Ni mpumbavu mkubwa tu bila marekani ni mbwa mmoja hivi anatumiwa na wazungu kuwauwa na kuiba mali za wa Afrika wenzake na kilicho mpa nguvu ni kuwawezesha tu kuiba mali za Congo na walimtumia yeye sababu yeye ndiye alikuwa puppet katika majirani wa Congo, na intelligence yake yote Rais Tshisekedi anataka kumtowa mkundu kenge huyo hamna lolote
Mtasubiri saana Sio kila nchi ni mfano wa Libya sisi sio migomba mifupi kama mnavyo fikiria Kwanza naskia naskia unatafutwa na P Diddy akupake Baby Johnson.
Nafurahia tarifa hizi kutoka kilifi north kibarani ward dera village taifa KENYA mkoa wa pwani
Sawa
Nakupata uzuri mzee Dupa all the way Mtanzania ila nipo Istanbul Turkey
Nakukubali dupa uko vzr
Asante sana mkuu wangu🙏
👍
Zingatia muda yaani unarudia kito kimoja iko iko inashosha kuwa objective
Video Kamili Inatumia Dakika8 Kuanza Mh
Kagame alitisha sana.... Nlifatiliaga sana hiyo habari kipindi hicho ilipo gundulika
Ndio maana mwaka 2014 rwanda ilikuwa imepanga kiuvamia tanzania nakuipiga kuwafurusha raia katika mkoa wa kagera na tungepigwa kwel
Nakupata nikiwa mombasa nakufatilia sana
Sante sana mkuu wasalimie hapo
Basi ushatunawisha mikono arafu chakula kitakuja mwakani😢
Natizama nikiwa Kampala. Uganda
❤❤
NAKUPATA MZEE CHECHEMUA KUTOKEA ATHENS♥️💪👏🙏⚓️
Matangazo mengi inatowa mood ya kusikikiza
Mhhhhh hatari
Rwanda nchi ndogo yenye mambo ya kikubwa, Kagame nomaaa, kila nchi unafanya chochote kulinda usalama wake, apewe maua yake huyo jamaa
Kagame kiboko dunia ilishangaa alichofanya
Sio nchi ndogo kwasababu kagame ni puppet wa wazungu so anachokifanya kagame anasaidiwa na CIA na M6 bila hawo kagame sio kitu chochote
Kagame hamna kitu... Muhuni tu...
@benimlisa6056 kilaza mmoja wapo
Ni mpumbavu mkubwa tu bila marekani ni mbwa mmoja hivi anatumiwa na wazungu kuwauwa na kuiba mali za wa Afrika wenzake na kilicho mpa nguvu ni kuwawezesha tu kuiba mali za Congo na walimtumia yeye sababu yeye ndiye alikuwa puppet katika majirani wa Congo, na intelligence yake yote Rais Tshisekedi anataka kumtowa mkundu kenge huyo hamna lolote
haumjuwi uyo ni MTU wa kawaida wala siyo MTU wa Amani
Unarudia maelezo yako sana
Kutoka
🇰🇪+254🇰🇪
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
HUU MKASA UMEANDIKWA KIUBOBEZI NA GWIJI WA MIKASA YA KIJASUSI TANZANIA NI HABIBU ANGA a.k.a THE BODY NASUBIRI NIONE KAMA KUNA UTOFAUTI...
Mbona unaitaja Morocco kua spy wake wapo ubelgiji ina maana Morocco nayo ni taifa kubwa?
Rwanda tunajua anayeipa jeuri. Siku wakiichoka itageuka kama Libya, wa Magharibi hawachekage na nyani kama Kagame.
Mtasubiri saana
Sio kila nchi ni mfano wa Libya sisi sio migomba mifupi kama mnavyo fikiria
Kwanza naskia naskia unatafutwa na P Diddy akupake Baby Johnson.
Acha ushamba@@mahmudmugarura2175
wewe uyo Rusesabagina
Kommenti. yangu ni kuwa: Unashabikia upuuzi wa Yule dikiteta muuaji. Au n wewe ulikuwa CHAWA wake??
Inakuwaje umpambe huyu Mbweha Kagame? Muharifu, mwizi?