🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 186

  • @yusuphyusuph4334
    @yusuphyusuph4334 11 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah shekh umeongea vizuri, Allah akuhifadhi

  • @ahmadakhalifan8975
    @ahmadakhalifan8975 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi kama mimi umejitahidi kuzungumza vizuri bila jazba Allah akulipe kheri nyingi

  • @AbdillahAlly-fl4vh
    @AbdillahAlly-fl4vh 22 วันที่ผ่านมา +3

    Upo sawa sheikh maulana ALLAH Akulinde inshaallah

    • @ahmadmahingika5871
      @ahmadmahingika5871 17 วันที่ผ่านมา

      Hana lolote huyu mshenzi tu kama wengine amekuwa Hana lolote njaa kweli inamsumbua

  • @HassaniWasaf
    @HassaniWasaf 22 วันที่ผ่านมา +7

    Mwaipopo yupo sahihi acha njaa shekh

  • @meekman1805
    @meekman1805 21 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana Al-Habib umeeleza vizuri, jazakallahu kheyr

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 22 วันที่ผ่านมา +4

    Nyinyi wa hadhir wa bibliya mmekuwa wanganga woote lakini mmeanza tiba za kishirikina,ivi mmeona kupiga hela muwaige wa Kristo,acheni njaaa mbaya

  • @tamimBasha-e6p
    @tamimBasha-e6p 16 วันที่ผ่านมา

    Asalam allaykum shekhe umezungumza vizuri sana na umefafanunua vizuri sana Allah akulipe kwa hilo .ulichokesea wewe kusema madhaifu yake kuwa hajuwi kusoma .kumbuka wewe ni muislamu wa kuzaliwa yeye amekuja kusilimu . Kuna tafauti kifogo ya matamshi .na kiuweli watu wengi wa Tanzania bara hawazungumzi fasaha .hilo hamlioni wala hakuna anaelisema ..nakupa hongera na Allah akuzidishie .ila ulifanyike kazi hilo shekhe kwa hisani yako na mujibu wa Dini yetu ya kiislam .
    Na jengine kusema kuwa watu wanamuonea choyo au wivu huyo sharufu.wewe ikiwa ni muumini hufai kuzungumza hayo .ukweli unauma lakini huo ndio ukweli .
    Ukiwa hivyo naamini Allah atakufanyia weoesi na atakusamehe yote yale uliyoteleza kuyasema .hata kama mtu hajuwi hata alifu basi mfichie madhaifu yake .
    Samahani ikiwa nitakuwa nimekukwaza

  • @RizikMjujulu
    @RizikMjujulu 22 วันที่ผ่านมา +11

    Najilaumu sana kukusikiliza wew,shekhe kama wew hufai hata kukufuata,hicho unachokifanya sio sawa hata kidogo.umenikera sana,hatuwezi kuwa kitu kimoja kwa kuwasema wenzako,km mwaipopo alikuema kulikuwa na haja gani ya kumjibu na kumwambia alikuwa mkristo?eti hajasoma ! Umenikera sana tena sana,mnatuyumbisha sisi mahamuma.

    • @AusiKindumbo
      @AusiKindumbo 20 วันที่ผ่านมา

      Sheikh hujatumia busara kumsema mwaipopo

    • @salimanasser5466
      @salimanasser5466 19 วันที่ผ่านมา +1

      Mtu akikushida elim uwezi kushindana nae badhi ya
      Masheikh na wenyewe wana hitaji kusomewa ruqya ibilisi amewava vibàya saana hakuna mapenzi tena katiya yao

    • @HusseinSaleh-e4y
      @HusseinSaleh-e4y 18 วันที่ผ่านมา

      Njaaaaa ni mbaya saaana

    • @ahmadahamo6627
      @ahmadahamo6627 2 วันที่ผ่านมา

      Sharifu ni nini? Mimi najua cheo cha usharifu ni mkuu wa kituo cha polisi wa Marekani.

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 14 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi mnatumia maneno ya M/Mungu kujinufaisha ktk Dua zenu wanawake wamejaa kuiona hapo hakuna zaidi ya kutaka maslai mnatumia dini kujinufaisha.

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 7 วันที่ผ่านมา

    Maulana ni sheikh wetu mzuri.
    Kwenye hili la kijana firdausi kidogo umeghafilika.. naamini mwisho wa siku utamgundua hayuko sahihi.
    Na wewe ni mtu sahihi umefanya kheir nyingi.
    Nikuusie uendelee na haqi yako ya uislam... achana na mtoto huyu inaonekana hafuati mwenendo wa hawi wa dini.
    Mwaipopo , wewe maulana wote tunawapenda..
    Msigombane.
    Allah awalinde

  • @meekman1805
    @meekman1805 21 วันที่ผ่านมา +1

    Innaalillah Wainnaa Ilayhi raajiun. Ikhwani tunaelekea kubaya Allah atuhifadhi.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 22 วันที่ผ่านมา

    Subhana llah ,Innalillah, maskini hata Uislam sasa imekua sehem yamalumbano mitandaoni ,kwakweli inashusha thamani ,yautaratibu vyakilahali ,sipendezewi mimi nahiihali ,km inajenga chuki nionavyo 😢

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 19 วันที่ผ่านมา

    Sheikh umefafanua ukweli vzr baba masha Allah,

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 21 วันที่ผ่านมา +2

    Njaa njaa njaaa muogopeni mungu

  • @AlawiSharifu
    @AlawiSharifu 17 วันที่ผ่านมา

    Asalaam alykum mashehe wangu ninyi nyote twawategea acheni kulumbana mitandaoni mnaudhoofisha wislaam na mnajidhoofisha wenyewe pia mnawapa maadui ufa wa kutuvamia itaneni myazungumze niwieni radhi kama nitakuwa nimewakwaza.

  • @AbdillahAlly-fl4vh
    @AbdillahAlly-fl4vh 22 วันที่ผ่านมา

    Watu bhana hata unyoaji wa ndevu mnatilia husda subhanallah

  • @EstefaniaFrancisco-x1u
    @EstefaniaFrancisco-x1u 16 วันที่ผ่านมา

    Allah akbar

  • @kessymoto6860
    @kessymoto6860 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu hawape kauli mzur nasoza kukashifiana Mtu mpaka kaslimu anajua uhuslam n dini yakweli ata anacho kiongei kinausiana na dini ya kislamu na anautete uhislamu,mashieh kueni na kauli mzur asalam alykm.

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg 22 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani mwaipopo anawaponda wengine harafu ansema yeye mafuta yake ya zaituni ni origino,😂😂😂😂😂😂,kweli kuna masheh wengine ni wanafiki.😂😂😂😂😂😂😂😂,mwacheni firdausi afanye kazi zake namjuwa vizuri yuko vizuri kwa duwa,,mashaallah duwa zake zinajibiwa mashaallah.❤❤❤.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 21 วันที่ผ่านมา

      Firdaus ana miaka mingapi

    • @KounaouldAidallah
      @KounaouldAidallah 20 วันที่ผ่านมา

      😊😅😂😂😂😂😂

  • @SalhaAlly-x8q
    @SalhaAlly-x8q 14 วันที่ผ่านมา

    MAMBO YA MASHEKHE KULUMBANA NDIY DALILI YA QIYAMA

  • @HassaniWasaf
    @HassaniWasaf 22 วันที่ผ่านมา +1

    NYIE mashekh ukimuona mwislam mwenzako amekosea itaneni muongee muelewane so kukosoana kwenye mitandao ya kijamii mnazalilisha wislamu

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 22 วันที่ผ่านมา +13

    Huna lolote wew chawa wa firdaus mwaipopo kwel qurian hajuy lkn ana khof ya allah

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา +1

      Hana anapenda pesa kupita chchte. Akipigiwa simu ya tiba anataka ulipe hapo hapo na wkt kwanza mtu ajue pesa ngap ndio ajipange. Yy ukimwambia hvyo anashambulia watu na kuwambia wanampotezea mda. Ssa umeona wapi mtu wa tiba za ruqya akawa hvyo? Tena anawashambulia sana kwa mapressure yote na wala hana lugha nzuri

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 21 วันที่ผ่านมา +1

      Hana khofu ya Mungu huo hujaomgea nae private ukamuona tamaa zake

    • @ShaqharMagram
      @ShaqharMagram 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mashee mnatia aibu kupigana vijembe mnapenda Sana mitandao muogopeni molah

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 21 วันที่ผ่านมา

      @ShaqharMagram mitandao ni njia sahih ya kufikisha mawaidha isipokuw watu wanaitumia vibaya tu...waislam haukataz maendeleo

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota 21 วันที่ผ่านมา

      @ShaqharMagram mitandao ni njia sahih ya kufikisha mawaidha isipokuw watu wanaitumia vibaya tu...waislam haukataz maendeleo

  • @t.v.a.i.s.s6842
    @t.v.a.i.s.s6842 22 วันที่ผ่านมา

    Assalam aleykum warrahmatulullahi wabarrakatuh. Wa hubili wetu wa tanzania. Nyie mna ma tatizo mkubwa.. Yaaani nyie hata kusameheana hamna kweli kweli ?? Aise, mnayo ya fanya yanatuumiza saaana sisi wa islams. Na mnatukosea sana mnapo kua mnarushiana maneno. Eish. 😊

  • @khadjahakamali1979
    @khadjahakamali1979 22 วันที่ผ่านมา +4

    Mwaipopo yuko sahihi

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 21 วันที่ผ่านมา +2

    Duuu innalilaahi wainna ilayhi raajiuun,yaani mpaka wahadhiri mmeingia kwenye mfumo!!? Nyie ni madaa'i(walinganiaji)lakini kwaaanza mnagombana,,,,duuu kwakweli myahudi yupo kazini,kuwagombanisha waislaam.😮

  • @MzaifaabduAbdu
    @MzaifaabduAbdu 21 วันที่ผ่านมา +1

    Maulana uko vzr unachanaakavu

  • @HamisOman-s8h
    @HamisOman-s8h 22 วันที่ผ่านมา +3

    Upo sahihi

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 13 วันที่ผ่านมา

    Ukweli njaaa inawafanya mshindwe kufanya kazi ya Allah kwa usahii.

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 17 วันที่ผ่านมา

    dini ya haki wanatiana viatu wenyewe kwa wenyewe,hatari sana!

  • @majaliwaamaniilali226
    @majaliwaamaniilali226 19 วันที่ผ่านมา

    Mashee watanzania .mna matatizo
    Mweye wote njaa ila kishik yupo saii. acheni kuaribu. Ndini juu yanjaaa

  • @SamakiMtumwa
    @SamakiMtumwa 17 วันที่ผ่านมา

    Mnatuchanganya tu

  • @ShabaniAkbar
    @ShabaniAkbar 13 วันที่ผ่านมา

    Anacho ongea mwapopo yupo sawa. Ila kosa lake hiyo ujatumia njia ya uisilamu kuwa kukaa nao chini.

  • @harizhamad8260
    @harizhamad8260 19 วันที่ผ่านมา +1

    Njaa tu ndio inakupa nguvu ya kuzungumza kisicho sahihi umekua mzur zaid wakulingania kwakua saiv unamiliki genge la utaftaji wa utapeli ila mungu analo lakukufanyeni katika dunia hii hii.😢

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 19 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo kasahau au inaonekana kuna shida baina ya mashekhe khaswaaa wa Kibongo

  • @AbdillahAlly-fl4vh
    @AbdillahAlly-fl4vh 22 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo hapo alikosea Sanaa!

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb 21 วันที่ผ่านมา

    Maulana ?? wallah mungu atakuangusha unatetea unafiki ??? una kubali mtume swl achafuliwe ??? njaa hizo lakini mungu anakutizama vizuri

  • @SaidiBakari-kl1gu
    @SaidiBakari-kl1gu 15 วันที่ผ่านมา

    WAISLAMU WA TANZANIA NA TAASIISI KUBWA KUBWA ZA KIISLAMU TUFANYE MAPINDUZI YA KUJENGA VYUO VIKUU VY A KIISLAMU MAANA YAKE INAONEKANA TUKO MBALI SANA NA THE ISLAMIC WORLD ON EDUCATION....NA NDIO MAANA KUNA MALUMBANO KILA SIKU YASIYO NA TIJA...

  • @MuajiKamkuru
    @MuajiKamkuru 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi uyu sheekh ni mpumbavu kweli

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 22 วันที่ผ่านมา +1

    mwaipopo yupo sawa

  • @omarykibunta4950
    @omarykibunta4950 22 วันที่ผ่านมา

    Kwanza umekosea kusoma huo muqaddimaah

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 22 วันที่ผ่านมา

    WEWE MWENYEWE HUIJUI QUR.AAN. AYA ULIZO SOMA MAKOSA KIBAOOOII

  • @KatyaleOmary
    @KatyaleOmary 17 วันที่ผ่านมา

    njaa umeitoa tumboni umeiweka kinjwani kumbuka Allah kasema Kuni za moto ni watu na mawe

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 19 วันที่ผ่านมา

    Njaa ndio limeonekana neno kubwa la kudharau wengine mbona sioni aliyeshiba sote hali moja tuu??!

  • @seifsaid9905
    @seifsaid9905 22 วันที่ผ่านมา

    TAILA WEW HUNA IKHILASW IPO SIKU YAKO ALLAH ATAKUZALILISHA

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mwaipopo yuko sahihi kabisa hakuna upako kwenye uislam wewe muogope mungu firdaus mganga 😢

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 17 วันที่ผ่านมา

      Sheikh firdaus kashasema maji yake sio upako
      Sasa wewe una mlazimisha ya upako
      Che Allah sheikh

  • @abuuidrissa9540
    @abuuidrissa9540 21 วันที่ผ่านมา

    dua ya kishik imekubarika

  • @salumhashill7719
    @salumhashill7719 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe mnavutaga mizigo mm, nimejifunza kitu hapa

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 22 วันที่ผ่านมา

    Salumu mawalana feki
    Muhuni wa temeke

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 21 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @MasimbuMgaya
    @MasimbuMgaya 14 วันที่ผ่านมา

    Acha njaa

  • @AmanMahaliya
    @AmanMahaliya 21 วันที่ผ่านมา +1

    punguza njaa KAZI uchawatu

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 22 วันที่ผ่านมา

    Innalilah inaumiza mashe mna tofautina ktk mtandao kwani mlishindwa nini kuitana na kuongea ndani mna uthalilisha uislam inasikitisha sana

  • @charlesmgonja8689
    @charlesmgonja8689 22 วันที่ผ่านมา +1

    Haya Mwaipopo upo hapo.

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 19 วันที่ผ่านมา

    Mpaka kuapa Mwaipopo anaapa wakati Zanzibar alipokuja nayo watu waliendelea kua na Majini mpaka wengine wakafia mbali

  • @AbuuRuqaiyyah
    @AbuuRuqaiyyah 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mkiendekeza njaa mtakufuru

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 22 วันที่ผ่านมา +1

    mwaipopo yuposaw tatzo njaaa

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 18 วันที่ผ่านมา

    Kwan kujua kusoma ndo kigezo cha kuwa na ufahamu, unaweza ukawa unajua kusoma lakn ukabaki na ujinga. Teteeni uozo wa sharifu lakn tambueni ipo siku mtakuja kuulizwa,, halaf hapo hapo unasema adinu naswiha dini ni nasaha na bado hammunasihi huyo kijana sharifu

  • @salmaghalib5474
    @salmaghalib5474 18 วันที่ผ่านมา

    Kweli njaa bwana usikatae

  • @jofujumaa2046
    @jofujumaa2046 20 วันที่ผ่านมา

    Njaaa t

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 21 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo bhana😂😂😂😂😂

  • @IddyHassan-x7i
    @IddyHassan-x7i 17 วันที่ผ่านมา

    Tokaaa zko mpumabuvuu mkubwaa

  • @ayubahmed9490
    @ayubahmed9490 22 วันที่ผ่านมา +1

    sheikh gani ww mwenyewe hujui kusoma zuzu namba moja

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 21 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂mwaipopo feki hajasoma😂😂😂😂

  • @SalumSaid-w8i
    @SalumSaid-w8i 22 วันที่ผ่านมา +2

    Manenotu vitendo sifuri jaa kama zote

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg 22 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo hajielewi analopokaga tu sisi mtu kama huyo,tunamwita lopolopo.

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 21 วันที่ผ่านมา +1

    kumeanza kichangamka

  • @kingsolomn3550
    @kingsolomn3550 20 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli ila kichekesho ni kua wewe unaemwambia mwenzako hajui kusoma wewe mwenyewe hujui pia.😀😀😀😀😀

  • @HadidjaAlly
    @HadidjaAlly 18 วันที่ผ่านมา

    Umesoma lakini akili huuna

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 21 วันที่ผ่านมา

    mnalonga watu ili muwatibu

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 22 วันที่ผ่านมา

    Wapotoshaji wakubwa nyinyi kama kweli ww unahofu kweli kuliko wezako na ww mbona unawajibu mtandaoni wezako msitetee na tunamuomba mungu awalinde woooote walio ligundua ilo ni kweli kama mkongo vile acha unafki maradhi Allah ndie anaempa binaadamu tena muogope Allah sio vizuri kweli ww sio shekhe ulisema ni husda ni kweli sio uongo umesema vibayaaaaa tena umuogope mungu uyo anakusingizia sasa unabisha nn kama ujamsema vibaya acha ukorofi

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 22 วันที่ผ่านมา

    Baada ya kuangalia hii mpaka mwisho nimejua mambo mengi ambayo nilikua sijui

  • @AbuuRuqaiyyah
    @AbuuRuqaiyyah 22 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli mnanjaa ndio maana hamueleweki

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 19 วันที่ผ่านมา

    Sheikh yupo sahihi sabau anatoa evidence sahihi juu ya Mwaipopo jee munasemaje

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 21 วันที่ผ่านมา

    kumbe wangine nyee wagonjwa

  • @SamsiaKassaKangeta
    @SamsiaKassaKangeta 22 วันที่ผ่านมา +5

    Tulijua tunawaheshimu sana nyie Maulamaa wetu lakini leo Hii umeanguka na kujivunjia heshima nyinyi wenyewe kisa uroho wenu wa pesa!

    • @TinguLee-x2m
      @TinguLee-x2m 22 วันที่ผ่านมา

      Mipumbavu sheikh njaa hao wote anaejua dini aangaiki kumsema mwenzake na mabishano mitandaoni

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 22 วันที่ผ่านมา

      Yani mm simjuagi kabisa kwanza naanza kumjua ivi karibuni linamdomo mchafu sana mungu anamuona na unafki wake

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 22 วันที่ผ่านมา +1

      Heshima Yako ya ujinga itasaidia nn kw maulana,hya ucmweshimu kuanzia Leo tuone acpte choo kikubwa Wala kidogo,mkiambiwa msome hamtaki Kaz kufuata mkumbo tu

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 22 วันที่ผ่านมา

      @@taurehassan7399 ww na maulana ndio wajinga je nyie mlio soma dini yetu ndivyo inatufunza tukipewa nasaa juu ya makosa yetu tusijilekebishe uwo ndo usomi wenu uoo

  • @huseynmaingu6073
    @huseynmaingu6073 18 วันที่ผ่านมา

    Unaeka msisitizo kwenye neno *masharifu* kumfagilia *sharifu feki* firdaus😅

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 22 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh mwaipopo yupo sahihi muache njaa nakutetea upuuzi sheikhe gani ndevu kama wacheza filamu wa kiindi

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 22 วันที่ผ่านมา

    AKINA MAMA WALIOPOTEA WANATAKIWA WALINGANIWA KWA TAUHEED KAMA MTUME ALIVYO FANYA NASIO KUANZISHA VILENGO VYA KUPIGA PESA ZAO

  • @lilmojr7
    @lilmojr7 18 วันที่ผ่านมา

    Yaani wewe ni njaa ndio inakutoa kwenye dini yako huna lolote na Allah atawadhalilisha hapa duniani na kesho akhera kawadanganyeni hao wasiokuwa na elimu na dini yao ila sheikh mwaipopo na kishki wako sahihi mtateseka sana

  • @Sobo740
    @Sobo740 21 วันที่ผ่านมา

    Apo nacmama nA mwaipopo kujua kwenu kur,an isiwe sabab ya kutapel akina mama

  • @mohamedmilia6478
    @mohamedmilia6478 17 วันที่ผ่านมา

    Nyie mashehe njaa punguzeni mnapotosha watu uyo mnae mtetea anatofauti gani na tekelo

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 22 วันที่ผ่านมา +2

    Hupo kumtetea mtu
    Upo kutetea Dajjal
    Shetani wewe
    Kila mwenye kuunga mkono WASHIRIKINA na yeye mshirikina.
    Vipi wewe unajua kusoma vizuri??
    Acha izo wewe Jiangalie kwanza kama unaweza Nenda kakutane na Sheikh wetu Kishki uso kwa uso kama una jua uislamu kweli kama hutoumbuliwa.

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 22 วันที่ผ่านมา

    hyo shalifu tapeli

  • @SaadaAlsheibani
    @SaadaAlsheibani 22 วันที่ผ่านมา

    Wewe mwenyewe mpotoshaji

  • @NasraAbdallah-k8r
    @NasraAbdallah-k8r 22 วันที่ผ่านมา

    Kazi yakuwanyoa wachawi nywele kafundisha mtume gani kama sio uchaw

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 19 วันที่ผ่านมา

    Wewe huna elim ya kumshinda kishiki wewe Ni njaa Tu unamsapoti wizi unafiki ushilikiana wa shalifu Yule Ni jadali acha njaa

  • @AbdulKitalula
    @AbdulKitalula 18 วันที่ผ่านมา

    Angalieni wakuu maneno yenu hayo

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 22 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo amezidi

  • @mussarajabu7769
    @mussarajabu7769 14 วันที่ผ่านมา

    zote izoo dalili za kiama kile kipindi cha waislam kubisha wenyewe kwa wenyewe ndio icho kishafika mengi tutasikia cha msingi tufatu quran na suna tu allah atujalie mwisho mwema mi sifati mashekhe nafata quran na suna tu za mtume muhamad s.w ao masheikhe wanatuyumbisha tu na kutubomoa atujui nani msema kweli sasa wamekuwa kama waimba tarabu wana pigana vijembe tu nawausia waislam tusome dini yetu fufate quran na suna

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku 22 วันที่ผ่านมา +1

    Sharifu feki amekodisha kifaa kipya kumtetea

  • @bakalikunambi
    @bakalikunambi 18 วันที่ผ่านมา

    Kweli mwaipopo hajui kusoma kiarabu lakini hajifanyi anajua kama huyo sharifu feki asiyejua kusoma hata alfatiha 😅😅

  • @saiddgsmg
    @saiddgsmg 22 วันที่ผ่านมา

    Mwaipopo ni mtu wakulopoka,anachokiongea hakijui ilimladi kasema,😂😂😂😂😂.

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 22 วันที่ผ่านมา +1

    Busara zero

  • @NasraAbdallah-k8r
    @NasraAbdallah-k8r 22 วันที่ผ่านมา

    ulilusha jiwe gizani shekhe uliwazungumzia kwa mtazamo huo

  • @Hawa-qc9fo
    @Hawa-qc9fo 22 วันที่ผ่านมา +2

    Ww nae unaeongea mnafki tuu uliikuwa unamtetea kwani uongo pia ulimsema vibaya saana kishki ? Unamwambiaa hana lolote leo imekuwaje leo? Kweli kishki alisema Allaah atawaumbua nakweli wanaumbuka😂😂😂

  • @MussaBakil
    @MussaBakil 22 วันที่ผ่านมา

    Wewe chizi

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya 13 วันที่ผ่านมา

    Sawa anachokifanya huyo Fridausi ni sahihi?

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 9 วันที่ผ่านมา

    Masheikh nipo na nyie mpaka muuwane

  • @PaulRuben-eu5nh
    @PaulRuben-eu5nh 21 วันที่ผ่านมา +1

    umbuaneni mpakamwesho tujue tabiyazinu

  • @SamakiMtumwa
    @SamakiMtumwa 17 วันที่ผ่านมา

    Mi napata mashaka na usharifu wa kupiga

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 22 วันที่ผ่านมา +2

    mwaipopo yupo sahihi falla wewe