Sio kuzungumzs sana fateni sheria ya ki Islam vile inavo taka kuhusu matibabu ...sheikh kishki hakusema kwa kutaka kwake kasema vile mafundisho ya dini yetu inatutaka tufate
Shuhudaaaa huyooooooo. Minyoooooo mitupuuuuu!. Tawireeeeeeeeee😂😂😂😂😂. Hawezi kuja juu kwakuibia kina mama nakuzalilisha. Lemba kubwa elimu Huna. Hufai. Ushindweeeeee kwa jina languuuu. Nakukemea kwanguvu zote. Unamapepo machafuuuuu. 😮😮😮😮😮
Kwa watani zetu,bahari imechafuka samaki,wamelewa, na ukali wa mawimbi chombo kinaselia juu ya,bahari samaki wanaelea juu ya bahari tutupeni ndoano tuchopoe, mmoja mmoja Kabla wimbi halijatulia
Anguko la uchumi wa nchi kila mtu anatoka na lake. Kwa umaskini huu, siyo kanisa wala misikiti, kila mmoja asiye na msimamo wa dhati Kwa huyu Mungu mkuu, atataka kutengeneza njia yake, inaumiza watu au la, ataifanya. Mtaona mengi na haya ni cha mtoto!
Sharif Jina nakubali lkn sio Sharif mnaesema nyinyi kuwa Sharif hajitangazii wala halazimishi kuwa yy sharif Bali kwa uchamungu wake, vitendo na mambo yke watu ndo humuita sharif hata km yy hajioni kuwa sharif. Nyinyi wapiga dili kupitia kivuli cha dini.
Ukiwa muongo basi uwe na kumbukumbu haya tudhibitishie hayo maajabu ya huyo sheriff aliyoyafanya akiwa mdogo na watu wayaone jama anavoonesha saiz unganga wake
Ni kweli aombe msamaha lakini nasaha zangu kwenu ni hizi hapa:- Mlinganiaji anatakiwa kuwa na subira. Mtume saw. Alipigwa mawe Taif lakini hakuwalaani watu wale. 2 - Allah akimpendelea kheri mja wake humpa mtihani, basi kwa Sharif hiyo ni dalili ya mapenzi ya Allah kwake. 3 - Pia mnatakiwa kujichunguza maana haya mambo huwa hayaji tu hivi hivi, kwani hata Sharif ni binadamu anaweza kukosea hivyo asiwe na moyo mgumu anapokosolewa. Na mwisho ni kuwa nyinyi wote ni majeshi wa kiislam, kila mmoja wenu anahitajika sehemu yake. Kwa leo ntaishia hapa. Natumai wenye elimu zao watafahamu haya.
Acha uongo wewe mungu anakuona wewe ni chawa tu wewe unalinda ugali tu ila mambo anayoyafaya ni ya kikafiri akina mwamposa,alafu me nidani utasema huo usharifu kautolea wapi
Ila mnatia hasira sana kwahy na kupig raml hiyo ni karama alopewa na Mungu?achen kutuigizia half kuwen na hofu na Mungu msiape aisome bas hiyo suratul yaseen watu japo watapata amasa
Wew ni chawa tuy mchumia tumbo auna hata uwislam ww mpuuzi tuuy hata ibada hamna mkianza miazara yenu mda wa swala unawapita hata haamkumbuki umuhimu wa kuumbwa kwenu kufnya ibada. Muogopeni allah washitikina nynyi. Wachawi.
jameni eee je sana hadi kwenye Dini tumukope Allah... yani Allah kamuongoza jinsi gani yakufanya Dua serekali na inci Allah akbar.. Vitisho kwa kishik vyanini tena...?wallah wabilah Tanzania got to back off...oyo mambo yanatisha mnapo elekeya sipo
Miaka minne ulikua wajua nn kama sio unafiki tu? Yan wanafiki utawajua tu walivo kuwa ni rahisi kuapa, unajua Kuapa unaonekana Mnafiki kabisa , Allah tunamuomba awaondoshe msizidi kupotosha waislamu, muone alivo na subhana Allah zake sasa kama mtu
Chawa wewe minyoo inakusumbua tu alafu uyo unafanya kama mungu wako Wacha shirki dogo lind uislamu wako usije kwenda kuchomwa Kwa moto mungu mungu akuongoe maana unaongea na hujui usemalo amiin
Yote unayosema yanaweza kuwa kweli, tatizo uislam unataka stara, hayo mambo ya kuwarekodi wamama wa kiislam wakichagawa na wakawekwa mitandaoni si katika taratibu nzuri za kiislam Cha pili hekima yake ni ndogo sana, maneno ya kebehi Kwa masheikh wakubwa wenye umri sawa na wazazi wake si katika mafundishi ya uislam. Sasa kama ameamuwa afanye hivo, basi asitumie mwamvuli wa dini ya Kiislam maana uislamu una tararibu na misingi yake, anavofanya yeye ni kama anapotosha
ASW NDUGU YANGU TIA AKILI NA ACHA KUJIONESHA KWAMBA UWEZO WAKO WA KIAKILI MDOGO SANA.KWANI KUNA MGAWANYO WA MAGONJWA NA DAWA ZIPO TOFAUTI TOFAUTI SASA HAPO HOSPITALI WANAWEZA KUTIBU MAMBO YA PEPO,MAJINI,NA MENGINE?
acheni unafiki hapo akuna usharifu uyo mchizi wa god love wote wapiga ela yeye anajificha kwenye dini na kukifanya ana karama anakitu chochote mpiga era tu alinganii dini analingania dawa zake na sio kumlingania allah na mtume wake
Astaghafrullah uongo ndo umekuwa ukweliii 😢 kaombeen bas watu walokua hosptali na wapone achen uzush na utapeli kuwazalilisha wamama wawatu .mwanamke atahitaji stara ila nyie mnawazalilisha hilo tu kosa Allah tujalie mwisho mwema.
Hajujawahi kutokea mambo kama haya kwenye historia ya uislam ,muogopeni mungu
Iyo dua Atamuomba shetani mwenzie ibirisi uyo aja chaguliwa na Allah uyo kachaguliwa na shetani aupotoshe umma mshirikina mkubwa uyo
Shetani kakukumbatieni kweli kweli Inna Lillah wanna ilahi rajiun
لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ
Shekhe kishki mkamfungue nn kishki Allah ameshamfungulia rizk zake na Allah alishamkadilia mmm acheni kumchafua Shekhe wetu na uongo wenu
Sio kuzungumzs sana fateni sheria ya ki Islam vile inavo taka kuhusu matibabu ...sheikh kishki hakusema kwa kutaka kwake kasema vile mafundisho ya dini yetu inatutaka tufate
Shuhudaaaa huyooooooo. Minyoooooo mitupuuuuu!.
Tawireeeeeeeeee😂😂😂😂😂.
Hawezi kuja juu kwakuibia kina mama nakuzalilisha. Lemba kubwa elimu Huna. Hufai. Ushindweeeeee kwa jina languuuu. Nakukemea kwanguvu zote. Unamapepo machafuuuuu. 😮😮😮😮😮
Kwaiyo kila anae ombea watu ndo sharif bac watu wengi watakuwa masharif.
Sheikh wenyew Ata ilmu Hana.
Kuombea,watu wapone si lazima,uwe sharif hata,sheheYahaya, Hussein,alikuwa akiombea watu, wakipona kwani yeye alikuwa,sharifu,=?
Inna lilahi wainna ileyhi rajiun....hamtauchafua uislam hata kidogo ...Allah atawashinda na kuwafedhehesha
Uislamu ni haki.. Allah ndio anaulinda...hamto uchafua katu kwa uongo wenu
Kwa watani zetu,bahari imechafuka samaki,wamelewa, na ukali wa mawimbi chombo kinaselia juu ya,bahari samaki wanaelea juu ya bahari tutupeni ndoano tuchopoe, mmoja mmoja
Kabla wimbi halijatulia
duh njaaa mbaya sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣 story unatoa mungu atakubainisheni tu
Halafu hawa mabwana hata hawaogipi kuapa yaaani wana apa apa tuu kidogo utasikia wallah wabillahi yaani hata siwaelewi
😂😂😂😂😂
Anguko la uchumi wa nchi kila mtu anatoka na lake. Kwa umaskini huu, siyo kanisa wala misikiti, kila mmoja asiye na msimamo wa dhati Kwa huyu Mungu mkuu, atataka kutengeneza njia yake, inaumiza watu au la, ataifanya. Mtaona mengi na haya ni cha mtoto!
Allah akufethehesheni hivyo hivyo mpaka kesho Akhera na wote wanaokufuateni
Wallah akija huku kwenye nchi zetu hachukui masaa jela anaiona
🎉Majuhaaaaa nyieee chawa mjinga na mjinga mwaendana
Shekhe Kishki tupo pamoja na wewe kemea usichoke hata sisi tunaona uongo wao hawa washenzi sana uongo wao utawaangamiza
Iwavo na iwe lkn lkn lkn lkn wallhahi iko siku ukwel itajuilikana tuuu🤲🤲🤲
Huyu jamaa hamnazo kweli yani maongezi yote hakuna Aya wala Hadithi labda mipasho tu, Uislamu ni dalili sio mihemko na maneno ya mipasho
Sharif Jina nakubali lkn sio Sharif mnaesema nyinyi kuwa Sharif hajitangazii wala halazimishi kuwa yy sharif Bali kwa uchamungu wake, vitendo na mambo yke watu ndo humuita sharif hata km yy hajioni kuwa sharif.
Nyinyi wapiga dili kupitia kivuli cha dini.
tz maisha magumu kama humuogopi mungu lazima uwe kama mwamposa
Sheikh wap kawa kama mwamaposa
Acha muhemko sheikh
Huyo ni mganga jamani, acheni kumshirikisha mungu hapo.
إِذَا قَالَ الرَّجُلُ لأَخِيهِ يَا كَافِرُ فَقَدْ بَاءَ بِهِ أَحَدُهُمَا
Paukwa pakawa
Umejitahidi lakini kama ulikaribia kupatia ilaaaaaa mmmmh
Ukimskiliza kwa makini kwa mwenye akili unajuwa kbs kuwa huyu ni muongo
Sio muongo, ila Mwehu..
Kishki hawezi kuomba kwani ni haki yake kusema anapoona jambo la uzushi kwenda kinyume na uislam. Nyie ndio muwaombe msamaha waislam
Asisahau kuweka na jina langu kwenye hiyo dua ya kumsema vibaya
Tunawaomba viongozi wetu wausitili uisilamu maana sasa imekuwa balaa waisilamu tunavuana nguo viongozi mnaangalia
Ukiwa muongo basi uwe na kumbukumbu haya tudhibitishie hayo maajabu ya huyo sheriff aliyoyafanya akiwa mdogo na watu wayaone jama anavoonesha saiz unganga wake
Mnatumia nguvu nyingi sana tupeni maana ya usharifu halafu mseme Kishki kakosea Wapi?
Innalilah wainnaileyhi rajiun ndio din ilipo fikia hapa
Hyu mngangaaa anatoa ushuhuda 😂😂😂😂 dah ALLAH atusamshe jmn maisha magumu lkn uku mnakoendaa lkn lazm vitokee hvy cz mtume alisemaa kiayama mazuU watakuwa wengiii pua dua anafadhaa dua wacha we ana fadha duaa shenz kbs
Sheikh sharifu tunae mfahamu niule alie ongea bado mtoto mchanga haowengine niwashirikina
PUNGA ANAMTETEA PUNGAA MWENZIEEEE😂😂😂😂
Ww unadalili zote za unafiki kabisa mpaka tunashindwa kukuvumilia, unaapia eti wakumbuka matukio ukiwa na miaka minne huna haya wewe unakera jaman
Naona umevaa cheni shingoni
Wewe mbona muongo sana
Huyo mwenyewe hajielewi
eti amisoma yasin bila kufundichiwa unanfananicha na mtume wa mungu
Jiepueshe na haya mambo ukiwa elimu yako ndogo
Tayari mnafedheheka kwa hali hii mtajikusanya nyote kwajili ya mtu moja tu lakini nyunyi weupeeee
Ni kweli aombe msamaha lakini nasaha zangu kwenu ni hizi hapa:- Mlinganiaji anatakiwa kuwa na subira. Mtume saw. Alipigwa mawe Taif lakini hakuwalaani watu wale. 2 - Allah akimpendelea kheri mja wake humpa mtihani, basi kwa Sharif hiyo ni dalili ya mapenzi ya Allah kwake. 3 - Pia mnatakiwa kujichunguza maana haya mambo huwa hayaji tu hivi hivi, kwani hata Sharif ni binadamu anaweza kukosea hivyo asiwe na moyo mgumu anapokosolewa.
Na mwisho ni kuwa nyinyi wote ni majeshi wa kiislam, kila mmoja wenu anahitajika sehemu yake.
Kwa leo ntaishia hapa. Natumai wenye elimu zao watafahamu haya.
Acha uongo wewe mungu anakuona wewe ni chawa tu wewe unalinda ugali tu ila mambo anayoyafaya ni ya kikafiri akina mwamposa,alafu me nidani utasema huo usharifu kautolea wapi
Mpelekeni hospitali akawapoze wagonjwa
Mungejiita tu waganga nasio masharifu mcheni Allah
Eti rafiki yako ana miaka minne acha uongo
Sheikh umekata ndevu na umetinda nyusi
Alafu wanapangana hata kuzungumza kwao wana fanana hahahah wallah hawa wanataka bakora
unampagia adhabu mungu kama atatoa asiwe na kauli mtu hapo ndo mashaka ...mukilipeleka kwa Allah basi ye ndo ataeukumu sio wewe
Watu lazmisha tuku amini 🤣🤣🤣
Kwanini mmaongea Sana hapa tatizo utaratibu WA dua mnao ufanya sio mnafanya kama manyaunyau
Acheni kudanganya watu na upako wenu hakuna sharifu hapo
Sharif gani anaangalia nyuchi za wakina mama haha waongo haooooooo
Wahuni
Asome sasa iyo sura tu yaaisinin tumsikie
Hata sijui mnapewa nn nyie watu sema njaa tu ndoo zinawaumiza Allah awaongeze mpo kwny kiza kwkwl
Wallah Apo tushapata "YESU" ndani ya uislam ...ni Kamungu flani sasa ...
Wa Islam tumakinike
Nyinyi ni waongo mnatapeli watu
Watakuja wapenda kulakula waongo wakubwa nyie mafedhuli wala sio mashekhe
Eti sitaki kuzungumza mengi
Kwani shilingi ngapi mnapewa mnaiuza aya za Allah kwa thamani ndogo😢
Matapeli na washirikina waki tetea ushirikina wao
Waaongo. 😢😢😢😢waaongo. Sana tumewagunduwa. 😢😢
Mjomba vua kilemba hicho ww unadanganya huku ukitumia killemba hicho ili watu waamini uongo wako!
Ila mnatia hasira sana kwahy na kupig raml hiyo ni karama alopewa na Mungu?achen kutuigizia half kuwen na hofu na Mungu msiape aisome bas hiyo suratul yaseen watu japo watapata amasa
sio Sharifu na hajui kitu
Uganga aukatazwi bali tibazenu zakufanyia misikitini nakujiita masharafu wamungu mkiwa amntokei kwenye ukoo wa mtume
Wew ni chawa tuy mchumia tumbo auna hata uwislam ww mpuuzi tuuy hata ibada hamna mkianza miazara yenu mda wa swala unawapita hata haamkumbuki umuhimu wa kuumbwa kwenu kufnya ibada. Muogopeni allah washitikina nynyi. Wachawi.
Pigeni kazi pigeni kazi paka kiama😂😂😂😂😂
Acheni uongo wenu mnatafuta laana nyie mnaleta ushirikina kwenye dini hakuna usharifu hapo hatudanganyiki.
Bas km anapona watu bas aende hospital wagonjwa wapoe mana wanateseka san matapeli nyinyi
Acheni kuuzaliliuwislam Kwa tamaazenu jilekebisheni hayo mambomnayo yafanya sio taratibu za kiislam alicho eleza kishki ndio haki
Na hii ya mtt kufariki siku 40 mzee wake akaenda kwa sharif , sharif akampaka mafuta mtt akaonekana amefufuka akaenda kuchukuliwa
Wakat ww una miaka minne yeye alikua na umri gan? Kama anavodai Eti alikua na mwaka mmoja , jaman Allah awanusuru ,
Warongo hawa..
Njaa mbaya
Acheni njaa uislamu haujabakisha kitu.
Acha uongo wewe kwa kulipwa pesa karama zipi za usanii na maigizo, karama zote hutoka bara mashehe wa Zanzibar hawana
Nja ndio zinawasumbuwa uceni upumbavu
jameni eee je sana hadi kwenye Dini tumukope Allah... yani Allah kamuongoza jinsi gani yakufanya Dua serekali na inci Allah akbar.. Vitisho kwa kishik vyanini tena...?wallah wabilah Tanzania got to back off...oyo mambo yanatisha mnapo elekeya sipo
ALLAH KAMPA ILHAM,SIO KWELI HUO UONGO,HATUTAKI STORI LETE AYA,FUNGUENI KANISA HUKU HATUTAKI JAMANI,FUNGUENI KANISA,POVU LINAWATOKA MASKINI
wanafiki tu atuwezi kupotezwa na njaaa zenu
Au fungueni loliondo ingine basi
Miaka minne ulikua wajua nn kama sio unafiki tu? Yan wanafiki utawajua tu walivo kuwa ni rahisi kuapa, unajua Kuapa unaonekana Mnafiki kabisa , Allah tunamuomba awaondoshe msizidi kupotosha waislamu, muone alivo na subhana Allah zake sasa kama mtu
Wewe akili shida
Nyinyi matapeli
Mnh! Mnachekesha asa, mtihani
Nyinyi ndio muombe radhi waislam wacheni hayo mambo
Mnatisha watu naona angoja amstakie Allah na ashtakie kwanza ataanza Allah ataduli na yeye fridaus halafu atamalizia na wewe au nyienaemtetea
Chawa wewe minyoo inakusumbua tu alafu uyo unafanya kama mungu wako Wacha shirki dogo lind uislamu wako usije kwenda kuchomwa Kwa moto mungu mungu akuongoe maana unaongea na hujui usemalo amiin
Na mashetani wenu
Haya mambo mnayofanya kwenye hii din hayapo Wala mtume ajatuachia mambo ayo
Hamna aya Wala Hadithi ya kuthibitisha uo ushahidi
acheni utapeli
miaka yote mlikua wp mbona hatumjui
Yote unayosema yanaweza kuwa kweli, tatizo uislam unataka stara, hayo mambo ya kuwarekodi wamama wa kiislam wakichagawa na wakawekwa mitandaoni si katika taratibu nzuri za kiislam
Cha pili hekima yake ni ndogo sana, maneno ya kebehi Kwa masheikh wakubwa wenye umri sawa na wazazi wake si katika mafundishi ya uislam.
Sasa kama ameamuwa afanye hivo, basi asitumie mwamvuli wa dini ya Kiislam maana uislamu una tararibu na misingi yake, anavofanya yeye ni kama anapotosha
Mbona wagonjwa wengi mahospitali madaktari wanasumbuka usiku na mchana toeni Bure hayo maji mahospitali zifungwe😂
ASW NDUGU YANGU TIA AKILI NA ACHA KUJIONESHA KWAMBA UWEZO WAKO WA KIAKILI MDOGO SANA.KWANI KUNA MGAWANYO WA MAGONJWA NA DAWA ZIPO TOFAUTI TOFAUTI SASA HAPO HOSPITALI WANAWEZA KUTIBU MAMBO YA PEPO,MAJINI,NA MENGINE?
alikua nyumban kwake ivi mtoto wa miaka minne alikua anamiliki nyumba dah! huo uongo mtupu
Wasanii nyinyii
acheni unafiki hapo akuna usharifu uyo mchizi wa god love wote wapiga ela yeye anajificha kwenye dini na kukifanya ana karama anakitu chochote mpiga era tu alinganii dini analingania dawa zake na sio kumlingania allah na mtume wake
Huyo nisharifa wala sio sharifuu
Astaghafrullah uongo ndo umekuwa ukweliii 😢 kaombeen bas watu walokua hosptali na wapone achen uzush na utapeli kuwazalilisha wamama wawatu .mwanamke atahitaji stara ila nyie mnawazalilisha hilo tu kosa Allah tujalie mwisho mwema.
Kwa nini ajiite sheikh sharifu hali yakuwa yeye jina lake ni firdausi?
Kwaiyo anashushiwa wahy sharif huyu?