it
wolper bonge las star huyu dem noma balaaa
mohamed jimia asante kwaniaba yake
I lyk dis muv to de maximum
Daaah tumezungukwa namabaya mengi il kwa uwezo wa Mungu tunaishiii
Nimefurai san na sis tulio mbali na tz tunajisikia kam tupo tz hongera san muv ni nzuri koko
ahsante sana
Kweli kabisa tunajiona tuko tz
Kweli kabisa tunajiona tuko tz from China
Hiz ndizo film bongo niwape hngr mnaifanya kaz kwer inamafundisho meng mno nawa penda. Naitaji film kalzaid kutoka kwenu. Hiki ndicho watanzania tunataka imooooooo tz at/5apr 2019
duu noma sana
wolper umetisha umecheza uzuri
Na mm ndio nashangaa Kwan Ana kula kilo ngap 😂😂😂😂😂😂😂huyo koko 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Nzuriiiii aiseeee I like it
aaahahaha airports naina hata watu dege kubwa kasafiri peke yake na amepewa gari kuendesha ,leseni kapata wapi aaahahaha wabongo bana
Si karudi nchini kwao...
Bongo mv bg up jmn mmerud thankx u wolper lv u bongo mv from tz hp hp
thanks
Hahaha worlepar unadeka wewe
Athuman
Hassan Na
Nimekuwa wamwisho kbs😂😂kama munaludie kusoma cmmnt munipe like
bonge moja La movie sio mchezo
thanks bro
Mashallah zuri kweli
Mamake kanumba....nampenda mie bure tu
Movie ni nzuri sana tatizo ni sauti inakatika katika
Brooo umetishaaa
ahsante sanaaaaa
Hahaahaaa hii movie wachawi tuuuu ndio wananifurahishaaa
Yakuti Juma
Bongo movie zetu........ 😍😍😍😍
Kumbe mnaweza bado afu mnaleta poziii nice move......
*Movie nzuri Sana*
Nimeipenda sana hii movie ila tu sound ilikuwa inapotea mara kwa mara nakukata stimu
Hekooo kaka Koko kwa kazi nzuri muwe na uganalifu wa hali ya juu kwenye sound engineering edit 🙏