MY LOVE EP 1- 10
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
- #Bhailam
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.com/@ComedyPlustz...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?... - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Wanao tumia Wi-Fi ya buree tujuane😅😅😅
Ndio uzuli
Kama mm apa mumojaye😂😂
Ndo uzuri 😂Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉
Namuomba Allah anikutanishe na Hawa watu binafsi nawapenda sana mzee simba wewe ni mwamba ❤❤❤
Movie nzuri Sana kijijini kumechangamsha hii movie mjomba JoJo na madam wapokeee kopa zao♥️♥️♥️♥️
Respect sana bailam
Vizuri sana bt na wake wenza iliisha
❤❤
Ilihisha
Kazi njema ❤
Icho kizungu chenu kwanza mzee simba 😅 anavyoongea ni mtihani 😂😂
Wa kwanza naombeni like zangu
AKIM DOLLAR AKA MR QUALITY
Nimependa miwani ya sheemansuri😂😂😂😂😂
Mbona mwaturegesha nyuma hak😅😅
Yaan hii movie Bailam kaiharibu sana
Kwa nn😢
Uyo mjomba aeza kufanya ufe😅😅
Mbona hamturushii wake wenza mmetucheleweshea sana jamani
Mjomba sio yani nimecheka😂😂😂
Kipindi kizuri ila kuna kibwakizo hapo kinaudhi kwakweli 😢.
Wa kwanza
Timu hii ni Bora mno km walivyo yanga Kwa hivi Sasa licha ya kudhulumiwa ila Mimi ni mwanasimba
Wake wenza ikowapi 😂😂😂
Ilihisha
Bairam zinekuruka si ulitaka cha pili
Nakwambia mjomba ni mnoma😂😂
da sijui wakoje tuleteeni muendelezo sio kuturudisha nyuma
Kaz nzur
Jamani tunaomba wakewwnza
Mmmmmmmmmmmh wanaweza vijana
🎉🎉🎉🎉
Leo Mimi wa 5 😂😂😂😂 like zangu
Mbna mnarudia tena tunataka muendelezo
Wanaume jamani be carefuly
Ooya mabasuu
Mko vzr
Jojo kibamia😅😅😅😅😅
Tunatka muendelezo leo atutaki maludio sisi
Jamani bailam mm nasubiria wake wenza uku mnatoa lini jmn plz toeni bas naisubiria kwa ham
😂😂we nae wake wwnza iliisha kitambo
Oya bailam unafeli wapi imalizie bas
❤
Hichi kidada chembamba kinaboa
Yaan mmenivuruga
Wa kwanza 🎉🎉
Nime wahi leo
Lakin baillam simutuley wake wenza 😢😢
Mbona sijaelewe
Wa Saba leo
Wa nane Leo nmechelewa ju ya kuosha hamam lakini sijali elrorosi Bora nmefika team hammamu na wapenda sana tujuane kwa like tuko wangapi❤❤
Tambua ni MB zina2mika Yan mna2pa marudio
Mbona leo havieleweki,umeanza kuzingua sasa
Mbona nyuma tena😢😢
Wake wenza
Nakuchana
Hawafung mlang nao wakilala
❤❤❤🇰🇪🇸🇦🇸🇦🤣🤣🤣👍💪
❤❤❤❤❤❤❤
Jojo jamani😅😅😅😅😅
Nakubali
Baila imalizie hiiii
❤❤❤❤
Wanaume tujifunze tuache tamaaa ya pesa watching from Burundi 🇧🇮
Bhailam mbona wake wenza imesimama jamani?
Kuko kwenye site
Nimekuwa wasaba reo
Hii mbona n y kitambo jaman musitufanyie hivyo bad😅😅
Sijapenda bailamu 😢
Jamani munaturudisha nyuma kabisa iyi imeshaga pita
Vip wakewenza??
Mda ulotupa hii ungetupa muendelezo tu
Kama hamuwezi kufanya kazi musikuwe munaudhii watu sasa tunasubiro muendelezo munatuwekea upuzi hapa na hawo wanawo comment vizuri kwa hunu upuzi mulio weka wao pia niwapuzi fanyeni kazi kwa muendelezo wa kazi twasubiri ep 12 poleni kwa kuwakwaza ila kwely nimesema
Wa kwanza mimi leo 💖💖💖
001
Wake wenza mbona hamtuletei jmn
Po
Kaz mzuri