Hve changed my mind bcz of this movie 😢😢😢😢I will love him no matter what cz I already promised him💕🙏God please give me the heart ❤️ of love towards my boyfriend cz real love he has to me is extra ❤️
Amazing movie 🎥 mapenzi mapenzi jamani 💃💃waaaa mm Sina useme I love you so so much kelvin ♥️♥️♥️♥️ from 🇰🇪🌹🌹🌹i love you all guys ❤️❤️❤️ mm na enjoy sana🎉🎉
Jamaniiiiiiii kaka zangu na dada zangu hii sanaaa inafundisha Sanaa kwa vijana ambao wameoa na wasichana ambao wameolewa na kwa vijana ambao hawajaolewa na kuoa wajifunze kupitia hii Sanaa ndugu yangu❤❤❤❤❤.
❤🎉 kaz zako nzr lkn naomba wena namba tujue hii namba moja na hii namba mbili kma inaendelea unaweza kufanya ivyo Ili tuzifaham maana mda mungine naangalia ya mbele kabla ya nyuma samahani kma nimewakosea
Wakenya jaman 2gonge like kw kelivin😂😂
Kenya tuko mwiii kama ubwabwa kelvini tugongee like bwana🎉❤kenya oyeeeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aky nimejikuta nikilia nimekumbuka mbali sana 😭 nawapenda sana kazi nzuri jamani 🎉🎉🎉❤❤❤
Chukua maua yako kwa kazi nzuri kelvin
Jaman Kelvin Mapes yanaumisa moy❤Lakin musical usiliee😂😂
I have learnt a lot from this movie😢😢😢i will love my hubby no matter the situation 💖💞 Victoria and Kelvin you are doing it well..
KAZI nzuri sanaa Kaka yangu Kelvin izi move zako ATA zanitoa machozi❤ much love for dear. Mapenzi yanaumiza kabisaa .hongera 👏 Sanaa Kelvin 😢❤
Hve changed my mind bcz of this movie 😢😢😢😢I will love him no matter what cz I already promised him💕🙏God please give me the heart ❤️ of love towards my boyfriend cz real love he has to me is extra ❤️
Perfect 👌
Fr the content is super
Let's support this talent
😢😢umenitia huruma hii picha kazi nzuri watching from saudi arabia
Nime kubali sana hii kaz wadau bg up broo yaan ww kila cku majanga ww pole sanaaa
Sio Siri Kelvin unanifndisha vitu vingi xn nawapenda sana Mungu awatie nguvu mfike mbali
Kevin jaman usikate tamaa tia bidii viki anakupenda
Sawa 😔
Nawapenda sana endeleeni na kazi yenu from kenya❤❤❤
Waw love this film from prt 1to this one ❤❤❤❤ nmesiangaliah zote👀👀
Waaaaz bro khan...
Nakukibali Sana Kelvin
good job brother man kelvin, watching you from lusaka Zambia
Hogera Sana bro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yaan kazi zuri la kini mwanamke kama pesa ukiangusha tu inaokotwa
Kweli kabisae
Funzo nzuri sana
❤❤❤❤❤❤ kazi nzuri sana kelvin
Waaaaz bro khan I've learnt something....
Kelvin nakupenda jmn kazi nzuri
Safi sana kaka Kelvin
MashaaAllah kaxi njema❤❤❤❤
Asante sana 🙌
Nakupenda sana vicky na kelvin
Hongera kaka calvin kwa kaz nzuriii umenifunza hat mmi❤❤
Nashukulu kwamafundisho mazri🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kazi nzr
So amazing much love from Kenya ❤❤❤
Wow Kelvin weuwe👏👏
Nawafatilia sana kazinzuri
Hongereni inafunza na inaelimisha na hata pia inahuzunisha
Wow.mapenzi.kitu.kibaya
Jamani twaombeni muendelezo wa filam y penz la malkia wa majin na binadamu
Kazi nzuri Sana Kelvin ❤️❤️
Hongera sana kelvin❤❤ unawafundisha sana watu👍
nayipenda san love story
Wakwanza mimi🇧🇮🇧🇮
Kabisaaa 🙌🌹
Yaan Dunia ndo ilivyo!!!
Iv Kevin Vik ni mkeo kbs au
Ewuna Enjoy ❤️❤️❤️
Amazing movie 🎥 mapenzi mapenzi jamani 💃💃waaaa mm Sina useme I love you so so much kelvin ♥️♥️♥️♥️ from 🇰🇪🌹🌹🌹i love you all guys ❤️❤️❤️ mm na enjoy sana🎉🎉
Move nzuri mnooo Kelvin mnapendezana na Victoria Love you so much,God bless you,na nimependa zinamafundisho🎉🎉❤❤
Jamani mbona mnatufanya hadi tunalia ila kazi zenu nzuri sana hadi raha mno
Inaumiza sana usimhukumu mtu kablahujamsikiliza hongelen kaz nzul
Movie nzuri sanaa🎉
Steve ,,,Kenya
So amazing, siku ntabatika kuolewa na npate watoto, wakiume atakuwa Kelvin, wakike atakuwa Victoria na last born atakuwa matutu. Nawapenda bure ♥️♥️
😂😂😂😂😂Ni bora
Kazi nzuli
Nimejifunza sana
Vicky loving you❤❤❤, Kelvin we noma
Daaaah nimeipenda Sana hii movie Mungu awabariki katika sanaaa hiii .
Ongeln kaz nzuri San kelvin ❤❤❤❤
I love you all... watching from Kenya...Kelvin you came through alot...na mbona sijamwona roughness....kwaheri kelvin
Vle Kelvin uwanga anareact walah ata mtu anaweza lia cograt bro
Nice uko vzr kelvin napnda cn movie zenu japo imenikmbusha mbli nikiwa na mpnz wngu 😢
Nawapenda san
😢😢😢😢😢kelvin tuuu janani kwani ulikanyaga mti gani babaa❤
Wow kelvin Khan umeweka sana kaka hyo
So much amazing ❤❤❤ nawapenda bure
Napenda,mapingo,yenu
Much love from saudia
Nakupenda sana kelvin na vikitoria mmenifani nimelia sana mana mmenikumbusha mbali sana ❤❤❤🎉🎉
Munafanya kazi nzuri kweli na pia mnatoa ujumbe ulio njooka kwakwel hongeren
Jamaniiiiiiii kaka zangu na dada zangu hii sanaaa inafundisha Sanaa kwa vijana ambao wameoa na wasichana ambao wameolewa na kwa vijana ambao hawajaolewa na kuoa wajifunze kupitia hii Sanaa ndugu yangu❤❤❤❤❤.
Nawaonea sana kiukweli mnakaz nzuri sana
😢😢😢 Kweli mapenzi inauma Sana,, Kelvin ongera kwa Kaz yko❤❤❤
Imetisha
Kevi waambiye wavaye nguwo zakujisitiri mbona vikitoriya anajisitiri vizuri nakujiheshimu nakujuwa yeye nimwanamke washoka heshima kwako vikitoriya nakupenda my kutoka omani
Nawapendasana🇧🇮🇰🇪
Nzur hyooooo
Haaaah jamani kelvin penda sana movie zenu inatufunza
Brother tafuta wachumba wa kwenda utatisha sanaaaa mzeeeee
Big up Mr Kelvin and victoria.mnanifunza mambo mengi sana. Mi mrundi lakini napenda sana movies zenu.
Wow amazing kelvin ❤❤❤❤❤😢😢
So amazing much love from kenya ❤
Nimejikuta nadodosha machozi hongeleni kwakazi zuri
Pole sana Kelvin
Nawapenda sana jamani
Aiseeee hongera saana kwa kazi nzur👏👏👏👏
unanikumbusha mbali saan n nimejifunza mengi Saana 🥰
So much love❤❤❤
I have learnt that one should love the one loves him/her
Nawapenda san jamaa zangu❤❤big up
Mnanifunza mengi sana hongerani nyote ❤🎉
Watching you from Kenya currently in Riyadh city keep it up much love you guys nawapenda mbure
Wakwanza nimm🎉🎉
Kevin nakukubali San nikiwa na lave
Nawapendaga sana❤❤❤
Ghai Kelvin unatia huruma san walai
Kazi nzur sana kelvin❤❤❤❤❤
Wakwanza mimi Bora Kelvin unipe 5 🌟 kuwa shabiki yako sugu from 🇰🇪🇰🇪
❤❤❤❤ Kaz zuri kak mungu akulind akupe maish marefu 💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏🙏
Safi sana🎉🎉
Many loves from kenya 🇰🇪
Fity sana congrats 👏 guys
Mungu abariki kz yenu,nimejifunza mengi sana🎉🎉🎉🎉🎉
Acha uongo vic
Kazi nzuri ongera sana kwa kutuelefuza sie wote 👍👍👍
Akh nmeipenda sana hii movie yahelimisha sana
Hongera sana kaka celvin kwa kaz nzuri
Mapenz acha kabisa😢❤ daaah celvin ❤ hongera sana
❤🎉 kaz zako nzr lkn naomba wena namba tujue hii namba moja na hii namba mbili kma inaendelea unaweza kufanya ivyo Ili tuzifaham maana mda mungine naangalia ya mbele kabla ya nyuma samahani kma nimewakosea
Mmejidahidi sana kutuelimisha
Nani aliimba hii nyimbo kelvin naihitaji much love from saudi Arabia
Yaan kelvin upo vzur jmn ni 🔥🔥🔥🔥🔥, mpak nimehuzunika
Nawapenda San kwa move zenu nzur zinafundisha sana
Nice job brothers and sisters
Imeniliza sana hii . Duuh!!