Good movie - Huyu mdada amecheza vizur kipengele chake - Huyu malaya mkaka pia amecheza vizur - mjeda bado labda part 2 - washkaji pia wamecheza vizuri Big up sanaaa ❤ Tunaweza Tz Watching from uturuki hapa istanbul( üsküdar )
Kelvin kwa sambusa za nyama jamani 😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napenda sana muv zako ua unanifuraisha sana 😂😂😂 love mingi mingi kutoka kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Nakupedaka sana Kelvin ukiwa nalomba sambuza ya nyama kweli unajushusha sana
Ila Kelvin uko vinzuri movie zako nazikubali Sana unaweza❤️❤️💯
Kelvin mm usalam watafia 😂😂😂😂 sema ufanye mpgo wa mwendelezo wa movie zako
Napenda vile loveness ameamua tu mara moja..kevo umenyakua hongera😂❤
Tunaompend tina gonga like kwa wing❤❤
Yaani nimecheka kaambiwa asiseme yeye kalibwaga mbele ya mme wa tina yaani nimecheka pia ongela kwa kazi nzuri
Kelvin mimi siezi Pata usingizi nisipo tizama movie ❤❤❤
Ndevu za zamani 😂😂😂😂 Kevin Khan daktari wa mapenzi ❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪❤️
Sema kelvin unajua sana
Autaah KENYA, Doctor nakuaminia vikali sana 👊👊
Gonga like kwa Kelvin jamani,mwanaume wa zamani ana principle zake
Good movie
- Huyu mdada amecheza vizur kipengele chake
- Huyu malaya mkaka pia amecheza vizur
- mjeda bado labda part 2
- washkaji pia wamecheza vizuri
Big up sanaaa ❤
Tunaweza Tz
Watching from uturuki hapa istanbul( üsküdar )
Kelvin nakupa mauwa❤❤❤❤❤ unamaneno mazuri yakutoa nyoka pangoni
Nimekuelewa Kelvin❤❤❤❤
Kelvin na principle zake hahaa nakubali sanaa😂
Good job Kevin keep up
Kelvin kwa sambusa za nyama jamani 😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 napenda sana muv zako ua unanifuraisha sana 😂😂😂 love mingi mingi kutoka kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️👍👍🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Sambusa za nyana nyingi😂😂
Napenda sana movie zenu Zina mafubdisho ❤❤❤❤ from kenya
haaa kaka Calvin khan wewe ni mnyamwez kinyama umetisha unaswaga mwanang daa
Mwanaume wazamani msalama wataifa weeeeeee,,kelv unaweza❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kelvin usiseme siri ya mke wa mti😂😂😂utapasuliwaa kichwa kwa bundukiii
Wanaume wa zamani na ni single kama kondeboy 🙆🙆
Kelvin wewe ni mwamba kweli 😂😂
Kelvini nazipenda sana muvi zakoooo jamani upo vizuri sanaa hauna baya tajiri
😂😂😂😂hii nikazi nzuri ak inanfurahisha Unajua kutongoza Kelvin ❤❤
Hahaaa anajua kutogosa haki hogera kelvin😂❤
Yaaan kelvin leo umekua na mapenzi ya kihuni hahaha
Ila Kelvin kwa iyi ume ni vunja mbavu bro nakupenda sana.
Kwahiyo unataka me nife na ugwadu wangu au ila kevoo bhn😅😂😊🎉❤umetishaaa
Ila we kelvn nawe wajua kukatia mpak nikatamn niwe mm nakubal kabs mbn niache 😂😂😂😂nawapnd buree lkn one lov from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇹🇿❤
😂
Yani Kelvin nawewe unatembea nawake wawatu hhhhh from 🇧🇮
Nakubali sana kazi zenu God bless you kaka Calvin
Ahhh kelvin we nomaa nakubal muv zako ❤❤❤
Movie nzur sana❤❤❤eti ndevu za zamani kelvin bwana😂😂😂😂😂
Celvin uko sawa napenda movie
Kelivin na sabusa za nyama zimemponza😂😂❤
Nimeikubali mnooooooo😍😍😍😍😍😍
😂😂😂😂😂 Aki kelvin wewe na sambusa ya nyama jamani utakuja niuwa siku moja🎉🎉
Mm wa kwanza nataka like zenu kwa wingi❤❤🎉
Sawaaa
Hello my name is Grace
❤
@@Dontatv255daa aisee 😂😂😂😂 usalama wa taifa ausio
@@Dontatv255jifuze kiswahili😅😊
🤣🤣🤣 Kelvin et mi mwanaume wa zaman daaah umetisha
Kelvin bwana na sambusa za nyama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌👌wanichokesha mbavu leo kama jogoo
Kweli wewe nimwanaume wazamani mistari hiyo 😂😂😂😂😂 nawapenda nyote KAZI zenu nzuri sana
Kelvin mshene imekuponza
Movie zenu nzuri tatizo mwisho wa movie mnaacha nafasi kubwa halafu halafu movie imeisha
Hahahhahahaha kelvin mbona wanifanya nicheke sana😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁na wanawake hawasumbui na kupenda
Kelvin wewe ety sambusa iondoke hivyo 😂😂😂😂😂wewe mnoma kwel❤
Unaweza mpo juu.
Nimezikubal movie zako kinoma
Namimi kaka kelvin silali bia kuona filam hasa LAVUNASI.
We nakubali bna😮😮
Kelvin unaigiza poa ak❤❤❤❤❤ much love
Nawapenda sana mko juu ❤️❤️❤️
Asante sana
Ee kevi na sambusa we si tamu sana
Kelvin unajua kupenda kweli
Kelvin congrats,, watching from Kenya,,,
Nzuri xana
Jitaidi KK utafika mbali from congo
Kelvin nakupenda sana 3:06
Kelvin 😂😂😂 wee ni mwalimu wa wa kutongoza wanawake kweli😅
Umeolewa chaguo nilako utunzr ndoa au uvunje mamuzi niyako. Ukifunwa mamuzi niyako usilaumu shtan eala mungu, wala mtu yeyote. Nyambafu zenu mlio olewa wote halafu mnachiti
Usalama wa taifa big up Sana bro Kwa movie zako
Nakupenda sana kelvin nikiwa kenya
😃😃😃 Kelvin umeyakanyag
Ameatimba😂😂
dada na kaka namba 2
Kelviiin buda unaweza aki kuchezea wanawake babae wacha tu good job brw🎉
Jamani movie nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Asante sana
Kaz nzur broo
😂😂ashakipa Kelvin hongera san
Itakuwa poa sana kaka kelivn
Kelvin kiboko wee noma
Nakupenda sana Tina❤
Mwanaume wa zamani
Iko sawaa
Hongera kazi poa❤❤🎉🎉🎉
Ummenifurahisha hapo kwenye story
Hii movie iko poa sana ❤❤ sabusa za nyama 😂😂
😂😂😂😂 Kelvin uko na majibu kweli 😂😂
Etiii hatuendii vitaniii😅😅😅na masharti tenaa yameanzaaa😅kelvin we kidume
Kaka ninakipaji cha kuigiza naomba muongozo wa kuingia ktk kikundi chenu ninayo ndoto kubwa sana ya kua kioo cha jamii
Aki kaka ww you make my day ❤️💘🎉🎉🎉🎉
Nakubali manangu kelvin
Asante sana
Mwanajesh hiyo nafas haimfai jaman😂😂😂
Kitu safi ila malizeni movie bana❤
Tina kelvin anataka sambusa ya nyama jamaniii ❤❤❤❤
Kelvne amejisema mwenyewe
Jmn wangap wanamkubal Kelvin Kama unamkubal Kelvin nipe like ata tano
Kelvin khen nome namkubali
Kelvin voce é Mau lhi esticou bem Mesmo 💖💖
Ila Kelvin upewe Maua 🌹 wallah 😂😂😂
Wow it is saw nice
Kazi nzuli sana wapendwa
Kelvi unapendezwa na movie
Du!wanaume hatari !!!,hili likawe funzo Kwa wadada
Kelvin kata hizo stori achakuziongea utakabwa koo papo hapo utajuta Kelvin yamekukutal Mwanajeshi ndo huyo
Kevin kumbuka msemo unaosema uciye funzws Na mamay hufunzwa Na ulimwengu muelewe dadsy Vick avyoo kueleza mwishoe utajuta utajua Kwa Mmbwa Ni inje
😂😂😂wanyamwezi hawashindwi na mzigo😂😂😂
Nimewapenda buree kelvin na dad akee😂
Mwananguu nyokoo wew😅😅😅
Michezo yako mizur lakn iwenamuendelezo
khaaaa😂😂😂 etty usalama wataifa ila kev
Kimeumana😮