HIFADHI MEMA by Jennifer Mgendi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 525

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 9 หลายเดือนก่อน +5

    Amen mtumishi wa Mungu , Asante Kwa ujumbe mzuri, natakiwa kuhifadhi mema ndani ya moyo wangu!!! Eeh Yesu nahitaji neema Yako! Mungu azidi kukutumia na kukuinua kweny viwango vya juu zaid ktk kumtukuza yeye Amen

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 9 หลายเดือนก่อน +14

    Hakika nimebarikiwa na huu wimbo keep going sister Jennifer...upendo kutoka kenya

  • @FgfRt-t6j
    @FgfRt-t6j 9 หลายเดือนก่อน +16

    YANI MAMA JENIFA NAPENDA NYIMBO UNAZO IMBA🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮ATAKAMA NIPO MBARI BASI TUKUTANIYE MBINGUNI MUNGU AKIPENDAAA🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦ATA NIKO MBARI NAPENDA NYIMBO ZAKO ONGERA ❤❤❤❤❤❤TENA AMENEEEE

  • @Baluku-d8c
    @Baluku-d8c 9 หลายเดือนก่อน +8

    Utuwombeye,tuyishi n'a Joyce,tupate pesa il tukuye tukuwone mama wubarikiwe mile.

  • @SelineGwambasa
    @SelineGwambasa 9 หลายเดือนก่อน +6

    Ubarikiwe Sana Mtumishi Wa Mungu,hii ni injili iliyokamilika kabisa,kweli Mungu anasihi kupitia vinywa vya Watumishi wake🙏

  • @Nonobellaaaaa
    @Nonobellaaaaa 9 หลายเดือนก่อน +11

    Barikiwa my dear maman Jennifer mungu akupe mwisho mwema❤❤❤❤👌👌👌💯💯💯

    • @CARENBULUMA-we9xz
      @CARENBULUMA-we9xz 9 หลายเดือนก่อน

      🙏 🙏 🙏 i love ❤️ you dear siz Jennifer for free go go 🚶‍♀️ 🎉🎉

    • @JenniferMgendichannel
      @JenniferMgendichannel  8 หลายเดือนก่อน

      Asante sana na iwe hivyo

    • @JenniferMgendichannel
      @JenniferMgendichannel  8 หลายเดือนก่อน

      Ameen amen thanks♥️

  • @janetkithi775
    @janetkithi775 9 หลายเดือนก่อน +7

    Asante sana mama mcha MUNGU 🙏🏿🙏🏿😭😭😭. Nmejifunza kitu kwa hii wimbo

  • @DoreenSoka-un7oh
    @DoreenSoka-un7oh 9 หลายเดือนก่อน +5

    Waooooo Mom this is so wonderful be blessed more mom imekuwa surprised na video Mungu aibariki kazi hii yenye ujumbe mzuri ❤🙏

  • @alphanlukombe3774
    @alphanlukombe3774 9 หลายเดือนก่อน +25

    Mimi ni muislamu safi kabisa lakini huyu mama nampenda sana nyimbo zake zinafundisha sana pamoja na bahati Bukuku mpaka nashindwa kujua yupi yupo juu zaidi ya mwenzake

    • @juliasmihwela1326
      @juliasmihwela1326 9 หลายเดือนก่อน +3

      Wewe nimuislamu wakweli kabisa maana huna ubaguzi unaangalia ukweli na sio udini

    • @wignissmafumbi4686
      @wignissmafumbi4686 9 หลายเดือนก่อน +1

      Wote wako vizur hakuna wa kumzidi mwenzie

    • @JenniferMgendichannel
      @JenniferMgendichannel  8 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana

    • @aishamsemwa-zu3eo
      @aishamsemwa-zu3eo 8 หลายเดือนก่อน

      Hivyo ndivyo inavyotakiwa Allah akubariki

  • @fidelajackson2723
    @fidelajackson2723 9 หลายเดือนก่อน +4

    Amen,Amen, Amen. Ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni Jennifer Mgendi.

  • @christinamatai2408
    @christinamatai2408 9 หลายเดือนก่อน +32

    Wimbo una mafunzo makubwa sana huu, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏 🙏 🙏

    • @HABAMUNGUJeandAmour-z5u
      @HABAMUNGUJeandAmour-z5u 9 หลายเดือนก่อน +1

      Muhando roza

    • @annasishe4125
      @annasishe4125 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Wimbo ni mzuri na una mafundisho mazuri sana. Big up Mgendi Mungu akubariki.

    • @gilbertkhamisi1876
      @gilbertkhamisi1876 9 หลายเดือนก่อน

      I like this

    • @shanibaniyas6308
      @shanibaniyas6308 8 หลายเดือนก่อน

      😘🥰🥰💖💗❤🙏🙏🙏

    • @shanibaniyas6308
      @shanibaniyas6308 8 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏

  • @ujumbekwawaulimwengu
    @ujumbekwawaulimwengu 9 หลายเดือนก่อน +5

    Amen 🙏 ❤ ubalikiwe sana na Mungu hakika wewe ni mwimbaji mzuli 🎉

  • @mamapraise9382
    @mamapraise9382 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana dadangu Jennifer Mgendi kwa wimbo huu wenye funzo kubwa.

  • @eliassoingei2046
    @eliassoingei2046 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mama kwa ujumbe mzuri, endelea kutoa nyimbo zaidi

  • @FelisterNicholaus-i2i
    @FelisterNicholaus-i2i 27 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye utoaji mama umenigusa. Ubarikiwe sana. Haleluyah

  • @RehemaDhahiriMohamedi
    @RehemaDhahiriMohamedi 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ujumbe mzur,ubarikiwe sana

  • @stellahjoel546
    @stellahjoel546 9 หลายเดือนก่อน +4

    Hakika huu Wimbo ni Mzuri Sana Ujumbe Mzuri Nakukubali Sana Jenifer

  • @noahwekesa2097
    @noahwekesa2097 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mami aki nyimbo zako ziliponya nafsi yangu.Sasa hivi ningelikuwa marehemu lakini tulia moyo uliniponya wakati nilitaka kuangamiza maisha yangu.be blessed

    • @JenniferMgendichannel
      @JenniferMgendichannel  8 หลายเดือนก่อน

      Hakika Mungu ni mwema asante kwa ushuhuda Mungu azidi kukutunza

  • @FlorenceMwadime-w9s
    @FlorenceMwadime-w9s 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubariki ukae miaka nyingi uendele kumsifu bwana AMEN🤲🤲🤲🙏🙏🙏

  • @RobinaSharon-rt3hn
    @RobinaSharon-rt3hn 9 หลายเดือนก่อน +9

    Umbarikiwe mum from Kenya den nilikuwa naomba huu wimbo utoe movie vile ulitoa wema ni akiba

    • @JenniferMgendichannel
      @JenniferMgendichannel  8 หลายเดือนก่อน

      Amen ngoja tuone Bwana akifungua milango nitaitoa

    • @RobinaSharon-rt3hn
      @RobinaSharon-rt3hn 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@JenniferMgendichannel Amen

    • @EllyNacy
      @EllyNacy 2 หลายเดือนก่อน

      Tupe movie

  • @gaudiosamweha1792
    @gaudiosamweha1792 8 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kwakweli .Mama kwakweli unajua kutembelea cycolojia za binadamu.Huu wimbo na ule Wema ni akiba hazichuji.sijui uliwaza nn.Mungu nisaidie tu nami niwe mbunifu sana.igizo nigeuze wimbo ujumbe ufike.Mungu akulinde mama

  • @allanmapito3688
    @allanmapito3688 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Kwa kazi hii Jennifer, asubuhi mchana tunaiskiliza
    Ubarikiwe sana mamaa

  • @ZaireMudeba-lx8pt
    @ZaireMudeba-lx8pt 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ubarikiwe sana Dada yetu

  • @HappyAsukile
    @HappyAsukile 6 หลายเดือนก่อน

    Hongela dada,huu wimbo una mafundixho mazuri sana.❤

  • @cosmahassan7262
    @cosmahassan7262 9 หลายเดือนก่อน +3

    Vidio nzuri mama umependeza sanan sana sana

  • @georgedavid8358
    @georgedavid8358 9 หลายเดือนก่อน +9

    Mama yetu Mungu akutunze sana wewe ni hazina kubwa sana

  • @bertinntawe8115
    @bertinntawe8115 8 หลายเดือนก่อน +1

    Chombo cha Bwana ,unatubariki sana Burundi 🇧🇮 Imâna Iguhezagire...from Glory to glory,Komera

  • @kimlolakimlolanelly6330
    @kimlolakimlolanelly6330 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana kwa wimbo mzuri mtumishi wa Mungu pastor Jennifer Mgendi

  • @FerdinandRwehumbiza
    @FerdinandRwehumbiza 5 หลายเดือนก่อน

    Inspirational and soothing song. May Lord continue to bless you.

  • @sechekaweya6347
    @sechekaweya6347 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooh nimebarikiwa sana jamani wimbo mzuri sana jamani yani kama kawaida yako MUNGU aendelee kukutumua love you mami Jenifer

  • @aminahakeem897
    @aminahakeem897 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri ndani ya maisha tunayoishi hapa duniani!

  • @janethsolomon5923
    @janethsolomon5923 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mama hauzeeki jamaniii, Mwenyezi Mungu Azidi kukulinda na kukuinua Zaidii🙏🙏🙏

  • @zionfahariofficial2057
    @zionfahariofficial2057 9 หลายเดือนก่อน +5

    Mum Nakupenda buree 🥰🥰,Jamani Unanibariki Sana

  • @Emmanuel_Singu
    @Emmanuel_Singu 6 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Mtumishi wa Mungu, Jennifer. Wimbo mzuri sana na una ujumbe mzuri sana. Ubarikiwe sana!

  • @ElizabethMikah
    @ElizabethMikah 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera dada Jenifa.Mungu azidi kukubariki.Akuzidishie afya njema Ujumbe ni mzuri nimeupenda sana.

  • @alexmathias6620
    @alexmathias6620 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hakika ukifa hauozi, apewe maua yake mwana mama huyu kwanza ananikosha kwenye mavaz yake ❤❤❤❤❤❤

    • @JenniferMgendichannel
      @JenniferMgendichannel  8 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo umezidisha chumvi 😃😃

    • @alexmathias6620
      @alexmathias6620 8 หลายเดือนก่อน

      @@JenniferMgendichannel hakuna Cha chumvi Wala Nini kiufupi wewe Ni mama wa kuigwa kwa Kia kitu kwanza mavazi, Ni ya kuigwa uimbaji wako maneno yako pia Ni ya yanafundisha, Kama nyimbo zote zingelikua zipo Kama za kwako pia mavazi ya wasanii yakawa Kama ninavomuona mama huyu aise hayupo mtu ambae angelisema kua waimbaji wa sasa sio, yaan kila ninapojaribu kusikiliza nyimbo zako Kuna vitu ambavyo huwa najifunza, na kutamani kuingia Jerusalem upewe sifa mama 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MackilinaMaswata
    @MackilinaMaswata 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri sanaaa ubarikiwe Mwenyezi Mungu azidi kukupandisha kwa viwango vingine❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @isackmwakanyuma8725
    @isackmwakanyuma8725 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa ubarikiweee sna mam wimbo mzuri san wenye mafundisho has wakati huu

  • @LilianWilliam-te5um
    @LilianWilliam-te5um 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mziri❤🙏

  • @rwanikakisosi6756
    @rwanikakisosi6756 5 หลายเดือนก่อน

    Dada yetu jenifer mwenyesauti yaki pekeee barikiwa sana mjakazi w Bwana

  • @furahinimbwambo
    @furahinimbwambo 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana Nyimbo nzuri sana

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mama jaman unanibarik Sana mpka nitafanya nae nyimbo ,Mungu ni mwema IPO sku

  • @laxmajor
    @laxmajor 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma Kali Sana mtumishi wamungu 😍

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 9 หลายเดือนก่อน +3

    Amen mama ubarikiwe sana nimependa hii wimbo❤❤

  • @irenebaya6296
    @irenebaya6296 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana na wimbo huu ,glory be to almight God from 🇰🇪🇰🇪

  • @mouzinhocorneliojacob3551
    @mouzinhocorneliojacob3551 9 หลายเดือนก่อน

    Estou muito satisfeito e abençoado por este canção! Deus te abençoe para sempre a minha Mãe e Deus te dá sucesso para sempre (Mozambique)❤❤❤

  • @SteveniSichalwe-ku7rq
    @SteveniSichalwe-ku7rq 6 หลายเดือนก่อน

    dada mungu akuzidishie maladufu naakupemaisha malefu 1000000000000 ilituzidi kupada Uduma iliyo nzulikutoka kwako❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AugustusNdau
    @AugustusNdau 7 หลายเดือนก่อน

    Huu wimbo una ujumbe mzuri sana, ubarikiwe mwimbaji

  • @everlyneeshitubi9795
    @everlyneeshitubi9795 8 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 🎉 Mama kwa wimbo mzuri huo listening from Kenya 🇰🇪 🇰🇪❤

  • @SamwelMarwa-e5s
    @SamwelMarwa-e5s 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akupe nguvu mama yetu kipenzi ❤❤❤❤❤uzidi kutoa ujumbe utakao komboa wana damu

  • @dorothsoak4835
    @dorothsoak4835 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe Sana mama. Nijifunze nijue kuhifadhi mema ili Mungu aseme na maisha yangu. Tunajivunia kufanya kazi na wewe Mungu akuinuee sanaaa. Tunakupenda

  • @luciamaganga1872
    @luciamaganga1872 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarkiwe sana mama,,wimbo wako wa wema ni akiba ulinijenga sana

  • @elishapembese1963
    @elishapembese1963 8 หลายเดือนก่อน

    Neema ya Mungu inayokuatamia siku zote iendelee maana hujaacha msingi wa huduma yako mimi nakufurahia Sana asante kwa ujumbe mzuri LUKA 6:45

  • @ChanilaKitwima-zc6ko
    @ChanilaKitwima-zc6ko 9 หลายเดือนก่อน +1

    Aminaa! Tusichoke katka kutenda mema tutalipwa tusipozmia roho

  • @godfreyswai4965
    @godfreyswai4965 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana wimbo nimzur sana ubarikiwe,tunajifunza mengi

  • @alain-seraphinniyomutabazi2018
    @alain-seraphinniyomutabazi2018 8 หลายเดือนก่อน

    Hongela saana mama jennifer mungu akupongeze uzidhi kufahuru❤

  • @harrisonhudson6312
    @harrisonhudson6312 8 หลายเดือนก่อน

    Wow what a lesson...bible on the ground..hifadhi mema

  • @msaniiezekielkamoyani
    @msaniiezekielkamoyani 9 หลายเดือนก่อน +2

    Unayo yafunza NI kweli kabisaa .. thenks for your message to us... Blessed song I say 5:00 5:02 ❤❤🎉🎉

  • @marymhando1807
    @marymhando1807 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Dada, ni somo zuri mno, nimepokea!!

  • @mathiasodeh6759
    @mathiasodeh6759 9 หลายเดือนก่อน

    Great worship. Keep going well... watching from Abuja Nigeria 🎉🎉🎉🎉

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 9 หลายเดือนก่อน +1

    Blessings, blessings to you My Sister Jennifer.
    Powerful massage aki!

  • @michaelmaganga9539
    @michaelmaganga9539 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Jennifer, very very touching msg in this song. Be blessed mom...

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe sana mtumishi keep it up 🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏

  • @Baluku-d8c
    @Baluku-d8c 9 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU akubariki ni mimi Yusuf muchumba wa joyice amen

  • @tuyisengeplacide5440
    @tuyisengeplacide5440 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda Sana huku nchini Rwanda tangu nione ile firamu yako pigo la faraja nlifurahi Sana ndo maana nakupenda Sana kwa uhubili wako

  • @wakurusimba2945
    @wakurusimba2945 6 หลายเดือนก่อน

    Ooh my God nyimbo tamu saana hii amima nimebarikiwa

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 9 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤ MIE NILIKUPENDA TANGU ZAMANI,HATA KAMA ULINIJATAA BAS TU NTAENDEREA KUKUPENDA SANA PIA NAIPENDA NA IMENIBSRK SANA HUDUMA YAKO

  • @richardkobelo6241
    @richardkobelo6241 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe naendelea kufanya kazi ya Bwana

  • @KelviniMfweya
    @KelviniMfweya 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Kwa mafundisho mazuri kupitia huu wimbo.

  • @EugenieTundwa
    @EugenieTundwa 7 หลายเดือนก่อน

    Wandugu zangu imwimbo unamana sana tena nifindisho kubwa saaaaaana kabisa

  • @isaackMatico
    @isaackMatico 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mama mungu akupe mafunuo zaidi kwani hufuati dunia ilipo bali unadumu katka upako uleule tyuuu

  • @Trestartz
    @Trestartz 8 หลายเดือนก่อน +1

    We Missed a lot of educative informations from our beloved mom through her Verses🙏Be blessed and live long 🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @RukiaDzombo-uf7wp
    @RukiaDzombo-uf7wp 9 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzur sana wenye mafunzo,,, ubarikiwe sana mamangu, nakupenda sana

  • @princesumary7356
    @princesumary7356 9 หลายเดือนก่อน

    Hayandio maubiri kwanjia yanyimbo❤❤ubarikiwe mtumishi❤❤❤

  • @ChrismasMurhumwa
    @ChrismasMurhumwa 9 หลายเดือนก่อน

    Vraiment mungu akupe maisha marefu maman...wimbo huuu umenipa mafundisho mengi sana ... que notre seigneur tout puissant vous protège de toute la vie mon nom c'est Freddy murhumwa au Nord-Kivu en RDC goma

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 9 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen ❤❤❤❤❤ mungu akulinde mama j j watching from Capetown

  • @JekapuMyombe
    @JekapuMyombe 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana jenifa kwa wimbo mzuri.

  • @christinamgendi5052
    @christinamgendi5052 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera dada🎉🎉🎉🎉 nakupenda bure

  • @elysemanirakiza9956
    @elysemanirakiza9956 9 หลายเดือนก่อน

    Dada asante kabisa nimejifunza mambo mengi kupitia huu wimbo Mungu akubariki

  • @marynkuye-n2d
    @marynkuye-n2d 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe madam. Ninakazi nahitaji ushauri na ishirini wako Kama hautojali naomba mawasiliano yako. Mimi Ni Madam Mary au mama Methodi Kaganga.

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani mama yangu wewe hakika baraka zindani yako❤❤❤

  • @praise-oi5nz
    @praise-oi5nz 9 หลายเดือนก่อน +2

    Much love mama more blessing ❤

  • @SelinaDama-k3l
    @SelinaDama-k3l 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarkiwe sna mtumishi wa mungu.mungu akuzidishie

  • @tumpekadaga6013
    @tumpekadaga6013 9 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda mamy, Asante kwa ujumbe mzuri❤❤

  • @WinfridaJohn-w9m
    @WinfridaJohn-w9m 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dear mama❤❤. Kaz yako nzur sana

  • @Baluku-d8c
    @Baluku-d8c 9 หลายเดือนก่อน +3

    Bibi yangu Joyce anapenda weye sana uko Toroko ug.

  • @stellahjoel546
    @stellahjoel546 9 หลายเดือนก่อน

    wimbo Mzuri Ujumbe Mzuri Sana Ubarikiwe Nyimbo zako hua zinanibariki Sana.

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen! Nice song. God bless you, sister.❤❤❤❤❤❤❤

  • @SamyAmani-e7n
    @SamyAmani-e7n 4 หลายเดือนก่อน

    Mama kila wimbo unapo zihimba zime ni Saidia sana kiroho hata kiakili namuhomba mungu akuzidishia Siku na akuongezee akili, hekima maishani mwako

  • @JanethJackson-i9n
    @JanethJackson-i9n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ubalikiwe Kwa wimbo mzuri mtumishi was mungu

  • @catendinda620
    @catendinda620 9 หลายเดือนก่อน

    Aki may the Lord bless you mama and give you more Grace,,,iyo wimbo Ikona message ndani yake Aki,,,,mm uwa naiskiza kila saa God bless you mummy

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 8 หลายเดือนก่อน

    Mmh dadangu unazidi kupendeza aisee na mavazi umepatia yaani umeng'aa mnooooooooo

  • @yopasiamselabuye7456
    @yopasiamselabuye7456 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ni wimbo wenye sauti ya Mungu ndani yake 🙏

  • @sophianamutosi7241
    @sophianamutosi7241 8 หลายเดือนก่อน

    Perfect message from God
    Be blessed 💯💯💯

  • @sheledeshele1048
    @sheledeshele1048 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda sura na sauti yako,hujawahi chakaa kwa macho yangu,message nitasikiliza baadaye😅😅

  • @NdakiDoyi
    @NdakiDoyi 7 หลายเดือนก่อน

    hongera sana mama kwa wimbo mzuri

  • @beatriceachiengomolo9942
    @beatriceachiengomolo9942 9 หลายเดือนก่อน

    Chochote ufanyalo fanya kwa kutukuza Mwenyezi Mungu❤❤❤

  • @JustinSafari-sp2te
    @JustinSafari-sp2te 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimependa kazi zako toka RD congo❤❤❤❤❤

  • @israeltango9126
    @israeltango9126 9 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana wimbo huu jenifa mungu akubariki❤

  • @VianneyNduwimana-g1w
    @VianneyNduwimana-g1w 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli mama enderea gukomboa myoyo zetuu