Prince bokson likolooo unanifurahisha na hizi congo lingala tafsiri...nimependa hii mamaee nzala sili sherry akotolingana manaanakuja njaa inaisha mupenzi njoo tupendane!! Mimi napendasana animation's hawa atalaku nao pia utupatie full👍👍
Hallo Ndungu. Niko kwa Channel hii yako tangu muanzo ya mwezi la tatu . Nina ishi nchi ya Ujerumani. Nina elimisha lugha ya Lingala. Napenda kusikia musiki ya Congolais. Ukipata nafasi unichezea na mpa tafsiri kwa Kiswahili wa nyimbo : Bamasta Bonane - Franco Luambo Makiadi / Sam Mangwana ; Nes Nes- Madilu System / feat Canta Nyboma Mwandido. Asante.
Nimeburudika sana hata kama ombi langu halijafikiwa ...... Ukipata muda nifatafsirie POISSON DA'VRIL YAKWAKE FERREGOLA ..... Shabiki kutoka Arusha Tanzania
karibu sana, ila uwo wimbo bado sijaupata ndugu, niki upata nilazma nitaufanya, kwahiyo zidi kunikumbusha, ama nitumiye link yake kwa wtsp namba ya kwangu
Félicitations pour cette interprétation pour les auditeurs swahilophones.
Asante sana. Maryland USA
Karibu sana, +250791433142
@@princebockson5299Asante sana kutoka USA.
@@princebockson5299napenda madilu system, pepe Kalle na general defao
Nakuelewa sana bro Niko pamoja na wewe, ktk tafsiri za nyimbo za kikongo
😢 le swahili est une langue plus belle que le français mais je la connais pas et je regrette intensément.❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ooh, ça c'est vrai mon frère,
Naomba utafsiri wimbo la madilu system Mon cas mimi natoka Kampala, Uganda
Narudia tena, naomba utafsiri kwangu wimbo la madulu system Mon cas. Natoka Kampala, Uganda
Prince bokson likolooo unanifurahisha na hizi congo lingala tafsiri...nimependa hii mamaee nzala sili sherry akotolingana manaanakuja njaa inaisha mupenzi njoo tupendane!! Mimi napendasana animation's hawa atalaku nao pia utupatie full👍👍
Beautiful sounds reminds my youth days
Nakupata vizuri sana hapa Mafinga Tanzania Hon,Negro napenda sana muziki ya congo sanaaaaaaa
Tuko pamoja kaka naomba nyimbo ya Alen konkou
Safi sana na kupata vizuri toka.. Morogoro Tanzania
One of the best tune to listen to from sebene guitar. Asante brother.
Safi kabisa na tunakushukuru sana hapa Kenya kwa kazi nzuri unayoifanya...naomba unitafsirifie Koffi Aiyana yake werrason tafadhali
asnte saana, basi tuzidi kuwarushiya wengine wandugu ambao wangipendeleya ku elewa nyimbo za lingala kwa kiswahili
Umepotea sana kaka unatatizo gan
Papy Tex bonge la musician... Namkubari Sana 🔥🔥🔥
Asante saaana, zidi ku share nawengine ndugu
Shukran sana Prince bockson kwa kutimiza ombi pamoja na wezangu walioomba Azizi Keya kutoka dodoma
asante saana, zidi ku rushiya wengine tu akikishe ndugu zetu wote wamepata
Kazi nzuri naomba tafsiri ya wimbo wa ferre gola viuex jalaous
Sav. Sana
Hii ulitengeneza vizuri sana. Nina sikia hii kila siku. Haki huyu Papy Tex mungu ambariki duniani.
Tunakupenda sana Tanzania hasa sisi tulio kua wakati huo miaka ya 90
Asante sana siku yengine utupe mamou
Kazi safi Bockson
Habari ndugu, jana nili saha kuongeza nyimbo moja ya Madilu System (feat. Nyboma) inaitua Mon Cas.
Waooooo
safi namba ya simu
Naitwa Allan Mihayo from Tanzania naomba tafsiri ya wimbo Amore wa Fally Ipupa
Yaya Alain usijali itakuja
Papa Nakoloba te zaidi ya kukushukuru sana
Nice
Imekuwa poa sana aise
Wimbo wangu maarufu
Asante sana. Naomba unitafisilie wimbo wa family kinkuta ya Defao
Kabisaaa huo ndiyo wimbo wangu mkubwa.
Dah, price bockson umenifurahisha Sana na hii nyimbo ya Empire Bakuba. Nipe na ule wa "Mai doda"
Hendrick mtui nakati ya Morogoro MBOKA ya Tanzania.
Jina halisi la wimbo huo ni "Pou mon paka bougie" wa empire bakuba na pepe kabasele ya mpanya
@@isayamazani22 Jina lingine ni "tika mwana/muana"
Please please naomba Magui ya Madilu. "Nalingaka namona osala sourire ya ba amourese" najua hiyo tu. Please tafsiri. Love and respect!
Aminata, Aminata, Aminata by Madilu system tushushie hii nyimbo...
Nami naunga mkono Aminata ya madilu
nitaifanya ndugu
Seconded
Nipo manzese dsm
Napenda lingala
Na rhumba
Nahisi mm ni zaidi yako
Prince Bokson upo yulu, uko bien.... Tupo pamoja sana.... Emmanuel Madili nakati ya Tanga
wimbo sio nyimbp
Hallo Ndungu. Niko kwa Channel hii yako tangu muanzo ya mwezi la tatu . Nina ishi nchi ya Ujerumani. Nina elimisha lugha ya Lingala. Napenda kusikia musiki ya Congolais. Ukipata nafasi unichezea na mpa tafsiri kwa Kiswahili wa nyimbo : Bamasta Bonane - Franco Luambo Makiadi / Sam Mangwana ; Nes Nes- Madilu System / feat Canta Nyboma Mwandido. Asante.
Nakusalimu rafiki yangu. Naomba tafsiri ya Wimbo wa Angela wa ok jazz. Ulitungwa na Ndombe Opetum
ombi linafika, tuta lifamyiya kazi, meanwhile unaeza uka share na wengine wandugu ili tu hakikishe kazi zina fika pote
Pia Naomba ya madilu milint system
Nzele Tafadhali kaka Azizi Keya
Dodoma
Kazi nzuri Sana Sana. Kwanza naomba namba yk ya WhatsApp ,pili naomba tafasiri ya wimbo wa Mbilia Bell, Labeut Dona felme
Wimbo mzuri sana
wewe mwimbaji wasafi
Nimeipenda Sana nimotooooo
Prince Bockson tupo pamoja brother.
Tom marita naomba tafusiri ya wimbo wake Franco lokatel
Niko nchini Burundi na kubali sana
Kutoka Arusha Tanzania,
Naomba tafasiri ya wimbo wa Fally Ipupa - Mayday
Mm nipo Arusha nakupata vyema
Shukrani bwana Bokcson
Nataka utafsili wimbo
Wa madiru (nakombo)
Madilu
Naomba wimbo wamasu wa t p ok jazz
Masu nimesha ifanya, tizama apa kwa Chanel yetu
Remise premise ya werrason
Rafiki yko hpa kutoka dar es salaam Edmund Fortune
Brother i need saah by madilu , Lingala with english and swahili translation
Nashukuru kaka. Mosala kitoko
Nina sikia musiki hii kila siku. Safi safi sana.
Mm john Kagubi nim dau sana walumba za ki Congo nipo dar esalaam namba wimbo was. Adialya wapapitex
Mambo vipi Bockson umepotelea wapi? Uko mzima?
Tafsiri songi songi ya Maud elka please
Prince Bockson ni mmoja tu ni wa ukweli
Mkuu naomba unisaidie tafsiri ya huu wimbo
Princesse Julia (feat. La nouvelle génération de la république démocratique
Nimeburudika sana hata kama ombi langu halijafikiwa ......
Ukipata muda nifatafsirie POISSON DA'VRIL YAKWAKE FERREGOLA ..... Shabiki kutoka Arusha Tanzania
karibu sana, ila uwo wimbo bado sijaupata ndugu, niki upata nilazma nitaufanya, kwahiyo zidi kunikumbusha, ama nitumiye link yake kwa wtsp namba ya kwangu
@@princebockson5299 nashukuru kaka nitafanya hivyo maana in wimbo ninao upenda sana
Mkuu naomba wimbo wa extra musica denide na werason augustine
TIKA NGANA LEKA KASI LOSAKO PONA YO YAYA , OYO MAKAMBO YAKELASI YALINGALA MOKOLO NINI OKOSALA LISUSU?
10 comandment ya Papa Wemba naomba tasfsili ya kiswahili
Molakisi, tafadhali tafsiri Likambo ya Somo by Lorch. Veve
Naomba tasfsili ya 10 comandment ya Papa Wemba