God bless you brother Joel I'm still a young man but you show something through your videos and books so now I'm looking for the freedom of money....alwtogether thanks
Naitwa Ezekiel Panga nimekuwa nikijifunza vingi kutoka kwako, kwa Tanzania tunayo itegemea wewe naweza kukuita Nyerere wa kizazi kipya katika kuiongoza Taifa itokane na changamoto kiuchumi na watu wake wawe huru kifedha, nakuombea mungu akuhifadhi na kukufikisha ikulu kama yusufu kwani ujumbe huu una serve Taifa kwa Ujumla God be with you MY ICON MENTOR NANAUKA! !
MUNGU akubariki sana kaka Joel umenivusha pakubwa sana,video zako na vitabu vyako vimekuwa msaada mkubwa sana kwangu,nilikuwa kwenye madeni ambayo hata sikujuwa natokaje ila mpaka hapa siko na madeni biasha angalau imesimama naweza kutunza na akiba,Mungu akupe maisha marefu kaka
Nanauka we ni mwalimu akika naomba elimu unayofundisha mitahara ya elimu yetu mbona haifundishi hii elimu naomba serikali ifundishe elimu hii darasani Shure za msingi Hadi level zote za elimu mungu akubaliki
Aiseee😂.. This is all what I needed for so long...!! Mimi ni mvivu sana wa kusoma vitabu,, Napenda kusikiliza na kuangalia videos kama hivi... Kwa kweli Mwenyezi MUNGU akubariki..!! Nimeanza kukufuatilia rasmi Mwezi Huu,, Na haya Masomo yamenibariki mno kwa namna ya kipekee na ninayatumia kivitendo ❤.... Thank you so much Bruh..!! Mr Joel Nanauka...💪👏🙏🏿
This is the knowledge that many Africans want, although only a very few percent know that if they want this knowledge, there are many of them, realize that the comfort zone in the brain is not correct, and the need we have
Mwalimu Joel ikikupendeza utoe mafunzo kwa kuchambua content za kitabu Cha "The Richest Man in the Babylon" itasaidia sana wengi.kupitia mafunzo haya nimenunua hiki kitabu na nimekisoma na kujifunza zaidi,kikubwa nimeweza pia kuset budget 10% ambayo kipindi Cha nyuma nilikua sifanyi hilo. shukrani sana kwa kuendelea kutoa mafunzo haya na Mungu aendelee kukupigania kwenye shughuli zako🤙🤙🤙
Mimi ninakufuatilia kila iitwapo leo na ni kwa muda mrefu Sana... Nabii huwa haishimiki kwao kama bible isemavyo Lakini to be honest JOELI wewe ni moja ya Mageneous wanaotakiwa kupewa nafasi za juu kwenye nchi.... Aisee BWANA JOELI NI MTU NA NUSU....
God bless you brother Joel I'm still a young man but you show something through your videos and books so now I'm looking for the freedom of money....alwtogether thanks
Joel, Joel, Joel.... Nimekuita Mara tatu wewe ni zaidi..... Ya lulu katika maisha ya watu kwa elimu unayotoa.... Ubarikiwe sana kaka...
Joel nanauka ww ni speaker namba moja yaan duh nimenyanyua mikono .🙌
Hapa kwenye kustaafu ni muhimu Sana,2024 ni mwaka wangu wa mabadiliko
Naitwa Ezekiel Panga nimekuwa nikijifunza vingi kutoka kwako, kwa Tanzania tunayo itegemea wewe naweza kukuita Nyerere wa kizazi kipya katika kuiongoza Taifa itokane na changamoto kiuchumi na watu wake wawe huru kifedha, nakuombea mungu akuhifadhi na kukufikisha ikulu kama yusufu kwani ujumbe huu una serve Taifa kwa Ujumla God be with you MY ICON MENTOR NANAUKA! !
MUNGU akubariki sana kaka Joel umenivusha pakubwa sana,video zako na vitabu vyako vimekuwa msaada mkubwa sana kwangu,nilikuwa kwenye madeni ambayo hata sikujuwa natokaje ila mpaka hapa siko na madeni biasha angalau imesimama naweza kutunza na akiba,Mungu akupe maisha marefu kaka
Kwan anauliza na vitabu my dear?
@@ImeldaBahath Ndio mwaya anauza na vitabu,yaani vitabu vyake ukinunua hauta juta
Asante sana kaka
Asante sana
Yaan kila nkisikliza mafundisho yako najikuta nan uchungu na hela yangu
Mungu azid kukutunza
Mungu aendelee kukuweka kwajili yetu
Hero umeokoa maisha ya watu wengi sana MUNGU aendelee kukupgania kakaa
Tungekuwa na watu 10 wenye maono kama wewe, nchi yetu ingepiga hatua kubwa. Elimu yako imewasaidia wengi. Barikiwa sana
Aisee kwelii nimeamin mungu anakubarik kupiti mtu ww umekuwa mtu mhimu kwangu
Nakushukulu sana joel mimi nimiongoni mwa watu nilio fanikiwa kufikia malengo kutokana nadarasa lako
Hili somo sichoki kulisikiliza ,Mungu akutumie kaka🎉🎉
Nanauka we ni mwalimu akika naomba elimu unayofundisha mitahara ya elimu yetu mbona haifundishi hii elimu naomba serikali ifundishe elimu hii darasani Shure za msingi Hadi level zote za elimu mungu akubaliki
Habari mtaalam. Tafahdali nielejeze unapatikanae tukihitaji semina yako
Elimu ya fedha nikweli watu hawana kama ingekuwepo Kila mtu angekua zaidi ya hapo alipo kwakweli ipo ivo asante sana kaka Joel.
Asante kwa kutufungua na kutubadilisha fikra
Kaka Joel naomba kupata vitabu vyako ,,mfano money formula,,maaana nahangaika Sana kuvipata
Nimejifunza ✍️✍️
Nakuelewa kaka na nayafanyia Kaz inshallah nitafika tu ,,kwauwezo wa mungu na akiniwezesha kwakunifanikisha nakufanikisha
bro,u are my best motivational speaker in tz.
SOMO ZURI SANA NIMEBARIKIWA NA UJUMBE WAKO NAOMBA KUULIZA KAMA HIZO DISPLAYED NOTES ZINAPATIKANA
#FIREMovement...Financial Independent and Retire Early. Financial freedom.
Napendaa masomo yako yanatupaa upeooo waa kujuaa mambo
Ninayo kichwani 😂😂😂😂😂😂.....Barikiwa sana sana.kila siku naangalia na kusikiliza Masomo yako.....napiga hatua
Hongera kaka kila nikikusikiliza nagundua nimechelewa sana
Asante bro nakuelewa
Mungu akubarik yani Kila siku nasikiliza mafundisho yako na yamenisaidia saana
Aiseee😂..
This is all what I needed for so long...!!
Mimi ni mvivu sana wa kusoma vitabu,,
Napenda kusikiliza na kuangalia videos kama hivi...
Kwa kweli Mwenyezi MUNGU akubariki..!!
Nimeanza kukufuatilia rasmi Mwezi Huu,,
Na haya Masomo yamenibariki mno kwa namna ya kipekee na ninayatumia kivitendo ❤....
Thank you so much Bruh..!!
Mr Joel Nanauka...💪👏🙏🏿
This is the knowledge that many Africans want, although only a very few percent know that if they want this knowledge, there are many of them, realize that the comfort zone in the brain is not correct, and the need we have
this guy kwakweli🙌🙌🙌🙌
Joel joel joel ndugu yangu wewe nishida
ongeza bidii sana bado kuna vitu unatakiwa kuvipata ongez kasi ya kujifunz zaidi ili uwakilishe zaid
You're blessed brother Joel
I'll retire in 2027 😊 with patience and retirement fund...God bless me to reach Uhuru wa kifedha
amen
Joel is our super hero !!
Elimu hayi ndugu yangu Nisha kutolewa kofia
Nashukuru sana kaka ilikuwa shauku yangu kupata somo lote zidi kubarikiwa
Asee ubarikiwe mnoo❤❤❤❤❤
You are wonderful.ubarikiwe
Ahsante sana kaka nimejifunza
Powerful 👌🏽🤸♂️🤸♀️
Mungu akubariki sana kaka mkubwa❤❤
Joel ninaitaji nambasako zasimu mimi naitwa Debora 💯👌👍
Ooh saw
Mwali joel samahan kingerez wengine unatuacha penda San kiswahili ili utusaidie ambao hatuja komaa kw lugha ya kingereza
Mwenyezo Mungu akubariki sana kaka Joel
Ni kweli kabisa bro unavyofundisha nakukubali🙏
Mungu akubariki brother nimejifunza
Ahsante sana tata 🙏
Wa kwanza leo
Masomoo yako yanatupaa upeo waa kujuaamambo
Mwalimu Joel ikikupendeza utoe mafunzo kwa kuchambua content za kitabu Cha "The Richest Man in the Babylon" itasaidia sana wengi.kupitia mafunzo haya nimenunua hiki kitabu na nimekisoma na kujifunza zaidi,kikubwa nimeweza pia kuset budget 10% ambayo kipindi Cha nyuma nilikua sifanyi hilo. shukrani sana kwa kuendelea kutoa mafunzo haya na Mungu aendelee kukupigania kwenye shughuli zako🤙🤙🤙
Kaka tunakufatilia sana ubarikiwe
Somo tamu sana…. Narudia na sichoki Asante Coach
Joel my way
Mungu akubarikiiiiiii saaaana
Ubarikiwe sana kaka
Barikiwa sana 🙏🙏
Kaka Mungu azidi kukubariki zaidi
Ahsante
Blessed sana bro
God bless you brother
Kaka nanauka ..mungu akubariki
Yes bro we need money actually
Mungu akubariki
Bado tuko pamoja kaka joerl
My mentor
God bless you brother 🙏
Thanks for this healing
Kaka nilichelewa kukujua
👌somo pambee
Brother 🙏
Bonge la somo
Great advice
good 👍
Mimi nataman sana siku nikutane nae yan nina itan kumuona
Mimi ninakufuatilia kila iitwapo leo na ni kwa muda mrefu Sana...
Nabii huwa haishimiki kwao kama bible isemavyo
Lakini to be honest JOELI wewe ni moja ya Mageneous wanaotakiwa kupewa nafasi za juu kwenye nchi....
Aisee
BWANA JOELI NI MTU NA NUSU....
Kaka Joel samahani naomba kuuliza vitabu vyako vinapatikana wapi?
Ahsante nimebarikiwa sana.Nahitaji kushiriki kwenye seminar yako live nitapataje ratiba yako? Me nipo serengeti
Ubarikiwe
Thanks bro
Am in class together
Thanks for all
Samahani nipo dares lam ubungo xternal na shida na vitabu Nita vipataje
Good
Tupo wengi
😅😅😅 muzee yuko na hekima na maneno
😂😂😂😂Joel 😂🙌🏿🙌🏿😊😅
Kwel
Somo zuri nakufatilia nikiwa mombosa Kenya
Asee ubarikiwe mnoo❤❤❤❤
Bwsna Joel God bless you,lakini sasa kuna hawa abao hawawezi kubali ata ufanye kazi.utamsaidia aje bila kazi,na anataka tu ufanye yake yenye anataka.
😅😅😂level 0
Kaka unaweza kunipatia Namba yako ya WhatsApp