Lost Adam Part 2 - Rose Ndauka & Jacob Stephen (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ย. 2018
- Lost Adam - Part 2 Full Movie (Rose Ndauka & Jacob Stephen) Game 1st
Tazama Lost Adam Part 1 Hapa : • Lost Adam Part 1 - Ros...
Cast: Rose Ndauka, Jacob Stephen, Hemedi Suleiman, Patcho Mwamba, Skyner Ali, Warda Walid, Miriam Robert, Aisha Fat'hi, Bakari Makuka
Executive Producer, Mastering & Story : Mtitu G Game
Script : Ali M Yakuti
Makeup / Continuity : Mayasa Mrisho
Lighting : Abdallah Matotola
Sound : Rahim Khatibu
Camera / Editor : Leonard Muhumbira
Music : Beny Chaila
Production Manager : Mayasa Mrisho
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film - บันเทิง
Nice move Kama umeielewa gonga like hapa tuwe wingi
JB AKIWA KWENYE ANY MOVIE HUWA BEST EVER HONGERENI THIS MOVIE INAFAA ITIWE NETFLIX 💯✅❤👍
Yaan hii movie ilkua kweny uhalisia kbxa kiukwel maan ata ivo furah yangu ilirudi pale jb alipomuona mke wake tena kw mara ingine ak asanten xn mafunzo bora xn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hongereni nyote mlioshiriki katik hii movie ❤❤❤❤❤❤
Fantastic movie with teachings glory be to God.
Adam kuwa makini hawa sio muchezo ,ikiwa alimshinda mungu sembuze mwanaume wa hapa duniani,!!!ngao ni Imani.
Ie 24/4/2020 niko nayiona tena naona raha saaaaana🇧🇮🇧🇮
24/9/2021
Kaz nzur Sana hongeren inafundisha Sana
Movie hii iko poa sana hata uishaji wake uko poa sana tofauti na movie nyingine hua zinaishia katikati
Nice movie🥰👌👌🥰🥰🥰,,,,, Senga bwana icho kicheko tu😂😂😂😂😂
Yaaani hii filamu ni kiooo kamili cha jamii Leo hiii asanteni Sana Kwa kuwa wabunifu kiasi hiki na mziidi tena na tena nasi watazamaji tuchukuwe mafunzo Kwa mikono miwili
iko poa sana nawakubali wote mlioshiriki
This movie has astonishing power and fabulous message I love it
♥️Asanteni washirika kwa elimu nzito ❤️🙏
Nmependa kalata zennu
Huwa sichoki kuingaliya hii mov jmn nzuri sana
Jaman rozi ndauka ni mzuri..
Movie nzuri sana nawapenda Jb na Rose God bless you 🙏
Hiii movie iwe funzo kwa wanaume wote weny tamaa na wanawake wa nje
Kwel brother
It's good . And can give us a lot way to go in a good position I like it so much
zamani watanzania mlikoa nacheza vizuri sana sinema zenu pia zina story mzuri alafu story zenye ni ndefu naagalia hadi narudhika isitoshe ni filamu ambazo huwezi uka bahatisha mbele itakua ni mpaka uoneshwe
Love tanzania movie part 3 from kenya mary
indeed it's awesome, hoping that part 3 will be out soon
love Tanzanian movies.. So educative. Ray kigosi, wema sepetu, kanumba, rose ndauka, Ahmed, Jacob Stephen just to mention but a few.. Nawapenda nyote. I'm from Kenya.
Wanaigiza vizuri ila uchi saana
@@zawadimussa9518itabidi uchi sababu ya Ile part MTU ana act,,,,,
Despite Adam betraying his wife I just feel sorry for him .if only he knew
Sichoki kutizama hii movie hadi leo 10/4/2020
24/9/2021
Mie 29/6/2022 😍😍
Na mukubari sana muke wa Adam ameceza vizuri
Mmmmmh❤nimeipenda sanaaaaa
Yan mgen kumpokea kumbe kujitongea.. awe pole natalia
Wewe 2020 Mimi ni Leo tarehe 3.05.2023
Movie Kali, hongera washirika
Napenda sana filamu za bongo .
Daah hi mov balaaa kalii kuliko 14/11/2020 naichek
Senga uko naumama 🤣🤣🤣🤣🤣 Sanaa😂😂😂😂
Nimecheka sana jmn duh senga
Oy wazee kumbe bongo kuna story nzuri hivi alafu mmekaa kimya hivi
Wow love this one mungu awabariki sana nimesoma vyakutosha kupitia hii asanteni sana🙏
yani apa mume killy really dah like zenu twende sawa jamani dah iii ime killy really
Bado sijachoka leo 8/7/2020 Naitazama tena❤😍😻
Sijachoka. Kuangalia. Naleo ni. 23-8-2020
Sijachoka kuangalia Leo tarehe 29 /6 /2022😍
Waa,najifunza,kikulacho,kinguoni,mwako.
Nimeipenda sana hii movie
It's like new watched before watching now na hadi kesho Mungu akeendelea kunipa pumzi ya maisha al watch
Nxuri sana
Movei nzuri mnoo ❤
Nimeipenda sana yamani dhh
Very nice movie
Hii ni moja ya filamu bora
2/8/2021
Very powerful movie with lessons God bless you waiting for part
Big up all the Legends hatari fire 🔥🔥🔥
Hi mlicheza kweli nimefrai Sana xjawai ona movie ya wabongo iliyo nifrabisha Kama hii bigup to yo all
Safi sanaaaa
Kazi nzuri kweli na yenye fundisho kubwa
Jaman muuza maji unachekesha mwenzio anaongea nasim ww umbea umenoga mbavu zangu jomoni🤣🤣🤣
Safi sana kbs movie kali 👌👌👌👌👌
Nimajifunza mengi sana nice movie much love from Kenya 🇰🇪
Nimeipenda asanteni sana
I have learned something
Movie tamuu,,❤,eeeiy Tamari ni gaidi
Goodwork with great lessons
Movie ni nzuri na inafundisha mambo kadhawa kadha mloigiza hongereni sana kazi ni nzuri , JB hongera sanaaa kwa organization hii ya movie Nazi nzuri mpaka sasa 2020 Naipenda xanaa sichokiii kuitazama
Kusema ukweli imenihuzunisha sna nakunipa funzo kwa
Nice move, I learned a lot of things. Thank you very much. Muko wacezaji wazuli
10 01 2021 ndio naanglia
Gud muv asee Ila wanawake dah! 2021
Jamani ninzuli
Blockbuster movie ever happen in Swahili industry,,, sengaaa you kill it😍😍😍😍,,,,,
2022 bado naangalia hii movie Ina mafunzo mazuri ongera Sana washiriki
So moves nzuri naomba muongeze juhudi sana wapendwa na mm no mpenzi wa bongo moves
Oeeee 😂😂😂 hii movie ina ujumbe mzito sana
Yaan naipenda sana
Mitmi
Aky hii movie kiboko compared to others.fantastic .hongereni sana
16/6/2022
Daaaa movie nzuri jamani blessed sana natalia na wadogo zako kwa kuonesha ummakini nimejifunza kitu walai
Kwel hill ni funzo kwa wanawake wote
Si wanawake pekee hata wanaume tena wao ndio wanapaswa kuwa makini zaidi
Tar20:1:2021 like mingi
Roz ana umbo zur sana
Kama laangu
@@neymermponde7810 km lako kweli jamani ?
Nice move
Nice filam, Ina Cha kujifunza I like it
amen ❣
Senga kaniua mbavu mieeee ha haaaaaa
I did like Natalia acting conspiracy watching from Kenya....
Good movie
NI MOVIE NZURI SANA,,IMEJAA MAFUNDISHO, KWA WENYE NDOA TUZINGATIE SANA MAFUNDISHO YA MOVIE HII
ITATUSAIDIA
Jamani umeumbwa na macho mawili vizuri Sasa Hilo unavyoliziba unamaanisha nini? Au wanaotumia jicho moja wanapenda???
Movie nzuri
Senga bhna hahahahaha
yani bongo movie mmekua sasa
hii movie ya zaman
Kwakweli sichoki kuitazama zuri sana inafundisha sana nduh
2023❤❤
2021 December mkuje mgonge like apaaa
Nice good
Filam nzuri saana yenye mafunzo ongererni saana
Movie nzur cn ❤️❤️
Nakubali great movie
Nani ana watching 2022
Daaah movie nzur sana
Movie haiishi utamu 🔥🔥🔥
It is well movie
Uyu dada natalie namielewa sana ni move nzuri sichoki kuitazama maana inaelisha na kufundisha ina uzunisha na inachekesha ongeren sana mlo igiza
Aise
9/12/2020
Nachek
Duh
Hii mov imeisha vizur sana
Movie nzuri saan
Pol Sana Adam
Kipind nko mdogo ckua nmeelewaa kivileeee but now nimekua na Leo tarehe 20/02/2024 naitizama vizur na nmeeelewa JB good work and ur team🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Ni mzuri sana mafunzo kwa waume wajinga na pia nawapa pole yao hawajuwi wayafanyayo😭
Daah jameni kwa nini ktk dunia hii Kuna watu wa namna hii😭😭😭
Wow that is good
Asante sana kwa vidéo iyo