Namna unavyo sistiza kuusu MUNGU na kusoma neno, ndo unawapa watu mfano watu wa MUNGU wapoje, wengi wameaminishwa ulokole ni kua chinii kiuchumi na unyenyekevu 🙏🙏 asante kwakua mfano
Brother ubarikiwe Sana nimekuwa nakufatilia kwa mda mrefu hvyo kupitia mafundisho yako nimebadilika Sana pia nakuhakikishia nitakua mtu mkubwa Sana kwenye nchi hii
Kwanza nakupingeza sana nanauka Kwa kuteuliwa na Mungu kua Mimi nakuita mrekebishaji fikra SoMo liloingia akili Leo spana na makenika Yani nakupongeza sana Nakupongeza sana Nakupongeza sana Nakupongeza sana sana
Joel congratulation sana unajua namna ya kuongea ila ningeshauri kwenye sessions kama hizi jaribu kuwaambia hawa moderators kupunguza vingereza ili mzungumza na watu wote
Asante kwakuniongelea maana mimi nimpz sanaaa wakumfatilia sasa kingereza kikiwa kingiii km mtangazaji frani hivi wakipindi cha malavidavi yani kingereza kingiiii kwamie niliekimbia shule wananipa wakati mgum ila joel nimejitaid kuvumilia kwakumsikiliza mpakamwisho najua lazima nitatoka navitu %70 hizo zilizobaki kwaajili ya lugha gongana
Nimefurahi kusoma ujumbe wako, na kujuwa level Yako ya Elimu. Mungu akubariki ufikie malengo na uwashawishi vijana wengine kusoma na kumsikiliza Joel Nanauka
Namna unavyo sistiza kuusu MUNGU na kusoma neno, ndo unawapa watu mfano watu wa MUNGU wapoje, wengi wameaminishwa ulokole ni kua chinii kiuchumi na unyenyekevu 🙏🙏 asante kwakua mfano
Brother ubarikiwe Sana nimekuwa nakufatilia kwa mda mrefu hvyo kupitia mafundisho yako nimebadilika Sana pia nakuhakikishia nitakua mtu mkubwa Sana kwenye nchi hii
nashukuru Sana Joel nimefatilia Sana video zako na zinanisaidia mi naomba uwe Kama kiongozi wangu
asante sana
Kwanza nakupingeza sana nanauka Kwa kuteuliwa na Mungu kua Mimi nakuita mrekebishaji fikra
SoMo liloingia akili Leo spana na makenika Yani nakupongeza sana
Nakupongeza sana
Nakupongeza sana
Nakupongeza sana sana
Mungu akuweke sana kaka!!!
Joel congratulation sana unajua namna ya kuongea ila ningeshauri kwenye sessions kama hizi jaribu kuwaambia hawa moderators kupunguza vingereza ili mzungumza na watu wote
Asante kwakuniongelea maana mimi nimpz sanaaa wakumfatilia sasa kingereza kikiwa kingiii km mtangazaji frani hivi wakipindi cha malavidavi yani kingereza kingiiii kwamie niliekimbia shule wananipa wakati mgum ila joel nimejitaid kuvumilia kwakumsikiliza mpakamwisho najua lazima nitatoka navitu %70 hizo zilizobaki kwaajili ya lugha gongana
Joel nashukuru nimebadili Nina kujiita Generator.Asante sana
This is perfect wisdom, unanijenga sana brother Joel.....keep it up
Bro Joel Mungu akutunze sana kaka, wenye kujifunza na kutenda tunafaidika sana.
💥💪💯💯💯
Teacher Joel tunakuhitaji maeneo ya vyuoni ni elimu kubwa sana inahitajika
kaka joel unatoa shule nzuri nimejifunza ,
Interview nzuri sana tunajifunza mengi
Glory to JESUS Amen
Very good our brother you are the best gift from our creator of our universe, thank you God bless you
Amazing Joel what a good teacher
❤❤❤One love bor now you seve of life kwa mawzo
Asante brother video hizi ndefu zinatusaidaia xsana kutufungua na kutubadilisha fikra na mtazamo wetu, mugu akutie nguvu
Ubarikiwe sana bro
Ahsante bro ila nkitaka nkupate hata tu nkupigie simu nkusalimie nakupate maana umenjuza mambo mengi sana
Asante hiki kipindi kiwafikie wote
Running a problem not a solving a problem, better late than never
Nakualika Kenya utufundishe
Nanauka mtu safi sana
See you at the top
I love tricky 1:03:30
Nawapata sana
Nakukubali sana umebadilisha maisha yangu ubarikiwe sana
Elimu nzuri
Thnx
good education bro
Shukran sana
Af timiza malengo aina soft copy 😭😭
❤❤❤❤
I promise my father Joel that I can get division one point seven in last national examination of form four
Just go with me
Nimefurahi kusoma ujumbe wako, na kujuwa level Yako ya Elimu. Mungu akubariki ufikie malengo na uwashawishi vijana wengine kusoma na kumsikiliza Joel Nanauka
Brother we ni kichwa cha uelimishaji
❤🙏💧
Asante sana maelezo mazuri
Jo 🫂
🙌🏿✍️
100%
My question is yesu alikuwa anamaanisha nin pale aliposema tajiri kwenda mbingun ni ngumu Kam ngamia kupita kwenye tund la sindano
Pesa ukiwanazo ata wewe kuna namna una ziabudu, kwaku jiona juu kuliko wengine au kufanya chochote, nahisi kwa sababu hii
Bro Joel Mungu akutunze sana kaka, wenye kujifunza na kutenda tunafaidika sana.