Historia Ya Pepe Kalle Aliyekuwa Akilala Ndani Ya Jeneza Kwa Siku 3 Mpaka Aoze Funza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 3 หลายเดือนก่อน +19

    Ndugu tafadhali nakuomba ufanye utafiti vizuri kabla yakutangaza.pepe Kale hakuwahi imba na Orchestra Lipua Lipua aliimba na Nynoma katika Bendi ya Orchestra Kamale tena Pepe Kale ndie alianzisha dance Kwasa kwasa ambapo Kanda Bongo Man aliiba sytle zakucheza. Fanya uchambuzi wakutosha kabala yakukuruputa nahabari nusu nusu.

    • @amirhamud3343
      @amirhamud3343 3 หลายเดือนก่อน +2

      Eti mtangazaji anasema kwasasa kwasasa😅😅😅 atakuwa mtoto wa 2000

    • @RASHIDIALLY-ew3ww
      @RASHIDIALLY-ew3ww 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@amirhamud3343kwasasa kwa Sasa 😀kwasa kwasa

    • @abuukarata9653
      @abuukarata9653 2 หลายเดือนก่อน

      Nadhani amedandia mana hata utamkaje wa maneno hovyo

  • @josephjohnmbelwa4998
    @josephjohnmbelwa4998 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nyboma Mwandido mtindo Kwasakwasa si Kwasasakwasasa mengine 🎉

  • @Hadithi_Makanaki
    @Hadithi_Makanaki 3 หลายเดือนก่อน +6

    Pepe Kalle- Hidaya ngoma kali sana kutoka kwa pepe kalle

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw 4 หลายเดือนก่อน +6

    Empire Bakuba the best band ever

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 4 หลายเดือนก่อน +2

    Christina shusho asikiye .
    Amejiunga sana diamond.

  • @BlackphilosophyMarto-sp9bn
    @BlackphilosophyMarto-sp9bn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pepe kale alifariki 1999 December

  • @flexstevin2385
    @flexstevin2385 4 หลายเดือนก่อน +18

    We jamaa inabidi ujifunze mambo vzr,.Yan ata kutaja majina vzr hujui,.kwasa kwasa unasema kwasasa kwasasa 😂😂😂

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😂

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 หลายเดือนก่อน

      Kazaliwa 2005 Kwasa kwasa ataijulia wapi .
      Watoe wasifu wa kizazi cha akina Burna Boy , Davido na Diamond .

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅mi mwenyewe nimeshangaa

    • @kkroco_diletv6893
      @kkroco_diletv6893 3 หลายเดือนก่อน

      Moyibi Sio Moyobi😅

  • @EdwinMkoma-w7q
    @EdwinMkoma-w7q 4 หลายเดือนก่อน +11

    Pepe Kalle Alikufa Baada Ya Kuingia Kwa Mwanamke Alie Mwambia Asiingie Chumbani Humo Kwa Muda Wa Siku Tatu,, Kweli Ali Kuwa Anaoza!!

  • @jmbaringo4495
    @jmbaringo4495 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sikiliza wimbo wa JB MPINA 48HRS COCO ... Anaitaja hiyo hospitali .... Ila simaanishi kua amemuimbia PEPEKALE ... JINA NI GERALD MULUMBA NA AMETAJA MDIGOWAKE ...'GASET MPIANA" ....ahsante...
    Moyobi...... Moyibi (mwizi) ila mwizi kwa tafsida....)

    • @jmbaringo4495
      @jmbaringo4495 4 หลายเดือนก่อน +1

      Sorry ni 48hrs Gecoco instead of 48 coco

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo nyimbo zote nazipenda sana.

  • @FrenkMwaulambo
    @FrenkMwaulambo หลายเดือนก่อน +1

    Kabasele yampanya

  • @OMARyAbubakary-t1y
    @OMARyAbubakary-t1y 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duh

  • @alexandernkwamah5905
    @alexandernkwamah5905 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unaboa Soukou (Sukus) unasema Sokos! Simaro (Simaroo) sio Simalo.

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @jennykabisa3589
      @jennykabisa3589 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @tumainipeter458
    @tumainipeter458 4 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman hapa kuna historia ya biblia kweli

  • @mbwanarashidi1774
    @mbwanarashidi1774 4 หลายเดือนก่อน +6

    Amefariki 98 na arbam ya mwisho lalumbalumba

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mmmm mbona kama amefariki nikiwa mtu mzima kabisa.labda mseme 2008 kwan 1998 nilikuwa mtoto.

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 3 หลายเดือนก่อน +1

    Achana na izo vichwa za habari za STORI YA KUSIKITISHA

  • @alexsanga4506
    @alexsanga4506 2 หลายเดือนก่อน

    Siyo kwasasa kwasasa ni kwasakwasa

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hapana bana sizani kama alifariki huo mwaka wa 1998 hebu angalia vizuli

    • @abduldjay3034
      @abduldjay3034 4 หลายเดือนก่อน

      wewe ndo uangalie vzuri sio kila kitu unabisha hata kugoogle haujui, pepe kalle kafariki november 29 mwaka 1998 , mjini kinshasa sasa unabisha nini

    • @habibnjowele7751
      @habibnjowele7751 4 หลายเดือนก่อน

      @@abduldjay3034 MWAMBIE AENDE GOOGLE MBISHI HUYU

    • @gervascharlesmwatebela1421
      @gervascharlesmwatebela1421 2 หลายเดือนก่อน

      28 NOVEMBA 1988

  • @isaackdeo
    @isaackdeo 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂African ooh my African

  • @KuzuGara
    @KuzuGara 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alifariki kwa ugonjwa au nn

  • @benjaminjackson8567
    @benjaminjackson8567 3 หลายเดือนก่อน

    NADHANI alifariki 1996

    • @BonaNgatuni
      @BonaNgatuni 3 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi kabisa pepe kale alifariki 1996 nikiwa darasa la saba sitaisahau iyo siku nilikua nampenda sanaa nilisikitika

    • @benjaminjackson8567
      @benjaminjackson8567 3 หลายเดือนก่อน

      @@BonaNgatuni MIM nakumbuka nilikuwa darasa la pili nakumbuka Maza alikuwa akizungumza Leo wanamzika pepe kalee hapo Nina miaka 11🤣🤣🤣 longtime aisee

    • @gervascharlesmwatebela1421
      @gervascharlesmwatebela1421 2 หลายเดือนก่อน

      28 NOVEMBA 1998

  • @SurprisedMacawBird-qh7dg
    @SurprisedMacawBird-qh7dg 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tikamwana

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 3 หลายเดือนก่อน +3

    Uzushi

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 4 หลายเดือนก่อน +4

    Ni sahihi alifariki 1998 Nina hakika pasina shaka lolote.

    • @reonardchatanda6371
      @reonardchatanda6371 4 หลายเดือนก่อน

      Alifariki mwaka 1999 baada ya kutoa albam ya larumba

  • @tanzaniawomenyouthempowerm267
    @tanzaniawomenyouthempowerm267 4 หลายเดือนก่อน +7

    Tuambie wewe . Alifariki lini?

  • @AndersonMwamengo
    @AndersonMwamengo 3 หลายเดือนก่อน

    Ila na wewe mtoa taarifa tamka vizuri maneno eti mwandindo ,. Moyebe mhj

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 4 หลายเดือนก่อน +3

    WHAT LIES!!!🙄🙄🙄🙄SHAME ON YOU. HIDAYA MAMIE REHEMA ALIYEUAWA NA MWANAE SKASSY KASAMBULA HAPA LONDON UK 🇬🇧 LOL 😆 🤣 😂 😹