hayo hemedi nimaneno yatokanayo na ugomvi wenu tuu ambao sisi hatuujui kabisaa hayoo ni siri yenu wawili wwhooo miss. belinda love u sana fanya kazi hemedi abaki na ubabe wake wakishambaaaaa 😂😂😂
Unakumbuka kpnd cha tid na lulu kusemana vby tid alimsema sana lulu simpend sijui nn badae tid akaja kusema alilipwa huwa lulu ana mtindo akitoa nyimbo isipoongeleka anafanya kitu watu wafwatilie nyimbo ndo huyu kamtumia hemed kumsema watu tushtuke na tumeshtuka haswa ila hemed hanaga mda wa kumsema mtu jmn nmeshangaa
kuhusu kuongelea vbaya watu ndio tabia yake...na hasa anawasema vbaya Sana wanawake na anajisikia sana na kudharau wenzie wakati miguu yake yenyewe tu ni migulu baja...ila kuhusu ustaarabu hana kbs huyu jamaa na alikua anamchukia sana mlela
Huyo mwanaume kaputula maana angekuwa mwanaume suluali angeonga vya maana ila alivyomwengelea mtu vibay kam anampa saport yoyte hyo kaputula hana lolote kafulia nyimbo zake yeye hata hatuzijui bora naza lulu
Ila watangazaji mungu anawaona mnapenda kuchochea sana ma ugomvi ila roja mungu anajuona ujue ulipooona kuna kitu hemedi anataka kuongea jambo ndo unakaxia hapo hapo alafu unacheka hatareeee😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimemjua huyu tangia nna 7yrs & now niko na 24yrs kwa hio szn kwamba alicho kifny ni kiki ila katufundundishia hashuo adab.......# kubwa mwanamme hatukaniki , salute broh 🎉❤🎉😂😂😂😂
Sasa humpendi lakin unajua kama kaeka shep bandia sio kweli kama hajakataliwa bas ananamna nyengine lakin s kwa hali iyo kaaah unamfatiliaje mtu wakat huna muda nae
Mwanaume mzim kumuongelea mwanamke mtaondaon hujirambui nilikuwa nakuona unaakili ila kwaa upuuzi unaongea hapo siyo vizur kumzungumzia mtu mtandaoni sasa mwakijambile inahusian na nn mbon we mwanaume wa hivyooo sana mwanaume wa dar usie na akili mjinga kabisaa wew
Acha zarau we kaka nilikuwa nakukubari lakini umejishushia heshima dume zima kugombana na madeni unamzalilisha mwanake mwenyejisia Kam mama ako hata Kam ana kingodola si chake ulimchagia hela wanaume muwaeshim wanawke ni wanawake alio wazaa waeshimuni basi hata km mnaugovi usimzalilishe mwanamke
Huyu jamaa ni mshamba sana ashajiona yeye ni mzur,afu mshamba anagomban na mwanamke,diva hana shida kbsa yule dem
Yaani hemed umejua kunichekesha wallah daah!mwakijambile😂😂
Bro nilikuwa Nakupenda sana na kujuwa ww smart Ila kwa ili zero na vinyota juu
Sio zero amekereka acha tu atoe ya moyoni kuna watu wanaboa sana
Mashallah twakupenda sana hemed from omani ❤️💕💕
Anajuwa lulu diva ❤❤❤❤
We utakua unashida lulu hajuhi kuimba hata roboooo
Kwa mara ya kwanza nimeona hemedy kajizaririsha kimaongezi , kwa heshima aliyo nayo anapashwa kupongeza vipaji vya nyumbani
Huo ni mtazamo wake yeye cyo lazma ulingane na wengne ndoman kuna u team skuhz hawa wanamkubali huyu wale hawamkubali yule
Hapo kwa Belinda kijambile nimecheka😂😂😂😂du ndomana sicoki kukupenda PHD❤
Hilo jina uwiii😂😂😂
Mwa...kijambile😂😂😂
Sio kweli haitwi hivo yule dada
Hemedy kasema ukweli bana yule Manzi kuimba hajuiiiiiiiii hajuiiiiiiiii hiyo ipo wazi
Yaani hajuwi kabisaaaaa bora hata gigy money
Kweli mwaya anatupigia kelele tu
Umenena vema utoto tupu mwakijambile anachosha😂😂😂
Sijawahi hata kumwelewa mimo
@@johasaeed391 😀🤣🤣🤣🤣🤣
😃😃 Kwan lulu diva yy anasemaje ,ila Kwa ushauli tu Wala SI lazima Lulu diva usijibu chochote hemed atakuebisha.
Yan Hemed khaaaaa 😂😂😂😂😂 nmecheka mwanzo mwisho
hayo hemedi nimaneno yatokanayo na ugomvi wenu tuu ambao sisi hatuujui kabisaa hayoo ni siri yenu wawili wwhooo miss. belinda love u sana fanya kazi hemedi abaki na ubabe wake wakishambaaaaa 😂😂😂
😂😂😂 si kwa kichambo hicho kuna kitu hakiko sawa
Ila kiukweli lulu diva kuimba hamna kitu hata kidogo, ila jina
La paspot anaitwa lulu abas
Kwa mara ya kwanza hemed kumuongelea mtu vibaya kuna shida mahali😂 duuh sio kwa maneno hayo
Umeona ee😂😂
Unakumbuka kpnd cha tid na lulu kusemana vby tid alimsema sana lulu simpend sijui nn badae tid akaja kusema alilipwa huwa lulu ana mtindo akitoa nyimbo isipoongeleka anafanya kitu watu wafwatilie nyimbo ndo huyu kamtumia hemed kumsema watu tushtuke na tumeshtuka haswa ila hemed hanaga mda wa kumsema mtu jmn nmeshangaa
kuhusu kuongelea vbaya watu ndio tabia yake...na hasa anawasema vbaya Sana wanawake na anajisikia sana na kudharau wenzie wakati miguu yake yenyewe tu ni migulu baja...ila kuhusu ustaarabu hana kbs huyu jamaa na alikua anamchukia sana mlela
Kakataliwa
Unawasiwasi na Belinda mwakijambile aka Joyce wowow😂😂😂
Exactly bro Baltazar. Mulheres não a gradece pelo o que Allah lhe fez.... Sinto muito oque elas faz.
Ila hemmedy hana noma bwana hata siyo mkorofi😂😂😂😂
Wanaume wa Dar bana sasa mwanaume unakaa kumuongelea mwanamke anae jipambania kimpango wake dah
Huyo mwanaume kaputula maana angekuwa mwanaume suluali angeonga vya maana ila alivyomwengelea mtu vibay kam anampa saport yoyte hyo kaputula hana lolote kafulia nyimbo zake yeye hata hatuzijui bora naza lulu
Si unaona kuwa ni ujinga,mwanamke anapambana kimaisha alafu unakuja kupambana nae aise initially aibu km hawa ndio wanaume tulionao Tanzania
Shangaaaa 😮
@@kdeghtnzanea7187kwahiyo Kumbe Ili mtu awe mwanaume inabid awe muhongaji??😂 hii mpya
Kabisa hamsapoti ana bifu za kijinga anaongea pumba Amna anachotufunisha apo
Ila watangazaji mungu anawaona mnapenda kuchochea sana ma ugomvi ila roja mungu anajuona ujue ulipooona kuna kitu hemedi anataka kuongea jambo ndo unakaxia hapo hapo alafu unacheka hatareeee😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuimba hajui kweli lkn mrembo mashaalah 😊
Hemed Suleiman jina zuri sana mashaallah ila msiba mkubwa hata hujui maana ya jina lako
mambo❤
Mtoto wa kiislam na misalaba
We unajua maana yake Ya Hemed au
@@allyipombo7084mbona ww mtoto wa kislm wanakufira hatusemi
Sisterhood is happy of you dear.... you have given him his dose 👌👌
Jamani hemedy wew muogope Mungu kikwel 😂😂
Belinda Mwakijambile😅😅😅..Jesus Cousin🙌🏻🙌🏻
Mtangazaji anapambizaaa sana anaona rahaaa mwenyewe
PHD weye noma sanaaaaaa uyo lulu diva ajuwi kuimba bwana
Haiwezi kubadilika uyo dada yenu hajui kuimba analazimisha na hata buno kabandika 🤣🤣
Pumbavu zako
Nimemjua huyu tangia nna 7yrs & now niko na 24yrs kwa hio szn kwamba alicho kifny
ni kiki ila katufundundishia hashuo adab.......# kubwa mwanamme hatukaniki , salute broh 🎉❤🎉😂😂😂😂
The difference between you and warthog it's only the speed in terms of running 🫵🫵
@@user-jc5ky3fm1t 😂🤣😂ahsan
😂😂😂😂 Hemed kwa ucheshi tu, we like you mzee💪💪💪
Ni kwel kuna watu wana force vipaji hawana ukimuondoa luludiva kuna hamisa mobeto hajui kuimba ,gigy maney hajui na wengine weng ila baadh ni hao
phd the genius...😂😂😂 uyu jamaa jau kinoma ila anafurahishA....😅😅😅
Hemedy yupo Sawa tuu yy anachambua muziki kama 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hemed ameongea point leo ❤
Muko na a very big idea yakupromote music na Artist..big up kwenu Carry
Hahahaha nimecheka sana mwakijambile alijamba wapi aseee???
Hemed kaongea ukweli wake hongera
Sasa humpendi lakin unajua kama kaeka shep bandia sio kweli kama hajakataliwa bas ananamna nyengine lakin s kwa hali iyo kaaah unamfatiliaje mtu wakat huna muda nae
Belinda Mwakijambile😄😅😅😅😅
😅😅😅😅😂😂 ni kweli lulu diva hajui kbsa 😅😅😅😅
Hemed hana akili😂😂🙌🏼
Sema hii interview kama ilipangwa kumuongolea Lulu, imeanza vizuri ikaishia kwa bini belinda mwaki.....
Eti belinda😂😂😂 najua aitwa lulu Abbas😂😂😂
Mungu anakuona wew kaka
But true talk tho
Mbona hemedi wa panic , au ulikataliwa
😂😂😂
Kwel lulu diva hajui kuimba bana
😂 jiulize na yeye alijaribu kuimba alikua anajua
❤❤emedi jamani😂😂
Huyu mwamba namfuatiliaga sana . Much love kutoka 254🇰🇪
Aki nimejipata nacheka eti belinda mwakijambile🙆♀️🙆♀️🙆♀️🤣🤣🤣🤣
Hamed si hio makalio ilo ongezewa ,ndo ulio kua unailalia ? Imekua aje leo wamchamba why kaka umekosea sana ,sijapenda mie lulu kusema kweli lulu yuko na eshima zake.
Mmemkorofisha huyu anachamba vbaya jmn😂 BELINDANMWAKIJAMBILE 😅😅😅😅
Kawaida yako bro kuwasemea wanawake vibaya
Huyu ni comedian tu 😂😂😂
Mwengine yupo jina lake anjela ajui kuimba😂😂😂❤
Hapo kwenye mwakijambalile hapo 😂😂😂😂😂😂
Upo sawa
Huyu mzee ni mshamba t kisa kakataliwa nd anaanza kumsobodowa mwenziwe hajui kuimba dah🥺ila siku zote nyan haoni kundulee
Mbona lulu Diva anaimba vizuri sana
Yaani mpaka nasahau kama nipo nchi za watu hemed nenda comedian😂😂😅
Kweli, Lulu diva hajui kuimba,labda kuringa,kujikweza, kujisifia, kufeki maisha,kuna wasichana wa kitanzania wamezaliwa ulaya, kukulia na kusoma hukohuko, wanajua kiswahili,ila lulu kazaliwa Bonde,kasomea huko,kakuli hukohuko, kaja Dar.mkubwa, leo ajifanya kiswahili hakijui aongea kingereza hata akiulizwa kwa kiswahili, Lulu ni mshamba, mshamba na ni mshamba tena,ajipendekeeeza kwa wanaume mno,
umeongea ukweli
Sijawahi kumuelewa luludiva na hatui kuimba na hata kuigiza hajui mduduuu yupo sahihii
Nimecheka😂😂😂 anaimba ushuzi ushuzi hemedi samaleko😂😂😂😂😂
Lulu diva ndo nan mbele ya PHD hat simjui Uyo diva. Katokea Sayar ipi
😂😂😂😂😂... eti madoli indemoni kitambo sanaa.. 😂😂😂😂😂... belinda mwakijambile
KATIKA WASANII SIWASIKILIZI DIVA ASEEE😂
P.h.d tunakupata vilivyo toka Tunduma border post ❤❤
Noma😂
Hemedi....kifuani msalaba du hatari sana.
Kumbe hemedy kava msalaba na hamsemi
Kwan ajabu. Nn makuma nyir
Kweli msalaba halafu anaji proud kwa jina la Hemedi mtihani sn wallah
@@revocatuspaulo6716we kafiri embu tulia hapa tunaongea waislamu kwaio acha shobo.
Allah (s.w) ndo anaehukum kikubwa tuzidi kuomba mwisho mwema.
Wemwenyew phd hujui kuimba heri nyimbo za lulu ziko poa😂😂
KACKILIZE NYIMBO ZAKE
Hemed anaimba wewe..@@kelvinwilfred-p2e
Ila hemedy nmecheka sna😂😂😂
Mm nalikubali hilii😂😂😂😂
Our fellow Kenyan…kama anaongea ukweli
ww babu tuuu mwanaume si mzur wa sura ninamna unavyojiwekaa ww babu tuu mcheki diamond wa juzi lkn unalingana nae ww babu mkongweeeee 😅😅😅😅
Carry Mastory mkuda sana😂😂😂😂
Mwanaume mzim kumuongelea mwanamke mtaondaon hujirambui nilikuwa nakuona unaakili ila kwaa upuuzi unaongea hapo siyo vizur kumzungumzia mtu mtandaoni sasa mwakijambile inahusian na nn mbon we mwanaume wa hivyooo sana mwanaume wa dar usie na akili mjinga kabisaa wew
Acha zarau we kaka nilikuwa nakukubari lakini umejishushia heshima dume zima kugombana na madeni unamzalilisha mwanake mwenyejisia Kam mama ako hata Kam ana kingodola si chake ulimchagia hela wanaume muwaeshim wanawke ni wanawake alio wazaa waeshimuni basi hata km mnaugovi usimzalilishe mwanamke
Mamaake hana kigodoro
Hajielewi huyo anamtaka we c ufatilie kazi yako
HEMED sio mkorofi Hana Hz mambo Kuna kiti kimetendek hp
Hemedi we mwenyewe hujui kuimba, halafu kama ulijua lulu Diva kafanya Surgery kwanini unamtaka? Ntakuchukia sana Hemedi.
Hemedi Wachana Na huyo children apo Kwa children ametumaliza wakenya
Kweli diva amuna demu apo anadiliki kuiba matusi live Kuma hv ana wazazi diva s demu ila ni goma la kupiga na kuwacha to
Ahhhhh hemedi umenichekesha san
Hapo hakuna ugomvi wowote hao washikaji sana sema wanatuchocha tu
Blinda mwakijambile😅😅😅
Ni kweli brothers
😂chapa ilalee
Hemed nahayo majina haki una akili😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Inshu ya belinda mwakijambile kutokujua kuimba naona watu tulikuwa tunasubiri mtu 1 katili wa kutusemea....eniwei ujumbe wenu umemfikia..,,ila kuigiza anajua bhna
Hatari sanaa
Kuigiza yuko powa sana kiukweli
Tunamshkr
Jinga anajiamini huyu😅😅😅😅
MUISLAM GANI ww unaevaa MSALABA, kisha unajivunia kutaja jina lako
Acha ubaguzi
Au mnashea jaman mwanaume kijinsia lkn pigo za kike😅😅😅😅
Mwanaume hawezi kua hivo boy unachambana na mwanamke
Wewe mwenyewe haujui kuimba nyimbo gani hizo unajilambalamba tuu
ududu mwingi phd
Yani nimecheka hapo Eti Belinda mwakijambile 😂😂😂 🤣 hio jina ukienda nayo benki kuomba mkopo🏧 unanyimwa direct, please pitieni kw Chanel yngu mnisuport tafadhali
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂, eti ushuzi ushuzi😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Na kwangu pia mpitie
Eti mwakijambile 😂😂😂😂 haha hatari
Lulu atakuendea kwa ule mtaalam wake😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂hemedi hua anaongea ukweli
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwamba baba lao mzee wa kuchana uchafu wa lulu cjui nane vile😂😂😂😂
Kweli ukienda nalo bank mkopo upewi
Long time you arr matured enough acha ujinga