Upo vizuri Mzee kauli za huyo dogo tulishaziona mapema sana ni mihemko na utoto mwingi na dharau zisizo za kimpira .ushabiki sio uhasama we dogo Anza kujielewa basiii!!!!!!
Kaka uko sahihi Sana wachambuzi wajifunze kwako hao uto wameshuka viwango Ila wao mtazamo wao ni uchawi tuu na kuaribu brand ya uwanja wa Azam ni ujinga huo ..
Uko sahihi kaka. Msemaji wa timu yenu anatoa sababu za kitoto wakati kufungwa, kufunga na droo kunatakiwa kutafutiwe utatuzi wa kitaalam na sio wa kitoto.
Alikuwa sawa tu huwezi kusema uchochezi au anaharibu taswira je waliohusisha yanga na matumizi ya dawa Kwa kuona bomba za sindano tu hawaharibu taswira acheni hzo alichofanya ni sawa tu kwenye propaganda ya footbal.
Shukrani sana mwalimu umanisaidia kutoa dukuduku kama nikushusha thamani ya ligi basi ally ndio mshushaji,nilikua namuona anaelimu kubwa sana kwenye soka kumbe ndio vile vyeti the late maghufuli alivikataa
Kweli brother bod ya ligi is feriazi kwasababu wapo kimihemko kwasababu anachokifanya alikamwe ni ujinga uchawi na mpira du atari yaan uwezo umepungua wanasingizia uchawi
Kabla hauja mlaumu Alikamwe inaonesha wazi kuwa wewe unausisha hisia binafsi na ushabiki. Nikweli alizungumza ila na ww tafuta lugha rahisi ya kuwa silisha mijadala kama hii. Mchambu unatumia maneno magumu kama "mihemuko" ndoonini sasa. Kingine wahusika ambao ni Azam hawajajitokeza kusema chochote ila wewe inaonesha dhaili kuwa umekeleketwa sana kuliko Azam. Watanzania mnapenda sana kiki😂.
@innocentnnko2292 Ok sawa ,Ila sasa kama Azam kaishasema hivyo hao wasioelewa shobo zinatoka wapi?. Pilipili usiyokula yakuwashia nini ? ,kwanini wasiwe kama Azam. Shida watu wengine wanapenda sana kuact kama motivational speakers kwenye media ndomaana awaachi "mihemuko"🤣. Watuache na YANGA YETU SISI.
Leo Mkalaboko umeongea point sana . Hongera.
Kiki kutoka yanga mag'eni ng'oo!!!!! Kuwa kocha wewe. Hongera kila ck unafanya vizuri kazi zako. Subiri tuzo ya unonko
Pure kashasha yupo vizuri sana
Upo sawa sana kaka aly kamwe nimshamba sana
Huyu JAMAA amesoma Cuba
Umenyoosha Sana Mzee 👏👏👏
Point sana kaka
Huyu mchambuzi nimempendaaa
Upo vizuri Mzee kauli za huyo dogo tulishaziona mapema sana ni mihemko na utoto mwingi na dharau zisizo za kimpira .ushabiki sio uhasama we dogo Anza kujielewa basiii!!!!!!
Ukweli unauma siku zote
Jamaaa akili nyingi eana
Aziz k anavuta shisha
Wewe ulimuona
Nimecheka sana hii
Pumbaaa
Aache maramoja😂
@@khadijahussein5298 hatimae aziz k soon mashabik wataanza kusema yule jamaa enzi zake, kumbe ameg'ara single msimu tu baba jen bay bay.
Kweli kabisa, umetoa maoni muhimu wahusika wapime waone yaliyo ya kweli yafanyiwe kazi.
Kaka uko sahihi Sana wachambuzi wajifunze kwako hao uto wameshuka viwango Ila wao mtazamo wao ni uchawi tuu na kuaribu brand ya uwanja wa Azam ni ujinga huo ..
Nikweli Kaká unajua watanzania wanapenda sana mpira ila matokeo ya mpira awakubaliani nayo
Huyo jamaa anaongea point sana siyo wa kupuuzwa
Umeongea point tupu,bigup
Mm ni yanga sanaaaa ila uko sahihi sana❤❤❤❤❤
Ally kamwe Bado mtoto huwa analopoka ty
Acha maneno ya ufedhuli
Hakuna uchawi kwenye mpira
@@lachellachel2278upo sana
Weeee walipokuwa wanaichafua yanga walikuwa sawa eee
Zuberi Mkaraboko upo vizuri sana Coach
cha wa kolo
Kaka umeongea point sana TFF bodi ya ligi,azam
Mashabik wa yanga hatujielewi cjui kwnn ally kamwe hakutakiwa kutoa zile sababu za kitoto
Uko sahihi kaka. Msemaji wa timu yenu anatoa sababu za kitoto wakati kufungwa, kufunga na droo kunatakiwa kutafutiwe utatuzi wa kitaalam na sio wa kitoto.
Alikuwa sawa tu huwezi kusema uchochezi au anaharibu taswira je waliohusisha yanga na matumizi ya dawa Kwa kuona bomba za sindano tu hawaharibu taswira acheni hzo alichofanya ni sawa tu kwenye propaganda ya footbal.
Mtamkumbuka Manara
We nae kenge tu kuwa na upeo bas we si mkubwa kabsa 😢@@leonardmfugale5181
Ujielwi kubwa yanga wanalalamikia hujuma sio uchawi
Hujuma gan kufungwa ni hujuma au ni mapungufu ya timu wachezaji wanakutwa club kila cku wataweza kucheza vizur
wamehujumiwa nini
very true ,be blessed bro
Big up
❤❤❤ kweli uyu nikocha
From #EconomicallyGrowthMusicians Duh Point sana hili jamaa aiseee😢😢😢
daaaah jamaa anajua kuchambua sana .
Nakubali brother
Jamaa anaongea point sana sema usimba na uyanga umetujaa
Pointi zakijingaaa😢😢
Tutajenga uwanja ganga muda sio mrefu
Wakifungwa champions watawashika uchawi simba.
Kaka umetisha mnoo
AMEONEKANA ALI KAMWE LKN KUNA WASEMAJI NA WACHAMBUZI WA VIJIWENI KAMA STAND PIA WANA MANENO SIO MAZURI.JUU YA TATHNIA YA MPIRA
Acha maneno kwani ahmed anaongea vizuri mwacheni ni mkweli
Shukrani sana mwalimu umanisaidia kutoa dukuduku kama nikushusha thamani ya ligi basi ally ndio mshushaji,nilikua namuona anaelimu kubwa sana kwenye soka kumbe ndio vile vyeti the late maghufuli alivikataa
Uko sawa broo
Just wanted you to know when and where your going to and try to get a hold that would save you
Nakukubali mzee
Brother uko vizuri sana kiuchambuzi.Unaongea kisayansi sana ila hao Utopolo FC kukuelewa hawawezi Kwa sababu wamejiroga mpaka kufikiri
kaka upo sahihi mi ni Yanga dam lakin penye ukweli lazima usemwe Ally amezingua Kuna utoto mwingi sana
Wee koma wee
Huyo kamwe ni tahira uwanja wao wa viti vya secondary uko wapi
Tahira na ukoo wako shwain
Ali kamwe Hajui kuongea kabisa ana Mihemkoo
Kweli all kamwe aachwe maana radha yapira mueshimiwa umesema kweli mkuu upo vzr
Ally kamwe ni mjinga sana mm yanga lakini naona ally kamwe mjinga sana
Wewe sio yanga sengetu
we mwehu huna akili, we Simba lialia
Ww sio yanga acha mihemko huyo jamaa ni ndizi Sana ww unaamini yanga wameenda kmc bila wao kmc kuwaruhusu ?
hata kama wakutukane rehema ukweli umeongea wanakutukana kwakua hawajitambui nao ni matahila tu kama ally kamwe
Kama wewe ulivyo tahaila
Kaka umenena wasipoangalia tunaweza tukafungiwa kwa haya yanayoendelea
Kabisa ally kamwe hajielewi kabisa ,,hajitambui
Msimulaum sana Ally maana kufungwa sio mchezo anajaribu kupoza machungu ya kufungwa kwa kuponda uwanja ambao unewasaidia misim miwil
Kwani walikuwa wanaingia bure 😅😅
Kiburi kitawamaliza Yanga. Hakuna uchawi. GED game elastic discipline ndo shida.
Ally kamwe ni mshamba kwani viti ndio vina matokeo
Yeye kamwili chenyewe kidogo anasemaje viti vidigo
Kaka nakubar san wee kwel umeongea san kwel wee unaujuwa mpra ❤🙏
Ally Kamwe ana ulimbukeni sana ana utoto kiasi
Very good point ever
Mtu wa mpira sana huyu
Yes point
Mwandishi ww ulisoma kweli kweli
Tatizo la Ally Kamwe ni utoto
Unayo yasema ni kweli hasa kwa yanga, hata uku msumbiji tunalijuwa hilo.
Du broo una point mtupu kaka
Kwani Uwanja wa makolo au wa manispaaa acha mapato yaende serikalini.
Daah xana kk huyu jamaa alindwe ,, msomi ambae Yuko matured enough
Timu nzima ya uongozi yanga wote wapuuzi.wanatuharibia mpira
Mpuuzi niwewe unae Shabikia usicho kijua
unaongea kweli kaka unajuwa
Huyu mtoto Ally kamwe sijui yanga waliangalia nini kumpa kazi anaropoka sana
Bas wakuajili wewe
Hapo sasa @@JosephMwaipopo-px4wi
Jamaa hodari sanaaa
Kweli ali kamwe ni mpuuzi mimi nilidhani ni utoto kumbe ni mshamba kupitiliza
Mjomba kawaamulia leo 😂😂😂
Upo sawa sana kaka
Nimekuelewa tff hawana meno Wala bodi ya ligi waziri mwenyewe hanalolote naibu waziri hivyo hivyo
Kweli brother bod ya ligi is feriazi kwasababu wapo kimihemko kwasababu anachokifanya alikamwe ni ujinga uchawi na mpira du atari yaan uwezo umepungua wanasingizia uchawi
Naona huna point yeyote kwa iyo Ali asiseme kitu
Mwehu huyu kashiba ugali wake wa Bada na Maharagwe analeta porojo
Mwehu no 1 ni wewe ambae hujui mpira mzee yuko sahihi.
Mengine hausemi ya kwako je na azamu Yako Haina jipya baba
Unatafuta kazi Azam
Mhuacha mwenyekiti wa wasemaji
Mchambuzi kutoka EFM RADIO George mkara boko, anatema cheche
Youngs Africans oyeee oyeee hayaa Twendeee kazi wananchi. Twendeee kazi eee 😅😅😅😅😅
afungiwe2 uyo haji heshim
Nimekuelewa kaka..
Yes nikweli Hawa wasemaji hawa wakilabu wafukuzwe tu maana anaalibu mpila
Mbona yanga imechafuliwa na hamkusema Sawa hawana uwanja ndo wachafuliwe vile
Mbona simba waliukimbia uwanja
Mmeona watu wanajua mpira ndio hawa
Wakati yanga wanachafuliwa ulikaa kimya
Acha ujinga kwani uwongo anuar bu ball kwa maneno yak
Ally kamwe ni muhuni tu
Kwani uongo....?
Viti vyao ni tofauti na mabenchi kama ya wauza kahawa uswahili au banda la umiza?
Mzee umetumwa na manara
Yaani ally kamwe hana influence...kuwa msemaji
Kamwe hanaga washauri ? Maana yeye anazisha mipasho na vijembe hata ktk hoja za msingi
Hayupo sawa dogo
Asiologa ninani achana n'Ally kamwe mbone ivo uyowivutu anawakela 😁😁😁😁
Yanga ilipochafuliwa mlikaa kimyaa tu.
Huyu ndiye alitakiwa kuwa msemaji wa yanga sio yule msemaji wavikoba fc
Nikweli kabisa tatizo bodi yaligi.
sawa diwani
Yangaa washachanganyikiwa😂
Iv mtangazaji umeifanya kazi ya kumfukishia kamwe hii clip
Usiongelee upande mmoja kati ya kamwe na waliyotoka sindano na kuituhumu yanga nani mchochezi acha upimbi
Nawe acha kupenda kijinga
Sasa aseme Ally Kamwe yanga wanahusika je mzee
Kabla hauja mlaumu Alikamwe inaonesha wazi kuwa wewe unausisha hisia binafsi na ushabiki. Nikweli alizungumza ila na ww tafuta lugha rahisi ya kuwa silisha mijadala kama hii. Mchambu unatumia maneno magumu kama "mihemuko" ndoonini sasa. Kingine wahusika ambao ni Azam hawajajitokeza kusema chochote ila wewe inaonesha dhaili kuwa umekeleketwa sana kuliko Azam. Watanzania mnapenda sana kiki😂.
Mihemuko sio neno gumu na pia kuhusu Azam ameshasema kuwa wao hawez kuzungumza kwa sababu za kimaslahi ya kibiashara hujaelewa wap?!😂
Misifa 2
@innocentnnko2292 Ok sawa ,Ila sasa kama Azam kaishasema hivyo hao wasioelewa shobo zinatoka wapi?. Pilipili usiyokula yakuwashia nini ? ,kwanini wasiwe kama Azam. Shida watu wengine wanapenda sana kuact kama motivational speakers kwenye media ndomaana awaachi "mihemuko"🤣. Watuache na YANGA YETU SISI.
yangatundio hawana uwanja tim nyingi tu hazinauwanja sio yanga tu
Hazifanani na yanga
Huyu jamaaaa anajuwa kuchambua vzur tu mpira ukimchukia hujui mpira
Nikweli kabisa nduguyangu